Notifications
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…

MUUZA CHIPS (67)

Sehemu ya Sitini na Saba, juu ya meza, nguvu za kiume, alikuwa ni miriam, aolewe na yeye, asiwe huyo mchumba, basi utarajie kupata, chidi hajui kama
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA SITINI NA SABA
ILIPOISHIA...
sa miriam akaanza kukumbuka yale majibu mabovu aliokuwa akijibiwa kwenye SmS na kijana huyo ila sema chidi hajui kama ni miriam huyo,..

"best, bado upo bize"

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Alikuwa ni miriam aliokosea namba ila kwa sisi wasomaji tunajua kuwa huyo ni miriam yule yule boss wake, sasa kaja kwa njia ya kama miriam mwingine,..

"ndio nipo bize subiri"

"heeeee kwani unafanya nini"

"Hayakuusu bwana we subiri kwanza.. Afu ukiendelea kuchati na mimi naweza kukublock eti"

"mmmhh sorry,.. Nitasubiria basi"

"mmmhhhh poa"

"nini mbona umeguna"

"sijapenda hilo jibu lako"

"lipi hilo"

"kumbe una mpenzi"

"aaahhh poa basi kesho"

"unalala jamani"

"ndio"

Kiufupi majibu ya chidi yalikuwa hayamfurahishi miriam kabisa, yaani ndio kwanza yamemwongezea hasira

"kaa kwenye kiti unanisimamia nini"

Miriam aluongea hivyo lakini roho haikupenda kumjibu hivyo, ni basi tu kutokana na hasira ya zile sms walizokuwa wakichati… Kwahio hapo chidi ataadhibiwa kwa kosa ambalo halijui, ila yeye anajua ni hilo la kutokuwepo jana..

Miriam alikumbuka tena jana alipomuuliza mama yake kuhusiana na chidi kutokuwepo kazini

"mama ivi yule omari kakuaga"

"Omari… Omari yupi uyo"

"si yule kijana mgeni"

"aaahhhhhh… Eeeee kaniaga na pia kaagiwa na mama yako mdogo mama sarah… Hivyo hana shida atakuja kesho"

"hhhooo sawa"

Miriam alipomaliza kukumbuka alitoa macho kuyafanya yawe makubwa lakini haikuwezekana mana ana vijicho vidogo kwahio hakiweza kumtishia chidi kwa macho…

"we jana ulikuwa wapi"

Alimuuliza ingawa anajua jana alikuwa wapi

"samahani boss, kuna ubize kidogo nilikuwa nao"

"ubize gani huo"

"Sorry… Nilimpeleka mtoto wa kaka yangu hospitali"

Sasa miriam kuskia hivyo, hasira zikapungua huku akijisemea kimoyomoyo kuwa

"kumbe ndio mana alikuwa ananijibu kwa hasira,.. Kumbe alikuwa hospitali?… Eeeh mungu nisamehe mana sikujua hilo"

Alijiongelea hivyo huku akishusha pumzi kubwaaa…

"Nisamehe omari eee"

"hakuna shida boss"

Sasa miriam ana akili za kijinga sana, yaani anampenda chidi mpaka basii yani, sasa pale pale chidi akiwa kainamisha kichwa kwa uoga wa kufukuzwa kazi… Miriam alijaribu kuandika SMS kisha akamtumia… Ghafla chidi anashituliwa na mlio wa sms, alitoa simu mfukoni na kuangalia, alikuwa ni miriam aliomsevu WRONG NUMBER…

"aahhhh"

Chidi aliguna kisha akarudisha simu mfukoni bila kujua kuwa huyo huyo aliokuwa nae ndio anaemtumia sms ila chidi hajui kama ni miriam huyo..

"nini"

Aliuliza miriam huku akiandika sms nyingine

"aahhh kuna lijitu linanisumbua kila saa tu"

"ati nini… Lijitu, lijitu ndio linini"

Miriam alishtuka kuskia neno lijitu, mana inamlenga yeye,…

"kuna mtu ananitumia sms na wakati nipo kazini"

"sasa si umjibu tu"

"aaahh achana nalo"

Miriam roho inamuuma mana ni yeye ndio katuma hio sms,..

Mara sms nyingine ikaingia tena,..

"ok sasa we nenda nitakuita baadae"

Aliongea miriam kisha chidi akaondoka zake kwenda jikoni kufanya mapishi ya chipsi,..

Haikupita muda mara sms nyingine imeingi… Chidi alikuwa akikasirika mno mana itamfanya afukuzwe kazi bureee, chidi hakuhangaika nazo kabisa, tena alizima na simu kabisaaaaa

Tukija huku kwa akina mama saida na saida mwenyewe, mama saida kamuita mtoto wake huyo saida ili amweleze kazi anayotaka kumpa… Saida mwenyewe alishangaa kuona mama yake leo kamuita faragha kabisa yani tena chumbani wakiwa wenyewe,…

"mama kuna nini mbona tupo wenyewe huku"

Aliongea saida huku aking'ata kucha mtoto wa kike alio mzuri tena mixer mixer hivi, Mwarabu sio Mwarabu Mwafrika sio Mwafrika, yaani yupo kote kote….

"mwanangu…. Kwanza nafurahi sana kupata mtoto mrembo kama wewe"

Aliongea mama saida huku akimshika mtoto wake, kana kwamba kuna kitu kizito anataka kusema au kufanya,…

"mama najua mimi ni mrembo, lakini luna nini mana bado sijaelewa"

"ni kweli mwanangu,… Ila tatizo ni mdogo wako"

Mama alikuwa anaogopa hata kumwambia saida, mana hii ishu ya ridhiwani anaijua baba na mama tu,..

"nani huyo, ridhi au"

"ndio"

"ana nini… Mbona kaenda kazini asubuhi na hajasema kama anaumwa"

"mwanangu.. Mdogo wako ana shida kubwa, lakini shida hio inawezekana kutatulika ila ukiwemo wewe"

"mama mbona sikuelewi mama angu"

Mama alikuwa anaogopa kisema, ila hana budi kumwambia ukweli juu ya mdogo wake huyo..

"ukweli ni kwamba, mdogo wako ridhiwani, sio mwanaume aliokamilika"

"ati nini… Una maana gani mama"

"mdogo wako hana nguvu za kiume toka alipozaliwa"

"Whaaaaaat….. Mamaaaaa unanidanganya"

"nakuambia ukweli…. Ila nilienda kwa wataalamu wakaniambia kuwa inawezekana… Lakini sasa wewe ndio utakaeiweza"

Huezi amini saida alianza kulia machozi baada ya kuujua ukweli wa mdogo wake ulivyo, mana anaishi nae lakini hajui kama kweli mdogo wake ana hali hio,..

"mama kwani wataka nifanyeje sasa"

Aliingea saida huku akilia kabisa kwa uchungu

"ili ridhiwani apone… Kunahitajika mbegu za kiume, kwa mwanaume rijali"

"mamaaaa… Sasa si twende hospitalini"

"hapana mwanangu… Sio hizo za huko. Bali kuna kijana ambae ni rijali haswa na ndio huyo tunazitaka mbegu zake"

"mama… Ni nani huyo, mi mipo tayari kutafuta majambazi tukamkamate"

"saidaaaaaa…. Sio kila kitu ni mabavu tu, mengine tutumie akili tu"

Aliongea mama na kumwacha saida njia ya panda

"tufanyeje sasa"

"unatakiwa kutembea nae,…. Ili tupate hizo mbegu zake"

"Whaaaaaat…. Yaani mimi nimsaliti mpenzi wangu nitembee na mjinga mjinga tuuu kisa ni hizo mbegu, hapana mama siwezi"

"sawa mwanangu… Mimi sikulazimishi… Lakini fikiria mara mbili mbili kuwa… Huyo mpenzi wako na ndugu yako, nani mwenye thamani… Na kaa ukijua kuwa ukiwa na kaka, basi utarajie kupata wifi.. Je kwa hali ya mdogo wako utapata wifi wewe???…..saida mwanangu, wewe utaolewa hata kama asiwe huyo mchumba wako, Lakini je mdogo wako?? Aolewe na yeye si ndio??"

Mama saida yeye pia alikuwa hajui kama mtoto wake yupo na hali hio ya ukosefu wa nguvu za kiume, kwani siku alioojifungua aliona ni kawaida tu baada ya kukosea alichokosea,.. Na ridhiwani nae pia kipindi ana miaka kama 15 hivi, aliona labda kila mtu na hisia zake, kana kwamba kusimamisha kutategemea na balehe, hivyo ndio maana akachelewa kuongea mpaka sasa ana umri wa miaka 22, umri sawa na kijana chidi,.. Sasa baada ya kuona mbona hasimamishi ikabidi aongee na baba yake kuhusiana na ishu hio,… Alipoongea na baba yake waliondoka wote mpaka hospitalini, wakafanyiwa vipimo vyote na madaktari wakagundua tatizo lilikuwa wapi mpaka mtoto huyo kushindwa kusimamisha,… Ndipo baba akaja kwa mama na kumueleza kila kitu kuhusiana na mtoto wake huyo,… Ndipo mama kuanzia siku hio akaanza kumhangaikia mtoto wake ili aweze kuwa na nguvu za kiume kama vijana wengine,…

Ikafikia mpaka kuzivizia mbegu za kijana chidi ili mtoto wao ridhiwani apate kuwa wakiume kamili,… Na kupata mbegu za kiume sio lazima awe chidi tu, bali ni kwa mwanaume yeyote yule anafaa, ila sema mama saida tayari keshasikia sifa za chidi hivyo ndio maana akamkazania huyo huyo ndio anataka mbegu zake, lakini sio lazima awe yeye….

Mama saida alimpa kazi mama sarah ambae ni rafiki yake wa muda mrefu, lakini mama sarah alionekana hajui kumshawishi mtu kwa kutumia maneno, mpaka atoe pesa nyingi ndipo afanikiwe,.. Sasa mama sarah kaamua kumtumia mtoto wake saida ambae ana uzuri wa aina yake yaani saida kila kona ni mzuri, na kana kwamba hata akimwambia mwanaume avae kondomu atakubali bila kipingamizi, mana uzuri wake tu unajitosheleza kumzibiti mwanaume…

Lakini mama saida alijikuta anagonga mwamba baada ya saida kukataa katu katu kufanya mapenzi na mtu asiomjua na hata kama angalimjua pia isingelikuwa rahisi kufanya nae mapenzi..

"Whaaaaaat…. Yaani mimi nimsaliti mpenzi wangu nitembee na mjinga mjinga tuuu kisa ni hizo mbegu, hapana mama siwezi"

"sawa mwanangu… Mimi sikulazimishi… Lakini fikiria mara mbili mbili kuwa… Huyo mpenzi wako na ndugu yako, nani mwenye thamani… Na kaa ukijua kuwa ukiwa na kaka, basi utarajie kupata wifi.. Je kwa hali ya mdogo wako utapata wifi wewe???…..saida mwanangu, wewe utaolewa hata kama asiwe huyo mchumba wako, Na je mdogo wako?? Aolewe na yeye si ndio??"

Aliongea mama saida kisha akaondoka zake, Saida alibaki hapo chumbani kwa mama yake huku akiwa analia machozi kwa jinsi anavyompenda mdogo wake afu leo unaambiwa kumbe ni kidume hewa…

Tukija huku hotelini kwa akina miriam, chidi akiwa yupo jikoni anafanya mapishi,

"oyaa omari mbona simu yako haipatikani"

Huyo alikuwa ni rafiki yake saidi ndio aliomuuliza kuwa mbona simu yake haipatikani,..

"aahhhh kuna lidemu linanisumbua kinoma yani"

"aahhh sasa demu si umpokelee tu"

"sijiskiii"

"utakuta keshakupenda huyooo"

"anipe wakati hanijui,… "

"duuuuu kumbe hamjuani"

"ndio wala silijui… Ila aliniambia anaitwa miriam"

Mara kuna jamaa kaingilia kati baada ya kusikia kuwa mtu anaemsumbua chidi anaitwa Miriam…. Sasa kumbe wakati huo miriam yupo mlangoni hapo alikuwa akisikiliza maongezi ya watu hao

"heeeee au atakuwa anapendwa na boss nini… Jamaa ana zali huyu"

Ni huyo jamaa ndio aliongea hivyo huku akimuangalia chidi

"weeeeeeeeeeee akipendwa na boss Miriam mi nakunya pale mezani,.. Yaani naenda kufukuza wateja napanda juu ya meza nadondosha kitu pale"

Aliongea rafiki yake chidi ambae ni saidi huku akiwa katoa macho kweli,..

Basi wapishi wote wakacheka kwa maneno ya saidi kusema kuwa, kama kweli chidi atapendwa na boss miriam basi saidi atapanda juu ya meza na kuangusha kinyesi juu ya meza za chakula….

Wakati huo miriam nae alikuwa akicheka huku alipokuwa akiwasikiliza,.. Mana ni kweli ni miriam boss lakini chidi hajui kama ni huyo boss,..

Sasa mara ghafla miriam akaingia hapo,

"eeehhh ata boss hatajwi.. Huyo anakuja jamani tulieni"

Aliongea saidi huku wapishi wote kimyaaa

"we omari mbona simu yako haipatika, mi nataka nikutume sokoni hupatikani"

Aliingea miriam kana kwamba kama vile alikuwa anagomba hivi

"samahani boss,.. Lakini mbona watu spesho wa kuenda sokoni wapo"

"sawa, lakini ukumbuke wewe ndio mpishi mkuu wa chipsi, sasa ukiwa hupatikani we ulifikiri itakuwaje"

"ok sawa,… Nitume basi niende"

"tayari nishamtuma mtu, ila usirudie kuzima simu tena sawa"

"sawa boss"

Miriam aliondoka kama vile mtu mwenye hasira nyingi, lakini alipofika mbele alitabasamu… Huku akisema

"lakini mbona kama nazidi kumtia uoga"

Aliingea hivyo miriam huku akielekea zake kwenye ofisi yake….

"duuuuuuuuuuuu mi ndio mana spendi cheo chochote kile, yaani nachukia sana kufatiliwa"

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
50 Muuza Chips Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni