NILILALA NA MAITI 20 ILI NIOLEWE NA RAIS (3)

Zephiline F Ezekiel
0

SEHEMU YA TATU
ILIPOISHIA...
Na mara nyingi huwa inatutokea tukiwa katika mawindo yetu haya. Sasa si unaona na maua kabisa yanaonekana yamewekwa leo. Watakuwa walikuja kulisafisha na kuliombea mchana au asubuhi”“Ndio”“Lazima utakuta waliweka maji yao ya Baraka sambamba na kuliombea lakini usijali Adela, dawa zetu zina nguvu zaidi yao twende.”

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

ENDELEA...
Nilishangaa nakuwa mwepesi kwa mara nyingine.

Sophy alinivuta mkono wangu sambamba nakunipokonya kile kibuyu nilichokuwa nacho nakubakiwa na mkia pekee. Niliongozana naye kwa zaidi ya makaburi kumi na moja akasimama.“Adela umepaona hapa?”“Ndio”“Hapa kibuyu kimekataa kusogea na hata mkia pamoja na shanga zangu za kiunoni nilizokuwa nazo zinacheza cheza sana. Na wewe umehisi hilo?”“Mimi zinaniwasha sana na mkia nilioushika unajitingisha wenyewe”“Basi hapa ndipo penyewe.Kama ukiona kibuyu kinacheza peke yake ujue hilo ni kaburi la mwanamke achana nalo. Lakini kama utaona kibuyu paoja na mkia na hizo shanga ulizonazo zote zinacheza cheza ujue hilo ni la kiume na hata si unaona kaburi lilivyo jepesi pamoja na mchanga wake uliofukiwa inaonyesha dhahiri kuna maiti ya kiume tena imefukiwa leo leo.

Haya unatakiwa uweke kibuyu hapo pembeni ya msalaba wao hili nguvu yetu ya kichawi iweze kushinda na baada ya hapo utatumia mikono yako kuchimba hili kaburi”Ule woga wote niliokuwa nao ulishafutika toka nimekatwa maziwa yangu nakuwa mchawi kamili. Roho ngumu na ya kichawi ndio ilionitawala katika halmashauri ya kichwa changu. Kwa haraka zaidi nilifanya kama nilivyoelekezwa na Sophy. Nilichimba kaburi kwa kutumia mikono yangu. Nilishangaa nguvu za ajabu nilizokuwa nazo za kuweza kulifukuwa kaburi refu kwa muda mchache nilijikuta nimeshafika umbali mrefu sana. Niligeuza macho yangu kuangalia juu nilipotoka lakini sikuweza kumuona Sophy japokuwa kulikuwa na mwanga wetu wakichawi uliosaidiana na mbalamwezi.

Nikaendelea na kilichonileta hapa kaburini.Baada ya kuendelea kuchimba kwa muda kidogo nilikutana na mbao mbao. Akili yangu ikajibizana na mdomo nakutambua kuwa ilikuwa ni jeneza. Nilishika mbao zake kwa nguvu zote nakuanza kulifungua. Nilifanikiwa kulifungua japokuwa nilikutana na harufu kali sana. Mara nyingi harufu za kichawi hufanana sana na zile pafyumu za kupulizia maiti hivyo hazikuniathiri pua zangu ama mimi mwenyewe. “Umependeza!!”Nilijikuta natoa mdomo wangu nakuusemea moyo huku nikiangalia ile maiti kwa jinsi ilivyokuwa imevalishwa suti nzuri na ya kuvutia. Nikalitoa bao lote lililokuwa limefunikiwa kwa juu. Nikaanza kumvua nguo zake taaratibu kuanzia tai, koti la suti na kisha nikamalizia suruali yake mpaka akabakiwa uchi kabisa. Mwili wake ulikuwa umesinyaa sana nadhani ilitokana na kukaa mochwari kwa muda mrefu ama alikuwa akiugua sana hilo sikulijali Adela mimi zaidi ya kuendelea kumvua nguo.“ Mlambe lambe kuanzia kifuani, mdomoni, na kisha umnyonye sehemu zake za siri. Ukimaliza ufanye naye mapenzi kwa kumlala juu yake kama wafanyavyo wapenda nao huko duniani!

”Sauti mbili mbili zilizochanganyikana na sauti ya Sophy zilikuwa zikitikisa ngome ya masikio yangu.Nikataharuki! nikaanza kuzubaa sasa. Kadri nilivyokuwa nikizubaa kwa kuzisikiliza sauti zile zilipotokea ndipo nazo zilikuwa zinaongezeka na kurudia maneno yale yale. Kwa takribani dakika tano nzima zile sauti ziliongezeka mara kumi ya pale kwani niihisi watu wengi sana wananiambia maneno yale. Mwili wangu ulishtuka kama vile ulipigwa na radi.Nilijikuta ghafla nikisisimka sambamba na furaha. Nikaanza taratibu kulamba usoni ile maiti na mikono yangu nikiitumia kumtoa pamba zake puani na masikioni mwake.

Niliendelea kumnyonya mdomoni mwake huku ulimi wangu nikiutelezesha mpaka kifuani mwake.Nikiwa bado katika hali ya kumnyonya ghafla nikashangaa ile maiti kushtuka. Nikataharuki! nikainuka nakuiangalia, nikashangaa jicho moja la maiti hii likifumbua nakunitazama. Nikabaki nimetulia kama mtu aliyegongewa misumari katika mbao.“Sophhhhhyyyyy??”Uzalendo ulinishinda kabisa nikabaki nikitoa sauti ya ukali na ya juu kabisa kumuita Sophy. Sophy yule niliekuja naye huenda nilikosea masharti au nguvu za kichawi zimeniishia. Lakini sikuambulia msaada wowote zaidi ya ile sauti nilioitoa kumuita Sophy ikinirudia mwenyewe mithili ya mwangi wa sauti katika mapango marefu na yenye giza.* Unavyodhani Adela atanusurika hapo na hiyo maiti? Vipi kuhusu Sophy?, atakuwa wapi au amerudi kule kwa wachawi wenzake akamuacha Adela? Nini hatma ya maisha ya Adela?

Mara nikasikia tena zile sauti zikinyamaza.Kimya! Pakawa tuli kwa muda kidogo. Kimya kikaendelea kutawala eneo lote lililonizunguka.Muda wote mikono yangu ilibaki imeishikilia ile maiti kifua chake.Lile jicho moja la maiti lililojifungua likaendelea kunitazama. Nikalikazia na mimi tukitazamana.

“Endelea sasa!, mlambe? Mtomase mwili wote na kisha tumia ulimi wako kumnyonya sehemu zake za siri!”

Ilikuwa ni sauti ya Sophy ikipenya kwa mbali katika ngome ya masikio yangu. Ilikuwa ikinong’ona kwa kunibembeleza. Nikajaribu kuyazungusha macho yangu kwa kuangalia alipo. Huku na kule sikuweza kufanikiwa kumuona zaidi ya kuhisi kama mkia ukinigusa mgongoni mwangu.Kadri ule mkia ulivyokuwa ukinigusa eneo la mgongoni mwangu ndipo na nguvu za kichawi zilivyokuwa zikinirudia. Nikajihisi kusisimka kuanzia kichwani,kiunoni mpaka miguuni.Nikapata ujasiri wa ghafla.Nikavuta pumzi kwa kuhema juju huku nikiinamia ile maiti kwa kuitazama. Taratibu nikaendelea na zoezi lililokuwa limenileta. Zoezi la kuhakikisha nafanya mapenzi na maiti iliokuwa mbele ya macho yangu. Maiti ya mwananume aliokuwa amevalishwa suti maridadi ambaye sasa alikuwa mikononi mwangu. Takribani dakika ishirini nilikuwa bado nikiilamba maiti vilivyo. Zile nguvu za kichawi ziliniongezeka mara mbili yake.

Nikaishikilia ile maiti nakuiinua mpaka ikasimama mithii ya mwanajeshi akiwa mstari tayari kwa kupiga kwata.Nikaivua nguo yake ya ndani nakuirusha pembeni. nikakutana na sehemu zake za siri. Sehemu ambazo zilikuwa zimesinyaa sasa zikawa ndani ya mdomo wangu nikizinyonya na kulazimisha zisimame ingawa ilikuwa tayari ni maiti ambayo isingeweza kufanya chochote. Wachawi huwa hawaoni uchafu wala kinyaa kwa kitu chochote kibaya ama cha kutia kichefu chefu kwa wanachofanya. Kwa kuwa tayari nilikuwa mchawi aliyekamilika. Aliyekamilika kwa kutembea uchi pasipokuwa na nguo yeyote usiku. Nikiongozwa na ungo,mkia pamoja na mkia vikiwa ni silaha yangu kubwa kwa kujikinga na watu duniani wasiweze kuniona wala kunikamata. Nilipomaliza kumlamba na kumnyonya nikachukuwa kiungo chake kimojawapo kati ya viungo vya sehemu zake za siri nakukalia kwa juu.Nikaanza kukatikia haraka haraka. Kwa jinsi nilivyokuwa nikiendelea kukatikia na utamu nao ndivyo ulivyokuwa ukinizidia.

“Ohhh asante! Asante!”

Niliusemea moyo. Nilijikuta nafurahia kufanya mapenzi na maiti kwa mara ya kwanza toks niwe mchawi kamili huku nikinena kwa lugha mwenyewe.

“Inatosha sasa! Inatosha Adela urudi nyumbani sasa?”

Ile sauti ya Sophy ikanirudia tena katika himaya hii ya makaburi. Sikuweza kumuona zaidi ya kuhisi sauti inapotokea tu.

”Nitarudi vipi sasa Sophy?”

Nilimuuliza hivyo hivyo pasipo kumuona.

“Inuka hapo ulipo kisha nenda kona ya hilo kaburi halafu tutakutana nyumbani. Sawa Adela?”

“Sawa. Na maiti hii niirudishie? Na kuhusu kufunika je?”

“Adela? Wewe zoezi lako limekwisha nenda kona hapo. Kuna misukule yetu ambayo tunaichukua kila siku kwa ajili ya kufanya kazi kama hizi za kufukia makaburi yaliochimbwa kwa nguvu zetu za kichawi. Watairudishia kama ilvyokuwa”

Ilinibidi kuitii ile sauti niliyohisi huenda ni ya Sophy. Nikachukuwa kibuyu na mkia wangu kisha nikajongea mpaka kona ya kaburi nakusubiri kitakachotokea. Haikuchukua muda nikajikuta nimeyeyuka.

Kiza kinene kiliendelea kutawala mbele ya macho yangu. Hakukuwa na mbalamwezi wala nyota hata moja. Vicheko vingi vya kichawi ndivyo vilirindima zaidi. Nilijikuta na mimi nikiwa katika eneo lile la awali. Eneo ambalo lilikuwa ni himaya kuu ya wachawi. Pale ambapo nilikaribishwa kwa nguvu za kichawi mara ya kwanza na kujiunga rasmi na uchawi. Nami nikatoa kicheko cha kichawi nikiwaangalia.

“Adela kwanza hongera kwa kuweza kufanikisha zoezi la kwanza la kulala na maiti”

Aliongea mzee mmoja. Yule mzee alioyachukuwa maziwa yangu mawili na kuyakata kisha akayatoa na kuwapa mabinti wagawane kwa kuyatafuna. Kwa muda huu alikuwa akizungukwa na wachawi wenzangu tena wote kwa pamoja kila mmoja akimtazama na kucheka naye.

“Adela? Una siku kumi tu ambazo unatakiwa uwe umeshamaliza kulala na kufanya mapenzi na maiti ishirini. Hivyo kwa siku unatakiwa uwe unafanya mapenzi na maiti mbili. Kama leo ulikuwa makaburini utatakiwa uende pia na mochwari ukafanye mapenzi na maiti nyingine mpaka idadi ya maiti ifike ishirini. Sawa?”

Nilijikuta mwili ukiendelea kunisisimka kwa maneno niliokuwa nikiyasikia kutoka kwa mzee. Baridi si baridi na wala joto si joto likajipenyeza ndani ya moyo wangu. Sikuwa na moyo wa hasira tena zaidi ya kuwa na moyo wa furaha muda wote haswa nikiambiwa vitu vihusivyo uchawi. Shauku kubwa ikabaki ni jinsi gani nitalala na maiti zile za mochwari. Akili yangu kuu nikaielekeza kwa jinsi maiti zinavyohifadhiwa katika majokofu yake huko mochwari. Nikalifikiria sana baridi la kwenye majokofu kisha akili ikanipeleka hadi jinsi nitakavyofanya nayo mapenzi na ule ubaridi wake.

Jamila

Aliita yule mzee. Alikuwa akimuita binti yake. Binti yule aliotumwa panga mara ya mwisho na mzee wake huyu. Akasogea mpaka eneo la karibu na baba yake.

“Abee baba!”

“Sasa wewe ndio utakuwa na Adela katika kumpeleka huko mochwari. Hakikisha amefanya kama tunavyofanyaga tukiwa na maiti jinsia tofauti. Sawa mwanangu Jamila?”

“Nimekulekewa baba”

Jamila alipomjibu tu baba yake. Akanifuata mpaka karibu yangu.Rundo la wachawi wenzangu walibaki wakinishangaa.

“Adela twende?”

Nikawa namfuata kwa nyuma nisijue tutapoteaje mpaka kufika huko mochwari. Kwa mwendo kidogo huku tukiwa katika himaya zetu za kichawi. Jamila akainama chini kisha akasimama akiwa ameshikilia mkono wa mtoto mchanga. Mkono uliokatwa nakubakiwa na sehemu ndogo sana.Jamila akang’ata kipande cha nyama kisha akanipa.

“Na wewe kula Adela?”

“Hapana mimi nimeshashiba Jamila!”

“Adela, hii ndio dawa yetu ya kutukinga tuendapo huko mochwari. Na nyama hii ya mkono wa mtoto mchanga tuliipata huko huko mochwari. Ni tamu sana shika kula!”

Jamila akanilazimisha kuila ile nyama. Mwanzoni nilimkatalia lakini kwa kuwa ilikuwa ndio kama dawa ya kuenda huko mochwari haikuwa na budi kuila.

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

 Ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi Shawishi Wapenzi wa Simulizi Wapakue(Install) App ya CnZ Media

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)