Notifications
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…

MUUZA CHIPS (66)

Sehemu ya Sitini na Sita, mtoto wa kike, na mama yake, ya mama yake, bado hajaona hasira, chumbani kwa mama, hajaona hasira zilishaanza, huo sarah
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA SITINI NA SITA
ILIPOISHIA...
"no ni utani tu bwana usichukie"

"ok poa, but leo siji napumzika kwangu"

"mmmhhh sawa"

Simu ilikatwa huku chidi akiendelea kulala zake,… Na hapo hajala chakula cha mchana afu jioni ndio hio inakuja

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"nikileta usenge hapa naweza kufa njaa kisa ni pesa, kwanini nisizizoee"

Chidi alijiuliza hivyo kisha akatoka zake nje kutafuta chakula… NDIO MAANA UNAAMBIWA PESA HAINA MSAADA KULIKO UTU,… HEBU TUKUPE HATA BILIONI MIAMBILI AFU TUKUFUNGIE NDANI BILA CHAKULA, TUONE KAMA UTAKULA HIZO PESA HUKO NDANI… KWAHIO WACHENI KUJALI PESA KULIKO UTU, MJALI MTU KISHA JALI PESA,.. UKIFUNGIWA NA PESA NDANI UTAKULA HIZO PESA AU???… MANA ILI ULE NI LAZIMA UTOKE NJE UZITUMIE HIZO PESA BILA HIVYO UTAKUFA NAZO…

Sasa tukija huku kwa akina sarah na mama yake wakiwa wapo nyumbani, tena ndio walikuwa wanarudi nyumbani,.. Mama kaenda zake kuoga lakini akili yake ni kwa kijana chidi tu,… Mama sarah alimaliza kuoga na kuingia chumbani kwake,…

Baba yake sarah sio mtu wa kuwepo nyumbani mara kwa mara, yeye ni blocker (mtu wa madini), hivyo kazi zake ni mererani, mbuguni huko na sehemu nyingi zitokazo madini, hivyo kumkuta nyumbani ni nadra sana,..

Sarah nae aliingia bafuni kwake na kutaka kuiga, lakini bomba la mvua la hapo bafuni kwake lilionekana kuwa na mushkeli kidogo hali ya kuwa halikuwa likitoa maji kwa wakati huo,.. Sarah alienda mpaka chumbani kwa mama yake na kumpa taarifa ya bomba la bafuni kwake halifanyi kazi..

"mama"

"nini wewe mbona wanishtua hivyo"

"mbona kule bafuni kwangu majukumu hayatoki"

"aaahhh kwanini hayatoki"

"mi sijui"

"wewe mtoto mwongo sana, mimi si nimetoka kuoga muda huu huku bafuni kwangu"

"lakini kule kwangu hayatoki"

Aliongea Sarah kwa kudeka huku mama yake akiendelea kuchati… Aisee mama anapenda kuchati huyu khaaa tuu machi kwa kweli,..

"we nenda kaoge huko kwangu, afu kesho tutaita fundi"

Aliongea mama sarah huku akiendelea kuchatika, sarah alionekana kuna mahari anawahi hivyo hakutaka kuchelewa, aliingia bafuni na kuto kikanga chake alichokikatishia kifuani na ndani alikuwa na chupi tu na hio kanga,.. Alipotoa kanga yake, sasa ile anairushia kwenye henga ya kuwekea nguo, aliona nguo ya ndani ambayo alishawahi kuino sehemu, sarah alivuta kumbukumbu siku alipoiona hii nguo ilikuwa hivi….

"baby"

Sarah aliita huku akiendelea kuiangalia nguo hio

"nini tena mamy wangu"

"njoo"

Chidi alijua anaitwa kimahaba, mana mpenzi wako akikuita bafuni ni raha kweli, hivyo chidi kaenda na mbwembwe zote,..

"hiki kigaguro hapa ni cha nani"

"haaaaaaaaaaaa"

Chidi alitamaki ila alipoiona aliijua, sema sasa hakujua kama iliachwa huku bafuni,.

"chidi mpenzi wangu, ina maana umetoka kulala na mwanamke sasa hivi tu, tena huyu mwanamke hata sio saizi yako jamani"

Sasa chidi ni mtoto wa kiume ila sidhani kama mawazo yake yataweza kumtuliza sarah,

"aaahhhh babiiii, hio ni sapraizi jamani sarah"

"sapraizi???… Sapraizi ya nini"

"nilikununulia wewe"

Chidi aliongea huku akijiamini kwelikweli,

"ivi we chidi, na akili yako yote hii nguo inanienea kweli hii"

"amnaaa, hio ni saizi kabisa"

"ok.. Haya mbona imefuliwa muda huu"

"ndio.. Coz nilipoileta, ilidondoka hivyo nikawa nimeifua"

"ok.. Kwahio unasema hii chupi ni mpya si ndio"

"haswaaaaaaaa"

"mbona kuna baadhi ya sehemu zimefumuka uzi"

"aaaaaaYaaaaaa…. Huyu fundi atakuwa feki,… Ebu ngoja nitaipeleka kwa fundi"

Alipomaliza kukumbuka alijikuta anaikagua vizuri

"mungu wangu, mbona ndio ile ile, hata ile sehemu iliofumuka hii hapa"

Sarah aliongea huku akiwaza mambo mengi sana kuhusiana na nguo hio,..

"ina maana ile siku mama alikuwa na chidi,… Lakini chidi mbona aliniambia ni jirani yake ndio aliisahau baada ya kuja kuoga kwenye bafu lake"

Sarah alijiuliza maswali mengi sana lakini maswali yote hayo, mama hakosi kujibu hata moja

"Ina maana kwamba mama yangu ana uhusiano na mpenzi wangu???…. hapana, ngoja nimuulize mama Tarehe 9 mwezi huu hiii chupi ilikuwa wapi,… Na akishikwa na kigugumizi tu basi ni kweli"

Kweli sarah alijifunga kanga yake, kisha akaichukuwa na ile chupi ya mama yake na kuianza hatu ya kumfuata pale kitandani mana bafu hilo lipo chumbani kwa mama yake, maana yake ni kwamba, hilo bafu ni la mama yake..

"mamaaaa"

"nini jamani sarah… We si uoge ukampumzike mwanangu"

Wakati huo sarah kaishika ile nguo ya mama yake lakini mkono ulioshikia nguo upo kwa nyuma, kana kwamba mama bado hajaona,…. Hasira zilishaanza kumjaa mtoto wa kike, na hata machozi yalikuwa yakimlenga lenga kwa mbaali sana..

Hakuna kitu kibaya kama kushea penzi kwa mwanaume mmoja na mama yako, binafsi inauma sana, mana ukiangalia yeye na mama yake wapo katika uhusiano na mwanaume mmoja, afu mbaya zaidi ni mtu anayempenda mpaka basi,..

Yaani yeye sarah hawazii kushea penzi moja na mama yake, bali anawazia kwanini mama afanye mapenzi na mpenzi wake… Hayo ndio mawazo ya mwanadada huyo huku akiwa kaishika nguo hio,

"mamaaaa"

"nini jamani sarah… We si uoge ukampumzike mwanangu"

Wakati huo sarah kaishika ile nguo ya mama yake lakini mkono ulioshikia nguo upo kwa nyuma, kana kwamba mama bado hajaona,…. Hasira zilishaanza kumjaa mtoto wa kike, na hata machozi yalikuwa yakimlenga lenga kwa mbaali sana..

Lakini kabla hajaongea hivyo sarah alifikiria mara mbili kuwa, huenda akamshambulia mama yake bure na wakati nguo huenda zinafanana, Sarah alizidi kuificha ili mama yake asiione mana tayari keshaamua kuachana nalo

"ngoja nitamuuliza chidi ile nguo kama ipo au haipo"

Alijiongolea kimoyomoyo huku akirudi zake bafuni kuendelea kuoga zake… Aliirudisha nguo hio katika henga ya kuanikia huko huko bafuni,..

Baada ya muda mfupi tayari keshamaliza kuoga

Tukija huku nyumbani kwa chidi akiwa kalala zake ila jicho halitoki katika pesa yaani haondoi jicho kwenye ile pesa,.. Na ukumbuke kuwa wakati huu ni mida ya saa moja hivi jioni,.. Ghafla alipokea sms kutoka kwa miriam ambae hamjui,..

"mambozako best, za mchana kitwa"

Hio ni sms iliotoka kwa miriam ikimjulia hali kijana chidi,..

"safi tu zakwako"

Alijibu hivyo huku akiwa na furaha kiasi flani.. Basi hapo miriam alijiskia raha sana kwa kujibiwa vizuri salamu yake mana chidi akiwa na hasira, sahau kujibiwa vizuri, tena huenda akakukaushia kabisaaa…

"salama tu, nisalimie wifi yangu"

Alijibu miriam huku akiongea hivyo ili ajue kuwa chidi ana Girlfriend au inakuwaje,..

"sawa nitamsalimia kwa ajili yako"

Miriam kuona sms hio alikasirika kwani hakutaka kujibiwa hivyo,..

"mmmhhhh poa"

"nini mbona umeguna"

"sijapenda hilo jibu lako"

"lipi hilo"

"kumbe una mpenzi"

"aaahhh poa basi kesho"

"unalala jamani"

"ndio"

"ok… Njozi njema"

Chidi hakujibu chochote kile akalala zake fofofo ili kesho awahi kazini

Tukija huku kwa mke wa Ibrahim ambae ndio shemela wa kijana chidi,..

Leo nyumbani kwao kulikuwa na ugeni wa mdogo wake aitwaye sabra,. Mtoto wa kike mwenye umbo la kipekee na weupe wa asili,

"dada mi naenda kulala chumba kile pale"

Sabra alimuaga dada yake kuwa anakwenda kulala katika chumba alichokipenda, lakini chumba alichochagua ni kile chumba cha chidi

"weeee hicho chumba ni cha shem hicho"

"sheeem… Shem nani huyo"

Sabra aliuliza kuwa ni shemwji gani huyo anaelala katika chumba hicho

"si mdogo wake Ibrahim, shemeji yako"

"heeeee kwani shem Ibrahim ana ndugu"

"ndio… "

"yuko wapi sasa mbona sijamuona mezani"

"aaahhh sema ana kwake, hivyo kuja kulala huku hua anaamua tu"

"aahhhh… Sasa kumbe anaamuaga kuja tu, wacha nikalale mimi"

"sabraaaaaa… Lakini akija utampisha"

"sawa, ila nikinogewa na hiki chumba itabidi yeye alale chini mie juu"

"mjinga wewe… Nitakupiga sasa hivi umlaze mkaka wa watu chini"

"mmmhh dada nimekutania tuuu… Ila mbona umepaniki hivyo"

"nimepaniki kwasababu jumba kubwa namna hii afu unataka umlaze mtu chini"

Jasmini au mke wa Ibrahim alikuwa akimgombeza mdogo wake, kwa kutaka kumlaza chidi chini, na wakati shemela anajua umuhimu wa chidi kuwepo ndani ya nyumba hio…

Basi jasmini alimruhusu mdogo wake akalale katika chumba hicho,…

"ooohhh jamani hii ajali ni mbaya mmhh"

Alikuwa ni jasmini akiwa anaangalia video flani katika simu yake,…

"ni ajali gani dada"

"hiiii hapa nimerushiwa WhatsApp sasa hivi"

"iiiiiiii hebu nirushie niisambaze kwenye group la wasap"

Basi jasmini akawa anaituma kwa kutumia wasapu, lakini katika chati ya wasapu namba ya chidi ilikuwepo.. Na picha yake kabisa…

"heeeee huyo boy hapo ndo nani"

"eeeee weee naaaawe… Kila kitu wataka kujua tuuu aahhh tu unanichosha sabra"

"jamani dada kwani nimeuliza tuuu"

"haya ndio huyo mdogo wake ibrah"

"heeeeeee hebu.. Kumbe mdogo mi nilijua libaba"

Sasa sabra akachukuwa simu ya dada yake na kuikuza ile picha…

"heeeeeee… Mbona hii sura sio ngeni kwangu"

Aliingea sabra huku akiiangalia ile picha kwa umakini mkubwa,

"we kweli kichwa chako kibovu na ndio mana ukafeli, yaani wewe kila kitu wakijua.. Haya huyo mtoto wa watu nae ulimuona wapi wewe"

Aliongea jasmini huku akimwangalia sana mdogo wake,…

"ila sema niliomuona mimi hakuwa mweupe kama huyu"

"hebu lete simu yangu,… Huna lolote wewe"

Sasa sabra akawa anavuta kumbukumbu siku alipomuona kijana huyo, alikuwa hakumbuki kwa haraka ila anamjua kabisaa, ila sijui walikutana wapi…

PATAMU APO

Baada ya siku hio kupita, na leo ni siku nyingine tena…. Tukiwa huku Hotelini kwa akina miriam ambako chidi ndipo anapofanyia kazi,… Ikiwa ni mida ya saa tatu ya asubuhi, chidi akiwa bize na kazi,

"oya omari ee"

"sema side"

"aisee boss mdogo jana alikuwa anakuulizia kila saaa"

"nani.. Boss miriam"

"ndiooo"

"wachaaaaaaa…. Ishakuwa tabu nini"

"amna.. Lakini we si uliaga, au ulitoka kimya kimya"

"niliaga na hii ishu boss mkubwa anaijua"

"aaahhh hapo fresh, ila kama usingeaga ingekuwa tabu mzee"

Haikupita hata muda boss Miriam keshafika katika jiko la chipsi na kumuita kijana chidi

"omariiii"

"naam boss"

"nione ofisini"

"sawa boss"

Miriam kajikaza ile mbaya kwa kuja kumuita chidi kibabe babe,… Halafu huyoo akaondoka, huku chidi maskini keshaanza kutetemeka mana hata Miriam ana uwezo wa kumfukuza sio lazima afukuzwe na boss mkubwa,..

Chidi alipofika ofisini kwa miriam alimkuta anaweka karatasi kwenye bahasha, chidi akajua hapo baasi kibarua kimeota nyasi,.. Mana hata barua ishaandikwa tayari,..

"ndio boss nimefika"

Aliongea chidi baada ya kufika ofisini kwa miriam….

Sasa miriam akaanza kukumbuka yale majibu mabovu aliokuwa akijibiwa kwenye SmS na kijana huyo ila sema chidi hajui kama ni miriam huyo,..

"best, bado upo bize"

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
50 Muuza Chips Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni