Fumanizi la Mchepuko Mwizi😂 | Comedy

0
Mume amefuma viatu vya mchepuko wa mke wake mlangoni lakini akakosea kuingia ndani kabla aweke umakini kwenye hivyo viatu mwisho wa siku akaibiwa na vyake😂

Hili tukio lazima lichukuchekeshe sana hata kama ulikuwa haujataka kucheka
Itazame kisha nipe like na ukinipa maoni kwenye comment nitashukuru sana

Usisahau kubonyeza Subscribe kama haujajiunga na fungua #ChekanaZephiline kupata video zangu zote ambazo zipo mtandaoni
Nashukuru sana kwa wewe ambaye unanipa nguvu ya kuendelea kuwaletea kazi nzuri kila siku na nasisitiza usichoke mambo mazuri yanakuja🙏🏽

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)