MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (34)

0

SEHEMU YA THERATHINI NA NNE
TULIPOISHIA...
Aliuliza tena lakini badala ya majibu Verity alionekana akidondosha tu machozi.
Gwakisa alichofanya alimnyanyua mkewe na kumuingiza chumbani, kule alimlaza kitandani kwani alikuwa hana nguvu kabisa hata za kusimama.

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

TUENDELEE...
“Umekula?”
Verity alitingisha kichwa kuashiriaa hajala, yaani toka jana yake alikuwa hajatia kitu mdomoni, Gwakisa alielekea kwenye friji akakuta kuna maziwa, aliyapasha moto kisha akampa mkewe anywe kwa kumnywesha.
Alipomaliza alimlaza tena kitandani apumzike, Gwakisa alikuwa kaka pembeni yake tu anamuangalia, alikuwa akitafakari mambo mengi sana yaliyokuwa yanampa huzuni.
Japo alipanga alipe kisasi kwa mke wake kwa kuzaa na mtu mwingine lakini alijikuta tu akimuonea huruma kwa kuwa pia aliamini ile mimba iliingia akiwa hajamuoa bado japo tu hakuambiwa ukweli.
Baada ya muda kidogo Verity alinyanyuka kwa kupepesuka kisha akaelekea bafuni huku Gwakisa akimfwata kwa nyuma.

Alipofika bafuni alivua nguo aoge, alianza na gauni kisha taiti, alipofika kwenye nguo ya ndani alinyanyua mguu mmoja ili aitoe lakini alishindwa na kidole kikanasa kwenye ile nguo kitendo kilichotaka kumpeleka chini kwenye tiles kama sio kudakwa na Gwakisa.
Gwakisa alimshikilia mkewe akamvua nguo vizuri kisha akaanza kumuogesha taratibu, alimuogesha huku kamshikilia na nguo zake akawa analoa lakini hakujali.
Alimsugua kila kona kitendo kilichomfanya asisimkwe, kuna maeneo alikuwa akimgusa Verity alikuwa anajinyonga nyonga akajua hata mkewe nae kuna hisia anapata.

Alipomaliza kumuogesha alimpa mkewe mswaki alioutaka kwa kuonyesha kwa ishara kisha akawa anajisafisha kinywa.
Gwakisa yeye alitoa nguo zake na kuanza kuoga vizuri.
Alipomaliza huku wakwa uchi alimchukua Verity hadi chumbani wakaanza kujifuta na mataulo yao kisha Verity akajilaza kitandani huku miguu kaning’iniza chini lakini akawa kaipanua kitendo kilichoacha kitumbua chote kiwe wazi kama cha Mbuzi.
Gwakisa alihisi mkewe anataka huduma japo alikuwa hawezi kutoa sauti kwani ilikuwa imekaukia kwa kulia sana jana yake usiku kucha.

Gwakisa alimuendea mkewe kujaribu kama ni kweli anataka, alimlalia kwa juu kisha akampelekea mdomo ambao ulipokelewa na wakaanza kunyonyana.
Walinyonyana huku Verity akiwa anachezea kifua cha Gwakisa na Gwakkisa nae akicheza na sehemu mbalimbali za mkewe ambazo aliamini ndizo sehemu zake dhaifu.
Verity alikuwa kakolea mno na alitaka sasa treni ianze kupita relini. Alipeleka mkono wake kwenye tango la mme wake lakini alishtuka sana.
Kilichomshitua hata Gwakisa alikijua kwani pamoja na michezo yote ile lakini mashine yake ilikuwa imesinyaa kama ndizi iliyoanikwa juani kutwa! Tena kila ilivyoguswa ndio ilizidi kuwa ndogo inayoonekana kutokuwa na uhai hata kidogo.

Gwakisa aliteseka usiku kucha, mashine yake ilikuwa inasimama kidogo ila akiifikisha karibu na ikulu ya Verity inasinyaa mpaka ina kuwa kama kipande cha chipsi.
Hali hii ilimtesa sana Gwakisa akahisi amelogwa, wakati huu tayari mashetani ya Verity yalikuwa yako juu yanataka kupungwa alafu mpungaji kawa dhaifu.
“Kwani mume wangu umepatwa na nini leo ”
Gwakisa hakujibu kitu, akili yake ilikuwa inawaza mambo mengi mno…
“Mme wangu hivi unadhani mimi najisikiaje saivi nipe haki yangu basi”
Gwakisa aliwaza akajikuta anadondosha chozi, hali anayokutana nayo alikuwa hajawahi kuipata kamwe kwenye maisha yake,

Taratibu alinyanyuka mpaka bafuni akaegemea ukuta wa bafu, alianza kujishkashika kwenye mashine yake kama vile anataka kujichua, alifanya hivyo akikumbushia walivyokuwa wanajichua kujipunguzia mihemko wakiwa kwenye kozi zao zi kijeshi lakini wala mashine ilikuwa doro.
Alirudi kimyakimya mpaka chumbani akamkuta mkewe akiwa kalala, alijilaza kimyakimya ili asiamke lakini alivyomalizia kushusha kichwa kwenye mto Verity akaamka.
“Mme wangu umekuwa hanisi?”
“Unasemaje? Nimekuwa hanisi?”
“Sasa mbona husimamishi?” gwakisa alishindwa kujibu chochote na kujikuta akiishiwa nguvu na kuwa dhoofu wa moyo kabisa.
Verity kwa hamu alizokuwa nazo aliamka akakaa kisha akamvua mme wake bukta aliyokuwa amevaa kisha akashika uume wake akautia mdomoni.
Aliunyonya weee mpaka akaskia taya zinamuuma lakini hakuona matokeo yoyote, hasira zilimpanda akamshushia kofi languvu tumboni ‘paaaa’
……………………………..
Sam aliamka akawa kama anaota alishtuka mbele yake akiwa amesimama mke wake Rafiki, alizidi kushtuka kwani yeye alijua kuwa Rafiki kafa.
“WEWE ni mke wangu ama naota?”
“Ni mimi Sam wala usihofu ni mimi”
“Imekuwaje si uliku..fa wewe”
“Sikufa mme wangu niko hai, unajisikiaje?”
“Najisikia vizuri”
Sam aliamka na kumkumbatia mke wake kwa furaha, wakati anafanya hivyo RPC alikuwa anaangalia tu, alijifunza kitu kuwa wanae wanapendana sana.
Taratibu alisogea pale walipokumbatiana nae akaungana nao ikawa sasa ni watu watatu wamekumbatiana.

“Nimekusamehe sam, naomba namimi unisamehe, naomba muwe na maisha ya upendo mnaouonyesha hapa”
Sam aliposikia hivyo nae alinyanyua kichwa chale akamtazama RPC kisha akatabasamu huku chozi likimtiririka… “nimekusamehe pia, namimi naomba unisamehe nilipokosea”
Walikumbatiana tena kwa nguvu kisha wakaondoka pale hospitali japo Verity alipewa dawa nyingi za kunywa ili kuendelea kumsafisha na sumu aliyobugia.
Walirudi nyumbani wakafikia kwa RPC, walikaa wakiendelea kuzungumza kisha wakafika kwenye ishu ya Sam kufiwa na mama yake.
RPC alichokifanya alipiga simu ofisini kuwataarifu watu kuhusu msiba kisha watu wakaanza kujaa pale kwa RPC kwani msiba ilibidi uwe pale.

Taratubu zote za kiofisi zilifwatwa kwani mfanyakazi anapofiwa na mzazi au mtoto huwa kuna taratibu ambazo ofisi inazichukua.
Mipango ilipangwa na pesa zikachangwa kisha watu wakajiandaa kwa ajili ya Safari kesho yake mchana.
Masaa yalisogea ikawa asubuhi kisha gari aina ya coaster mbili zikiwa ziko tayari kwa ajili ya kusafirisha waombolezaji.
RPC alikuwa kwenye gari yake ya ofisini ambayo alikaa yeye, sam, Rafiki, Mke wa RPC Pamoja na dereva ambaye alikuwa ni askari pia.
Sambamba na hilo pia kulikuwa na gari nyingine ambayo ilikuwa imebeba baadhi ya askari ambao ni maalum kwa ajili ya kumlinda RPC.

Safari ya kijijini ilianza na ndani ya masaa kadhaa tayari walikuwa wamefika chalinze, walikunja njia ya kuelekea kaskazini mwa Tanzania na kuiacha ile ya kwenda Dar es salaam.
Waliendelea na safari mpaka walipovuka mto wami na kuendelea kuchanja mbuga, wakati safari inaendelea wapo baadhi ya watu walikuwa wamebeba Pombe wanaendelea kunywa taratibu huku wanapiga stori mbalimbali wanacheka.
Hali ilikuwa tofauti kwa Sam kwani alikuwa anakumbuka mambo mengi sana kuhusu mama yake,
Walipofika eneo la mkata sam alirudisha kumbukumbu zake siku aliposhushwa kwenye gari kwaa sababu ya kukosa nauli, alikumbuka alivyomwaga machozi kwa kiu na njaa huku akitamani kufa siku ambayo alisafiri bila kuwa na nauli akitafuta namna ya kwenda kujaribu maisha.

Akili yake ilizidi kurudi nyuma akakumbuka maisha aliyoishi na mama yake huko nyuma akiwa mdogo, alikumbuka siku mama yake aliposhikwa matako mbele yake na kuamua kumpasua mtu kwa chupa.
Alikumbuka kitendo kile akajikuta akijisemea ‘mama aliposhikwa tako mbele yangu’ hapa ndipo alipomshitua Rafiki aliyekuwa amemlalia Sam mapajani aliposikia sauti yam me wake.
Alinyanyuka ili ajue kwannini mme wake ametamka sentensi hiyo lakini akakumbana na tone la chozi lililokuwa linatoka kwa Sam.
Rafiki alichukua simu yake akaiwasha akammulika Sam na kugundua kuwa alikuwa analia, “unalia nini mume wangu”
“Acha tu mke wangu, kila nikiipita hii njia nakumbuka mambo mengi sana”
“Basi usilie mme wangu, mshukuru mungu kuwa yote sasa ni historia”
“Ni ngumu sana kusahau, ni ngumu sana mambo haya siwezi kuyasahau, acha tu leo nilie”
“Sasa ukilia ndio utakuwa umebadilisha nini mme wangu, vumilia tu hata mimi naumia kwa ajili yako”
“Unajua mama yangu nilikuwa nampenda sana, hustle zote nilizozifanya ilikuwa ni kwa ajili yake alafu leo kaondoka?”

Sam alizidi kulia kimya kimya….
“mme wangu usilie ukamkufuru Mungu, kila mtu atakufa, tumuombee alale salama na tukutane paradiso”
“pamoja na hivyo lakini hujui tu mke wangu, hujui tu yale niliyopitia…”
“shshshsiiiiiiii….basi nyamaza mme wangu utanisimulia siku nyingine”
Rafiki akiwa amemlalia mme wake mapajani alipandisha uso wake mpaka kwenye uso wa Sam kisha akaleta mdomo wake vikagusana na ule wa mme wake.
Sam alijitahidi kuukwepesha lakini Rafiki akufwata huko huko uliko akaudaka na kuanza kuunyonya, wakati huo huo Rafiki alipeleka mkono wake kwenye maungio ya Sam na kuanz kuyapapasa.
Wakati wote huu RPC na watu wengine hawakujua kwani RPC alikuwa kaka mbele na Dereva, Mkewe yaani mama mkwe wa Sam alikuwa kaka katikati na nyuma walikuwa ni Sam na Rafiki peke yao.
Sam alipokuwa anaendelea kushikwa alianza kusisimkwa kisha mhogo wake ukatuna na kusimama dede, ghafla mawazo yote ya msiba yalipotea na kujikuta akizama kwenye ‘huba’ nzito.

Nayeye hakusubiri sana alianza kuelekeza mkono wake kwenye chuchu za Rafiki na kuzipikicha kitendo kilichoamsha mashetani ya Rafiki, alizipikicha zile chuchu kwa mda huku rafiki yeye akiwa amemtia jongoo wa Sam mdomoni anamnyonya kama koni.
Sam alipoona mambo yamekuwa mambo alikamata suruali ya Rafiki na kuifungua zipu kisha akaanza kupeleka mkono wake chini akakutana na nguo ya ndani akaipangua, alizidi kuzama chini na kukutana na vinyweleo vinavyochipukia baada ya kunyolewa.
Alizidi kuzama chini akaanza kukutana na unyevuunyevu, alikitenga kidole cha katikati kisha akaanza kukizamisha ndani huku Rafiki akitanua miguu zaidi ili kizame.

Katika hali iliyomshangaza Sam ni pale Rafiki aliposimama na kushusha suruali yak echini kidogo, alipoishusha alirudi akamkalia Sam taratibu hadi kitu kikapenya ndani kisha wakaanza kusulubiana taratibu wakiwa wananakshiwa na mtikisiko wa gari kwani walipofika kwenye matuta ilikuwa ni kama wanasaidiwa kwani ilikuwa inaingia vizuri.
Ghafla Rafiki alianza kutoa sauti za mahaba, haraka haraka Sam alimziba mdomo kisha akazidisha mashambulizi kumsindikiza mkewe kwani alijua kuwa anafika kileleni.

Dakika kadhaa mbele Rafiki alitulia kuashiria amefikia lengo, Sam nae alimkumbatia mkewe zaidi kisha akajitengea vyema hatimaye nae akatua mzigo bandarini salama.
Rafiki alisimama akapandisha suruali yake kisha akambusu mme wake na kumlaza kwenye mapaja yake kisha akamwambia … “asante sana mme wangu sasa nawewe lala kidogo”
Sam alilala kweli na usingizi ukamchukua huku safari ikiwa inaendelea, alilala huku Rafiki akitumia muda huo kumsugua sugua

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)