Notifications
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…
  • MY DIARY (14)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NNETULIPOISHIA...Nikamuuuuliza hivi wewe haugopi maradhi? Akanijibu kuwa angekuwa haogopi basi angeshakufa. Sikiliza Leah hapa nipo na vile vipimo vya ukimwi hivyo usiwe na wasiwasi tutapima wote wanne kama wapo fresh tutaingia kazini wewe si unatafuta hela ya kujiunga na chuo au?IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kabla sijajibu akanambia nitakupa na dawa ya kumeza ya kuzuia mimba na pia…
  • MY DIARY (13)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TATUTULIPOISHIA...Joyce akaanza kujimiminia mwenyewe, kweli dunia ina mambo wakati wenzake wakichanganya nay ale maji makubwa yeye alikuwa akinywa kavu kavu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi mimi sikuwa na jinsi zaidi ya kuaagiza ile bia yangu ambayo alinifundisha yaani savanna. Safari hii hakusubiri ili ifike mwisho ili anitambulishe bali tulivyoanza tu kunywa akawaambia wale…
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…

TUPEANE (7)


JINA: TUPEANE
Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA SABA
Bibi akawa anazidi kushangaa shangaa tu mwisho akanyanyuka na kwenda sehemu aliyokaa babu akamnong'oneza kitu na kuonyesha kidole sehemu niliyo kaa mimi babu akaangalia baada kuniona na yeye akanyanyuka kunifata akanisalimia kwa kunipa mkono

SASA ENDELEA...
“Assalam alaykum kijana?" “Waaleykum ssalam mzee wangu, “naomba nikuulize kitu kama hautojali, “uliza tu mzee hamna shida, “hivi wewe ni ndugu na wafiwa au?" ”apana mimi sina undugu nao kabisa, “basi mke wangu yani bibi yako anakuomba mara moja, japo niliweza kuyafahamu mawazo ya bibi na kumfahamu ni nani nikajifanya kuuliza “bibi yupi huyo?" akanionesha yulee pale,' nikanyanyuka na kwenda kumfata baada kumfikia nilimuamkia nae akaitikia na kuniuliza “samahani baba yangu kwa kukusumbua hivi unaitwa nani?" naitwa Sephu da prince, “ohoo ndio jina lako hilo unajuwa nilipikuona umekaa pale nikakufananisha na mjukuu wangu anaitwa Hafidhi j ikram sema yeye kafa mda mrefu sana ishapita miaka takribani 18 sasa, “dahaa poreni sana unajuwa tena dunia watu wawili wawili, “ndio nafahamu wawili wawili lakini wewe umefanania kila kitu hadi sauti, nikacheeka na kujisahau kama nipo msibani kila mtu akageuza macho kututizama sisi nikauwa soo kwa kusema maneno flani hivi kila mmoja akaendelea na mambo yake watu wakakusanyika na kutakiwa maiti izikwe kesho mchana saa saba nikamfata kijana mmoja anaekwenda kwa jina la Azizi nikaweza kuchonga nae kuhusu swala la kuweza kupata chumba cha kupanga maeneo ya kijiji kile akaniambia “kusema kweli vyumba vipo sijui kama kodi yake utaiweza?" wee taja tu kwani shiingapi?" “kuna vyumba vya shilling elfu 3 kwa mwezi mpaka elfu 5 kwa mwezi, nikacheka japo kwa kuziba mdomo, “sasa mbona unacheka?"
unajuwa kinacho nichekesha ni kuhusu ulivyo niambia je nitaiweza hiyo kodi nikajuwa labda kama kule town chumba kuanzia elfu 25 mpaka laki 1 na nusu kwa mwezi, ”chumba mpaka laki kwa mwezi?"
ndio hivyo, sasa kama vipi twenzetu basi ukanionyeshe hivyo vyumba, tukatoka kwenda kucheki katika zunguka zunguka yetu yote kuna nyumba moja tu nikatokea kuikubali unajuwa kwa nini niliikubali ni kwamba familia nzima ni wachawi tukianza bibi babu baba mama na watoto wao wote wachawi wengi walishindwa kukaa au kuishi kwenye kijumba wanacho kipangisha kutokana na mauza uza ya kila siku nikalipa kodi ya miaka miwili kabisaa siku hiyo hiyo nikahamia kisayansi zaidi sikuja na hata mkeka ila nikiwa ndani nikanyoosha mkono ukutani na kukifanya chumba kibadirike kikawa cha kishua kila kitu kikawa ndani tanda futi sita kwa sita dressing table tv nch 30 flat sabufe yani vikoro koro kibao usiku wa manane nikatoka na kuviona vitoto vya nyumba ile vikisota sota nikajisemea sijui nikavitie bakora au vipi kwa ujinga wao wakajuwa eti mimi siwaoni dahaa,
yapata wiki sasa tokea niamie kijiji kile nikaweza kupata marafiki na kupenda kuja gheto kwangu kucheki muvi “eee bwanaee Shaweji mchizi ana zinga la ghetto kama mamtoni vile kudadeki full Ac mazagazaga nini, tukiwa maskani washkaji wakilisifia ghetto langu gafla kuna binti akakatiza tako tipwa tipwa nini akatuma hi ”jamani za saa hizi?" poa tu sijui wewe mrembo? mi niko freshi tu sema nimekuja kumuomba mmoja wenu aende akanitwishe lile gogo, kila mshikaji nikaona wamekausha nikajitolea kwenda kumtwisha, “samahani binti unaitwa nani?" mmh naitwa Lidya, “ohoo unajina zuri sana binti kama ulivyo wee mwenyewe, “mmh wee kaka unamaneno wewe, “maneno yanatutoka kwa ajili yenu warembo, tukafika nikamtwisha lile gogo kwa ukaribu zaidi nikataka kumkiss binti akabaki kupumua tu huku chuchu zake zikiwa dede nikajistukia kufanya vile itakuwa sio ishu nikageuza kurudi kwa washkaji nikamsikia Azizi anasema “mwambie basi si huyo karudi mwambie.. nikajifanya sijawasikia ndio kwaanza nikawaambia “mnajuwa nini masera kwa yule binti nimezimikia bodi kitu tetemente yani ndio mambo yangu yale nikiwa town, “ndio ni mambo yako ukiwa huko town lakini huku kijijini kuna majanga tu, “mmh majanga yapi tena ndugu zangu?" “embu Hafidhi kaa hapa nikupe mtonyo nikakaa nipate full story, “unajuwa nini kaka wewe ni mgeni katika kijiji hiki sasa basi naomba utambuwe kuanzia time hii mawazo ya mademu wa kijiji hiki futa kabisa, ”nifute kivipi ni wake za watu au?" “yani bora wangekuwa wake za watu hapa kuna mira na desturi ukifanya mapenzi na binti yeyote bila kufunga nae ndoa juwa la kesho ulioni ndugu, kusema kweli sio kama sifahamu ila ninacho fanya Mimi ni kupeleleza kwanza niweze kufahamu wapi nitaanzia kazi yangu maana tokea nifike kijiji kile namsaka nipe nikupe kwa udi na uvumba simpati, “kwahiyo umesema ukifanya mapenzi na binti yeyote yule unakufa?" ndio maana yake sasa kama umemtamani yule binti fanya mchongo wa kwenda kwao mapema ukajitambulishe ndoa ipite, “poa masera kwa kunijuza, nikaondoka kurudi sehemu ninayo ishi kwanza kabisa nikapanga kutembea na kila mwanamke ili niweze kumchokoza nipe nikupe usiku wa manane nikatoka nikiwa kama upepo na kuanza kukizunguka kijiji kizima mwisho nikaingia katika nyumba moja wapo hivi na kuwakuta mabinti wawili wamelala kitanda kimoja nikawanyooshea mkono kanga walizo jifunga rubega zikawatoka na kubaki uchi wa mnyama nikaanza kuwaingilia kwa zamu huku wakiweweseka, aaaaaassssss,,ohoooooo,,,yonaa,,,bbiiiii,,,baaaaasiiii,,,nikaja kuhisi huyu ana basha wake anaitwa Yona maana anamtaja huku akiweweseka tu opssssssss!,,,,,aiiiiiiiiiiiiii,,,,nakokoaaaaaaa,,,nikawa nachovya huku napampu kisha nachomoa nachovya kwingine mpaka nikapizi kimoja kwa mmoja nikavuta pumzi na kupiga cha pili kwa mwingine, baada kumaliza mchezo wangu nikawavisha kanga zao na kutoka ile natoka nikasikia kitu kizito kikitua mgongoni kwangu afu cha motoo nikajishika kujipangusa nikajikuta navamiwa na kitu kizito nikaenda nacho mpaka chini ni aina ya mnyama kama kifaru hivi ana minjino mirefuu macho yake yanawaka moto nikamshika pembe lake na kumtupia pembeni nikajampu kwa kunyanyuka akawa anakuja tena mbiio kufika tu nikamuwasha teke akaenda chini na kuanza kulia mlio kama fisi tena kwa sauti kubwa nikamfata pale alipo lala nikamuinamia na kumshika shingo kusema kweli yataka moyo kwa binaadamu wa kawaida kumuangalia kiumbe huyu anavyo tisha vibaya sana baada kumshika mkono wangu ukawa unawaka moto kile kiumbe kikawa kukiteketea kwa moto na kupotea kabisa nikanyanyuka na kucheka sana “hahahaha! nikijuwa huyu ndio nipe nikupe mbona nimemuuwa kizembe hivi nikasepa kwa kupaa angani nikiwa bado nipo angani nikahisi kama upepo mzito ukinifata kwa speed nyuma yangu,

nikageuka kucheki dahaa ni mapopo bawa idadi yao sikuweza kuifahamu nikaongeza kasi ya kuwakimbia nikaenda moja kwa moja na kutua kwenye uwanja wa shule kwanza anga lote likawa limezibwa na kuwa giza la ajabu kijiji kizima, nikiwa nimetua nikawasiliana na jeshi la kuzimu na kuwaambia naitaji msaada nikacheki juu vimondo vya moto tu ndivyo vinavyo onekana kila popo bawa kashika cha kwake mmoja akashuka mbele yangu na kuanza kunesa nesa kama vile godizira, "ukhuuu nachoo,,nyamwera,! sijui anazungumza lugha gani? japo kuzimu tunazifahamu lugha za kila aina lakini hii kwangu ni lugha ngeni kabisaa, akanikazia macho huku akiutoa utoa ulimi wake gafla bin vuu akapasuka vipande vipande kucheki jeshi lishafika kutoa msaada, sio police wa kibongo kufika eneo la tukio mpaka majambazi wafanye yao wasepe afu ndio wanazuga kwa kufika eneo la tukio, baada kuona mwenzao kapasuliwa ikaanza timbwili timbwili la kufa mtu nikawa napiga nafinya nawasha moto wengi wakateketea na wengine kukimbia nikiwa nahema nikaitwa pembeni yangu ni sauti ya bibi kama mnamkumbuka katika mtaa wa tatu alikuwa akinitabilia maisha yangu, nikageuka kumsikiliza akaja na kuniambia “hili ndio kwaanza trela picha bado halijaanza unahema nini?"
bibi bwana wee acha tu viumbe walikuwa wengi wale, “ahaa wengi wapi wakati hawajai hata kwenye kiganja cha mkono, “mmh lakini bibi najisifia kwa kuweza kumuuwa nipe nikupe, “nipe nikupe bado hajafa ndani ya mwezi mmoja na nusu yuko ziarani nchini misri sasa basi tambuwa nipe nikupe si kiumbe cha mchezo ukizubaa unaweza kufa kizembe kumbuka umetumwa kuzunguka mikoa 15 hapa Tanzania na nchi 25 hapa duniani kazi yako si yakitoto ila ushaanza kufanya ujinga wako wa kipindi kilee, “ujinga gani bibi?" wa kupenda ngono leo umewalal waschana wawili doubre kumbuka ulicho tumwa ni kumsaidia mdogo wako anakuwa huru kutoka kifungoni achana na maswala ya kipumbavu si tunaenda wakasepa,
ikapita kama wiki baada tukio lile kutokea nikiwa nimekaa hivi gafla nikasikia sauti ikiniita, Hafiiiiidhii.... kucheki anakuja mbio kwangu...

“Hafiiiidhi..nikageuka kumtizama anae niita anakuja hata sijatafakali chochote kashafika na kunikumbatia huku machozi yakimtoka kwa fujo “Hafidhi mwanangu kumbe bado upo hai umerudi mwanangu, nikawa najiuliza maswali kichwani kwangu ndio huyu ni mama yangu mzazi lakini mimi nishakufa ina maana mimi na yeye basi tena inakuwaje anikumbuke na kwa nini nimejivika umbo hili na kujiita Hafidhi, nikapiga mahesabu ya faster na kucheza na akili za washkaji wanisaidie kumkana mama ya kwamba mimi siitwi jina hilo nikamtoa maungoni mwangu nikamshika mabegani kwa kumkazia macho na kumwambia “wee mama vipi kwani umedata au?"
“hapana sijadata wewe ni mwanangu Hafidhi, “mimi siitwi Hafidhi nahisi utakuwa umenifananisha tu, “Hafidhi mwanangu leo hii unanikana kweli mimi mama yako, “nikanyoosha kidole cha shahada kwa mbaali akawa anakuja mtoto wa kike huku akiita “kaka Sephu...wee kaka sephu, nikamuitikia naamu, “mama anakwita ukamchinje yule kuku kibwenzi, “ahaa mama nae bwana kazidi uchu nenda kamwambie kuku achinjwi yule, nikazidi kucheza michezo ya kiini macho kwa kumtengeneza mama yangu wa bandia akaja na kusema “wee Sephu kuku kagongwa na nyoka kule muai kumchinja kabra hajafa hee mbona huyu mama analia tena?" unajuwa nini mama huyu mama kanifananisha na mwanae sijui kapotea au vipi, “dahaa pore sana kwa kupotelewa na mwanao ilikuwaje kwani mpaka akapotea?" kwa sauti ya kwikwi mama yangu original akatoa full story, “kumbe mwanao amekufa tokea miaka 18 iliyo pita basi huyu ni mwanangu mimi anaitwa Sephu shaweji labda kafanania na mwanao tu", mama hakuwa na jinsi zaidi ya kuondoka huku akijifuta machozi nahisi hata begi lake akaliona zito kulivuta, nikawapoteza wale ndugu bandia kumbuka nina uwezo wa ajabu kwahiyo ni vitu vidogo sana kufanya hivyo kwanza nafsi ikaniuma kwa kumkana mama yangu mzazi lakini kama kulia kashalia kwenye msiba wangu inakuwaje aamini bado niko hai wakati washanizika

KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU


TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

11 Simulizi Tupeane
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni