MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (35)

0

SEHEMU YA THERATHINI NA TANO
TULIPOISHIA...
Rafiki alisimama akapandisha suruali yake kisha akambusu mme wake na kumlaza kwenye mapaja yake kisha akamwambia … “asante sana mme wangu sasa nawewe lala kidogo”
Sam alilala kweli na usingizi ukamchukua huku safari ikiwa inaendelea, alilala huku Rafiki akitumia muda huo kumsugua sugua

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

TUENDELEE...
Gwakisa alishtuka kwani kofi lilimuingia vilivyo, aligeuka haraka akitaka amkwide Verity lakini akaishia njiani baada ya kukutana na Verity aliyekuwa analia kwa kwikwi!
“Hivi mimi nina mikosi gani jamani…nimepoteza mtoto, mme wangu kawa hanisi hivi nitapata mwingine kweli”
“Verity acha kuongea maneno hayo”
“Nisiongee vipi, nikae kimya kwa lipi sasa, siwezi siwezi kukaa kimya wakati sina mtoto alafu mme mwenyewe hanisi” katika madhaifu ambayo Verity alikuwa nayo ni hasira, kukosa subira na uropokaji
Kwa haya Verity alikuwa amebarikiwa nayo, Gwakisa aliumia sana alijisikia vibaya mno kwakuwa haiwezekani ishu ya siku moja tu lakini mkewe anakosa uvumilivu na kuongea yote yale…
“Verity naomba uniheshimu, nimekuvumilia lakini naona unanipanda kichwani sasa, umezaa mtoto na mwanaume mwingine ukanisingizia mimi, nimekaa kimya unaniona boya eenh?”
“Acha visingizio Gwakisa mtoto ni wako alafu unanisingizia tu”
Gwakisa aliamka akaenda kabatini akatoa bahasha yake aliyokuwa ameificha kisha akawasha mwanga mkali kwani huwa wanawasha mwanga wa taa kidogo tu wakati wa kulala…

“Si unajua kusoma wewe? Haya soma haya majibu ya DNA”
Verity alinywea akaishika karatasi aliyokuwa ameshika Gwakisa, alisoma mpaka mwisho kisha akajikuta anaishiwa pozi.
“Ongea tena sasa, mbona kelele zimekuishia”
Verity alikaa kimya akiwaza ndani ya akili yake, alijikuta akiamini kwa uhalisia kuwa kumbe kweli Princess alikuwa mtoto wa Sam, aliamini kwa asilimia zote japo alikuwa anajua hivyo lakini haikuwa kwa uhakika kabisa kwani alitembea na SAM na GWAKISA wote kwa vipindi vya kukaribiana.

Wakati anaendelea kuwaza Gwakisa yeye alikuwa anawaza kuhusu tatizo lililomkumba, alikumbuka mambo mengi lakini kubwa zaidi ni hali iliyomkuta kule kwa Yule dada Askari ambapo uume wake ulisimama kiasi cha kumfanya awe kama mgonjwa alafu anarudi kwake unakuwa hausimami hata kidogo.
Hapo hapo akajua kuwa kuna kitu yula dada amemfanyia, kwa hasira aliamka akavaa trak yake akachukua funguo za gari kisha akatokomea barabarani.
Alipokuwa njiani aligundua kuwa amesahau bunduki yake akataka kurudi lakini akajisemea moyoni kuwa…
“Potele mbali, Yule namuua bila bunduki, tena ndio vizuri iwe kimya kimya”
…………………………..
RPC alilisogelea gari kisha akaanza kulizunguka akitafuta watu wanaolitingisha huku yeye mawazo yake yote yakimwambia kuwa huenda ni wezi wanataka kuiba spea za Gari yake.
Akiwa anachunguza gari lake alilizunguka lote lakini hakuona mtu yeyote, aliamua kuinama kwa tahadhari akichungulia chini uvunguni mwa gari lakini vule vile hakuona kitu wala mtu yeyote.
Moja kwa moja alijua mtu huyo yumo ndani ya gari, pole pole alitia mkono mfukoni akatoa simu yake akawasha sehemu ya tochi.
Alimulika mule ndani ya gari… ‘oooh’ Loh! Aibu ilimshika, hakuamini alipomuona binti yake kamkalia mwanaume kwa juu wanafanya mapenzi huku mwanaume Yule akiwa anazichua chuchu za mtoto wake ambaye ni Rafiki.

Haraka haraka alizima simu yake na kuosogea pembeni, alianza kuwaza na kuwazua, alikuwa na uhakika wote kuwa mwanamke aliyemuona hakuwa mwingine isipokuwa ni binti yake wa kumzaa isipokuwa sasa, hakuiona sura ya mwanamke aliyekuwa amekaliwa kwa juu.
Aliwaza akafikiri huenda ni SAM, lakini akili yake ikawa inamkatalia kuwa Sam hawezi kuwa na nyege za kumlala mkewe ndani ya gari kama vile wanakutana kwa dharura wakati ni mke wake mwenyewe.
Kingine ni kwamba iweje Sam awe na mihemko hiyo ikiwa amefiwa na mtu muhimu kama mama yake mzazi, moja kwa moja alijua kuwa mwanae anachepuka, jambo ambalo hakulipenda… moyoni mwake Alishampenda Sam sana kama mkwe wake.
Alichoamua ni kufwatilia maaskari wake wote aliokuja nao akidhani kuwa huenda mmoja wao ndio yuko na Rafiki,

Alizunguka lakini ajabu ni kwamba wote aliwaona, ila kingine ni kuwa katika Zunguka yake yote Hakumuona Sam kisha akapitisha kuwa huenda Sam ndie alikuwa anafanya kile kitendo kule ndani ya Gari.
Hakutaka kuamini moja kwa moja, alimfwata mkewe na kumhoji kuwa ndani ya gari aliwaacha akina nani?
“Kwanini unauliza hivyo? Nilimuacha Sam na Rafiki”
“Okey sawa”
RPC hakutaka kuhoji zaidi ila alijilaumu kuwa kwa mara nyingine tena ameuona uchi wa mtoto wake kitu ambacho kilimhudhunisha sana.
“Dah natakiwa nikae mbali sana na hawa watoto, ipo siku nitadhalilika sana!”

Akiwa amekaa na mkewe wanakunywa na kula, ghafla mbele yao alitokea Sam na Rafiki wakiwa wameshikana mikono, Hapa ndipo RPC alijua fika kuwa hawa ndio aliwaona kule kwenye gari.
Alijisikia aibu sana na hakuweza kuwaangalia machoni, aliinamisha kichwa chake chini ili asiwaone machoni maana alihisi kuwa alivyowamulika huenda nao walimwona.
“Mama naona mnajichana tu” aliongea rafiki.
“Ah tunajichana wapi, mbona kawaida tu kaeni na nyie mle”
Rafiki alikaa kisha akamvutia Sam kiti ili nae akae isipokuwa Sam alikaa tu kwa shida ila hakutaka kukaa pale.

“Mama wewe ndie ulikuja kwenye gari?”
“Mh mimi sijaja huko kwanini?”
“Kuna mtu tulimuona anakuja na kumulika kisha akaondoka”
“Mhhhh mimi sikufika huko, eti Baba Rafiki wewe umeenda huko?”
RPC likuwa kama anashituliwa usingizini lakini hakukubali kujibu kuwa yeye ndie alienda kule.
“Hapana mimi sijaenda huko”
“Ulivyotoka hapa ulienda wapi,” aliuliza mke wa RPC.
“Nishakwambia sijaenda huko”
Kwa majibu haya Sam alihisi kuwa kuna dalili zote kuwa aliyekuja kule ni RPC ila anaona aibu kwakuwa aliwakuta wakiwa wanavunja amri kwenye gari lake.
Mjadala uliisha kwa Rafiki kuagiza nyama ya mbuzi ya kuchoma na Red BULL wakawa wanakunywa na kula.

Baadae sana huku story zikiwa zinaendelea RPC yeye alikuwa anabugia castle lite akawa amelewa sana kwani alitaka apotezee mawazo ya kuwaona wanae wakiwa kwenye hali ile ya kugegedana.
Waliondoka kwenda kwenye magari yao ili safari iendelee lakini RPC alimvuta Sam pembeni na kumnong’oneza jambo
“Siku nyingine usimtom..bee mwanangu kwenye gari langu”
Sam alishtuka lakini RPC kwa mara nyingine akamwambia “usishtuke twende kwenye gari”
Sam aliondoka wakaingia kwenye gari na kwakuwa wao walikaa siti ya nyuma ilibidi wapishwe ili wapite kwanza kwani siti za nyuma hakukuwa na mlango wao binafsi.
Waliingia kwenye gari ikiwa ni saa tisa usiku kisha safari ikaendelea. Walitembea mpaka walipofika Same wakakunja kuelekea milimani ambapo baadae walianza kukutana na mawingu mazito wakiwa wanapandisha milimani kuashiria kwamba sasa Wako kwenye milima ya Pare.
Baridi ilikuwa kali mno na tayari mwenye koti lake alianza kulitafuta lilipo na kulivaa, Sam na Rafiki walikumbatiana kwa kutafuta Joto lakini Sam alijitahidi sana kuzuia hisia zake isije ikatokea kama yale ya awali.

Kilichomhamisha Sam Mawazo ni baada ya kuona milima na miinuko ya kule kwao, alianza kukumbuka siku za nyuma na maisha jinsi yalivyokuwa.
Aliona vijiji vikiwa vimefunikwa na kijani kibichi pamoja na migomba mingi huku Moshi wa kuni ukiwa unaonekana kwenye baadhi ya nyumba.
Gari zilikuwa zinaendelea kukatisha kwenye vijiji hivi kwa mwendo wa taratibu kwasababu yak on nyingi na mifereji ya maji iliyokuwa inakatisha barabarani kutokana na kilimo cha umwagiliaji kutawala sana kwenye hivi vijiji.
Kwa Sam ilikuwa ni nafasi nyingine ya kuyaona tena makazi yaliyomkuza na aliyoyazoea, maeneo mengi aliyokuwa anapita alikuwa anayajua fika.
Hofu ilikuwa ni kwa Rafiki ambaye alikuwa hajawahi kufika huku hata mara moja, milima ile ilikuwa inamuogopesha sana akiangalia jinsi gari zinavyoipanda na kuishuka.

Sam yeye mawazo yalikuwa mbali sana akikumbuka siku za nyuma akiwa kwenye hivi vijiji, japokuwa ilikuwa ni vijijini lakini kulikuwa na nyumba nzuri na za kisasa huku umeme ukiwaunawaka kwa karibia kila nyumba.
Ilipotimu saa kumi na mbili alfajiri walifika jirani na nyumba ya akina Sam ambayo ndipo alipozaliwa mama yake Sam.
Uzuri ni kwamba Sam alipopata kazi jambo la kwanza lilikuwa ni kuijenga nyumba hii aliyokuwa anaishi Bibi yake mzaa mama yake kwani ilikuwa ni kuu kuu sana wakati huo akiwa hajaajiriwa kama askari.
Mama yake alipoanza kuugua na kuacha jazi ya baa alihamia hapa hivyo Sam aliona hana sababu ya kutokuikarabati na sasa inaonekana ni nyumba ya kisasa na inamsitiri katika wakati huu wa msiba wa mama yake.

Walipokaribia pale walianza kuona watu wengi wakiwa wametanda kila sehemu jirani na kwao, vijana wengi walikuwa wanaota moto ambao ulikuwa umewashwa kuashiria kuwa walilala matanga hapo.
Kama kawaida ya watu wa kijijini walipoona magari yanaingia waliyakimbilia na kuanza kushusha mizigo iliyokuwa kwenye yale magari.
Mizigo kama viroba vya mchele, mafuta ya kupikia, mahema, unga wa ngano mabegi na mizigo mingine vilishushwa kisha watu wakastaajabu kuona askari wenye nyota zao wakishuka sambamba na RPC.
Kimya kilitanda na kila mtu alikuwa anawatolea macho RPC na wale askari wake,
Salamu zilianza kwa kushikana mikono kwa kuwasalimia watu wote waliokusanyika pale.
Sam aliposhuka kwenye gari na kuonwa na watu waliokuwepo hapa ndio fujo zilianza, kila mtu alimkimbilia na kumkumbatia huku wanampa pole.

Hata mkewe Rafiki alishangazwa na kile kitendo, hakujua kuwaa kumbe mume wake alikuwa kipenzi cha watu kiasi kile, alikuwa anapendwa na kujulikana kwa kiasi kikubwa namna ile.
Lakini ukweli ni kwamba ukarimu wa sam, kujitoa kwake na kuwaheshimu wakubwa kwa wadogo kulimfanya awe kipenzi cha kila mmoja pale kijijini.
Jambo jingine ni uhodari wake kwenye michezo ndio ulimfanya awe kivutio kikubwa kwani karibia vijana wote walimjua kwa uhodari wake kwenye ugolikipa.
Machozi yalikuwa yanamtiririka mashavuni lakini yalizidi baada ya sura yake kumuona mtu Fulani kwa mbali wakakutanisha macho…
Huyu hakuwa mwingine bali alikuwa ni Mwalimu Josephine Karia….

Gwakisa aliendesha gari kwa fujo mpaka akafika nyumbani kwa Yule dada Askari, alipofika aliliegesha nje kisha akazama ndani bila hata kubisha hodi.
Alipofika ndani aliangalia pale sebuleni lakini hakuona mtu yeyote, aliendea mlango wa chumbani akausukuma ukafunguka.
Alipofika ndani aliona mwanamke mrembo akiwa kwenye vazi la sidilia na chupi tu amejilaza kitandani,
Alikuwa ni mwanamke mrembo kweli ambaye alikuwa na ngozi nyeupe pee na laini hata kwa kuitazama tu.
Huyu hakuwa mwingine bali ni Yule Yule dada Askari, alimuangalia Gwakisa kwa macho ya kurembua lakini alikutana na uso wenye makunyanzi kweli kweli.

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)