Notifications
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…

MUUZA CHIPS (74)

Sehemu ya Sabini na Nne, kufanya mapenzi na, na chidi na, aliondoka na kwenda, ashee penzi na, bado mdogo sio, basi niambie sasa, chidi na umefanikiwa
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA SABINI NA NNE
ILIPOISHIA...
"kwani we wataka milioni ngapi chidi,.. Nitakupata"

Yaani chidi kuskia jambo la milioni, alizidi kujilamba mdomo huku akipiga mahesabu amtajie kiasi gani

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"aahhhh nadhani milioni 50 itakuwa ndogo sana kwangu, sasa sijui we utaongeza ngapi hapo"

Chidi aliongea kwa matambo utafikiri pesa kama hizo anazo nyingi kumbe choka mbaya tu

"chidiiii zaidi ya milioni 50 kwangu itakuwa ngumu,.. Kweli ninayo lakini nikikupa wewe nitaiua kampuni yetu"

"kwaio"

"chukua hio hio milioni 50 chidi, nikipata nyingine nitakupata… Mana sasa hivi mwezi unakaribia huu wafanyakazi watataka kulipwa, sasa nikikupa yote nitawalipa nini"

Yaani chidi ndio magoli yake anayopiga hayo hua hakoseagi hata kidogo, akilenga jiwe lazima lipige ndege wawili,.. Chidi alikubali na jasmini aliingia ndani na kutoka na kimkoba cha kike lakini ndani kina pesa taslimu shilingi milioni 50,

"sasa mbona koba la kike hili"

"we nenda bwana kaka yako asije kuskia basi"

Chidi hakuchelewa aliondoka zake mpaka geto kwake na kuanza kuhesbu pesa, kisha akazichanganya na zile zingine,… Kwahio hapo hakosi kama milioni 200 hivi na laki za kutosha,… Hii ndio raha ya kutembea na matajiri, sio uishie CHIPSI KUKU tu,..

Baada ya siku hio kupita na leo ni siku nyingine tena,… Ikiwa ni hoteli fulani hivi tofauti na zile za akina sarah na miriam,..

"lakini saida mbona umebadilika kiasi hiki"

Alikuwa ni mpenzi wake na saida aitwaye jemsi, alikuwa akilalamika mabadiliko ya mpenzi wake saida

"sikiliza jemsi, nishakwambia niache mbona huelewi lakini, we mwanaume gani usioelewa mapema"

"lakini nimekufanyia kosa gani saida wangu"

"sitaki kujua lakini naomba uwe mpole na mimi"

Saida alianza kumchukia jemsi wa watu kisa tayari keshaonja utamu wa chidi, yaani hapo mama yake asitegemee dawa tena bali ajue ndio kapata mkwe,..

"kama kuna kosa nisamehe basi"

"jemsi mnona huelewi… Mi nishakwambia nipo kwenye siku zangu mbona hunielewi"

"aahhhh basi ungesema mpenzi wangu kwani mi nitalazimisha sasa"

"sawa umeshajua ondoka.. Au kama unabaki haya"

Saidi aliondoka kwa dharau kubwa sana, yaani yule mpenzi wake ambae hakutaka kumsaliti leo ndio anamsaliti bila chenga, na ndio maana nasema mapenzi siku zote hayajaribiwi,…

Sasa leo tukija huku hotelini kwa akina miriam, leo chidi kaja kazini lakini bado anakuja siku akitaka ila sio kwamba kaacha kazi kabisa, ila yeye anasubiria kazi kutoka kwa saida, na wakati saida hana cha hoteli wala nini,..

Chidi wakati huo yupo jikoni anaendelea kupika na hakukuwa na boss hata mmoja aliejua kama leo chidi kaja,… Ikiwa ni mida ya saa tano hivi, miriam ndio anaona chipsi zilizokuwa zikipelekwa kwa wateja kutoka pale kaunta..

"we hizo chipsi kapika nani"

Miriam aliuliza mana chipsi za chidi zinajulikana

"kapika omari boss"

"omari kaja"

"ndio"

Miriam alitoka mbio mpaka jikoni, yaani hakuuliza kwanini chidi hakuja kama siku mbili hivi mfululizo, bali alimkumbatia kwa kummisi… Wapishi wote wa chipsi wanajua kuwa chidi na miriam ni wapenzi hivyo kitengo cha chipsi chote, kilikuwa kinamuita miriam shemeji, /ana wanajua kitambo tu,..

"chidi mpenzi wangu ulikuwa wapi lakini"

"aahhh nilikuwa naumwa kidogo boss na hata leo nimejikaza tu"

"kwanini sasa hujaniambia mimi ningelijua"

"samahani bosa"

"nani boss wako"

"basi nisamehe mamy wangu"

"babuu, mi nilikuwa na hofu juu yako"

"basi siku nyingine nitatoa taarifa"

Sasa wakati huo kumbe mama miriam alikuwa akiona kila kitu, yaani vile miriam alivyokumbatiwa na kuanza kumbusu mashavuni… Kumbe mama aliona kila kitu ila hajasikia maongezi kwasababu alikuwa kwa mbali kidogo…. Mama miriam aliondoka na kwenda ofisini kwake,…

"sasa chidi ngoja nikaongee na mama kuwa ulikuwa unaumwa"

"sawa"

Miriam aliondoka na kwenda ofisini kwa mama yake na kuongea nae

"mama… Omari amekuja"

"kwahio watakaje labda"

"anaendelea na kazi"

"ebu muite kwanza hapa, naona anacheza na akili yangu"

"mamaaaa… Lakini alikuwa anaumwa"

"sawa, lakini nina maongezi nae kidogo"

"sawa wacha nikamuite"

Tukija huku kwa akina jasmini na mdogo wake wakiwa wapo sebuleni baada ya kupata chai, walikuwa wakiongelea lile swala la jana la sabra kutaka kufanya mapenzi na chidi,..

"ivi sabra mdogo wangu, kama wewe umeniona nimefanya kitu na chidi sasa wewe ulikuwa unataka ili iweje"

"dada… Lakini ukumbuke kuwa na mimi ni mschana eti"

"funga domo lako mshenzi wewe, mschana ndio tufanye mapenzi na mwanaume mmoja, ivi tutadharaulika kiasi gani"

"lakini mimi na chidi tulikutana kabla"

"unataka kusema mlishawahi kusex"

"hapana ila tulipenda kitambo tu toka hata wewe hujaanza kukutana na kaka yake ila hatujafanya"

"sasa sitaki ufanye,.. Utaidhalilisha familia yetu, hata yeye atatudharau sana mtu na dada yake kumpenda mwanaume mmoja ni kosa sabra mdogo wangu"

"lakini mbona wewe umefanya nao na ni ndugu lakini umetembea nao wote"

"ni kweli… Lakini sio kuwa chidi nampenda, ila kuna sababu ilionifanya nifanye nae mapenzi"

Aliongea jasmini lakini wakati huo alikuwa hana hasira sana mana tayari siku ile ilishapita na hata mumewe mtarajiwa keshaenda kazini…

"dada… Mapenzi ni mapenzi tu hata kama kuna sababu"

"lakini nashukuru, hata nikiachana nae.. Ilimradi tu lengo langu limetimia"

"Lengo??????…… Lengo gani hilo dada, mbona mambo mengine hunishirikishi na wakati mali ni zetu wote"

"sabraaa, we bado mdogo… Sio kila jambo ulijue"

"sawa dada mimi nakubali, ila hebu niambie sababu ya kulala na chidi na umefanikiwa lengo gani"

"sawa… Ila nikikuambia usimuwaze chidi tena mdogo wangu, ni vibaya mno tukishea penzi moja kwake"

Aliongea jasmini tena kwa huruma kubwa kumaanisha kweli hapendi sabra ashee penzi na chidi

"sawa, kuanzia leo sitaki kuwa nae, japo keshaniona uchi wangu"

"haijalishi lakini usisex nae hata siku moja"

"sawa dada nimekuelewa…. Haya basi niambie sasa hio sababu ya kusex na chidi na wakati ni shemeji yako mtarajiwa"

Kulikuwa kuna sintofahamu hapo katika hio familia japo hatujui kile kinachojiri kwanini jasmini alifanya mapenzi na chidi, afu kumbe hampendi wala nini,..

Siri hio tunataka tuijue baada ya sabra kutaka kufanya mapenzi na chidi, ila sabra yeye kapenda kweli lakini jasmini yeye alikuwa ana sababu zake binafsi za kutembea na kijana huyo, ila sio kuwa kulikuwa na mapenzi ya kweli hapo

Jasmini baada ya kubanwa sana na maswali ya mdogo wake ilibidi tu aongee ukweli ili tu mdogo wake asije kuja kutembea na chidi, mana watadharaulika sana katika familia yao

"sabraaa, we bado mdogo… Sio kila jambo ulijue"

"sawa dada mimi nakubali, ila hebu niambie sababu ya kulala na chidi na umefanikiwa lengo gani"

"sawa… Ila nikikuambia usimuwaze chidi tena mdogo wangu, ni vibaya mno tukishea penzi moja kwake"

Aliongea jasmini tena kwa huruma kubwa kumaanisha kweli hapendi sabra ashee penzi na chidi

"sawa, kuanzia leo sitaki kuwa nae, japo keshaniona uchi wangu"

"haijalishi lakini usisex nae hata siku moja"

"sawa dada nimekuelewa…. Haya basi niambie sasa hio sababu ya kusex na chidi na wakati ni shemeji yako mtarajiwa"

Aliongea sabra huku akiwa siriasi mno wala hakuwa na utani na alitaka kuijua hio sababu ili asitishe kufanya mapenzi na chidi,..

"ni kweli mdogo wangu… Binafsi mimi ni kwamba, nampenda sana Ibrahim, yaan nampenda haswa….. Ukumbuke mdogo wangu sisi tumebaki wawili tu katika familia yetu, na katika mali zetu hatuna ndugu wa kiume hata mmoja ambae ataweza kutupigia kifua pale shida inapotokea,…. Binafsi yangu mimi nilikuwa natamani sana nipate mtoto, haswa haswa mtoto wa kiume ili baadae mali zetu zipate wa kuzisimamia vizuri kuliko sisi… Ibrahim nilitamani anipe mimba hata wakati ule tunaanza mahusiano, lakini kwa bahati mbaya nakumbuka nilienda kupima mbegu zake na kukuta hazikuwa na ubora wa kutunga mimba kwa haraka, yaani anatakiwa akae zaidi ya mwezi mmoja kisha aje kufanya mapenzi na mimi, hapo ndio afadhali anaweza kutungisha,.. Nakumbuka nilishawahi kumzuia zaidi ya mwezi mmoja asisex na mimi, mana mimi ndio ninaejua udhaifu wake,.. Lakini pia bado haikuseidia ila nadhani Ibrahim alikuwa na wanawake wa nje, na ndio maana hata nilipomruhusu pia hakufanya lolote zaidi ya ngono ya kawaida tu,.. Nilikuwa natamani sana kumsaliti nje ili tu nipate japo mtoto mmoja tu, lakini sasa niliposikia ana mdogo wake wa kiume.. Ndio nikafanya juu chini aje mjini, ili huyo huyo mdogo wake anipe mimba ili niwe na damu ya mdogo wake… Hio ndio sababu ya mimi kutembea na chidi, ni ili anipe mimba"

Aliongea kwa kirefu nwanadada jasmini huku machozi yakimtoka kwa hasira,..

"kwahio hapo ulipo tayari una mimba"

Sabra alimuuliza dada yake kuwa kwahio keshapata kile alichokitaka..

Lakini kabla sabra hajajibiwa na dada yake, ghafla jasmini anaamka mezani kwa haraka na kukimbilia bafuni, alichokiskia sabra huko bafuni, alijisemea tu mwenyewe

"tayari umeshapata mimba ulioitaka, lakini mimi sikutaka mimba, mimi nakapenda tu mana nilishakapenda toka siku ile anakuja mjini… Kwahio kama ni kusex nae basi mimi ndio ningelikuwa wa kwanza,…. Utanisamehe dada angu, lazima chidi nionje utamu wake,.. Yaani nitamtafuta kwa gharama zozote,.. Mpaka aniingizie ub**** wake"

Alijisemea kimoyomoyo huku dada yake akiwa bado yupo bafuni anatapika kana kwamba tayari mimba imeanza kutungwa huko,.. Ila sio mbaya mana chidi na Ibrahim wote ni damu moja, hivyo jasmini ndicho alichokitaka hakutaka kuleta mtoto wa nje sana, bora atembee na huyo huyo mdogo wake…. Wakati huo sabra ndio keshaapa lazima abakwe na chidi iwe isiwe..

Jasmini anarudi mezani kalegea hata macho yameshaanza kuwa mekundu..

"vipi dada unaumwa kwani"

Aliuliza sabra ilihali anajua sababu ya dada yake kwenda kutapika

"no,.. Sabra, ni hio mimba ndio imeanza kunichefua"

Aliongea jasmini huku akiwa kama kachoka choka hivi, mana ndio mimba yake ya kwanza kuipata kwa kupitia mbegu za chidi,..

Sasa tukija huku hotelini kwa akina miriam kama unakumbuka sehemu iliopita tuliishia mahali miriam anakwenda kumuita chidi baada ya mama miriam kumtaka chidi kwa ajili ya maongezi zaidi,… Miriam alimka na kwenda jikoni lakini hakuwa na furaha kabisa alionyesha dhahiri kuwa kuna kitu kitamtokea chidi,..

"omari… Boss anakuita ofisini kwake"

Aliongea hivyo kumaanisha mama yake anamuita ofisini kwake,.. Chidi alishtuka na kujua enhee sasa kitakuwa kimenuka, mana kakaa nyumbani siku mbili mfululizo bila kuja kazini,..

Chidi alijikokota huku miriam akiwa nyuma yake,

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
51 Muuza Chips Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni