Mwandishi: MoonBoy
SEHEMU YA SABINI NA MBILI
ILIPOISHIA...
ILIPOISHIA...
"baby upo wapi lakini… Yaani wiki yote hii unasua sua kuja kazini sikuelewi Omari una shida gani"
"aahhh mi nimechoka na kazi bwana"
Chidi aliongea hivyo, mana ana kazi nyingine kutoka kwa saida
KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI
SASA ENDELEA...
"sawa, umechoka na kazi jee mimi"
"aaahh… Lakini Mamuu si tumekutana muda sio mrefu mamy"
"ni sawa babuu lakini si unajua mapenzi kumiasia hata kwa dakika moja tu"
"ok baada nitakuona basi"
"kwahio na kazi vipi"
"mshahara wenu mdogo"
"najua yule mwanamke wa juzi kakudanganya na kazi yake… But wacha niongee na mama ili tufanye mpango wa kukuongezea mshahara"
"sawa ongeeni"
Simu ilikata huku chidi akiendelea kumwangalia kaka yake jinsi anavyokunywa pombe kwa hasira,.. Chidi alimchukuwa kaka yake na kumpakia kwenye gari kisha akaondoka nae pale baa, wakati huo Ibrahim kalewa chakali yaani hajiwezi hata kidogo,..
"broo kwanini unashindwa kujielewa ndugu yangu,.. Upo katika nafasi nzuri, kwanini usijichumie na wewe zakwako"
Aliongea chidi huku akiwa anaendesha gari, ila Ibrahim alikuwa kalewa sana tena sana, hata macho yanaona kwa shida,.. Chidi alimfikisha kaka yake nyumbani lakini alikuwa hajiwezi kabisa
"chidi, kaka yako kafanyeje"
Jasmini alitoka mbio na kumpokea mume wake
"aahhh kapiga grasi mbili naona zimemchosha"
Chidi alimtetea kaka yake kwa njia hio lakini Ibrahim alikuwa chakali sana
Mara ghafla sabra katokea huku nae akimkimbilia shemeji yake,…
"we chidi shem kafanyaje"
"si kalewa au huoni"
"sa mi najuaje"
"ndo ujue sasa"
Chdi alikuwa kakasirika sana kwa nafasi aliokuwa nayo kaka yake inatosha kabisa na yeye kuwa tajiri, mana makampuni anayosimamia Ibrahim ni makampuni ya huyu mwanamke, yaani wazazi wa jasmini walipofariki walimuachia jasmini na sabra mali zote, hivyo mwanamke aliona hana kidume cha kuweza kuiendesha kampuni, ikabidi wakapendana na Ibrahim, lakini Ibrahim anashindwa kujielewa..
Sasa wakiwa hapo sebuleni mara chidi kapigiwa simu na saida
"haloo baby mambo"
Alikuwa ni saida, na tayari wameshakuwa wapenzi ila bado hawakutana kimapenzi,
"poa… Sasa saida hio kazi yako vipi, napata au spati, mana naona mapenzi mengiii lakini kazi sioni"
"usijali baby… Ila nakumbuka juzi nilikupa milioni 5 ili ikukidhi mahitaji yako, but leo nakuletea milioni 10 ila achana na hio kazi kabisa yaani acha kazi hapo ulipo"
Kumbe chidi kuacha kwake kazi tayari keshanogeshwa na vimilioni milioni anavyopewa.. Mana akina saida ni matajiri haswa yaani hata akina miriam hawaoni ndani,.. Na saida aliambiwa kuwa huyo kijana yupo bize sana hivyo kumpata kwako itakua ngumu na ili umpate mtoe pale kazini ndio utampata kirahisi.. Sasa ndio maana saida akaanza kumhonga chidi vimilioni vyake na chidi kweli akaanza kuisaliti kazi yake, sasa anaenda siku akitaka yeye mwenyewe,..
"ok sawa.. Sasa upo wapi sasa hivi"
"mi nipo nyumbani na nilikupigia ili leo nije nijue kwako"
Saida aliongea hivyo ili waende wakafanye mambo yao
"sawa tuuu sawa we njoo nina nafasi"
Chidi alipenda saida aje mana toka waanze mahusiano yao hawajawahi kulala kitanda kimoja hivyo chidi anatamani sana saida aje geto kwake..
Chidi hakukawia hata kidogo aliondoka hapo hata kuaga hajaaga
Tukija huku kwa akina sarah, tunamkuta ndio anajiandaa kwenda
"mama mi naenda sasa"
Alimwambia mama yake kuwa ndio anaondoka kwenda kwenye shughuli ya kumseidia kaka yake,..
"mwanangu kuwa makini asikugundue sawa"
"usijali mama"
"saida mwanangu, mimi huku najiandaa yaani ukifanikiwa tu, nipigie simu"
"sawa mama we kaa tayari tayari"
Saida alitoka na kuingia supermarket iliopo jirani yao, kisha akanunua kondomu pakiti moja yenye kondomu tatu ndani,.. Aliiweka kwenye kimkoba chake kisha akapanda gari yake kisha huyoo mpaka nyumbani kwa chidi… Maskini chidi yeye alishafika kitamboo akiwa anamsubiri saida aje…
"waooooo baby,… Kweli wewe kichwa chako chepesi yaani maelekezo tu umefika mpaka ndani"
"haaaaaaa mimi tena"
Saida alimsukuma chidi mpaka kitandani kisha saida akaanza kuzipambua nguo za chidi.. Chidi anajiskia raha za kidunia kwa siku hio kufanya mapenzi na mwanamke mzuri kama kakiarabu vile.. Chidi nae alianza kumvua saida nguo, lakini saida roho inamuuma sana kwa kitendo cha kuvuliwa nguo na mtu asie mpenzi wake,.. Mana chidi yeye hajui kama hayo mapenzi ni ya muda mfupi tu, ila saida yeye ndio anajua kuwa mapenzi hayo ni ya muda mfupi tu…
Chidi kama tunavyomjua utundu wake,.. Alimbinua saida na kumfanya awe chidi kisha akaanza kumvua nguo kwa matambo ya hali ya juu mno,… Mtoto saida alinyonywa kila mahari yaani hapo alipo hajielewi kabisa,… Chidi kuangalia maeneo ya chupi yalikuwa tayari yamejulisha kuwa yupo tayari kwa kumtaka zakari wa chidi… Chidi aliivua chupi ya saida, mtoto wa watu aliokuwa na kakitu kadogoo afu keupeee, yaani hata viunyoya vyake vimelala kama muarabu, kumbe ni Afrikasti,..
"please chidi naomba uvae kondomu"
Aliongea saida huku akiziba pale penyewe ili zakari isije ikaingia bila kondomu,..
"aaahhh saida… Yaani hivi ulivyo nivae kondom kweli"
Alilalamika kijana chidi huku akiwa kama anakata tamaa
"chidi mpenzi wangu, lakini ukumbuke mimi mwenzio bado mwanafunzi eti,.. Sasa ukinipa mimba itakuwaje jamani"
Chidi aliona alafu ni kweli,… Basi mtoto wa kiume kapasua kondomu kisha akaivaa,.. Angelijua hata asingelivaa. Basi chidi kauchomeka uzakaria wake na jinsi anavyouchomeka, siri ya raha hio wanaijua wenyewe wanaoutumia…
Maskini ya mungu chidi nafanya mapenzi ya kumkuna mtoto wa kike, lakini mtoto wa kike mwenyewe hana haja ya kukunwa,..
"chi… Chi… Chidi… Mbona hupizi jamani"
Saida utamu ulimkolea vizuri, yaani hapo saida anaendeshwa na utamu sio akili yake tena
"uuuuwiiii… Ah… Ah.. Ah… Ah… Ah… Aaaiii"
Saida alikuwa akiupata utamu,…. Sasa wakati huo zakaria ya chidi inataka kutoa wazungu…. Saida alijua hio spidi ya chidi anayoenda nayo, ndio vile vituuu vinawasili,
Sasa cha ajabu na cha kushangaza zaidi ni kwamba…..
Katika mzunguko wetu wa maisha hakuna kitu kibaya kama kujaribu mapenzi, mapenzi ni kitu cha ajabu sana katika dunia hii,… Unaweza ukajaribu lakini mwisho wa siku ukajikuta umependa kweli
Saida ni mtoto wa kitajiri haswa yaani ile mbaya,… Saida nafanya hivyo ili kuweza kumseidia mdogo wake ridhiwani ambae alizaliwa akiwa hana nguvu za kiume,.. Saida kakubali ili kupata mbegu za kiume ili mdogo wake apone,… Na mbegu hizo huezi kuzipata pasina kutembea na mwanaume ili ujue nguvu zake, usije ukauziwa mbuzi kwenye gunia,.. Na mbegu hizo bila kondomu huezi kuzipata, Saida alifanikisha yote hayo na sasa wapo kitandani na kijana chidi wakiwa wanakula raha zao…
"uuuuwiiii… Ah… Ah.. Ah… Ah… Ah… Aaaiii"
Saida alikuwa akiupata utamu,…. Sasa maskini chidi ndio zakaria ndio inataka kutoa wazungu…. Saida alijua hio spidi ya chidi anayoenda nayo, ndio vile vituuu vinawasili,
Sasa cha ajabu na cha kushangaza zaidi ni kwamba, Saida kwa mikono yake aliichomoa kondomu ile kana kwamba chidi hakustahili kufanyiwa vile, mapenzi ni kitu cha ajabu sana tena kwa wanawake kimezidi kuwa cha ajabu… Saida anaitoa kondomu na kuitupa, na chidi hakutaka kuuliza kwasababu ndio alikuwa kwenye wakati wa kutoa wazungu, hivyo ilivyotolewa ile kondomu, chidi aliendelea na kazi akiwa kavu kavu.. Chidi aliikamulia bila huruma,… Baada ya dakika chache mbele, kijana chidi akawa amemaliza mshindo wake wa kwanza
"we saida mbona umeitoa sasa"
Chidi alimuuliza saida kwanini aliitoa hio kondomu
"chidiiiiii…. Yaani huo utamu niliousikia, kiukweli sikutaka uwatupe hao watoto"
Saida hakuwa na jibu zuri la kumjibu chidi, mana yeye ndio anajua sababu ya kumvalisha kondom na sababu ya kumvua kondomu hio,.. Saida hakutaka maswali mengi yawepo, Alimtaka kijana chidi waendelee na kitendo hicho, sasa hapo saida yupo kimapenzi zaidi na sio kikazi tena…
Tukija huku kwa mama sarah katika hoteli yao
"mungu wangu sijui yule mtoto atafanikisha"
Mama sarah alijiuliza mbele ya mtoto wake, tena kwa sauti kubwa mpaka mtoto wake sarah akasikia
"atafanikisha nini, na ni nani huyo"
Mama anakuja kushtuka kumbe kaongea ujinga mbele ya mtoto wake,..
"aaahh unajua ile nyumba tunayojenga kule, sasa kuna fundi nimemwagiza mapambo ya pale sebuleni, sasa ndio najiuliza kama atakua kafanikisha au vipi"
Mama alibafilisha mada mara moja lakini hakumaanisha fundi wala nini, ila alimaanisha saida kafanikisha kupata hizo mbegu za kiume,..
Mama sarah alichukuwa simu yake na kumpigia chidi, lakini simu ilikuwa haipokelewi,.. Kajaribu tena na tena lakini wapi simu haipokelewi,
Sasa tukija huku Dar es Salaam kwa akina Jackson na salma,… Kama kawaida ndoa ilikuwa bado lakini ilikuwa inakaribia kufungwa,
"lakini Jackson… We ulisema ndoa ni wiki hii mbona kama siku zinazidi kwenda tu"
Aliuliza salma huku wakiwa chumbani kwao,..
"salma ebu kwanza tutafute pesa kisha ndoa itafuata"
"lakini Jackson…. Ina maana hizi pesa zenu hazitoshi mimi na wewe kufunga ndoa, kila siku unasema wiki ijayo wiki ijayo tu"
"we mwanamke mbona unanipigia kelele"
"Jackson, lakini ukumbuke umenitoa kwa mume wangu"
"najua"
"sasa kwanini huyaheshim maamuzi yangu"
"subiri jamani… Baba yangu kapata matatizo Akaunti yake imezuiliwa sasa pesa hatuna"
Baba yake Jackson hatujui alikuwa anafanya kazi gani lakini inasemekana akaunti yake ya benki imefungwa, mana ameonekana kuwa na pesa nyingi sana, hivyo serikali inataka kujua pesa hizo katoa wapi…
Tukija huku kwa akina chidi na mpenzi wake mpya saida,..
Walikuwa wametulia kitanfani baada ya kumaliza shughuli yao ya kuburudishana, lakini saida alikuwa hoi bin taabani, na wakati huo anamwangalia chidi kimapenzi kana kwamba hakutegemea kukutana na kidume kama hiki
"kumbe ndio mana wanataka nguvu zake"
Aliongea saida kimoyomoyo huku akijifariji na swali lake
"lakini, mama kajuaje kama huyu kijana ni rijali kiasi hiki"
Alijiuliza saida lakini hakuweza kupata jibu kwa haraka…
Ghafla simu ya kijana chidi inaita, kucheki jina alikuwa ni shemeji yake
"haloo shem"
"eeee chidi, hebu njoo bwana huku mbona umetukimbia sasa"
Aliongea jasmini huku akionekana kulia"
"Ok nakuja hapo, lakini kuna shida gani"
"we njoo tufanye mpango wa kumpeleka hospitalini"
"ok nakuja"
Basi saida na chidi walienda kuoga wote kisha wakatoka wote,.. Saida alimpa chidi lifti mpaka karibu na nyumbani kwa kaka yake,..
"chidi… "
Aliita saida baada ya chidi kushuka katika gari
"naam"
"shika pesa yako"
"oohhh ni ile milioni 10 ulioniambia saa ile"
"yes.. "
"ok asante mamy"
INAENDELEA...
Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi