MAMA MWENYE NYUMBA (5) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Ijumaa, 1 Mei 2020

MAMA MWENYE NYUMBA (5)

UMEWAHI KUONA AU KUSIKIA KUHUSU PICHA ZA AI?
Sasa naomba nikufundishe bure kabisa nawewe uzitengeneze kirahisi kabisa

Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA TANO
Hakuamini kijana yule mpole anaweza kumfumua yule mwendesha pikipiki namna hile, hakuwa na lakufanya, akamsindikiza kwa macho mpaka alipo potea machoni kwake

SASA ENDELEA...
Akirudi alikotokea upande wa chuoni kwao, hapo Suzana akanunua maitaji yake, huku akisikia jinsi watu pale wakimsifia yule kijana kwakumshikisha adabu, mwendesha pikipiki mjinga, nakabla hajaondoka alishuhudia polisi wakifika pale na kumchukuwa yule kijana, ni baada yakuhoji kilicho tokea, muda mfupi baadae Suzana alikuwa amesha fika nyumbani kwake, akabadirisha nguo zake, nakuvaa nguo nyepesi ambazo upenda kuvaa akiwa mwenyewe nyumbani, au anapokuwa na mpenzi wake mzee Mashaka, ni kigauni chepesi kifupi kinachoishia juu ya magoti, katikati ya mapaja, nakusababisha mapaja yake ma nene na makalio yake makubwa kuonekana vizuri, tena leo hakuvaa nguo za ndani, kuanzia sidilia mpaka chupi, kitu licho sababisha kila kitendo alicho fanya kiliutikisa mwili wote, kuanzia hips makalio na matiti yake makubwa, hapo akaingia jikoni , akanza kupika

Saa sita kasolo mzee Mashaka alikuwa amesha malizana na mzee Haule, baada ya hapo akaelekea mbezi pale pale full dose, nia ikiwa moja tu! kwenda kumtafuta yule binti alie mnyonya dudu jana usiku, alifika full dose nakukaa kwenye meza moja iliyo jificha, akaagiza bia, baada yakunywa bia mbili, akampigia simu yule binti ambae alimsevu kwajina la WAJANA, alipata hewani na wakakubaliana aje mala moja pale full dose, haikuchukuwa mda mrefu bint wa jana alikuwa amesha wasili, kwanza aliingia kwambwembwe, alimpiga busu lamdomo, mzee Mshaka baadaya hapo, akakaa nakuagiza bia huku akiagiza aitiwe mtu wa jikoni, baada ya muda mfupi bia ilikuwa imesha letwa na muuza chips alisha agizwa, walitumia saa limoja, kabla mzee Mashaka ajarudisha mawazo kwa Suzana, akijiuliza kwamba atakuwa na shidagani, hakuwaza juu ya ngono, maana haikuwai kutokea Suzana akadai dudu ata sikumoja, mawazo hayo alikuwa akiyawaza toka anatoka nyumbani, hivyo alishajiandaa kwalolote, ikiwa ni kubeba kiasi cha shilingi milioni saba, akijuwa pengine Suzana alikuwa nashida ya fedha, waliendelea kupiga pombe, muda wote binti huyu Wajana, aliakikisha anaegesha mkono wake juu ya mapaja ya mzee Mashaka, nakuchezea dudu ikiwa ndani ya suluali, ilikuakikisha ina simama, nakweli akaishuhudia ikisimama, hapo kazi ikamwa moja tu! kuzidi kumkoleza na kuakikisha mambo hayaharibiki kama jana, walikaa hapo kwamuda mrefu wakinywa pombe, ndipo mzee Mashaka alipo pokea sms toka kwa Suzana akimkumbusha kuwa anamwitaji mchana ule, hapo mzee Mashaka akamwambia binti Wajana, amsindikize mala moja kibamba kunamtu anataka akamwone, safari ikaanza, nusu saa baadae nissan safari lilikuwa limesha simama nje ya nyumba ya Suzana mahips namzee Mashaka yupo ndani ya nyumba hiyo, ni baada ya kumwacha binti wajana kwenye bar moja ya jilani, akimwambia amsubiri kidogo.

Huku ndani ya nyumba ya Suzana, suzana alikuwa amejilaza kwenye kochi huku kiguochake kifupi kikihacha wazi sehemu kubwa ya mapaja ya Suzana, ni baada yakumaliza kupika, na kuandaa chakula mezani, tayari kula na mzee mashaka, lakini mambo hayakuwa mazuri, licha ya Suzana kuonyesha dalilizote zakuitaji dudu, lakini mzee Mashaka hakuwaonyesha kuitaji kitumbua kwa muda huo, huku akijifanya ana araka sana, alimsogelea Suzana ambae alikuwa amelala juu ya kochi huku kile kinguo chake cha mtego, kikihacha mautamu njenje, “niambie mama, una shida gani?” aliuliza mzee Mashaka, akiwa bado amesimama, karibu na kochi alilo lala Suzana, “baba si ukae kwanza baba” aliongea Suzana, akimshika suluali mzee Mashaka na kumvutia kwake, “hapana mama, hujuwe nime mwacha mzee Haule ananisubiri, wacha nikamalizane nae,” aliongea mzee Mashaka, huku akijitoa kwa Suzana, kasha akafungua mkoba wake wa mkononi, (begi) akatowa maburungutu saba ya noti za elfu kumi kumi, nakuweka kwenye meza, kisha akamwambia Suzana "najuwa hauna tabia yakuniomba fedha, atakama unashida, ebu chukuwa hii itakusaidia, mimi nawai maana mzee Haule ananingoja" aliongea mzee Mashaka huku akijiandaa kuondoka "asante baby" aliitikia Suzana akijifanya kutabasamu, wakati moyoni alichukia sana, hapo Suzana aliinuka na kusindikiza mzee wake ambapo aliishia mlangoni akimsindikiza kwa macho, mpaka mzee Mashaka alipoondoka na gari lake, suzana akarudi kwenye kochi na kujilaza, huku roho ikimuuma sana, lakini dakika chache baadae akasikia hodi, mlango uligongwa na sauti ya kiume ikiita, “hoodiii” akaisikiliza kwa makini ikaita tena akaigunduwa kuwa ni ya Edgar, mpangaji wake mpya, akainuka araka nakuufwata mlango nakuufungua, nikweli alikuwa Edgar, licha ya kuonyesha kuwa kijana huyu alikuwa amechoka na uo husio na Amani, lakini alipo shusha machoyake chini kwenye suluali yajinsi usawa wa zip, suzan alishuhudia, alama ya mtuno ikionyesha sehemu ambayo dudu imelala, hapo Suzana alijikuta akiuma midomo ya chini, “karibu ndani, nani vileeee

Macho ya bwana mdogo Edgar yali tuwa kwenye, kinguo cha mwenye nyumba, duuu hapo kiukweli hali ilikuwa ngumu Zaidi, kwani huko alikotoka, alikutana na mambo makubwa Zaidi, yaliyo mwacha akitemba njia nzima dudu imesimama, unajuwa kwanini?, ilikuwa hivi, baada ya kumpa kichapo yule mwendesha pikipiki, hakiwa haja mwona mama mwenye nyumba wake, alighaili swala la kwenda kunywa chai, akaludi chuoni, moja kwamoja, darasani, ambako kulikuwa wazi kabisa maana wanafunzi wengi, walikuwa wameenda kupata chakula cha mchana, akajaribu kutowa kitabu chake nakujisomea, lakini haikuwa lahisi hivyo, maana mambo yalimchanganya sana kwanza tukio lakupiga mtu, pia maneno ya dada yake kwenyesimu, akabaki amekaa hasijuwe lakufanya,mpaka alipo stuliwa na mwanafunzi mwenzake, “hoya bro njoo tucheki vitu, nimekuja na vitu vipya” kwanza Edgar alijuwa amefanishwa, au kuna mwingine ameongezeka mle ndani, lakini alipomwona mwanafunzi mmoja akiwa amebeba computer mpakato, akikaa karibu yake, alipo mtazama usoni akamkumbuka kuwa ni kati ya wale wavulana wawili, walio kuwa wana angalia video ya ngono, jana usiku, hapo akajiunga na yule mwenzie, ambae alikuwa anaiwasha ile computer

“Hivi bro we nimgeni hapa chuo?” aliuliza yule mwanafunzi huku aki anza kufungua mafaili, “ndiyo, nina week moja tu!” “ok! karibu sana mwanangu, kuna mademu bomba kinoma, sema wanapenda sana mkwanja” waliongea mawili matatu, wakati wakianza kuangalia video moja ya ngono, ambapo leo Edgar aliweza kuona vizuri na kwa umakini sana, kitendo baada ya kitendo, baada ya dakika chache waliongezeka wanafunzi wengine wawili mmoja wao akiwa ni mwanamke, lakini siyo mrembo sana, kama wale wajana, baada yakutazama kwamuda kidogo, akaona hali inazidi kuwa ngumu, akaona bora hajitoe kwenye mapigano, akaondoka kimya kimya, nakukamata njia yakurudi nyumbani, wakati anapita kwenye bar moja, akalion lile gari, lililo mchafua jana usiku, aliona akishuka binti mmoja wakawaida alie pauka kwamkologo, akiwa amevaa nguo za kiasala asala, nakwenda kukaa kwenyeile bar, nakuagiza bia ,huku lile gari likitimua mbio, kuelekea upande wanao kaa wao, “kumbe nikawaida yake ku kimbia ovyo, wakati akiendelea kutembea taratibu, ile video ilikuwa ikijiludia kichwani mwake, nakusababisha muhogo kututumka kwa hasira, kihasi cha kujikuta akitamani kufanya majaribio, kwa binti Nancy, ambae alikuwa amejipendekeza mwenyewe, lakini atapata wapi fedha ya kumtowa dinner binti huyo?, wakati akiwa kazama kwenye ukumbi wamaswali bila majibu, ghafla alistuka lile gari Nissan, lililomkosa jana usiku na kumwagia maji machafu, likija kwa kasi sana, akalipisha kwaalaka sana, japo aliambulia vumbi la maana, “dah! Huyu jamaa, nimshenzi kweli” aliajisemea Edgar, nakuendelea na safari yake, dakika chache akawa amfika nyumbani, akaliona gari lamama mwenyenyumba, likiwa limepaki pale nje, akajuwa atakuwa ameludi , alicho fanya akaingia chumbani kwake akachukuwa fedha, kiasi cha elfu sitini, kodi ya miezi mitatu, akaziweka mfukoni, kasha akatoka na kuelekea kwenye mlango wa nyumba kubwa, ya mama mwenye nyumba, nakugonga hodi, ndipo alipo shuhudia mlango ukifunguliwa, akatokea Suzana, akiwa amevalia kigauni chepesi kifupi, hapo kiukweli mambo yali halibika upya na kuamsha dude “Eddy… naitwa Edgar” aligutuka Edgar kwambaalikuwa ameulizwa jina, “hooo! Kweli lilinitoka kidogo! Mimi nitakuita Eddy, karibu ndani” hapo Suzan akatazama tena, suluali ya Edgar,kwenye zip, duu! Akaiona dudu bado ikiwa imetuna , hapo kajikuta anasisimka kidogo, nakupatwa na kitu chahajabu, kama shot ya umeme ikitembea kuanzia kwenye mbavu mpaka kiunoni mwake

“Ok! ok! Karibu.. karibu ….. ndani “ alisema Suzan akimpisha Edgar aingie ndani, “haaa hapana, nime kuletea ule mzigo wako,” alijitetea Edgar, lakini Suzana akawa king’ang’anizi “husiogope Edy karibu ndani, tena chakula tayari uwa siwezi kula peke yangu, niliandaa kingi nikitalrajia mgeni , lakini mgeni mwenywe haja kaa, ebu karibu ndani bwana” alisema Suzan ambaye sasa alimfwata Edgar na kumshika mkono akimwongoza kuingia ndani, Suzan akiwa mbele na Edgar akiwanyuma, safari hii fupi ilikuwa ngumu sana kwa Edgar, licha ya kufurahi sana alipo sikia juu ya chakula, sababu alikuwa ananjaa kali, lakini pia alisanifu makalio makubwa ya mama mwenye nyumba, yaliyo ning’inia kwenye kiuno chembamba na kubebwa na mapaja manene. Ambayo sasa yalikuwa yanaonekana vyema chini ya kinguo kifupi na chepesi, alichokivaa mwenyeji wake, alihiyo ilisababisha, mambo yaziadi kuaribika, maana dudu ilizidi kuchachamaa, asa mkono wa Suzan ilioushika mkono wake, ulikuwa unakajoto flani hivi

“Karibu sana Edgar” alisema Suzan aka Suzan Mahips, wakati akimwonyesha Edgar sehemu yakukaa, “asante sana” alisema Edgar huku akikaa kwenye kiti kimoja kati ya vinne, ambavyo vime zunguka meza kubwa ya chakula iliyo beba ma hot pot kadhaa ya vyakula, wakati huo Suzan naye macho yakatuwa tena kwenye zip ya Edgar, Duu! Mapigo yake yamoyo yakaenda mbio nakudunda kama vishindo vya farasi, wakati huo Edgar aliweza kushuhudia mabulungutu ya fedha kwenye meza iliyo zungukwa na makochi, “mh! Watu wana fedha” dakika chache baadae walikuwa wameanza kula, ilikuwa ni bahati kwake, maana hakutegemea kula chakula kitamu kama kile, mchana waleo, waliongea mengi sana wakiwa wamekaa kwakutazama wakitenganishwa, na meza.

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA SITA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni