MAMA MWENYE NYUMBA (4) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Ijumaa, 1 Mei 2020

MAMA MWENYE NYUMBA (4)

UMEWAHI KUONA AU KUSIKIA KUHUSU PICHA ZA AI?
Sasa naomba nikufundishe bure kabisa nawewe uzitengeneze kirahisi kabisa

Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA NNE
"Vipi tumesha fika?" aliuliza mzee Mashaka kwa sauti ya kilevi "hapana baby, guest ilepale unaipiata, mimi nyumbani na kaa na dada yangu, hatuwezi kulala wote" alijibu yule mwanamke kwa sauti yakilevi, akimaanisha waende guest akampe mambo.

SASA ENDELEA...
"hapana mrembo, leo sijisikii vizuri, nazani kesho tutakuwa namuda mzuri wakuenjoy, nilikuwa nakupeleka nyumbani tu!" aliongea mzee mashaka, lakini akashangaa kuona yule binti anamfungua mkanada wa suluwali, "hapana bwana, kesho ni kesho na leo ni leo" mzee Mashaka kabla haja mzuwia, alishangaa kuona yule binti akimalizia kumfungua zipu, na kuingiza mkono ndani ya boxer, nakuitoa dudu yake, kisha akaidumbukiza mdomoni, nakuanza kuinyonya. kilikuwa ni kitendo mabacho mzee Mashaka hakukitengemea, nakutokana nakuwa, alitokakufanya mapenzi mda mfupi uliopita, alijikuta hakishindwa kusimamamisha dudu, ilikufurahia tendo lile, licha ya binti yule kuangaika kwa muda wa nusu saa, akitumia mbinu za kikahaba, akijaribu kuamasha dude, lakini wapi, ndipo yule binti akamwelekeza mzee Mashaka anapo kaa, ikiwa nipamoja nakumpatia namba za simu kisha yule binti akaondoka zake, wakipeana mihadi kwamba, kesho mapema waliamshe dude, mzee Mashaka akaanza safari yakurudi nyumbani kwake, mbezi msakuzi ambapo alifika saa nane usiku, akajitupa kitandani nakupitiwa na usingizi, akaanza kukoroma akimwacha mkewake akikunja sura kwa hasira, mpaka asubuhi alipo amka nakuingia bafuni, kisha kukaa mezani kwaajili ya soup, vitendo vyake mkewe alisha vizowea, maana walisha gombana sana, siku za nyuma ikafikia kipindi akaamua kukaa kimya, japo mala chache alinusulika kuingia majaribuni, maana alikuwa anaweza kukaa ata miezi minne, haja lionja dudu, masikini mama wawatu bado alikuwa anavutia sana, kutokana na umbo lake zuri nasura, pia alikuwa anajipenda nakutunza urembo wake kwa ghalama kubwa, wakati Mzee Mashaka akiwa mezani anafakamia soup ya ngombe, kukata mning’nio, vijana wana ita lock, mala ikaingia sms kwenye simu yake, akaiangalia jina la mtumaji ni Suzana, akaifungua nakuisoma "shikamoo, vipi ulifika salama?" naye akajibu “malahaba mpenzi wangu, nashukulu nilifika salama” Suzan baada ya kuisoma naye akatuma nyingine “vipi bado hupo nyumbani” mzee mashaka akaisoma nakujibu "nipo home napata soup karibu" akaisend na kusubiri jibu, "kwahiyo hupo karibu na mama?" "hapana nipo mwenyewe, vipi kuna inshu?" "ndiyo kama unaweza kuja kwangu leo" “poa husijari nitakuja mchana" "poa nakusubiri kwa hamu"

Wakati suzana anamalizia kujibu sms yamwisho na mlango ukafunguliwa, akaingia Sophia akiwa ameongozana na wanaume wawili, "hooo! karibu mwaya, naona umewai" aliwakaribisha Suzana "weee! mbele ya mawe, ebu! tufanye yetu kabla muda haujaenda, siunajuwa leo weekend inaendelea" baada yakusalimiana, bila kusaahau kuwakagua sehemu zao za mbele za suluali Suzana aka tafuta account moja kwenye kwenye computer,niile aliyo kuwa ameiandaa na kuanza taratibu za kuamisha fedha,

Huku nako, Edgar baada ya kulala sana, akaamka saa nne, nakujiandaa kisha akaelekea chuoni, ambako alikaa kwamuda, huku akijaribu kuwaza namna yakupata fedha, zitakazo mfanya aweze kutumia kwa kula, pamoja na kupata japo mwanamke mmoja, wakumpunguzia hamu, akiwa amekaa ndani ya darasa moja peke yake, akiwaza ili nalile ikiwa pamoja nakusubiri simu, toka kwa dada yake aliekuwa amemtumia ujumbe wa, tafadhari nipigie kwa dada yake mkubwa, akiamini kuwa kutokana na shemeji yake, kuwa nakazi nzuri, angeweza kumsaidia fedha kidogo za matumizi, zitakazo msaidia kwenye mipango yake, japo alihiifahamu vyema tabia ya dada zake, yakutokusaidia wazazi wala yeye mwenyewe, ila alijipa moyo, kuwa kwasababu kwa sasa anasoma mbali, nakilakitu kinitaji fedha, ange msaidia

"Mambo anko?, zatoka jana" alistushwa na sauti yakike, sauti iliyo mfanya ageuke nakumtazama muongeaji, naam alikuwa ni mschana mrembo kiasi, alievalia kinguo cha kubana kwelikweli wenyewe wanaita tait, iliyoishia kwenye magoti nakuonyesha jinsi alivyo jaliwa kuwa nakaumbo potabo, juu alivalia tishert lililo ishia kwenye mapaja, nakumfanya apendeze kidogo, bint huyu hakuwa mgeni machoni mwake, ni binti mmoja kati ya wale wawili, ambao walikuwa wakitazama video yangono jana usiku, akiwa amenyoosha mkono kwa Edgar, akiitaji wasalimiane kwa kushikana mikono, naye akampa wakwake "poa tu!" alijibu kwa kifupi Edgar "naitwa Nancy nipo mwaka wapili, mwenzangu unaitwa nani?" alijitambulisha yule mwanamke “naitwa Edgar nipo mwaka watatu" kiukweli Edgar aliweza kumtazama vizuri binti huyu, ni mrembo mwenye kuvutia nakutamanisha “Edgar unaonekana ni mgeni hapa chuo?” aliuliza yule binti Nancy, huku usowake umepambwa kwa tabasamu laini, “yah! Nina week moja tu hapa” hapo Edgar alishuudia tabasamu likizidi kuchanua usoni kwa Nancy "ok! me nipo singo, kama hutojari unaweza kunitowa dinner, kabla ya darasa la usiku, ilituongee zaidi" alisema Nancy na kuondoka zake akimwacha Edgar ana msindikiza kwa macho, “mh dinner? Mimi mwenyewe dinner” alijisemea Edgar, licha yakuwa kweli alikuwa anaitaji sana mwanamke, hapo Edgar hakuchukuwa muda mrefu akaamua akatafute sehemu ambayo anaweza kupata chai, maana njaa ilianza kushambulia, akiwa njiani aliwaza nivipi amnge weza kutoka na yule binti, maana ana wajuwa waschana wa chuo, kwa siku chache, alizokaa hapa chuo, aliona jinsi wanavyo penda kula vinono sasa bajeti yake yeye buku mbili jero itawezekana vipi, wakati akiwaza hayo akasikia simu yake ikiita alipo itazama alikuwa ni dada yeke.

Wakati huo suzana naye alikuwa amesha maliza kufanya mchongo wake na wakina Sophia, wakagawana chao, kila mmoja yeye na Sophia, akiondoka na million kumi, kasha wakaagana na kilammoja akashika njia yake, Suzan aliaga, ofisini kuwa anaenda kumwona mgonjwa, hospital ya Tumbi kibaha, kisha akatoka nakuelekea kwenye maegesho ya magari, ya wafanyakzi wabenk, akiwa anatembea nje ya jingo la bank, pembezoni mwa mauwa yaliyo pandwa kwa lengo la kupendezesha eneo lile, mala akamwona mjusi, kiukweli Suzan ni mwoga sana wa wadudu kama hawa, alijikuta akijaribu kuruka kwa uoga, kiasi cha kuji stua mguu, kitendo kilicho sababisha, hashindwe kukanyaga vizuri, nakuyumbakidogo na kujigonga, kwenye nguzo moja ya maegesho yamagari, kitendo hicho kili mfanya ajisikie maumivu kwenye paja alilo jigonga kwenye nguzo, na sehemu ya kisigino, iliyo stuka mwanzo, basi akajikongoja mpaka kwenye gari lake, nakuingia ndani, safari ikaanza, huku maumivu akiendelea kuya sikia.

Hukunako baada ya kuiona kuwa dada yake anapiga simu, Edgar akasogea pembeni ya barabara nakuipokea simu "shikamoo dada" alisalimia baada tu! yakupokea "ebu! ongea haraka unanimalizia vocha" alijibiwa kwasauti yaukari na dada yake "mh! dada lakini ata salamu hutaki" alisema Edgar lakini dada yake akaja juu “salamu kitugani, huna lolote zaidi yakutaka kuomba ela, ungekuwa na heshima husinge fukuzwa upadre" hapo simu ikakatwa, Edgar aliuzunika sana, moyo ulimuuma, nusu atowe machozi kwa uchungu lakini akajikaza kiume.

Wakati huo huo Suzana naye ndiyo alikuwa anaingia kibamba, akitokea mbezi, lakini licha yakuwa na vimaumivu kwenye kisigino, na pajani, bado nia yakeilikuwa ni kumfanyia mzee Mashaka utundu , ambao utamfanya ape dudu kiuakika, pia njiani aliendelea nakamchezo kake, kakutazama nyeti za wanaume, kama zimetuna, kamaalivyoona kwa mpangaji wake, lakini hakufanikiwa, “au kunakitu anaficha yule” swali la kijinga, hapo Suzan alijicheka kidogo, wakati anakatisha njia ya kuelekea magengeni, akamwona kijana mpangaji wake Edgar akiwa mwenye mawazo mengi anakuja upande wake, moyo ulimlipuka, wakati huo nayeye alisha fikia karibu na bucha la nyama yang'ombe, kwa Ras,

Nakusimama pembeni yake, muuzabucha Ras alisha juwa tabia ya Suzana ya kununua maitaji akiwa ndani ya gari, alipo mwona akatoka buchani na kumfwata kwenye gari” ngapi leo dada yangu?” Ras aliuliza akionyesha kufahamiana na Suzan "naomba kilo mbili, steck" aliagiza nyama nyingi akiwa namaana kesho hasingeweza kutoka, akamkabidhi na fedha, baada ya hapo akamtazama tena Edgar sasa, aliwona akikoswakoswa na pikipiki (bodaboda) huku mnwndesha pikipiki akiachia tusi la nguoni, lililo muusisha mama yake Edgar moja kwamoja, japo pikipiki ile iliyo kuwa mwedo wakasi ilimfwata pembeni kabisa ya barabara, huku yule mwendesha pikipiki akimwachia Edgar tusi zito la nguoni, bado pikipiki ilikuwa ikija kwa kasi usawa wa gari lake, huku yule mwendesha pikipiki, akijaribu kushika brek, kujiokoa hasiligonge gari la Suzan, ambalolilikuwa limepaki pembeni kabisa ya barabara, nakufanya pikipiki isote nakwenda kusimama atua chache mbele ya gari lake, alafu yule mwendesha pikipiki akashuka akiwa amekunja sura kwahasira na kumfwata Suzana

"Hivi we malaya unalingia hili gari lakuongwa, unapaki hovyo hovyo njiani " kauli hiyo ili muumiza sana Suzana, lakini hakuwa na lakufanya akabaki kimya, huku watu wengine, wakisogea nakuanza kumlaumu yule kijana kwa lugha chafu, aliyomtolea Suzan, naukizingatia yeye ndie alievunja sheria ya kuendesha mwendo wakasi, "hapana bwana, hawa wenyemagari wanatunyanyasa sana, alafu magari yenyewe, wanayapata baada yakugawa k4m2...." kauli hiyo hakuweza kuimalizia, kwani watu wote akiwepo Suzana, walishangaa kumwona yule kijana akiwa juu analea kama gunia lililo shushwa toka kwenye loli, nakjibwaga chini bwaa, Suzan alimwona yule mwendesha pikipiki, akijiinua araka nakumfwata mtu alie mpiga mtama, lakini kilamtu alishuhudia yule kijana mwendesha pikipiki akipokea ngumi nzito ikituwa kwenye shavu, kasha ziki fwatia nyingine sita mfululizo zilizo tuwa usoni,nakumfanya ayumbe na kujibwaga chini kama anaugua kifafa

Hapo ndipo walipo weza kushuhudia, akikandamizwa na teke tumbo kama mtu anae kanyanga nnge au mende, kisha akafwatiwa na ngumi mfurulizo za usoni zisizo na idadi, zilizo zidi kuuchafua uso wa kijana yule mkosa heshima, zilizo sababisha damu isambae usoni kwa yule mwendesha pikipiki, hakuna alie amulia zaidi watu walishangilia, mpigaji alipo lizika akamuacha nakuondoka zake, wakati anaondoka ndipo Suzana alipo gutuka na kutaka kumwita, maana alisha mjuwa kuwa ni mpangaji wake mpya, na kitu kilicho mchanganya Zaidi, niuwezo wakijana yule, hakuamini kijana yule mpole anaweza kumfumua yule mwendesha pikipiki namna hile, hakuwa na lakufanya, akamsindikiza kwa macho mpaka alipo potea machoni kwake

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA TANO

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni