Notifications
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…

MUUZA CHIPS (70)

Sehemu ya Sabini, hii nyumba sio, afu mbaya zaidi, alikuwa bize sana, aliongea na mama, alishindwa kuelewa maneno, ana shida na, baada ya kukutana
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA SABINI
ILIPOISHIA...
Aliongea chidi kuwa sabra aingie kwenye kabati na ajifiche

"we chidi kwani kuna nini"

"naomba tu ujifiche pale,… Kama ni kukusamehe nimeshakusamehe we nenda"

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Sasa chidi akawa anamlazimisha sabra akajifiche kwenye kabati la nguo, kama unavyojua makabati ya kitajiri hua ni vijumba vilivyojengwa kama kabati vile vile, ila ni kabati la papo hapo halitoki.. Sasa chidi akawa anamlazimisha kuingia kwenye kabati… Sasa ile kushikana shikana, kumbe sabra alikuwa kavaa kanga moja na chupi peke yake,… Kanga ilidondoka na kubakiwa na chupi tu,.. Chidi hakujali hilo,… Chidi aliokota ile kanga lakini kwa haraka haraka ile kanga hakumfungia nayo ndani bali aliingiza kwenye kabati lingine ila chidi yeye alijua kamuingiza na kanga yake humo ndani..

Sasa ile anamaliza tu, jasmini huyo yaani hata hodi hana, alipofika tu alimrukia kijana chidi mpaka kitandani, sasa chidi yeye akawa anakataa kwasababu anajua kuna mtu hapo chumbani afu mbaya zaidi ni kwamba mtu mwenye ni mdogo wake,..

"chidi kimoja tu please boy wangu"

"No, No, naomba iwe kesho"

Aliongea kijana chidi huku akimkwepa, yaani siku hio jasmini alishikwa na hamu ya ajabu,

"kimooooooooja tu please, kaka yako atarudi kuniendeleza jamani"

"Noooo njoo kesho shem"

Lakini chidi alibanwa, mpaka akavuliwa nguo na shemwji yake, kama unavyojua mwanaume rijali kusimamisha hakawiii,..

Vitu viliendelea baada ya chidi kumkubalia

Nusu saa mbale chidi alikuwa keshamaliza round ya kwanza…

"shem nipe tena"

Alikuwa ni jasmini akitaka warudie tena, chidi akakataa kabisa kabisa yaani liwalo na liwe,.. Mke wa Ibrahim kuona chidi kakataa hakutaka kulazimisha sana, aliondoka zake, sasa ile anaondoka tu na sabra nae ndio anatoka kabatini, chidi anafikiria sabra atamwambia nini na ishu yote kaisikia mpaka alivyokuwa anafanya mapenzi na dada yake,.. Sabra bila aibu alitoka na chukiwa kanga yake kisha akaivaa mbele ya chidi yaani alikuwa hamuogopi chidi tena kama mwanzo…

"kwanza nashukuru kwa kunisamehe… Ila lazima nimwambie kaka yako umefanya mapenzi na mchumba wake"

Sabra aliongea hivyo kwa hasira huku akiondoka zake, chidi alimzuia sabra asiondoke

"usinishike mimi…. Yaani mwanaume mjinga kama wewe sijapata kuona… Kaka yako bado hajaoa hapo afu we unaingiza dudu lako, ivi una akili wewe"

"ati unasema kaka hajafanyeje"

"wewe ni fara… Na tena namtumia kaka yako sms sasa hivi"

"sabra, ivi unasema kweli kaka Ibrahim bado hajamuoa dada yako"

"Tena msipoangalia mtafukuzwa humu ndani… Mana mnajishaua sana na nyumba za watu"

"sabra???… Mbona sikuelewi na haya maneno yako wewe"

"utanielewa tu…"

Chidi alishindwa kuelewa maneno ya sabra yaliokuwa yakimpa kizungu zungu na wasiwasi katika moyo wake

"ina maana, hii nyumba sio ya kaka Ibrahim"

Maisha ni mzunguko na katika mzunguko kuna changamoto nyingi za kimaisha, kijana chidi alioitwa mjini na kaka yake ili kuja kuyahendo maisha Ibrahim alikuwa ni mkaanga chipsi tu na hakuwa na kazi yeyote ya maana zaidi ya kukaanga chipoo, hivyo alimuita mdogo wake chidi ili waje kuyahendo wote maisha na waweze kuiseidia familia yao iliopo kijijini,.. Lakini Ibrahim alipomwita mdogo wake, alianza kumnyanyapaa na mwishowe akamfukuza ndani… Kijana chidi anateseka ndani ya miezi 7 huku maisha yakimchapa haswa tena bila huruma,.. Baada ya miezi hio saba kupita chidi akiwa na hali yake ile ile ya kusukuma mkokoteni, lakini baada ya kukutana na mama sarah maisha ya chidi yalibadirika na kuwa mazuri, na wakati huo ndani ya miezi 7 hio kaka yake ambaye ni Ibrahim tayari keshakuwa tajiri wa kutupwa, anashinda baa na wanawake wa kila sampuli,.. Ibrahim alikuwa tajiri ghafla tu huku chidi maisha akiyaanza baada ya kukutana na mama sarah….

Toka miezi hio kila mmoja tunajua utajiri alionao Ibrahim ni wakwake lakini sivyo, slei hii kijana chidi anashangaa kwa kusikia kuwa kumbe hii nyumba sio yakwake,

"Tena msipoangalia mtafukuzwa humu ndani… Mana mnajishaua sana na nyumba za watu"

"sabra???… Mbona sikuelewi na haya maneno yako wewe"

"utanielewa tu…"

Chidi alishindwa kuelewa maneno ya sabra yaliokuwa yakimpa kizungu zungu na wasiwasi katika moyo wake

"ina maana, hii nyumba sio ya kaka Ibrahim"

Aliuliza kijana chidi huku akitoa macho kweli kweli, kana kwamba kama ni kweli basi haina haja ya kukaa katika nyumba hio mana chidi anaishi hapo akijua kuwa mjengo ni wa kaka yake, kumbe hata sivyo, sasa chidi anataka kujua nyumba ni ya serikali au ni yakwake?…

"sikiliza nikuambie.. Hizi mali ni za kwetu, kaka yako kapendwa tu"

Chidi kuskia hivyo alichoka,.. Mpaka basi

"kwaio hata huyu dada yako hajaolewa"

"kaolewa saa ngapi.. Watu bado ni wachumba afu unakuja kula mchumba wa kaka yako… We bogazi kweli wewe"

Sabra alitoka hapo chumbani na kuelekea chumbani kwake, wakati huo ni mida ya usiku mida ya saa nne hivi..

"mungu wangu weeee chidi sijui atanichukia miee"

Aliongea sabra huku akijiandaa kulala

"na dada akijua kama nimesema ukweli, nitagombana nae, mana hii ni siri iliotunzwa kwa muda mrefu"

Alikuwa bado akijiongelea katika moyo wake,

"au nikamuombe msamaha tena nini…. Mana nilijikaza haswa kumtolea manrno yale"

Sabra alitamani kwenda kumuomba tena chidi msamaha lakini alisita na kurudi zake kitandani,..

Baada ya siku hio kupita, chidi akiwa yupo kazini mida ya asubuhi kama saa tano hivi,… Lakini chidi alikuwa na mawazo mengi sana juu ya kaka yake

"ivi huyu broo ana akili kweli huyu… Yaani anschezea pesa baa, kumbe hata sio zake… Aisee jamaa ni msenge huyuuu"

Alijiongelea mwenyewe kimoyomoyo huku akiwa kakaa mahari baada ya chipsi kuipuliwa, kana kwamba wote walikuwa bize kwa kuchati mana walishapika chipsi, na hazina kupacha zipo katika kabati maalumu linalopasha chipsi taaratibu hivyo ni kuchota na kuuza tu au kupika chipsi mayai.. Hivyo kila mtu alikuwa bize sana na simu kwakuwa hakukuwa na kazi… Lakini chidi yeye alikuwa bize sana kwa mawazo..

Ghafla chidi anaitwa na muhudumu wa kiume ambae yeye ni wa nje tu

"omari,…. boss mdogo anataka chipsi kule chumba namba sita"

Aliongea mhudumu huyo huku chidi akiamka kwa mawazo mengi na kuanza kutengeneza chipsi, mana anajua chipsi anayopenda boss mdogo..

Baada ya dakika chache chidi alichukuwa chipsi na kwenda chumba namba sita ili kuweza kumpatia chipsi, na chumba hicho chidi sio mara yake ya kwanza kuingia bali ni kama mara ya pili hivi,..

Chidi aliingia mpaka ndani lakini kama unavyojua aibu za chidi, hawezagi kukuangalia usoni moja kwa moja, lazima aangalie chini kisha akuangalie,… Gauni alilovaa Miriam likuwa ni kubwa mpaka chidi lakini lilikuwa ni jepesi mno, tena lilikuwa nikionyesha mpaka kile kinguo cha ndani,.. Mana gauni hilo la kulali lilikuwa ni jeupe sana, na kile cha nfani kilikuwa cheusi hivyo kulikuwa na mgongano wa rangi hapo,.. Chidi mpaka hapo hakuweza kuangalia kabisa baada ya kuona hivyo

"boss, chakula hiki hapa tayari"

"sasa hapo unapoweka unaona ni sahihi"

Aliongea Miriam, kwasababu chidi alikuwa akiweka sehemu sahihi ila ili amfanye anyanyue kichwa juu na aangalie mbele,… Chidi alizidi kuona mitego ya miriam inavyozidi kutegeka,.. Na miriam ni mschana alieumbika vilivyo licha ya kuwa na pesa bali ni mzuri mwenye sura asilia na umbo lake pia ni asilia,..

Chidi alipomaliza kuweka chakula hicho alitaka kuondoka lakini akazuiwa

"sasa unaenda wapi?… Nani aondoke na hizo sahani"

Aliongea miriam huku akiwa kamshika chidi mikono, kana kwamba leo kudhamiria kitu fulani kwa chidi,…

"ivi wewe hujawahi kuna hata na mwanamke"

Aliongea miriam huku chidi kaangalia pembeni, mana kupenda anapenda lakini ataanzaje na wakati huyo ni boss wake,..

"nilishawahi kuwa nae"

"alikuwa na pesa"

"ndio"

"sasa unaogopa nini… Yaani sijawahi kuingea na mwanaume nikiwa katika hali hii ya nguo za kulalia"

"samahani boss naomba niende kazini"

Miriam nae domo zege likamjia, ikabidi amuachie aende ila bado hajajua kama amempenda kimapenzi… Sasa ile chidi anatoka tu mlangoni aliskia sauti ikisema kuwa

"Mimi naitwa miriam ni mtoto pekee kwenye familia ya kitajiri"

Heeeeeeeee sasa chidi aliooskia hivyo, alikumbuka kuna meseji ilitumwagwa na yule mtu aliokosea namba, tena ni jana…

"ina maana ni miriam wewe"

Miriam hakujibu bali alisogea taaratibu bila hata kumuogapa chidi, wakati huo chidi alikuwa akisubiri ajibiwe kuwa ni yeye au sie… Miriam bila uoga alimuinamia chidi na kuanza kumnyonya ulimi, kitendo hicho chidi ni vigimu kukataa,.. Mana miriam kwa ni matajiri wa kutupwa, afu mbaya zaidi ni Mzuri hivyo chidi hawezi kukwepa kinywa cha miriam,… Chidi ananyonywa denda lakini haamini kama ni kweli huyu ni miriam anaemjua au anaota.. Chidi alijifinya ili kama ni ndoto azinduke, lakini wapi haikuwa ndoto wala nini..

"mbona kama huna raha omi"

Aliongea miriam baada ya kuona hata chidi hakujishuhurisha na denda hilo,.. Ila chidi alikuwa na mawzo juu ya kaka yake tu yaani hilo tu…

Sasa miriam akakumbuka muda mfupi kabla ya kuita chipsi, alinyata mpaka kwenye jiko la chipsi na kuskia sauti ya chidi ikisema

"mama, nitatuma pesa tu hali ni mbaya mama angu.. Uaijali mama nitatuma pesa"

Sasa kumbe yule alioongea hivyo hakuwa chidi, bali miriam yeye alijua ni chidi ndio aliongea na mama yake lakini hakuwa chidi, hivyo kwakuwa alikuwa akisikiliza tu na hajaona,… Kwahio moja kwa moja akajua chidi ndio ana shida na pesa, mana hajaona, bali alisikia tu maongezi

"ooohoooo basi nimeshajua…. Ila usiwe na mawazo kiasi hiki omi"

Aliinhea miriam baada ya kugundua kuwa chidi ana shida na pesa kwa ajili ya kutuma huko kwa wazazi wake, lakini ukweli ni kwamba aliongea na mama yake sio chidi.. Bali ni mpishi mwenzie ndio aliokuwa akiongea na familia yake,..

"skia, sema mi siruhusiwi kutoka hapa kazini, ila wacha nijifanye nimekutuma… We shika hii kadi ya benki, nenda katoe kiasi chochote kile utume nyumbani,.. Nafikiri mama mkwe atakuwa anaumwa.. Wahi sasa uitume,.. Katoe pesa yeyote"

Chidi alishangaa huku akiiangalia ile kadi ya benki, yaani mpaka hapo chidi haelewi kitu, yaani kuzubaa sio kuzubaa, yani yupo yupo tu..

"namba ya siri"

"1996"

Chidi alitoka hapo na kuingia jikoni, kisha akaiangalia ile kadi ni yenyewe kweli au..

"oya saidi… Eti hii ATM Kadi ni yenyewe kweli"

"hebu.. Kwani ni ya nani…. Haaaaaaaa mbona ni kadi ya boss mdogo hii"

"ndio"

"kakupeje kupeje sasa"

"mi ata sielewi jamaa angu nimejikuta tu ninayo mkononi"

Chidi alikuwa anaongea na jamaa zake huku kweli hawaamini kama kweli chidi kamiliki kadi ya mtoto wa boss kama huyo,… Chidi hakuchelewa, alitoka mbio na kwenda benki, kisha akachomeka ile kadi kisha akacheki balance iliopo kwenye akaunti hio…

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
51 Muuza Chips Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni