BODY SPRAY: HANDSOME BOY (7)

Zephiline F Ezekiel
0

SEHEMU YA SABA
ILIPOISHIA...
"dickson mimi nakusihi kwa mara nyingine tena hiyo mipango yako unayotaka kufanya lazima utafeli tu si unajifanya mjanja"

kichwa kiliniuma sana kwani nilijua ni jini sadia maana nilifunga mlango ile barua itakuwa ameileta yeye.

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media INSTALL ILI USIPITWE NA SIMULIZI

ENDELEA...
Nilikurupuka kutoka chumbani huyo mpaka nje nikaenda na kukaa katikati ya wale wamama huku ninahema kweli. "jamani nani aliingia ndani nauliza jamani nisaidieni"

"kwani kuna nini ndani kwako dick jamani?" aliongea mama mwenye nyumba

"barua barua kuna barua"

"khee jamani ebu twendeni tukaione hiyo barua"

Walinyanyuka wakawa wanaenda chumbani kwangu huku mimi nawafata kwa nyuma wakaingia ndani mimi nikabaki nje ili nisikie kitakachojiri kama ipo niliapa sitalala mule ndani kamwe.

"mbona hamna kitu hapa mezani umeiweka wapi sasa?"

"chungulia hadi ufunguni huko itakuwa imeanguka"

Walijitahidi kusogeza sofa, meza kabati lakini awakuiona wakaanza kuongea wenyewe huko ndani huku mimi nikiwa standby kwa lolote tu ni mwendo tu.

"nenda ndani dickson amna kitu bwana ni uoga tu"

"anhaa kumbe uoga basi ngoja nibaki tu hapa nje naomba nifungieni huo mlango, mzime na taa nipeni huo ufunguo"

"jamani inawezekana kweli sasa sijui tumpigie simu mchungaji lusekelo?" alisema mama anna aliyekuja kwa rafiki zake.

"mmh sasa hivi ni usiku itakuwa ngumu labda tukamuone kesho jumatano ni siku ya maombi na maombezi"

"sawa amna neno mmoja kwani amna mtu wa kiume abaki nae kwa usiku wa leo?" aliuliza mama anna asijue maisha yetu pale ndani.

"hapa amna ila nitabaki nae mimi" alisema mother house.

***

Nilienda kuoga mlango ukiwa wazi na mama mwenye nyumba akiwa mlangoni kuniangalia na niliapa kama kikitokea kitu nitamrukia kweli kama tukianguka sawa tu. Nilioga nikamaliza na kujifunga taulo mpaka ndani kwangu ile naingia ndani pale mezani nakuta msosi umetengwa na juice pia na jinsi nilivyokuwa na njaa sikutaka kwenda kuvaa kwanza nilikaa kitako na kuanza kujipakulia mother house akanishka mkonö. "mmh najua una njb acha nikupakulie mezani mpaka chumbani nitakupakulia pia"

Nikawa mpole na kupagawa na ule usemi kuwa mpaka chumbani nitapakuli haya yangu macho na jinsi ninavyoyapenda hayo mambo ya kupakuwa hata sinaga shida maana zangu ni kukwangua mpaka ukoko na kuumwagia mchuzi wa nyama ili kuulainisha.

"hapa mama nashukuru sasa naweza kulala sasa nisikusumbue wewe nenda kalale me nitalala mwenyewe"

"utaweza kweli kulala mwenyewe wewe?"

"nitaweza tu mama usiwe na wasi"

"basi nikwangulie ukoko kwenye sufuria ukiweka mchuzi tu me naondoka nao"

"jamani mama haya japo kijiko sina"

"usijari hata kwa mkono tu we kula mimi nipo vizuri"

Ukoko ulikwangulika vizuri na kwa jinsi nilivyokuwa na uzoefu wa kukwangua ukoko wa kila aina ya mchele kwanzia vip, kitumbo, super ya mbeya, morogoro na shinyanga ile ya high class. Wabeja sana nilijikuta namwaga mchuzi kwenye ukoko nikajitupa pembeni. Nikamuasha mama nae anamalizia malizia akajifuta na kanga yake kisha akanibusu akaniweke noti za elfu kumi nne na kuondoka zake.

Nilipitiwa na usingizi mara mtu akawa ananitikisa kwa nguvu baada ya kuniita sana sijaamka. Alikuwa ni amina aliyekuwa na kanga moko tu.

"afadhali nimekukuta maana nimekuulizia sana mimi nina jambo moja dick"

"jambo gani?"

"hivi kweli una mpango wa kunioa au unanichezea tu?"

"mpango upo sema soma kwanza"

"sawa nasoma lakini nimekwambia hivyo makusudi kwani nimeamua kubeba mimba yako"

"niniiii?"

"unashangaa nini sasa haya nikane kama haukunipa wewe maana si ndo mlivyo wanaume"

"unajua amina una makusudi sana yani kweli kabisa unaniambia kirahisi eti nimeamua kubeba mimba yako na masomo itakuaje? Au mama yako akijua itakuaje?"

"masomo nimebakiza miezi3 nimalize shule na mama huyu si ataambiwa tu"

"sawa hamna tatizo me mbona sina neno nahitaji kweli huyo mtoto lakini kuwa muangalifu nenda kalale kesho nadhani tutaonana jioni nikirudi"

Amina aliondoka kumbe nyuma ya mlango alikuwepo sada dada yake na alisikia kila kitu ile natakakuzima tv nashangaa mlango unafungulia sada huyo.

"naona safari hii umeamua kuiabisha familia yetu na nilikwambia hapo kabla dick ona mimi na mdogo wangu umetutia mimba yani wanaume nyie"

Nilikaa kimya na sikumjibu lolote akaanza kunipiga piga kifuani na mwishowe akanilalia kifuani na kukb iguuni mwangu "dick nakupenda sana najua mimi unanichezea tu lakini hata kama ukioa sitaacha kukupenda" yale maneno yalinichoma sana.

"nakuomba mpenzi usitoe hiyo mimba kiukweli nataka mtoto kwa sasa nakuahidi nitamlea nakuomba"

"sawa dick hata mimi nataka kuzaa na wewe ili iwe kumbukumbu kwangu pia hata ukija kuoa nitakuwa nikikaa na mwanangu nakukumbuka"

Nilimnyanyua na kumpakata kwenye mapaja yangu na kumnong'oneza kwa maneno ya mahaba nikawa kama namtekenya masikio akadata bwana kuondoka haondoki namwambia kesho basi hataki anataka nipalilie mimba maana kama nilimboast flani.

"dick naomba nitie japo vidole maana vimenipanda"

Nilimsweka vidole kwelikweli yani sio kidogo ilikuwa takribani dakika 40 mpaka akapasua yai nikamuasha akalale yani ametepeta mtoto wa watu mpaka aibu akawa anajishika kwenye ukuta na kunifanya nimuite.

"Sada! Sada! Sada"

"beee"

"kama utojali njoo ulale"

"hapana kesho baby ngoja nikalale tu hapa ninajisikia vibaya"

"pole bby wangu usiku mwema basi"

Niliagana nae kisha nikafunga mlango na kuzima kila kitu nikajitupa kitandani nikawa natafakari pale nimempa mimba mtu na dada yake nitaleaje kama wote wakijifungua na pale niliombea fundi rangi wamalizie niamie kwangu maana yale mauzauza ya pale ndani yalinishinda kabisa. Nikaona sina namna ngoja nimuombe ushauri bestfriend wangu richard nikampigia simu.

"hello kaka umeshalala?"

"hapana ndo nilikuwa najiandaa kulala mbona usiku leo kaka?"

"dah richard rafiki yangu wee tu yani hapa nimewatia mimba watoto wa mama mwenye nyumba yani hapa nyumbani nimechafua sana kaka alafu sasa kuna mtu ndo nina mpango wa kumuoa sijui itakuaje?"

"dah kaka hapo mbona umeharibu tayari kwanini usingeniomba ushauri kabla lakini anyway"

"nisamehe sana kaka alafu nilisahau kukuambia kitu kuna jini kaka ametokea kunipenda ananipata tabu sana yani naogopa"

Kabla sijamalizia kuongea simu ya angel ikaingia nikamwambia richard akate simu nikaongea na angel neno la kwanza aliniambia hivi.

"dick muda sasa sijaziona siku zangu nahisi nina mimba"

"we angel ebu acha masihara we ujui nyie wanawake siku hizi tarehe zinabadilika badilika katika mzunguko sasa nenda kapime kwanza onhoo"

"ndio nakubali tarehe huwa zinabidilika badilika lakini nina dalili zote za mimba na kumbuka siku ile nilikukataza usimwage ndani ukaniahidi utamwaga nje na ukufanya hvyo ulitegemea nini? Me nataka ukubali tu kuwa mimba ni ya kwako kwani uwezo wa kulea ninao mimi"

"mama huko umefika mbali, angel tatizo lako unapenda tubishane inawezekana ni malaria tu lakini umeshikia bango na maneno yanakutoka hamna mfano"

"dick mume wangu nitaenda kupima niakikishe kama kweli lakini najua mpango wetu wa kuoana upo palepale"

"hilo tu mpenzi ondoa shaka alafu kesho jioni uje hapa home"

"mwenzangu hapo kuja siwezi nyumba ukiingia watu wanakuangalia mpaka macho yanadondoka bwana, natamani nije nikupikie mume lakini nayo kazi inachosha sana"

Nilifanikiwa kumbembeleza angel mpaka akakubaliana na mimi lakini baada ya kukata simu nikatafakari, sada na mdögo wake amina nimewatia mimba haya na huyu tena angel nae ana dalili zote za mimba nilinyanyua simu kwa lengo la kumtafuta richard lakini cha ajbu usingzi ukanipitia palepale hata sikujua ni muda gani niliolala.

Nikiwa kwenye usingizi niliota amekuja mwanamke mwenye vazi jeupe mfano wa malaika vazi lililomfunika mpaka miguuni akanishka mkono lakini nikakataa akanivuta kwa nguvu na kunipaka kitu usoni nikajikuta namfata kama zuzu hata sikujua tuendapo na tazama kitu mfano wa merikebu kilikuja na wote tulipanda lakini safari ilikuwa ya muda mfupi sana akaniambia "dickson karibu kwenye milki yetu hii dunia nyingine yenye kila kivutio"

Nilitetemeka hasa palipoona tunaingia ndani ya maji na kwenda chini kwenye mahali nzuri na samani za kila namna. Tulifika mpaka mbele ya ndugu zake ambao ni watu wenye asilia ya ualabu. Alikuwa ni mzee.

"kijana naona kuna wanawake hawa watatu na mwanangu amekuchagua wewe je upo tayari? Na Tambua kama hautakuwa tayari kukuashia urudi duniani"

Wakati wanaendelea kuongea niliwaona sada, angel na amina wakiwa mfano wa watu ndani ya tv. Niliona tena nimelala kitandani lakini ni kama nimekufa nilimuona sada akilia kwa uchugu sana baada ya kuniamsha kwa muda mrefu.

"unajua dickson niliapa mwanaume atakayetumia bidhaa yangu nae akitoka afrika huyo ndie atanioa na wewe ni wa kwanza kutumia lotion na kikubwa body spray yangu hivyo wewe una bahati sana"

"bahati kumuoa jini! Nilijisemea moyöni huku naangalia kule na kuona watu wamezunguka mwili wangu tayari kwa kuukimbiza hospitalini nilitamani nirudishiwe uhai wangu japo sekunde moja nipate kuaga ya milele.

Mara sadia akaning'oneza "sitakuua ebu rudi tutaonana kesho" alinifumba macho ile nafumbua asubuhi nipo kitandani napiga chafya na watu wote walishtuka sasa mimi nilijiona nimeamka kutoka usingizini nikawasalimia lakini bado wakawa na wasiwasi nikabeba ndoo ya maji nikaenda zangu kuoga tayari kwenda kazini.

Watu walitawanyika na kila mtu aliongea lake mara nikamuona angel anaingia ndani haraka haraka huku anahema na alipöniona alinikumbatia mpaka nikaangua nae kitandani.

"jamani ungeniua we dick nilikuwa naongea na dokta hospitali eti nikapigiwa simu sijui na nani eti umekufa khaa! Hivi jana tumeongea leo ufe wakati nina taarifa njema kwako mume wangu"

"ipi hiyo?"

"si nina mimba ya mwezi na nusu sasa am very proud on this/najivunia na hili"

Hapo nilizidi kuchanganyikiwa maana sadia aliniandikia ujumbe ile juzi kuwa kila nitalofanya nitafeli je inawezekanaje wazazi wa angel wakakubali angel haolewe na mimi na wakati kuna skendo ya kuwapa mimba ndugu wa familia moja.

"wee dickson njoo utusaidie sada analia huku tumbo linamuuma"

mamaa yangu mimba yangu imekuaje au amekunywa dawa ya kutoa mimba? Jamani mimi!!

Nilipita na kutoka nje nikapita hadi chumbani kwao na sada na kumbeba tukamuweka kwenye bajaj mpaka dispensary ya karibu tukamuweka kwenye kitolori mpaka ndani.

Niliketi pale kwenye benchi kama chizi na nilitamani niingie ndani nione kinachotokea lakini nilishindwa kutokana na kutoruhusiwa kuingia mule ndani baada ya muda nilimuona nesi aliyekuwa zamu ule usiku akija na daftari kubwa mkononi.

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

  Ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi Zaidi Naomba Share App kwa Wapenzi wa Simulizi Wapakue(Install) App ya CnZ Media

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)