.jpg)
Mtunzi: Steve Ndegezy
SEHEMU YA PILI
ILIPOISHIA...
ILIPOISHIA...
kilipogeuka kiliwaona askar wa mfalme kilizidi kukasirika na kuanza kupambana nao,kilipanguwa mishale yao kwa ustadi mkubwa na kufanikiwa kumshija askari mmoja na kumtenganisha kiuno na tumbo damu nyingi ziliruka.
IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media INSTALL ILI USIPITWE NA SIMULIZI
ENDELEA...
Hata hivyo askari hawakuchoka walimchoma na mikuki yao yenye sumu na kumfanya kiumbe huyo kupotea kimiujiza.ndipo walimchukua msuba ambaye alikuwa kazimia na kuondoka naye kutoka humo msituni,giza lilikuwa limeisha ingia.walifanikiwa kufika kijijin na habari zksmfikia mfalme.kesho yake kiliitishwa kikao cha dharura cha kijiji.ndipo mfalme gumbo alipowatangazia wanakijiji kuwa wapo hatarini watu wanazidi kufa na wengine wanapotea kimazingara,kwahiyo itahitajika damu ya msichana bikra.wanakijiji walianza kuangaliana hasa mabinti,mfalme akasema lazma damu itolewe na mimi naona Nusa ndo hatatolewa kafara wanakijiji walianza kulalamika kwani nusa ni binti mwenye hekima na busara kijjini hapo.wakati hayo yanaendelea kilisikika kicheko kikali kilichofanya wanakijiji waingiwe na uwoga............
kile kiumbe kilimwachia msuba na kuanza kuangaza angaza juu na kuhisi kitu cha hatari kitamtokea,kilisikia sauti za wanakijiji zikifanya ibada pangoni kilipiga kelele kali zilizosababisha radi na ngurumo,msuba alijikokota na kuokota kipande cha mti na kumchoma nacho mgongoni kiumbe yule lakini kilidunda akikuingia kiligeuka kwa gadhabu na kumfyeka kichwa kikaruka kikifwatwa na damu nyingi ajabu....banjuka nayo sasa.
Huo ndio hukawa mwisho wa msuba,kile kiumbe kilizidi kupagawa na zile kelele za wanakijiji,kilipiga maiti ya msuba teke hilijigonga kwenye mti na kupasuka pasuka vipande vipande.kikahamua kujibadilisha na kuwa mbwa mwitu mkubwa mweusi na kukimbia kwa kasi kuelekea pangoni.
wakati huo upande wa pili malkia halikimbia huku hakiwa na hamejaa uwoga,huku nyuma lile joka liliendelea kumfukuza huku likijibuliza kwa tabu kweli kutokana na kile kipande cha mti kilicholichoma shingoni,malkia halikuwa na wakati mgumu kukimbia huku hakiwa kamkumbatia barabara mwanae(binti mfalme),ili hasidondoke.hakuwa hamepona vizuri,tangu hajifunguwe.halihisi kutokwa na damu chini ya miguu yake,mapaja yake na nguo yake. ili lowa damu,kwa bahati mbaya halijikwaa na kuanguka vibaya huku hakihisi kizunguzungu kikali,binti mfalme alilia baada ya kuhisi kubuguziwa,alizidi kulia na kufanya joka lile kuzidi kusogea sehemu waliyopo.
------------------------------
kule pangoni ibada iliendelea.mganga halitengeneza mkufu,kwa kuyeyusha vito,na kutengenezea pambo mfano wa kufuri.kisha hakawa hanaongea maneno yasiyo eleweka.kisha akachukua,nafaka walizokuja nazo na kuzirusha kwa kuzitupatupa kushoto na kulia huku hakiongea maneno yasiyoeleweka,ghafla kikasika kishindo kikifuatia na vicheko vya ajabu huku upepo mkali hukivuma,nakuwafanya wanakijiji kuogopa zaidi,mara kile kishindo alichokiota mfalme gumbo kikasikika kikija upande waho kikitokea ndani zaidi kwenye giza pangoni humu,safari hii kikisindikizwa na sauti za kutisha.
mara zikakataa zile sauti na vicheko.ikasikika sauti hikisema kwa kukutema."Haaaahaaa haaa,sewato hairusiwi,mnabahati mmewahi kwani mngelichelewa kidogo mambo yange kuwa mabaya zaidi,sasa hamna mda wa kupoteza kwani hatari hinakuja,chukueni huo mkufu na muvalishe hilo fuvu la kichwa cha mtoto,kisha mumwgie hiyo damu ya bikra.hapo mtakuwa mumefanikiwa kulimaliza tatizo,hila haitarusiwa hiyo cheni kuvuliwa katika hilo fuvu,sababu hatakayehivua hapo lazma hatatokwa damu kwa namna yeyote hiwe kwa kujikwaa au kujikata,na damu yake itakapomwagika hata tone katika ardhi hatakuwa kamfufua mzimu mkuu wa sewato,na hatakuja hakiwa hatari zaidi ya hivi sasa,sewato hairusiwiiiii hahahaaaa".
ile sauti ilimaliza kwa kicheko kisha ikatoweka.ndipo mganga akaendelea.tumekuelewa ewe mzimu wa mababu.halichukua hule mkufu hili hamalize kazi.kabla hajafanikiwa kufanya vile halivyo hagizwa kile kiumbe kilihingia kikiwa katika umbo la mbwa mwitu.kilitafuna tafuna watu,wengine mikono,vichwa na wengine kutenganishwa viwiliwili.mganga aliivalisha lile fuvu mkufu ardhi ikatetema na kupasuka huku pango likiangusha mawe,kile kiumbe kilimrukia mfalme na kumjeruhi,kikahisi kama kuungua,kilihamua kuachana na mfalme na kumrukia mganga aliyekuwa tayali na ile damu ili himwage kwenye mkufu,maskini alitafunwa tafunwa kwa hasira na yule kiumbe huku kile chungu kikibilingita na kumwagamwaga kiasi kigogo cha damu na kudondokea miguuni kwa mwanakijiji mmoja miguun aliyekuwa hoi chini.....
alijikokota pale chini na kukichukua kile chungu,huku hakiwa katafunwa mguu.alisogea karibu kabisa ya hule mkufu huliozungushwa kwenye fuvu la mtoto,kisha akamwaga ile damu,kile kiumbe kilihisi hali ya hatari na kutaka kukimbia,lakini hule mkufu huliwaka mwanga mkali ajabu,kisha ikatoka miyonzi,iliyovyatuka kama risasi,na kwenda moja kwa moja na kumuingilia yule kiumbe ambaye ndie mzimu wa kosa la damu yani sewato,halipasuka na kuwa moshi mzito mweusi huku zikitokea kelele zilizotikisa lile pango ardhi ilipasuka na hule moshi hulimezwa na ardhi,kisha miyonzi mingine hilipaa angani huku upepo hukiendelea kuvuma kwa kasi.
hile miyonzi hilielekea huelekeo wa upepo huliko kuwa hukielekea kisha ikatoweka.
. ********************
upande wa pili kule kwa malkia,hali hilizidi kuwa mbaya kwa malkia baada ya kutokwa damu nyingi iliyosababishwa na kutopona vizuri tangu hajifungue,alikuwa amejikwa na kuanguka chini huku hakihisi kizunguzungu.lile joka lilijiburuza na hatimaye likawa jirani kabisa na malkia aliyekuwa kamkumbatia mwanae huku hakiwa hajitambui,lilipanuwa mdomo hili liwameze japokuwa lilikuwa na jeraha lililosababishwa na kuchomwa na kipande cha mti kilichorushwa na upepo mkali,na kumchoma.
lakini ghafla hile miyonzi ya ajabu ilimwingia na kumpasua vipande vipande yule joka,ikawa pona pona yao,lakini malkia halikuwa kazirahi hajitambui huku mwanae hakiwa hanalia kwa nguvu.
ile miyonzi hilirudi pangoni na kuingia kwenye hule mkufu.hali hikawa shwari,upepo hulitulia ghafla na pango likawa kimya huku sauti za wanakijiji waliosalia wakiugulia maumivu,walijikokota na kurudi makwao huku vilio vikitawala hilikuwa ni huzuni na masikitiko kijijini hapo,mfalme gumbo alibebwa na askari wake huku hakiwa hajitambui na kuondolewa mule pangoni......
wakati huo hilikuwa mida ya jioni kama saa kumi hivi,baba mmoja na mke wake walikuwa kwenye mazungumzo,wakibishana juu ya suala fulani,walikuwa wanapita barabara iliyokuwa karibu na msitu huo.walikuwa katika gari aina ya toyota pick up.iliyokuwa imepakia magunia ya mahindi na mchele.ghafla gari inazingua mara inazima mara inawaka,ikazima kabisa.ikabidi washuke huku yule mwanaume aliyekuwa anahitwa mashaka,akiwa anafoka tu.hili gari nalo ntaliuza tu,
mh! we naye umezidi sasa hukiliuza na hili gari hutakuwa hunatoka mjini kuja huku kwa mkokoteni,alimwambia mumewe huyo,mwanamke huyo alikuwa hanaitwa chausiku.mashaka alifungua bonet ya gari huku akihangalia angalia nn kitakuwa kimehalibika,ndipo hakagundua rejeta imekufa,kwa bahati nzuri alikuwa hanautalaamu wa magari alipambana na tatizo hilo kwa kuibadilisha baada ya muda hakawa hamemaliza.wakati huo bi chausiku halikuwa kajinyoosha chini ya mti,mara hakasikia kwa mbali sauti iliyomshangaza na kumfanya hasihamini hanachokisikia.....
ilikuwa ni sauti ya mtoto mchanga akilia kwa ukali,
mh ni masikio yangu au naota,alijiuliza chau,mashaka mashaka,wee mashaka ww,alimwita mumewe,unasemaje ww si unaona bado sijamaliza kuitengeneza gari,ebu njoo haraka bwana usikie,nisikie nn ww,njoo bwana,aargh ona sasa nimejibana,alilalamika mashaka huku akielekea alipokuwa mke wake,hivi unamatatizo gani mda unazidi kwenda na bado hata tujafika barabara kuu,nyamaza husikia,mashaka alisikia ile sauti akaguna,mh! si mtoto huyo,ndio,hatakuwa kwenye hatari ebu ngoja nikaangalie we kakae kwenye gari,sawa mme wangu lakini jichunge,usijari bwana.
mashaka alielekea kule sauti ilipokuwa ikitokea,alisogea karibu kabisa,alishituka alipoona damu zimetapakaa chini na kwenye matawi ya miti,alipoangalia pembeni alistajabu baada ya kumuona mtoto hakiwa amekumbatiwa na mama yake,lakini mama yake halikuwa hamepoteza maisha baada ya kuvujwa na damu nyingi,mashaka alimchukua yule mtoto aliyekuwa kanyamaza sasa ananyonya ngozi ya mama yake,alijihuliza maswali mengi yasiyokuwa na majibu juu ya masahibu yaliyowafika yule mtoto na mama yake,we ni malaika wa mungu haitofaa nikuache hapa aliwaza mashaka,alipoinuka na kugeuka nyuma alishituka baada ya kumuona yule joka mkubwa,
hakuwahi kuona joka mkubwa kiasi kile alitmbua macho na kugeuka nyuma nakutimua mbio lakini shuka alilokuwa kafunikiwa yule mtoto lilikuwa limenasa mkufu alihokuwa kavaa mama,ulikatika mashaka halitimua mbio huku hakihisi lile joka linamfuata,lakini haikuwa hivyo kwani lilikuwa limeisha kufa,alikimbia mpaka kwenye gari,hali haliyokuja nayo ilimshitua mke wake,na kumfanya mapigo ya moyo wake kwenda kasi sana,mashaka haliingia moja kwa moja kwenye gari kwa bahati nzuri alikuwa kaisha rekebisha rejeta ya gari lao,ivyo alimpa mtoto mkewe,akawasha gari ikagoma,akawasha tena igoma alihisi kujanganyikiwa alisali kimoyomoyo sala zote hanazo zijua lakini gari haikuwaka,Umeona nn alimuuliza mmewe,lakin mashaka hakumjibu,akamuuliza tena,
UMEONA NINI WEWE SI USEME,alimuiloza sasa kwa ukali,nyoka,nyoooka,eeh nyoka,sa nyoka kafanyeje,hanakuja,nini,alishituka chausiku,mama yangu! W washa haraka gari twende,si ndiyo na washa bwana,lakini gari haikuwaka,ndipo mashaka hakaamua kushuka kwenda haraka kuangalia kuna nini,hunaenda wapi ww,ngoja niiangalie tatizo ni nini.alipofungua boneti na kuangalia angalia aligundua kumbe alichomoa termino za betri ivyo gari isinge waka.alizirudishia haraka haraka na kufunga boneti,na kwenda kuwasha gari ikawaka alipachika gia na kuondoa gari kwa kasi,mwendo alokwenda nao hulikuwa wa kasi,hakukumbuka kama halipakia mizigo mizito kwenye pick up yake,barabara ilikuwa na mashimo mashimo lakini yeye hakujali,
halifika barabara kuu ya kutoka congo na kwenda mpakani mwa tanzania ilikuwa yapata saa kumi na moja na nusu halifukuza gari kwa kasi mpaka hakafika sehemu ya barabara yenye mpando mkali,gari ilipanda kwa tabu ilipofika juu ikazima ghafla,ikaanza kurudi nyuma kila hakishika breki inamkata,hakangana lakini ikafeli,gari hilirudi nyuma kwa kasi kali,mashaka halivuta hand breki(breki ya mkono)ikasababisha gari igeuke kitendo hicho kilisababisha mizigo haliyoipakia kuizidi gari uzito na kupinduka mara nne.
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
Ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi Zaidi Naomba Share App kwa Wapenzi wa Simulizi Wapakue(Install) App ya