Notifications
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…
  • MY DIARY (14)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NNETULIPOISHIA...Nikamuuuuliza hivi wewe haugopi maradhi? Akanijibu kuwa angekuwa haogopi basi angeshakufa. Sikiliza Leah hapa nipo na vile vipimo vya ukimwi hivyo usiwe na wasiwasi tutapima wote wanne kama wapo fresh tutaingia kazini wewe si unatafuta hela ya kujiunga na chuo au?IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kabla sijajibu akanambia nitakupa na dawa ya kumeza ya kuzuia mimba na pia…
  • MY DIARY (13)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TATUTULIPOISHIA...Joyce akaanza kujimiminia mwenyewe, kweli dunia ina mambo wakati wenzake wakichanganya nay ale maji makubwa yeye alikuwa akinywa kavu kavu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi mimi sikuwa na jinsi zaidi ya kuaagiza ile bia yangu ambayo alinifundisha yaani savanna. Safari hii hakusubiri ili ifike mwisho ili anitambulishe bali tulivyoanza tu kunywa akawaambia wale…
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…

TUPEANE (12)


JINA: TUPEANE
Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA KUMI NA MBILI
Wakiwa wanajiandaa kutoka nnje nikajivika kivuli sitoweza
kuonekana na mtu wa kawaida
hata kidogo wakatoka nnje na kuanza kunitafuta kila kona hawanioni mwisho doctor akasema “labda atakuwa katoka kwenda kunywa chai maana muda mrefu tu alikuwa pale amekaa"

SASA ENDELEA...
Nikasepa zangu kwa kupanda daladala ya tandika muhimbili nia na madhumuni kwenda kumuangamiza mmoja kati ya wale walio mmbaka Rukia kazi yake kubwa ni deleva tax na huwa anaipaki pale k/koo sokoni
nikiwa ndani ya daladala nikaweza
kumuona mtoto mmoja
kusema kweli hakuwa ni
mtoto wa kawaida ndio maana kuna msemo.mmoja ya kwamba waarabu wa pemba hujuana kwa viremba ndio
ilivyo kwa sisi mizimu
popote tunapo kutana
tunajuwana tu nikabaki kumkodolea macho yule mtoto akiwa kashika kitu kama mguu wa kuku hivi anakula kwa macho ya kawaida utaona mguu
wa kuku ila haukuwa mguu wa kuku ni kiganja cha mtoto mchanga nikafahamu itakuwa katoka muhimbili kuchukuwa
nyama kati ya maiti moja
ya mtoto mchanga tu,
konda akafika kwangu na kunidai nauli nikajisachi sina na
kujikuta namwambia
brother samahani nimedondosha wareti yangu,
“wee usinitanie kabisa boya wewe naenda nyuma kudai pesa nikirudi
niikute pesa yangu mtoto wa malaya wee!!!
akapita kwenda kudai siti za nyuma kile kitoto kikawa kina nicheka na kuniambia nifanye mambo
basi nikatabasamu baada
kufahamu nini anataka nifanye mwisho konda akarudi kwangu ile kufika tu nikajisachi tena nikatoa
wareti ikiwa imetuna pesa akasema
“ahaa kumbe wee jamaa pesa unazo ulitaka kunizingua tu nikampa noti ya shilling elfu kumi
akajisachi atoe chenji akaanza kubabaika huku akijisachi kila kona, yule dogo anacheka mbavu hana unajuwa tumemchezea mchezo gani konda niambie kwenye comment yako,

Konda akazidi kujisachi mpaka kwenye chupi ikabidi amuulize dereva wake “oyaa Seba kaka zile pesa ulinikabizi kweli?"
“pesa zipi Chollo?"
“zile za makusanyo ya jana, “ndio nimekukabizi kwani vipi?"
kwa sauti ya kubabaika konda akajibu “amini usiamini mwanangu nimepigwa changa la macho dahaa,
“Chollo unasema?" dereva akajikuta anafunga break ya gafla na kumgeukia konda umesema huzioni?"
ndio kaka, “unajuwa Chollo acha uboya ndugu mafao ya jana hatujapeleka afu unasema huzioni, konda akashindwa kujibu kitu akabaki kujiuliza maswali mengi tu,
imekuwaje pesa zipotee gafla wakati alikuwa nazo, kuna baazi ya abilia walikuwa wanadai chenji zao “oyaa konda chenji yangu nimekupa elfu kumi na mimi konda usinisahau nimekupa elfu tano, yule mtoto akabaki kucheka maana alichokuwa anataka nikifanye nimefanya hata mimi nikabaki kutabasamu tu si kaniita mimi mtoto wa malaya tuone
sasa mimi na yeye nani mtoto wa malaya konda akawa mnyonge kama kifaranga kilicho mwagiwa maji vile
mzozo ukawa mkubwa kati ya konda na dereva maana hakumuelewa kabisa
“chollo acha uboya embu nikabizi hizo
pesa k****ma wee mshenzi nini!!!
wakakunjana huku abilia wakijitahidi kuwaamulia wengine wakidai chenji zao kwa ushenzi hata ile elfu kumi niliyo mpa nikaibeba baada kuiweka mfukoni tu
“nyie vipi bwana mimi hapa sina pesa zaidi niliyo pewa na yule jamaa tuu!!! kuna zinga la baba akamkunja konda na kumnyanyua juu huku akimwambia “wewe mpumbavu nahisi haunijui mimi nani nitakufanyia
kitu kibaya ohoo nipe chenji yangu usilete umama mama hapa konda
masikini akawa anapapatika
kama kuku kishingo vile
“wee baba embu muachie kwanza mwenzako utakuja kumuuwa ni sauti ya mama mmoja hivi kama ujuavyo k/koo watu kibao wakajazana kushuhudia songo mbingo lile
kwakuwa hatukuwa mbali na kituo cha policy msimbazi maafande wakafika haraka sana baada kusikiliza maelezo kwa abilia konda akavishwa pingu safari mpaka kituoni kuna
sister mmoja akawa analia baazi ya watu wakajaribu kumuuliza kipi kinacho mliza, akajibu ya
kwamba “nilimpa konda shilingi elfu kumi hakunipa chenji afu pesa yenyewe nime agizwa matunda ya mgonjwa!!!
wengine wakampa pore wengine wakamchangia changia tu mwenye mia tano au elfu moja japo haikutimia
yule binti akashukuru na kuondoka zake nikaingiwa na imani nikamfata yule binti nikiwa nyuma yake nikamgusa begani na kumwambia “samahani binti nimekuona pale unalia sijui konda hajakupa chenji yako je walivyo kuchangia ilitimia hiyo pesa?"
“hapana kaka yangu nimepata hii tu
huku akinionyeshea hizo pesa ni kiasi cha shilling elfu tatu tu nikaingiza mkono mfukoni na kumpatia elfu kumi hakuamini kama nampatia yeye
akabaki kusita sita kuipokea
nikamwambia “chukua tu dada yangu usiogope!!! akaipokea
na kunishuru sana kwa kusema “shukrani sana kaka yangu maana nilikuwa na weweseka hapa ntaitolea
wapi pesa ya watu,
“usijali Dada yangu ni kawaida
tu si unafahamu nyie ndio mama zetu
usingizi wetu, akabaki kutabasamu
nikamuaga na kusepa zangu
cha ajabu kile kitoto kikawa kinanifata kila nikipiga hatua au kukata kona yupo nyuma yangu dahaa
sikutaka kumuuliza kwa nini ananifata nikaendelea na safari yangu kwa kuingia k/koo sokoni na kushuhudia mambo mengi ya ajabu lazima niyaseme hapa ili asie ona na aone asie sikia na asikie
nikaweza kumuona mzee mmoja anauza njegere kusema kweli hazikuwa njegere bali ni mavi ya mbuzi,
kisturi alicho kalia sio
kisturi ni kiuno cha mwanaadamu yani amekatwa kati kati kiwili wili cha juu kikatupwa wakakata miguu eti akaifanya sturi ukicheki wateja wamejazana kwake wakinunua bizaa zake za ajabu ajabu tu hakuna cha kiazi kabichi wala nyanya
kiini macho tu
kama kuna bibi anauza matango karoti na vinginevyo nahisi nikivitaja utahisi kutapika ewe mwana adamu tambuwa ya kwamba uchawi upo katika dunia hii ila ukimtumainia Mwenyezi mungu utaokoka na mengi mabaya,

nikaenda mpaka kwa yule babu “shikamoo babu!!!
“marhabaa mjukuu wangu yani hapo yuko busy kweli kuwahudumia wateja, moyoni nikajiuliza je niwafumbuwe watu macho waweze kujionea uchafu anao ufanya huyu babu au nimkaushie nini?
sikuweza kupata jibu zaidi ya kuondoka nikiwa naondoka nikamsikia yule babu ananiita “wee kijana vipi mbona unaondoka embu njoo kwanza, “nikamjibu “hapana babu nilicho agizwa hapo akipo, si akasema “nenda zako mwanga mkubwa wee kama umetumwa kunijalibu hapa umedunda dogo,

“sasa mzee Mudy hayo yote yametokea wapi tena kumwita mtoto wawatu mwanga kisa hajanunua kitu kwako au?"
ni maneno ya mama mmoja nae muuza bizaa lakini zake original, yule mzee baada kumjibu kiustaarabu yule
mama akampayukia,

huku akimnyooshea kidole “wee!!!wee!!!
tena ukome kuingilia mambo yangu nisije kukunasa makofi sasa hivi, yule mama akawa mpore tu hakumjibu kitu,
yule dogo akanishika mkono nikamuangalia akanifanyia ishara ya kwamba kama kawa fanya mambo basi brother,
sikutaka kuremba kitendo cha haraka sana nikaenda hadi kwa yule mzee nilipo mfikia tu nikamuwasha kofi nahisi akili zote
zilivurugika “nani kanipiga?"
nikazigusa bizaa zake amini usiamini kila aliye ziona akatamani kutapika wenye roho nyepesi wakatapika kabisaa maana dahaa hizo karoti ni sehemu za siri yani huwa wanaenda kuwakata maiti miume hakuna aliye amini kile akionacho,

baada kufanya vile nikamuonyeshea kidole yule bibi akabaki kutetemeka huku akiniomba nisimfanyie hivyo
maana watamuuwa nikampa
maneno ya ishara aache upumbavu
huku sasa kwa yule babu
wananchi wenye hasira washalishwa sana uchafu
wafanya biashara nao kumbe walikuwa wanapotezewa wateja kwa sababu ya mjinga mmoja tu wakaanza
kumshushia kipigo nikaona kitu anakifanya gafla yule babu akapotea kila mtu akabaki kupagawa nikapiga mahesabu nikaweza kumuona yupo mtaa wa Congo kajichanganya na watu anasepa

nikataka kufata ila yule mtoto akanizuia kwa kuniambia niifanye kazi iliyo nileta kwanza huyo babu
tutamzukia siku yeyote tu
tukaondoka kwani policy walishafika eneo lile na kuvichunguza chunguza vile viungo,
nikamuuliza yule mtoto
“hivi wewe mbona unanifata fata mimi kwani vipi?"
baada kunijibu ndio kwaanza kinacheka tu,
nikajisemea subili time ifike nikupige changa la kisogoni maana ukigeuka tu mi sipo sio changa la macho,

tukafika sehemu nikasikia sauti ikiniambia “wee pisha njia nyau wee!!!
kucheki ni msukumiza mkokoteni nikapisha ila kama nilichelewa hivi basi akanipushi nikaenda chini puhuu!!!
nikajikuta nadondokea bizaa za watu

kama haitoshi akasimamisha mkokoteni na kuja kunizoe pale chini
kabla sijanyanyuka akanipiga kichwa nikayumba kwa mara nyingine nikaenda chini
“wee boya unaleta umama mama hapa,
akaondoka unajuwa binaadabu bwana
shida tu usimzarau mtu usie
mjuwa yani kukutana nae njiani tu
unamchukulia
ni mtu wa kawaida cheki sasa napigwa pasipo sababu kisa tu
kuchelewa kumpisha
njia kingine yeye ndio kanipushi,
nikamcheki yule dogo anasikitika tu,
kudadeki sitakiwi kukasirika
ila nikakasirika
gafla wingu zito likatanda upepo mkali ukavuma k/koo pakawa hapatoshi tena,

Kitendo alicho nifanyia msukumiza mkokoteni cha kunipushi
kisha kuja kunipiga kichwa kikanifanya nikasilike vipaya sana na nikikasilika nakuwa noma vibaya sana wingu zito likatanda upepo mkali ukaanza kuvuma
k/koo pakawa hapatoshi

watu wakabaki kushikwa na taharuki wasiamini wakionacho nguo za machinga zikawa zikipeperushwa huku na kule
nikatoka faster kumuwai yule bwege
lakini kale katoto kakanizuia njia kwa kukaa mbele yangu
nikabaki kukatizama tu sijui
nikatafune au vipi akanisihi nipunguze
hasira kwani naleta maafa kwa
viumbe visivyo na hatia maduka yakawa yanafungwa kuepusha zoruba ile isije kusomba vitu vyao nikaanza kushusha hasira zangu hali
ikatulia na kuwa shwali
nikamuomba anipishe “nipishe basi nimuwai yule boya!!!
“achana nae kaka, kwa mara ya kwanza nikaweza kuisikia sauti ya huyu mtoto ilikuwa ni sauti nzuri sana
kama kinanda nikamruka na kutoka mbio kama upepo huku nae akija nyuma yangu tukawa tukishindana mbio
mbele yangu kidogo nikamuona yule msukumiza mkokoteni nikaenda kuushika ule mkokoteni wake kwa kuuvuta kwa nyuma akashindwa kwenda mbele na kugeuka huku akidondosha tusi
“m***nge gani huyo analeta mambo ya kishoga si akaniona mimi,
“hivi wee boya kichapo nilicho kupa kule hujatosheka tu mpaka umeamua kunifatilia si ndio?"
sikumjibu kitu maana nilikuwa nishaanza kusikia harufu ya damu na nyama,
akanisogerea kitendo cha
kunyoosha mkono wake ili anikunje nikakunjua vidole vya mikono yangu kwa kutumia mikucha iliyo chomoza kwenye vidole nikamkata kiganja chake cha mkono kikaenda chini akabaki kupiga kelele tu “uwiiiiiii....nakufaa" wingu likatanda tena radi likaunguruma na umeta meta kuwaka kama short ya umeme, nikajikuta nabadirika na kuwa kiumbe cha ajabu sana hata
yule mtoto akanihofia maana sikuwa mimi tena nikamzoa yule jamaa na kummeza kabisa ndugu msomaji ombea iwe story kwako au iwe kama unacheki muvi tu maana hali ikawa tete katika jiji la dar es salaam

KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU


TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

12 Simulizi Tupeane
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni