MAMA MWENYE NYUMBA (20) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumamosi, 9 Mei 2020

MAMA MWENYE NYUMBA (20)

UMEWAHI KUONA AU KUSIKIA KUHUSU PICHA ZA AI?
Sasa naomba nikufundishe bure kabisa nawewe uzitengeneze kirahisi kabisa

Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA ISHIRINI
“Mumewangu naomba mkitoka darasani saa nne nijulishe” anayeye akajibu, “poa mkewangu” akaituma kisha akaanza kutembea kuingia ndani ya bar, lakini akagunduwa kuwa kuna mmoja amesimama pale pale, akasimama na kumtazama

SASA ENDELEA...
Kweli mwanamke huyu ni mzuri, wali gongana macho, akamwona kama ameduwaa flani hivi, kama hajuwi aelekee wapi, “vipi twende, muda unaisha huu” ndipo kama alietoka usingizini yule binti aka wafwata nakukaa nao meza moja wale wenzao wawili walishangaa kuwaona wanakina Joyce na Nancy, wakiingia pale bar na kukaa meza yakaribu, wakiwa na kijana mmoja ambae waliwaikumwoana sikumoaja pale saloon akinunua vocha, na jana yake pia alipata supu asubuhi na Nancy, wakatazamana nakuanza kunong’onezana “hivi Nancy anatoka na yule makaka au?” aliongea mmoja, namwingine akadakia, “alafu hajatuambia, ngoja tufanye unyaku nyaku tajuta” walishangaa zaidi baada ya kushuhudia sahani tatu za supu yamaana na chapati ikishushwa pale mezani, kiasi chakuiona ile chai yao ni chungu, wao walimaliza haraka nan a kutangulia chuoni, huku njiani wakijadiliana juu ya yule mwanafunzi mgeni, baada ya dakika kumi natano wakina Edgar wakamaliza, muda wote waliongea mambo ya kawaida yanayo usu chuo chao, lakini muda mwingi muongeajai alikuwa Nancy, Edgar likuwa akimshangaa huyu mwanamke mzuri, maana mudawote alikuwa kimya kabisa, mpaka wana hachana chuoni kila mmoja akiingia darasani kwake

Ilisha gonga saa nne narobo mzee mashaka alipo kuwa anatoka ofisini kwa kina Suzan, nakuelekea kwenye gari lake, hiyo nibaada ya kumkosa Suzan, akiambiwa kuwa leo hajaja kazini, sababu anaumwa, hapo akaenda kwenye huduma ya kutowa fedha akachomoa kiasi cha million nne kisha akaingia kwenye gari na kuanza safari ya kuelekea kibamba, akiwa na mawazo matatu kichwani mwake mawazo ambayo yalimfanya akose amani moyoni mwake, moja uenda kweli mpenzi wake anaumwa, lakini kwanini haku mwambia, au mapenzi yao yamekwisha, pili inawezekana hamedanganya anamwa ili apumzike, lakini kwanini ajamtaalifu iliaende, maana mala ningi uwa wanafanya hivyo wanapo kuwa na miadi, tatu kama amedanganya anamiadi na nani?, hapo akajikuta anachukuwa simu na kumpigia simu mpenzi wake huyo

Wakati huo Suzan alikuwa bado amelala kwauchovu wa vitu viwili, kwanza wine aliyo kunywa jana, pili kwa mizigo aliyo ishusha jana usiku na leo asubuhi, mala ikaingia messeji, kutoka Sphia, ikamwamsha toka kwenye usingizi ambao sasa ulikuwa mwepesi sana, kutokana na njaa iliyomkamata, akaisoma ile messeji, “my husiniangushe tuna msubiri Edgar” hapo akawaza kidogo amjbu nini, wakati anawaza mala simu yake ikaita, akajuwa atakuwa ni Sophi, akaipotezea kidogo, kabla haja pata wazo la kujilizisha, kama kweli Sophia ndie alikuwa anapiga, hapana alikuwa ni baba yakemzee Mashaka, hapo moyo wake ukafa ganzi, akajikooza kidogo nakujiweka sawa, “hallow” aliita Suzan kwa sauti ya chini tena yakinyonge sana, maana alijuwa akiongea kawaida huyu mzee atadai mambo, kwazile dalili za jana usiku, lazima leo aje kudai mzigo, “hooo, pole mama, nimeambiwa unaumwa, atasauti yako ianaonyesha kuwa una umwa, kwanini huku niambia?” aliongea mzee Mashaka akiwa amejilizisha kuwa Suzan kweli anaumwa, “niliogopa kupiga nilijuwa hupo na mama” alijibu kwa sauti ile ile, ya kijigonjwesha, “husi jari mama nipo njiani nakuja,sikunyingine wewe tuma ata messeji, siyo vizuri una kaa bila msaada wowote, sasa niku bebee nini mama?” hapo Suzan aliinuka utazani kaona nyoka kitandani, akaelekea sebuleni akiwa uchi kabisa, huku msambwanda hukitikisika kila alipo piga atuwa za haraka haraka, simu bado sikioni

Wakatihuo simu ikionyesha ishala kuwa kuna smu nyingine inataka kuingia, akaitazama alikuwa Edgar anapiga, “njoo tu maana nilikuwa naitaji supu, lakin najuwa uwezi kuni bebea nita agizia mtu” alijibu Suzan nakujifaya amekata simu kwa bahati mbaya, hapo akapata nafasi ya kipokea simu ya Edgar, “hallow mumewangu ndio hupo mapumziko?” aliongea Suzan kwa sauti tulivu tofauti navitendo alivyo kuwa anavifanya pale sebuleni aliondowa chupa za wine na grace, ikiwa na kuweka vitu vizuri, ambavyo vilivurugika jana usiku, wakati wamechi kali, baada ya kumaliza akarudi chumbani huku bado anaongea na Edgar, “ndiyo mkewangu” alijibu Edgar na Suzan ambae sasa alikuwa anaficha nguo za Edgar alizo vuwa usiku maana aleo alivaa zile alizoletewa jana, “umeshakula mume mwangu?” aliuliza Suzan kwasauti ileile tulivu na sasa aikuwa anaweka dawa kwenye mswaki, hapo Edgar akacheka kicheko flani hivi kama cakivivu sana, nakujibu “sijaweza kuala mmkewangu, kamasijajuwa wewe umeamka na kula” hapo suzan alisismkwa na mwili nakujisikia furaha sana, “sasa kwanini una nicheka?” alilalamika Suzan kwa sauti ya kudeka flani, “sijakucheka wewe mkewngu, nimefrahi” “umefrahishwa nanini?” aliuliza Suzan huku akisahau kabisa ujio wa mzee Mashaka, najihisi kunenepa kila unvyo niita mimi mumewako, nakupenda sana”

Hapo Suzan akajikuta anasogelea kitanda nakukaa, akashusha pumzi nzito ambayo sauti yake ilisikika vyema kwenye masikio ya Edgar, kisha kwahisia kali sana Suzan akaongea “nakupenda pia, nizaidi yanavyo weza kutamka, mpenzi husije ukanihacha,” hapo akaweka pose kidogo kisha akakumbuka jambo, kisha akaendelea kuongea na Edgar akimpmaelekezo, yakukutana na Sophia, akimsisitiza kuto kupitia nyumbani maana anaitajika haraka sana, hapo Suzan aliogopa Edgar asije akamkuta mzee Mashaka ikazuwa mswali, akatuma namba za simu kwa wote wawili ili watafutane, pasipo kujuwa anawakuwadia, Suzan alitumia mudamchache sana, kuoga na kurudi kitandani, akajifunika, huku kwambali akisikilizia mlio wa gari la mzee Mashaka likisimama nje ya nyumba yake, akajifanya amelala kabisa, akiwa na uakika kuwa mlango hupo wazi, maana ulifunguliwa na Edgar, dakika mbili mbele akiwa amejifanya amelala akamwona mzee mashaka akiingi chumbani kwake, huku mkononi ameshikilia mkoba wake na hot pot jipya lenye ukubwa wa wastani, hapo akajifanya anastuka, huku akikunja sura kama kwamba anaumwa sana, mzee Mashaka akaweka lile hot pot kwenye mza ndogo ya mle chumbani, kisha akaa kwenye kitanda pembeni ya mpenzi wake

Joyce Bernad ndivyo anavyoitwa huyu binti mrembo moja kati ya rafiki zake Nancy, tokea wanapata supu na Edgar alionekana kumshangaa sana yule kijana, ambae amesha mwona mala kadhaa pale chuoni na jana pale bar asubuhi,ukarimu wake uli mshangaza sana, maana aliwapigisha supu ya nguvu, pasipo kuwa nahuusiano wowte na moja wao, alikuwa na uakika kuwa hakuwa na mausiano na Nancy, kama aliweza kuwaonyesha yule kinyozi Elisha kwanini hasi watambulishe huyu kijana mstaharabu sana, na mwenye moyo wa imani, mpaka wanahachana pale chuoni, bado alikuwa anajaribu kumtafsili Edgar lakni hakuweza kupata jubu, maana hiitabia ya ukarimu ya huyu mkaka alisha wai kuiona atajana pale Nancy alipo enda kumsalimia, ile asubuhi alimpigisha supu yanguvu, pia na kumbuka kabla hawajaondoka wakimwacha, Nancy nayule bwana wake kinyozi, waliona akipita na kuwa salimia Nancy na yule bwana wake, Jyce aliwaza sana ataakiwa darasani na alipo toaka saa nne, alimwona Edgar akiwa busy anajisomea, atalipo piga simu kisha akakata na ata alipo pigiwa simu nakuipokea pia aliwona

Simu ya pili ya Edgar ilitoka kwa Sophia, baada ya kupewa namba na Suzan, akaongea nae wakakubaliana saa sita Edgar apande dala dala mpaka kwa msuguri, hapo atamkuta yeye Sophia na kumpokea, akimwambia kuna kazi anataka akamsaidie, wakakubariana hivyo,

Edgar akiwa anajiuliza nikazi gani ambayo anaitiwa na Sophia, mala akastushwa na sauti ya Nancy, “mambo Eddy,” Edgar akamtazama huku akiweka simu yake mfukoni, “poa tu! niaje?” sasa Edgar alionekana kuchangamka kidogo, tofauti na wikimoja nyuma, ata lugha yake ilianza kuwa ya kimjini mjini,pengine alichoka zarau, “poa, naona ulikuwa unaongea na simu nani huyo?” aliuliza Nancy kama anamuuliza mpenzwake, akiashiria kawivu flani, “kuna dada yangu mmoja hivi, yupo tanesco pale mbezi” alijibu Edgar akitazama pembeni kumwangalia mtu ambae alikuwa ame wasogelea na kusimama pale walipo, Nancy naye aligunduwa uwepo wamtu mwingine pale walipo, “hooo Joy, nilizani umeenda kunywa chai” aliongea Nancy akimtazama rafiki yake Joy, “nime shiba sana asubuhi, siwezi kuongeza chochote, aliongea kwasauti tulivu nanyololo, ni kwamala yakwanza Edgar anaisikia sauti ya binti huyu, akaipenda, “vipi Eddy utatutoa luchi,?” aliuliza Nancy aki shika tisheti ya Edgar kama anamtoa uchafu, “dah!itakuwepo kuna sehemu naenda mala moja, sijuwi kama nitawai” hapo wakatazamana wale wanaweke

“Hivi Eddy unajuwa kama umebakiza miezi mine tu, mbona ukai darasani?” aliuliza Nancy, hapo Eddy akatabasam kabla ya kujibu, ”chuo nilichotoka tulisha maliza tropic zote, hapa nafanya revision tu” muda wote Joy alikuwa anawatazama kwazamu, akisoma kitu machoni kwa watu hawa wawili, kwanza aligunduwa kuwa Nancy anampenda sana Edgar, pili aligunduwa kuwa Edgar hakuwa na mpango na Nancy, ila kuna kitu anaangalia kwake, nikweli siyo mala moja Edgar na Joy waligongana macho, pale Edgar alipo kuwa akimtazama Joy kwamacho ya matamanio, “Joy njoo mala moja” wote wali stuliwa na sauti ya kiume, ata Joy mwenye we alipo mwangalia mwita jihuyo mwenye amri zakijeshi, ambae alikuwa ni Masoud licha yakuwa ni mwana chuo mwenzake, pia aliwai kuwa mpenzi wake, hapo akamtazama Edgar usoni kama anaomba luksa ya kuongea na Masoud, kisha kwakusuwa suwa akamfwata Masoud ambae bado alikuwa anatembea kwa mwendo wa haraka akitarajia kuona Joy akimkimbilia, sababu alikuwa na uakika kuwa, kutokana na jinsi alivyo kolea lazima atafanya hivyo, lakini kiukweli siku hiyo, Joy aliona haibu kuonyesha uzaifu wake mbele ya kijana Edgar, amba anatabia yap eke yake na hakuwai kumwona mtu kama huyu toka amezaliwa, hapo Joy alitembea kidogo baada ya kumwona Msoud anaongeza mwendo akaghaili na kurudi walipo Nancy na Edgar, ambapo aliwakuta wanaagana, na kila mmoja akaelekea darasani kwake

Huku kwa mama mwenye nyumba mzee Mashaka alikuwa bado amekaa pembeni ya kitanda huku Suzan akiwa amekaa kwenye kitanda ameendemea kwenye uukingo mkubwa wakitanda, kwamsaada wa mito naukingo wakitanda chake kizuri, akipata supu ya kuku aliyoletewa na mzee Mashaka, japo Suzan moyoni alichukizwa na mzee Mashaka huku akiona uwepo wake pale umesababisha hashindwe kumwita mpenzi wake Edgar, lakini alijitaidi kumwongelesha maneno mazuri mzee Mashaka ili hasigundue kama moyoni anamchukia kwa tabia yake aliyo ionyesha jana pale Full dose

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni