NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI NITAJIRIKE (5)
Jina: NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI NITAJIRIKE Mtunzi: Nyemo Chilongani SEHEMU YA TANO TULIPOISHIA... Wakati ikiwa imefika saa nane usiku, hapo ndipo mganga yule akatokea hapo ndani na kunifuata. Kabla ya kuzungumza lolote, akaniangalia machoni, aliiona hofu niliyokuwa nayo. “Upo sawa?” aliniuliza. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... “Ndiyo! Nipo sawa na nipo tayari kwa kazi,” nilimwambia. Alichokifanya mganga yule ni kuuchukua usinga wake, akaanza kuimba wimbo ambao sikuwa nikiuelewa. Aliimba kwa sauti kubwa iliyonifanya nione kama wale walinzi wangesikia lakini haikuwa hivyo. Waliendelea kupiga stori huku mganga yule akiendelea na wimbo wake. Alipomaliza, akalifuata sanduku moja, akalitoa pale lilipokuwa. Nilibaki nikiwa nimeduwaa tu, sikuamini kilichokuwa kikiendelea, sanduku lilikuwa zito lakini yeye alivyolishika ilikuwa ni kama mtu aliyeshika kikaratasi. Akaliweka chini, akalifungua na kisha …