MUUZA CHIPS (73)

0
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA SABINI NA TATU
ILIPOISHIA...
“naam”

“shika pesa yako”

“oohhh ni ile milioni 10 ulioniambia saa ile”

“yes.. “

“ok asante mamy”

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Chidi aliootaka tena kuondoka mara kaitwa tena

"chidi… "

"saida we mtoto mbona unaita ivyo"

"chidiiiiiiiiiiiii"

"nini sasa si useme"

"I LOVE YOU"

"waapi uongo"

Chidi aliposema uongo, saida alishuka kwenye gari na kumrukia chidi, wacha aanze kumnyonya denda mbele za watu, na saida ni matajiri wanaojulikana haswa jijini hapo,.. Saida alimng'ang'ania chidi, huku akimkamua kama lita kadhaa hivi, mpaka chidi akakubaliana nae

"sawa saida nimekubali"

Chidi ni mzew wa madenda lakini hivyo alivyoshikwa na saida, mpaka sasa hivi wote wanahema juu juu pumzi zimewaishia…

"chidi, nakupenda… Nakupenda sana, na sintorudia kuja kufanya ujinga niliotaka kuufanya"

Sasa chidi akajiuliza, ni ujinga gani saida aliotaka kuufanya

"ujinga gani huo"

"si wa kutokwambia I love you mapema"

Saina alikuwa yupo tayari hata kumwambia kuwa yeye alikuja kwa ajili ya kuzichukuwa mbegu zake, lakini kutokana na utamu wa chidi, saida akaairisha kufanya hivyo..

Chidi na saida waliagana kila mtu kaondoka kivyake

Chidi aliingia mjengoni na kuwahi kule ndani ambako kaka yake yupo na kazidiwa na pombe kali sana

"afadhali umekuja shem…"

Aliongea jasmini huku akimvuta chidi mpaka chumbani kwake ambapo ndipo kaka yake alipo,..

"aaahhh huyu mtu kanywa lakini hajala bado, kaanza kunywa kabla ya kula"

"kwaio tufanyeje shem… "

"apikiwe supu safi apewe"

Jasmini hakuchelewa alienda sebuleni na kufungua friji ili achukuwe nyama ampikie mume wake, lakini kwenye friji hakukuwa na nyama, bali kulikuwa na samaki

"sabraa… We sabraa"

"abeee dada"

"hebu washa jiko bandika maji, nilete nyama mara moja"

"sawa dada"

Jasmini kweli alikuwa anampenda mume wake, sema wanawake sijui ni kwanini michepuko inawazidi,.. Jasmini aliwasha gari na kutoka nje mana bucha la nyama lipo mbali na hapo alipo

Sasa huku nyumbani chidi akiwa yupo na kaka yake,

"broo, yaani kitu unachokifanya ni kitu cha kijinga sana"

Alikua akimwambia kaka yake lakini kaka alikuwa hoi bin taabani hata hasikii wala haoni

Chidi alitoka pale chumbani ili kumharakisha shemeji yake afanye haraka,.. Lakini shemeji mtu katoka nje kununua nyama, ila chidi hajui kama katoka, hivyo akaingia jikoni lakini alimkuta sabra peke yake,…

"we shem yupo wapi tena"

"si useme demu wangu yupo wapi… Shem shem na wakati umeshamla"

"sabra mbona una maneno mamy wangu"

"sio maneno chidi,.. Tatizo uhensamu wako unautumia vibaya"

"aahhh ok samahani kwa hilo"

Kutokana na maneno ya sabra chidi alikasirika na kwenda kujitupa kitandani kule chumbani kwake…

Haikupita muda mara sabra kafika

"sema mla wake za watu"

"sabra naomba tueshmiane lakini"

"chidi, mimi nakuheshim sana sema wewe tu ndio hujiheshim"

"ok.. Naomba nipumzike basi"

Chidi alikuwa bize sana na hakutaka kuendelea kuongea na mschana huyo

"eenheee, afu nimekumbuka… Kwanini siku ile ulinivua nguo? Ina maana ulitaka kunibaka"

"sabraaaaaaaaaa…. Kichwa kinaniuma eti"

"haya nibake sasa, we si ulitaka kunibaka,.. Dada yangu hakutoshi mpaka ukanivua nguo nikabaki na chupi tu, haya endelea sasa"

Sabra alishampenda chidi, ila sema hawezi kuongea nae kwa utaratibu, toka siku ile agundue kuwa chidi amefanya mapenzi na shemeji yake… Tena mbaya zaidi bado hawajaoana, lakini chidi keshachungulia huko… Sabra alijikuta anatoa kila kitu mwilini mwake kisha akakaa mbele ya chidi

"haya siku si uliniacha hivi, haya endelea sasa"

Chidi kwa wakati hakuwa na hamu ya mapenzi hata kidogo mana muda sio mrefu ametoka kukamuana na saida,.. Sabra alibaki na chupi kama siku ile alipolazimishwa kuingia kabatini, na kujikuta kanga imemdondoka,..

Sasa leo sabra kaamua moja, anamtaka chidi kwa lazima, uzuri ni kwamba sabra hajuagi kubembeleza kimapenzi,.. Hivyo anataka kufosi.

"skia nikwambie sabra,… Wenzako wakimtaka mwanaume kimapenzi, hua hawawi wakali kiasi hicho, afu wanakuwa wapole, lakini wewe upo kama malaya hivi"

"ati nini??…. Yaani mimi ni malaya chidi.. Lakini sawa tu,.. Ila chagua moja, kuimalizia hii chupi, au niende kumwambia kaka yako umemla mchumba wake"

Sasa wakati huo dada mtu tayari yupo sebuleni na kesharudi buchani, sasa alikua akimtafuta sabra ili ampe nyama akate kate,.. Alienda mpaka chumbani kwake hakumkuta, ikabidi aende chumbani kwao kule kwa mlevi,.. Alipofika alimkuta mume wake yupo peke yake wala hakuwa hata na muangalizi,.. Akamuuliza mfanyakazi wa ndani

"we Joyce, sabra kaenda wapi"

"mmhh ata sijui, ila kuna muda nilimsikia akiongea ila sijafatilia"

Sasa Sabra akagundua kuingia katika chumba cha chidi,..

Sasa huku chidi kaona kuliko hii ishu aisikie kaka yake ni bora amvue sabra chupi ili mambo yaishe,.. Chidi aliishika chupi ya Sabra na kuanza kuitoa, wakati huo sabra ndio anajiskia raha, lakini huku mlangoni jasmini nae ndio anakibonyeza kitasa ili kuingia ndani

"sasa si uvue haraka jamani chidi.. Au mpaka dada aje"

Sauti hio jasmini aliisikia na ndio iliompa kichaa cha kuingia ndani.. Lakini kabla hajamaliza kuvuta kitasa, aliskia sauti nyingine ikisema

"yaani chidi bila kunifanya chochote, naenda kumwambia kaka yako ukweli wote kuhusu wewe na mchumba wake"

Sasa jasmini huku kasikia kuwa kumbe mdogo wake anajua kuwa yeye kalala na mdogo wake Ibrahim, yaani kalala na shemeji yake

"mungu wangu, kumbe sabra anaijua hii ishu"

Sasa jasmini yupo kwenye njia panda, amuache mdogo wake afanywe ili siri iwe siri, au aende kuzuia wasiliwe na mwanaume mmoja…

Katika familia moja ambayo ina watoto wa kike angalau kuanzia wawili,.. Hivyo katika familia ambayo inajiheshima sana na inajua nini maana ya familia,.. Fanya madhambi yako huko nje lakini hakikisha familia haijui kitu, kwani endapo itajua mabaya yako basi hata dharau zitaanza ndani ya familia yenu, kwahio wanafamilia naombeni sana kujiheshim katika familia zenu… Sasa ikiwa kuna wasichana zaidi ya wawili katika nyumba moja au wamezaliwa pamoja, kwa wale wanaoelewa thamani ya familia ni nini, basi hawawezi kushiriki mapenzi na mwanaume mmoja kama watakuwa wanajua, lakini kwa ambao hawajui wao hawalaumiwi ila mwanaume atakuwa na makosa kama atakuwa anaju kuwa hapa nakula ndugu wawili, itakuwa ni dhambi kubwa sana kwa Mwenyezi mungu,.. Kula mtu na dada yake au mtu na mama yake, ni dhambi sana.. Ila iwe unajua lakini kama hujui kama watu hao wapoje basi, iwe kila mtu hajui.. Lakini mmoja wapo tu akijua kuwa hapa kuna wawili kwa mmoja basi ishakuwa nongwa,… Kidini Hairuhusiwi mwanaume mmoja kutembea na familia moja kimapenzi,.. Labda uwe hujui, na pia hata kama hujui bado una dhambi mana Mwenyezi Mungu kaagiza mje muijaze dunia ila sio kuzini na kila mwanamke.. Maana ya kuijaza dunia ni kwamba uoe au uolewe ili muijaze dunia, lakini sio uzini hovyo, hivyo mbali na kufanya mapenzi na watu wawili wenye ukaribu, bado una shehena ya dhambi kwa mungu wako,.. Kwahio familia ambayo inajiheshim haswa, hawawezi kukubali kushea penzi moja kwa mwanaume mmoja, lazima kuna mmoja atajitoa au wajitoe wote endapo watafahamu hilo,.. Yaani kitu cha ajabu sana kwa wanawake wawili kufanya mapenzi na mwanaume mmoja, yaani namaanisha ndugu sina maana ya mwanamke tofauti tofauti,.. Hii inalenga kwa ndugu wawili kwa mwanaume mmoja,….

Sasa tukija huku kwa akina jasmini ambapo kasikia mdogo wake yupo ndani na mbaya zaidi ni kwamba mdogo wake ambaye ni sabra anajua kila kitu kiwa chidi alishawahi kutembea na dada yake,.. Hivyo sabra bado ni mschana mdogo hivyo heshma ya familia yeye haijui, hivyo kama angelijua basi asingediriki kumtaka chidi tena na wakati keshajua katembea na dada yake,.. Lakini jasmini yeye ndio mkubwa yaani wamebaki wawili tu, baada ya wazazi wao kufariki na kuachiwa mali hizo, hivyo kaa ukijua hapo Ibrahim hana hata peee hizo ni mali za hao watoto wa kike… Sasa jasmini yeye anajua kabisa kafanya mapenzi na chidi alafu sabra nae anamtaka chidi afanye nae mapenzi kitu ambacho kinamuuma sana mwanadada jasmini mana ndio anajua maana ya familia,…

Jasmini akiwa yupo mlangoni asijue cha kufanya, kwamba aache ili siri iwe siri au azuie na akizuia sabra anaweza kusema na mambo yakaharibika.. Mana hata jasmini anampenda sana mme wake japo kuna tete za bado hawajaoana, ila wanapendana sana,..

Jasmini ni mwanamke anaejua maana ya familia, hivyo hakutaka kuchelewa kuingia ndani baada ya kuoata jibu moja tu,

"kama ni mbaya wacha iwe mbaya… Kuliko atumiliki wote"

Aliongea jasmini huku akiminya kitasa na kuingia ndani,..

Hamad anawakuta ndio walikuwa wanavuana chupi, yaani chidi ndio alikuwa anamalizia kuvua chupi ya sabra,

"we sabra ivi una akili wewe"

Sabra aliinyesha uoga mana ni dada yake, na hata chidi pia mana kama dada mtu kajua hilo basi huenda kuna kitu kitaharibika,

"Nisamehe dada"

"wewe ni mjinga sana, ina maana hujui kama kaka yake atanioa mimi huyu"

"lakini mbona hata wewe umefanya nae"

"lini"

"si juzi wiki iliyopita, ulikuwa nae huku mi. Nilikuwa kabatini pale"

"muongo mkubwa wewe, hebu nenda kapike nyama kule"

Jasmini alimchukuwa chidi na kumtoa nje, sabra alibaki kule chumbani kwa chidi

Walipofika nje jasmini alikuwa mpole sana kwa chidi

"chidi shemeji yangu, mbona ivyo lakini"

Aliingea jasmini huku akimshika chidi, mana jasmini bado anampenda chidi na sijui ni kwanini anmpenda kiasi hiki..

"lakini mdogo wako ndio kaanza"

"sawa, lakini we unajua tayari uneshafanya na mimi sasa mdogo wangu wanini tena jamani chidi"

"ok, Nisamehe basi"

"No, No, chidi I think mtarudia tena… So kuna kitu nataka nikuombe chidi.. Nipo chini ya miguu yako, nitakupa pesa kiasi chochote kile utakacho lakini ondoa fikra za kutembea na mdogo wangu.. Najua mdogi wangu ni malaya sana lakini asiwe malaya kwako mana wewe tayari umeshanifanya chidi"

Chidi alivyotajiwa pesa hapo roho ilimdunda haswa,..

"lakini kwanini hutaki nitembee na mdogo wako, na mimi na mdogo wako huoni ni saizi kanisa"

"chidi… Ni bora ungelikuwa muoaji, lakini najua huna muda wa kuoa, hivyo unamchezea tu na hapa nimemleta ili aendelee kusoma… Sasa ukimnogesha na penzi lako utaniharibia mdogo wangu"

"aahhhhhhhh"

"aahhhh nini chidi jamani,.. Nitakupata pesa yeyote ile"

"kiasi gani… Mana nataka ukinipa pesa nisimuwaze mdogo wako, tena hata kuja hapa sintakuja"

"kwani we wataka milioni ngapi chidi,.. Nitakupata"

Yaani chidi kuskia jambo la milioni, alizidi kujilamba mdomo huku akipiga mahesabu amtajie kiasi gani

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)