BODY SPRAY: HANDSOME BOY (8)

Zephiline F Ezekiel
0

SEHEMU YA NANE
ILIPOISHIA...
Niliketi pale kwenye benchi kama chizi na nilitamani niingie ndani nione kinachotokea lakini nilishindwa kutokana na kutoruhusiwa kuingia mule ndani baada ya muda nilimuona nesi aliyekuwa zamu ule usiku akija na daftari kubwa mkononi.

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media INSTALL ILI USIPITWE NA SIMULIZI

ENDELEA...
Yule dada alikuwa ni mrefu ana hips kubwa na mtako huoo na kinguo anachovaa kilinitoa roho kama akiinama napata tabu na muda mwingi alikuwa anafungua kifungo mpaka unaona sidiria yake na wakati huo hata yale maziwa yake na cheni ile aliyovaa shingoni ilikuwa inapita katikati ya yale matiti yake nisichukue mzigo nini. Mimi kuna style naitumia kuopoa watoto wazuri kama wale unajua nilifanyaje?

Kama kawaida zangu nikiona watoto warembo kama wale mbele ya upeo wa macho yangu huwa sipindi kuremba nachukua contact na kumtafuta whatapp au instragram hapo ni mwendo wa kutumiana video na mapicha picha ili mradi tu.

Ile siku ambayo huyu mdada anayetunza kumbukumbu kwenye ofisi yetu alinipa namba ilikuwa hivi. Nilivutiwa kiukweli na umbile laki na utamu wa sauti yake kwa mwanaume yeyote rijali ni lazima atakubali ninachokisema inahtaji nguvu za ziada kumkwepa sema kwa namna nilivyofanya ilikuwa ni kumpima imani yake tu.

Ulikuwa ni muda wa kutoka kula nikapitia dukani na kununua wembe kisha nikaja nao ofisini nikawa nimeketi nae akiwa kwenye computer anaendelea na kazi yake nikawa nakata kucha na nikafanya kusudi tu kwenye dole gumba nikajikata na kile kiwembe sehemu kubwa damu ikaanza kutoka nyingi.

"uuh tse tse tse" nilitoa kilio na kulia kama namuita paka.

"nini tena kaka dick jamani"

"dah nimejikata na wembe now ona damu"

Damu zilikuwa ninatamba kwenye mkono nikakimbilia chooni kunawa kisha ye mwenyewe akanifata na kuniita kwa nje.

"bosi dick, kaka dick, kaka dick, dawa hii hapa na pamba"

"asante dada we ingia tu"

Nilifungua mlango akaingia yule mdada na mimi nilikuwa kwenye sinki la kunawia nikawa namruhusu anioshe kidole akaniwekea spirit maana mule ofisini kuna box la first aid kit nikawa najifanya kuguna guna ili mradi tu nimpe moyo tiba inaingia lakini muda huo namuangalia kalio.

"vipi hapo unaöjaje"

"hapo sawa nashukuru japo inauma"

"haya pole jamani itapoa sasa hivi"

"vipi unaitwa nani?"

"jamani wewe sio ndio umenisajiri hapa! Me naitwa dorlen audax"

"wow! Nice to knw that mamaa mamaa"

Nilijifanya nimetereza nikamshikilia kiuno tena kwa mikono miwili eti najizuia.

"vipi tena bosi?"

"dorlen una kiuno laini shem anafaidi"

"aah jaman asante"

"vipi niendelee kushka jamani naöna raha"

"jamani bosi me nina mchumba"

"aah dorleen nini mchumba bwana me nina mke unaona pete ya ndoa hii sema penzi la kuibia linakuwa tamu kweli we nipe kidogo nakupromise utaenjoy baada ya hapa"

"mmh haya nakuja ngoja nikaangalie kawa wakina rose kama wamerudi"

Alitoka akiwa anachungulia chungulia na mimi nikafungua zipu yangu na kuitoa machne yangu nilikuta tayari nimeshamwaga unajua tena haya mambo ya nje ya ndoa. Mara dorleen huyu akiingia na kunikuta nimeishka machne yangu na wakati huo alikuwa amesimama akitoa mimacho kama amebanwa na mlango.

Nilimfata na kumkutekenya kwenye mbavu kidogo aende chini nikamdaka na kumpa kinywa akawa ananitazama pia huku tunabadilishana ndimi nilimchezea kweli kweli mpaka akawa ameregea nikaipandisha ile sketi na kuikuta tait nyeupe nikaitoa mpaka down vyombo vikawa wazi nikaanza kuviosha kwa ustadi maalum kiukweli nimewah kutembea na mademu lakini huyu alikuwa na utamu wake na ile kitu ukizamisha ina lia fyokofyokofyoko kama vile inavutia kwa ndani.

***

Ilikuwa jioni wakati natoka kazini nipo ndani ya gari nimeingia barabara ya vumbi nilimuomba mtu anatembea mbele yangu ni msichana mrembo kweli nafsini mwangu nikisikia sauti inaniambia.

"dick mgonge huyo mwanamke nakwambia dickson fanya maamuzi haraka maana usipofanya hvyo uhai wako utapotea fanya hivyo"

"dickson mgonge huyo mwanamke kama utafanya hivyo uhai wako nitautoa"

Khaa! Uchenzi niue kisa nini nani ameyachoka maisha nikanyee debe kamwe siwezi kumgonga mtu asiye na hatia. Nilifanya maamuzi kutoka moyoni na kipindi nilichompita yule dada nilizidi kumuangalia kwenye sitemirror lakini ghafla alipotea sikumuona tena nikasimamisha gari na kuanza kutembea kurudi na nikichunguza angalau hatua zake zimeelekea wapi, lakini sikuona kitu zaidi ya alama za matairi ya gari na viatu nilivyovaa nilihisi kuchanganyikiwa.

"jamani hile #body_spray imenisababishia matatizo kumbe natumia mipurfume ya majini sijui itakuaje jamani naanza kuchanganyikiwa na isitoshe yule mtu ningemgonga inawezekana ni mke wangu, ningemuua mke wangu kwa mikono yangu mwenyewe kisha niwe na yule sadia jini kamwe haiwezekani" nilijawazia nikiwa nimesimama pale na nikapata wazo la kuwahi nyumbani nikajue usalama wa mke wangu maana yule jini ananitafuta sana.

Niliingia ndani ya gari na kuliwasha lakini cha ajabu nilisahau eti njia ya kwenda nyumbani nikawa nimebaki njia panda ikabidi nisimamishe gari ili niulize nyumbani kwangu ni wapi. Alipita mkaka mmoja nikamsimamisha.

"habari za leo kaka"

"salama bro dick naona ndo unatoka kazini bwana"

"ndio kaka ila samahani, eti unaweza kunielekeza nyumbani kwangu ni wapi maana nahisi nimechanganyikiwa na mke wangu nikimpigia simu haipatikani nisaidie kaka"

"kweli haya maajabu ya mwaka kaka punguza ulevi kupitiliza wenzio hatulewi hadi tukafikia namna hii ebu rudisha gari nyuma kisha ukunje hapo kulia piga honi mbele ya hilo geti hapo ndo kwako huko ulipokuwa unaenda ungepotea bure"

"asante sana kaka nimechanganyikiwa sana"

Nilipoingia ndani nikakimbia moja kwa moja hadi chumbani na nilipofungua mlango macho niliyatupa kitandani na sikumuona mtu zaidi pale kitandani nilikuta simu ya mke wangu ikiwa imezimwa na nguo na viatu vya mtoto vilikuwa kitandani. Presha ilinipanda kweli kweli nikatoka pale na kuanza kupita kila chumba sikuweza kumuona mtu, nikafungua mlango wa jikoni na kukutana na sura ya mke wangu akiwa amembeba mtoto mgongoni huku anachemsha maziwa huku anapika chakula chetu nilimsogelea na kumbeba msobemsobe na kumfunika na mabusu kwenye uso mzima.

"kulikoni mwenzetu? Mbona umeingia hapa kama unatahamaki kisha ukaja kunikumbatia kwa nguvu?"

"mke wangu we acha tu, sema ni mambo ya kawaida niambie mtoto anaendeleaje?"

"mtoto anaendelea vizuri alikuwa analia muda si mrefu ila naona amenyamaza nafikiria atakuwa amelala, vipi za kazi?"

"haa nzuri tu, sema nipo chumbani"

Nilitoka pale na kuingia hadi chumbani nikachomeka chaji simu wa mke wangu kisha nikaenda hadi dressing table nikawa najiangalia kwenye kioo yani macho yangu yalikuwa mazito na kama vile nilikuwa na usingzi mzito sana.

Kitendo cha kulala tu palepale ndoto ikanijia, nipo sehemu kubwa kuwahi kuiona na tazama mimi nilikuwa nimevaa nguo za kiislamu kama mtu anayekwenda kuoa nami nisijue kama yale yote yalikuwa kwa ajiri yangu. Nikiwa nashangaa pale wakaja wanaume watatu wa kiarabu wakanichukua na kunipeleka chumba maalumu humo kulikuwa kunanukia marashi mazuri na ile harafu ya body spray yangu ndo ilitawala sana. Wale watu walianza kuswali kwa lugha flani ili kwa kunong'ona sana. Muda mfupi tu akaingia mwanamke ndani ya shela lakini kwa haraka haraka sikumtambua maana lile dude la usoni liliuficha uso wake.

Niliona matukio ya ajabu ajabu na kikubwa sana ile ndoa ilihudhuriwa na watu wengi sijawahi kuona na wakati wa kufunga ndoa ulipofika niliambiwa nimfunue bibi harusi nilifanya hivyo taratibu ile kuja kuona ilikuwa ni sura ya sadia nikazimia palepale hata ndoa haikufungwa.

Hapo ndo nilizinduka kutoka usingizini nikasikia mtu anaoga bafuni nikajua atakuwa mke wangu maana mtoto alikuwa amemlaza kwenye kitanda chake, ndani ya dakika kadhaa nae alitoka bafuni.

"ndo umeamka mume wangu, bora ukaoge twende tukale"

"yani mke wangu hata sijielewi ebu hayo makopo yote ya perfume, lotion, body spray nikusanyie nikachome moto"

"mume wangu sijakuelewa bado unaanisha tuvichome moto"

"ndio vipi mbona kama haunielewi ngoja nikusaidie"

Nilizikusanya zile chupa na kopo zote nikazibeba na moja kwa moja nikawa naelekea mlangoni.

"ebu muweke mtoto kitandani uje kunifungulia mlango"

"lakini umepatwa na nini mume wangu yani hivyo vitu vyote vinafika laki mbili na arobaini leo unaenda kuvichoma moto"

"nimekwambia njoo unifungulie mlango kama hiyo hela nakupa sasa hivi, naona unathamini pesa kuliko utu haya unataka haya matatizo yaje kumpata na mtoto?"

"hapana mume wangu haya nakuja"

Alikuja akanifungulia mlango nikaweka yale makopo yote ndani ya mfuko kisha nikaenda hadi nje ya geti nikafungua nikawa najifikiria nianze safari ya kwenda dampo ila kama bahati wakapita wanafunzi watano wa kike inaonekana usiku ule wametoka kujisomea au kujadiliana.

"hey nyie wanafunzi, ebu njooni"

"shikamoo!!"

"marakhaba! Samahani wadogo zangu naomba mnitupie haya makopo dampo na mkikuta umewashwa moto itakuwa vizuri sana, hii mtakunywa maji shule"

"haya asante"

Waliondoka wote na mimi niliingia ndani nikatoka tena kuwaangalia nikawa nawasikia kwa mbali wakigawana yale makopo ya perfume, lotion, airfresh, body spray.

"hiiíii anitha na hii perfume inanukia vizuri nachukua mimi"

"hasha ushamba hiyo ni airfresh, hapo si una lotion mbili chukua na body spray na perfume moja moja kwako tumemalizana"

"jamani joyce yule kama sijui kashanganyikiwa ametupa vitu hivi na elfu kumi juu kusema ukweli mimi kesho muda wa kurudi lazima nikagonge geti"

"mmh lita me naogopa mwenzangu kama vipi ukienda kugonga sisi tunakaa mbali huko"

Nilijifikiria nikagundua vile vitu visije kuwapa madhara nikakimbia ili niwaonye wasitumie vile vitu lakini waliponiona wote walikimbia nami nikarudi ndani.

Nilimkuta mtoto peke yake nikajua mama yake hayupo mbali nikaenda jikoni lakini sikumkuta nikanyata mpaka sebureni ndo nikamkuta anaandaa chakula.

"we mbona umemuacha mtoto peke yake"

"mume wangu siku hizi umeanza kuchanganyikiwa mtoto si huyu hapa mgongoni"

Nilirudi mbio hadi chumbani kutazama mtoto yupo vilevile jamani hiki ni nini? Kuna roho ikaniambia muue huyo sio mtoto wako nikawaza sana nikamsogelea mpaka karibu nikagusa pumzi yake nikagundua yupo mzima nikarejea hadi sebureni sikumuona mke wangu tena. Nilianza kuita "angel angel angel we angel"

"abee njoo nipo chumbani"

Nilitetemeka mwili mzima nikajisemea "ooh jesus christ help me" nikaenda ila kabla sijafika mara nikaona damu kuelekea chumba cha wageni nikafungua ule mlango kwa ujasiri wa kupambana na nitakacho kutana nacho mara fuuuupu!! Paka mkubwa mweusi amekufa sakafuni..

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

  Ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi Zaidi Naomba Share App kwa Wapenzi wa Simulizi Wapakue(Install) App ya CnZ Media

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)