Notifications
  • MWALIMU MKUU (9)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA TISAILIPOISHIA...Upande wa rameki alifika bwenini, alimlaum Irene kwa kumuamsha moli wake bila kumpa msada aliingi bafuni alijimwagia maji kisha akatoka, alivaa nguo zake kisha akachukua kitabu na kuwelekea darasani kujisomea.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Mwalimu mkuu aliruhusiwa kisha akafika nyumbani kwake alijiraum kumfukuza rameki“”Mmh hii mimba naisi itakuwa ya rameki maana yule mtoto…
  • MWALIMU MKUU (8)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA NANEILIPOISHIA...Kwa upande wa rameki alikwenda shuleni kuangalia matokeo yake alifaulu yule ya ruhowiko jwtz sekondari iko songea mjini INA mchanganyiko wa wafulana na sichana.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Hatimae rameki alimuaga bi sani kwamba anaelekea shuleni bi sani aliuzunika sana kukaa mbari na rameki aliahidi atakuja kumtembelea ili amtibu kiu yake.Hatimae rameki aliondoka kuaza…
  • MWALIMU MKUU (7)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA SABAILIPOISHIA...“” sawa mpenzai,”alijibu rameki kwa kishingo upande“”Oooh jina nzuri asante sana”alijibu mwalimu uku akimkumbatia rameki kisha akamwagia mvua ya mabusu uku tens akipapasa kifua cha rameki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Rameki alihisi raha ya ajabu alimvakamiamwalimu wake kisha akamvakamia maziwa yake kwa pupa kama ana wait basi LA mkoani UBONGO.“” rameki ashhhiiiii chomeka…
  • MWALIMU MKUU (6)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA SITAILIPOISHIA...Hatimae rameki alipata nafuu alizinduka Mama ake alifurahi kumuona mwanae akiwa amepata fahamu“””Eeeee mungu kweli umesikia kilio changu asante sana(uku alifurahi)pole mwanangu””IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“”Asante mama”alijibu ramekiMama rameki na mama loly walirudi nyumbani kumchukulia rameki chakula kwani tangu asubui akupata mlo.*********Upande wa bi sani alifurahi…
  • MWALIMU MKUU (5)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA TANOILIPOISHIA...Mama roly alivyosikia rameki anataka kumwaga alimtema yule nyoka na kumficha pangoni mwake, rameki alimpambu mama roli kwa kasi ya ajabu kama ndege ya vita ikimbiavyo angani“Ramekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! tombaaaa”rameki na mama roli walipiga madafu kama manne “heeee rameki siamini???!!”IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“kwannn??”rameki aliuliza“DUDU LOTE HILI…
  • MWALIMU MKUU (4)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA NNEILIPOISHIA...Mwalimu mkuu alistuka kuguswa na kitu kwenye makalio yake alijua rameki atakuwa kaweka mzigo nyuma yake rameki alivyoona ajakaa vizuri alisogea ili akae vizuri mwalimu mkuu alistuka kitu kama tango kikimgusa tena alipitisha mkono ili aone nn alistuka “MUNGU WANGUU”IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Rameki alistuka mwalimu mkuu alivyoshika tango lake akapaza sauti“AAAAAA MWALIMU…
  • MWALIMU MKUU (3)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA TATUILIPOISHIA...chausiku alishangaa kuziona zile sale “JAMANI NANI KAKUPA MWANANGUU??!!”aliuliza chausiku kwa mshangao“Kaka juma”alijibu ramekiIKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“Oooh juma jamani mungu akubariki ooooh asante mungu”alitamka mama rameck uku akinua mikono juuRameck alizijalibu zile nguo hakika alipendeza sana adi mama ake alimfagilia kwa vigeregere “jamani juma mungu akuwekee…
  • MWALIMU MKUU (2)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA MBILIILIPOISHIA...“MUNGU WANGU YULE SI MZEE ALINANI???!!!”aliuliza chausiku kwa mshangao chausiku alimuangaria mzee alinani ambae amepoteza furaha yake ya kusomaMzee alinani alikuwa anakuja kuangaria bishala zake pale sokoni kwa kina chausiku.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Mzee alinani alistuka kumuona chausiku alikwepesha macho yake kwa aibu alitoka kwenye soko lile, chausiku alimpitia…
  • MWALIMU MKUU (1)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA KWANZA“MAMA USIFE MAMA NITAISHI VP NA HII MIMBA MAMA”ilikuwa ni sauti ya mdada aitwae chausiku akimwambia mama ake asifee bado anamtegemea mama ake na mimba yakee“CHAUSIKU MWANANGU NAJUA MIMI NDIYO TEGEMEZI LAKOO NILIPAMBANA NA KILIMO ILI USOMEE LAKINI UMECHEZEA SHIRINGI CHOONI MWANANGU UMESHIKA MIMBA BADO MWAKA MMOJA TUU UMALIZE LAKINI NDO IVYO MWANANGU MIMBA NDO ISHAINGIA SINA BUDI KUKUFUKUZA INGALI UKO MOYONI MWANGU NAKUPENDA MWANANGU CHAUSIKUU ILA…
  • THE NIGHTMARE (9)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TISAILIPOISHIA...“mmenifananisha, mimi ndio kwanza naigia ofisini mida hii.” Aliongea yule afande na kuigia kituoni.“sasa aliyekuwa anatuhoji ni nani kama sio huyo?”Alijikuta anajiuliza mwenyewe swali lililompa utata mkubwa kichwani mwake.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Wakati wakiwa hawajui hili wala lile, walishangaa kuona maaskari wakijazana pale na ambulance ikafika…

MUUZA CHIPS (69)

Sehemu ya Sitini na Tisa, afu dada mtu, afu simu ikakata, aliipokea simu ya, alikuwa kama chizi, alikuwa ni shemeji, anakuja huku huku, huku kwa
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA SITINI NA TISA
ILIPOISHIA...
Sarah alikuwa akimshauri Miriam jinsi ya kumpata chidi, ila laiti angelijua kuwa chidi huyo huyo ndio hhuyo chidi wake, sijui ingelikuaje, na siku wakijuana kuwa wapo na mwanaume mmoja, sielewi kama urafiki utaendelea au vipi apo..

"kwaio unanishauri vipi sasa"

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"nenda na nguo za kulalia ambazo zinaonyesha kwa ndani"

"mmmmhhhhhh je akikataa afu kaniona"

"weeeeeee chezea mwanaume rijali wewe?… Nani kasema mwanaume akiona mwili wa mwanamke ataacha"

"kwahio ni lazima atakubali"

"we nenda kajaribu…. Afu ngoja nimpigie chidi wangu kuna kitu nimuulize"

Aliongea sarah huku akitafuta namba ya chidi na kumpigia, afu wakati huo huo na miriam nae anaandika sms amtumie omari wake ambae ni huyo huyo chidi sema majina tu ndio tofauti lakini mtu ni mmoja,…

"haloo baby mambo"

Alikuwa ni sarah akimsalimia chidi, na chidi wakati huo kalala kitandani baada ya kupewa denda na shemeji yake, mana shem aliomba denda tu, na kapewa kile akitakacho kisha akaondoka zake,…

"poa niambie mamy"

"safi… Nimekumisi baby"

"mi pia"

Sasa ghafla simu ya chidi ikaingia sms wakati bado anaongea na sarah,

"afu baby kuna kitu nikuulize baby"

"kitu gani hicho"

"ivi ile nguo nilioiona kule bafuni kwako bado ipo"

"aaahhh ipo mpaka leo, afu yule mama nashangaa haji kuichukiwa sasa sijajui ni ubize wa kazi au vipi"

"aaahhh ok poa baby ni hilo tu"

"aahhh poa basi kesho"

"ok… Ni kiss basi jamani"

"mwaaaaahhh"

"nawe pia"

Simu ilika huku miriam akiona wivu kwa sarah aliokuwa akiongea na mpenzi wake tena kimapenzi

"mmmhhh mwenzangu unainjoi eee"

"mapenzi ni kujinafasi bibie"

"nakwambia huyo omari nimemtumia sms mpaka sasa hivi hata hajibu"

Sasa tukija huku kwa chidi, ambapo ndio alikuwa anafungua hio sms,

"mambo best, umelala"

Chidi aliona amjibu tu mana sio vizuri kumjibu vibaya kila mara

"wala sijalala"

"waoooo nikajua upo na mpenzi wako"

"aahhhh wala na hata sina mpenzi"

"mmmhhh we muongo we mtoto wa kiume"

"kweli vile sina"

Miriam leo alikuwa na furaha kubwa sana mana ndio kwa mara ya kwanza leo anachati na chidi vizuri

"samahani… Nachati na wewe lakini sikujui vizuri"

Aliongea miriam huku akijifanya hamjui

"oke, naitwa rashidi"

Sasa chidi kule kazini anajulikana kwa jina la omari afu hapa kajitambulisha kwa jina rashidi… Sasa miriam akashtuka mnona ananiambia ni rashidi

"we sarah… Mi namjua anaitwa Omari mbona ananiambia anaitwa rashidi tena"

"kwani unajua jina la baba yake"

"ndio"

"anaitwaje"

"anaitwa Omari Rashidi"

"sasa huoni hapo katumia jina la baba yake tu"

"oooohhhhh sawaaaa"

Sasa huku kwa chidi akaona mbona kimya hivyo na chidi nae tayari keshanogewa kuchati na miriam boss wake ila hajui kama ni miriam huyo….

"mbona kimya we mdada"

"ok.. Sa sjui na mimi nijitambulishe"

Aliandika miriam kwenye Meseji kisha chidi nae akamjibu

"sio mbaya kama itakuwa hivyo"

"Ok nadhani nilishawahi kukuambia kuwa naitwa miriam ila sio mbaya kama nitarudia tena…. Mimi naitwa miriam ni mtoto pekeee kwenye familia ya kitajiri"

Heeee chidi kusoma kuwa na huyo miriam nae pia ni tajiri,.. Alishtuka na kumfanya aamke kitandani

"miriam mtoto wa kitajiri…. Ivi sio miriam boss kweli??"

Chidi alijiongelea mwenyewe kwa sauti, lakini pale pale akiwa anamtafakari huyo miriam,… Ghafla mlango wa chumbani kwake unasukumwa na kuingia mtu..

"samahani chidi… Nimekukumbuka vizuri na nimekuja kukuomba msamaha, na najua umeacha kula kwasababu yangu"

Alikuwa ni sabra au saumu kama alivyojitambulisha awali kule kwenye basi,

Sabra alisogea mpaka pale karibu na kitanda kisha akapiga magoti kabisa,… Na kisabra ni kisabra kweli yaani ndugu wa damu utawajua tu, hawakosi kuendana hata kwa maumbo yao..

"nisamehe chidi… Na nakumbuka nilishakuomba msamaha kule kule kwenye gari, lakini nahisi labda haitoshi"

Sasa chidi akiwa bado anafikiria kuhusu miriam mtoto wa kitajiri, afu bado kuna huyo sabra anaemuomba msamaha hapo mbele yake,… Afu ghafla simu yake inaita. Kucheki jina alikuwa ni shemeji yake.. Aliipokea simu ya jasmini

"haloo"

"eeeee chidi… Nakuja chumbani kwako, mdogo wangu atakua keshalala,.. So nataka uje unipe hata kidogo tu, mana lile denda linanisumbua mwenzio… Fungua mlango nakuja"

Heeeee afu simu ikakata hapo hapo,… Chidi alikuwa kama chizi hapo ndani mana kama atamkuta mdogo wake sijui itakuaje, na mdogo mtu hakuja kwa nia mbaya… Afu dada mtu nae ndio anakuja huku huku kwa kudhani kuwa mdogo wake sabra atakuwa keshalala, lakini sivyo mdogo mtu ndio kwanza yupo chumbani kwa chidi….

Sabra alimnyanyasa sana kijana chidi siku ile wakiwa katika basi la kuja mjini,.. Uwepo wa pesa zao ndio uliompa dharau mschana huyo na kumdharau kijana wa watu,… Chidi alikubali kudhalilika siku ile lakini hakumjibu kitu mschana huyo, wakina mama pia walimdharau sana mschana huyo kwa kumfananisha binaadam na mnyama, mana alimwambia hajaoga ananuka kama mbuzi, hivyo hawezi kukaa nae siti moja, lakini chidi ni mtu wa kusamehe sana hivyo baada ya dada huyo kuhisi kitu alichokifanya sio kizuri, alianza kumuomba msamaha kule kule kwenye gari, na chidi kiroho safi alimsamehe mwanadada huyo,… Urafiki uloanza huko huko kwenye gari hivyo kwa ushamba wa chidi aliokuwa nao akaona ni zali la mtende kupata mtoto mzuri kama Saumu au sabra…

Lakini sasa leo walipokutana katika nyumba moja, chidi aliyarudisha machungu ya kuambiwa yeye ananuka kama mbuzi, yaani alipokumbuka hilo, wala hakuwa na hamu na mschana huyo tena, chidi ikambidi aache chakula pale mezani na kukimbilia chumbani kwake,.. Lakini baada ya dakika chache mbele sabra alimfuata kijana chidi kule kule chumbani kwake ili kumuomba msamaha mana wamekumbukana vizuri,

Lakini sasa kama unakumbuka dada mtu kuna muda aliomba denda kwa shemeji yake na hakunyimwa, sasa denda hilo lilikuwa likimsumbua mpaka kufikia hatua ya kumpigia chidi simu na wakati yupo na sabra kule ndani japo sio kwa ubaya…

Ghafla simu yake inaita. Kucheki jina alikuwa ni shemeji yake.. Aliipokea simu ya jasmini

"haloo"

"eeeee chidi… Nakuja chumbani kwako, mdogo wangu atakua keshalala,.. So nataka uje unipe hata kidogo tu, mana lile denda linanisumbua mwenzio… Fungua mlango nakuja"

Heeeee afu simu ikakata hapo hapo,… Chidi alikuwa kama chizi hapo ndani mana kama atamkuta mdogo wake sijui itakuaje, na mdogo mtu hakuja kwa nia mbaya… Afu dada mtu nae ndio anakuja huku huku kwa kudhani kuwa mdogo wake sabra atakuwa keshalala, lakini sivyo mdogo mtu ndio kwanza yupo chumbani kwa chidi….

Na wakati huo dada mtu ndio anakuja hapo chumbani

Sasa tukija huku kwa akina miriam na rafiki yake sarah

"mbona hajibu jamani"

Aliongea miriam baada ya kimya kirefu kutawala,..

"kwani umemwambiaje wewe"

"aliniuliza unaitwa nani… Nikamwambia, Mimi naitwa miriam ni mtoto pekee kwenye familia ya kitajiri"

"mmhhhh mbona hio sio mbaya… Au atakuwa anafikiria ni miriam wewe au vipi"

"itakuwa"

Walikuwa wakishauriana sarah na rafiki yake miriam,.. Na hata hivyo ukumbuke kuwa wawili hawa bado hawajui kama mwanaume wanaemtumia ni mmoja sema hawajui kama ni huyo mmoja…

"sasa we muache usiendelee nae tena we nyamaza mpaka kesho kwenye mitego yako"

"ok poa"

Sarah na miriam walilala baada ya kumaliza maongezi yao…

Tukija huku kwa mama saidi ikiwa bado ni mapema sana, inakwenda saa tatu kasoro hivi usiku, hivyo kwa mjini bado ni mapema sana,…

Leo tunamuona saida akimuita mama yake chumbani, hatujajua wana maongezi gani

Mama alijua saida kakubali nini, ila wacha akajue hali halisi ya wito kwa mtoto wake huyo

"unasemaje mwanangu"

Aliongea mama baada ya kufika chumbani kwa mtoto wake saida

"mama, mimi nilitaka kujua tu… Ivi Ni kweli ridhiwani hasimamishi hata kidogo"

Saida alimuuliza mama yake ambae ndie aliompa taarifa hizo za ridhiwani kukosa nguvu za kiume,..

"mwanangu saida, yaani kama sio undugu ningelikwambia nenda kamtongoze,.. Hakiyamungu vile hakugusi hata kidogo, lakini hisia anazo lakini haisimami"

"eeehhh mungu wangu, mamaaaaaaa"

"hio ndio hali ya mdogo wako.. Ila kwakuwa nawe unapenda awe kama wewe sawa"

"jamani mama usiseme hivyo…. Sawa basi mimi nimekubali kufanya na huyo mtu wenu"

Saida leo kwa mara ya kwanza anakubali kufanya mapenzi na mwanaume ambae hata hamjui, ilimradi tu afanikiwe kupata mbegu zake za kiume

"mwanangu saida unasema kweli"

"mama mi nipo tayari, nionyesheni huyo mtu"

"asante sana mama angu,.. Asante"

Aliongea mama yake huku akimpigia mama sarah simu.. Sasa sijui alitaka nini

"haloo mama sarah habari yako"

"safi tu mama saida habari yako"

"nzuri tu, sasa.. Saida wangu kakubali, kwahio nilitaka unipe namba ya huyo kijana ili watafutane wenyewe"

"sawa, ngoja nikutumie basi"

"sawa, afu na zile kondom vipi"

"zile kondomu zimeisha… Ila mganga alisema hata zile za kawaida zinafaa, ila zikipitisha masaa zaidi ya saba tu hizo mbegu hazifai"

"mbona zile alisema hata zaidi ya masaa saba"

"ndio… Kwasababu zile zakwake, kuna dawa kaziwekea ambazo zinailinda hio mbegu isiyeyuke kuwa maji… Lakini hii kondomu ya kawida ikipitisha zaidi ya masaa saba itakuwa haifai hio mbegu mana haina dawa.. Hivyo atumie tu hizo za kawaida"

"ok sawa, ebu nitumie hizo namba"

Simu baina ya mama sarah na mama saida ilikatwa, wakati huo mama sarah alikuwa keshalala zake muda mrefu tu, na mtoto wake yupo kule kwa akina miriam…

Mama sarah aliituma ile namba katika simu ya mama saida, na mama saida akampa saida namba ya kijana chidi,.. Saida moja kwa moja akakimbilia kumuangalia WhatsApp ili aone yupoje huyo mwanaume mwenyewe,… Lakini alipoangalia chidi alikuta kaweka picha ya kuinama, hivyo sura haijaonekana sura,lakini kwa yale mavazi tu, saida alijiridhisha kuwa nae kwa ajili ya mdogo wake,

"mama… Nipo tayari kumseidia mdogo wangu,.. Ila itanichukuwa muda kidogo"

"kwanini tena saida mwanangu"

"nipe wiki moja au mbili… Mana kujifanya kukosea namba sio kitu cha mchezo mama lazima umsuke haswa"

"ni kweli, lakini wiki mbili nyingi mwanangu"

"Enheeeeeeee… Ivi ulisema ni MUUZA CHIPSI"

"ndio ila kwa sasa yupo kwenye hoteli flani hivi ya patna wake na mama sarah"

"oohooo basi nishapata wazo"

"wazo gani tena"

"nataka nimwambie nina hoteli, hivyo nahitaji kijana"

"enheee hapo sawa sasa utakuwa umemueza"

Tukija huku kwa mke wa Ibrahim akiwa ndio anafunga kanga vizuri kuingia ndani, wakati huo chidi alikuwa akihaha pakumtoa sabra

"we chidi una nini"

Aliuliza sabra, mana chidi alikuwa akizunguka hapo chumbani

"we sikia,… Kaa pale kwenye kabati"

Aliongea chidi kuwa sabra aingie kwenye kabati na ajifiche

"we chidi kwani kuna nini"

"naomba tu ujifiche pale,… Kama ni kukusamehe nimeshakusamehe we nenda"

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
50 Muuza Chips Simulizi Z50
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni