
Kisasi ni filamu fupi inayomzungumzia Mama mchawi ambaye alikuwa anafanya uchawi kwa kulipa kisasi cha wazee wake waliouwawa na wazee wa Binti mwingine ambaye hata hivyo hakuwa akijihusisha na mambo hayo
Mwisho wa siku akaambulia aibu tu
Tazama filamu hii kisha weka maoni yako hapo