BIKRA YANGU (14)

0
Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA KUMI NA NNE
ILIPOISHIA...
Gari lile aina ya Virgo lilizidi kuchanja mbunga kilicho tokea hapo ni ukimnya sababu ya kasi aliyokua akitumia Darlington Shebby kuya pita magari mengine huku akiwa amewasha taa za mbele zote kuashiria kuwa ana dharura na haraka pia,

SASA ENDELEA...
Dakika chache tayari walikua wamesha fika hospitali na kuanza kumtoa Catherine ndani ya gari.!wakati huo alikua kimnya katulia na kufanya hofu iwatande, manesi haraka haraka walitoka nje wakiwa wame valia nguo nyeupe huku wakiwa wana sukuma kitanda chenye matairi . walimuweka juu ya kitanda na kuanza kuburuza kitanda kile na haraka haraka kumuwekea dripu , kweli manesi wote waliingiwa na hofu, walicho takiwa kufanya hapo ni kuokoa maisha ya binti huyo. ,

Taaarifa zile zili mfikia moja kwa moja Dokta Amani na yeye kuchukua kila kifaa akiongoza ndani ya chumba cha wagonjwa.

“huyu tumpeleke thieta haraka haraka, buruza kitanda Dokta Rukia, twende thieta , tuta mpoteza huyu”
Dokta Amani aliongea huku akitangulia chumba ambacho waliwekwa wagonjwa maututi kwa ajili ya uchunguzi wa kina kutokana na hali mbaya kuonekana hapo,alichukuliwa vipimo haraka haraka na kuwekewa mtungi wa gesi ya oxygeni ili uweze kuwa msaada kwake,

Kila juhudi zili tumika ndani ya chumba hiko huku madaktari wakigongana milangoni wakija na vifaa kulikua kuna kila dalili ya umakini kuhitajika ndani ya chumba hiko ili maisha ya mgonjwa huyo ambaye alikua na hali mbaya aweze kurudiwa na hali yake kama kawaida,.

“damu yake ina sumu kali sana , fanya haraka lete hiyo sindano kabla sumu haija ingia kwenye ini Rukia, ata kufa huyu wakati nina uwezo wa kuokoa maisha yake”!

Ivyo ndivyo ilivyokua ndani ya chumba hiko hawa kutaka hata kidogo kupoteza maisha ya binti huyo mdogo, kila mtu alimuonea huruma sana ndani ya chumba hiko.

Maisha yalikua murua sana ndani ya kisiwa cha chake chake walifanya kila aina ya starehe wakiwa fungate, kuendesha maboti kuendesha farasi, kuogelea ilikua ni siku ya furaha sana kwao wote wawili Enock na Heather,
“come here.(sogea hapa)”

Walikua ndani ya swimming pool wakiogelea wenyewe nje ya Hotel iyo kubwa jioni yaa sa kumi na moja, Enock alimuita Heather na kuanza kumnyonya mdomo, nayeye aliitikia na kutoa ulimi na kuanza kuchezesha ulimi wake ndani ya mdomo wa Enock,walikua kama Njiwa, Enock hakutaka kuchelewa alipitisha mkono wake chini ya maji na kuweka bikini ya Heather pembeni na kuanza kupima oil ndani kwa ndani, alivyoona haitoshi kiufundi alizamisha kichwa chake ndani ya maji na kuanza kudeki bahari juu ya bahari,alikua ni mjuzi wa kuogelea ivyo akiwa chini ya maji aliipanua miguu ya Heather na kuzama chumvini,

Raha alizosikia Heather hakuweza kuzi fananisha na kitu chochote kile duniani.
“aaaaah sssssh Enoooock St,,…oooop”
Alilalamika Heather na kumfanya Enock aibuke ndani ya maji na kuanza kumnyonya tena mdomo wake, baadae alishuka na kuanza kumnyonya maziwa,
“nataka tufanye mapenzi ndani ya maji, yaani tuingie chini”!
“NO mume wangu, mimi siwezi kuogelea”
“nita kufundisha, bana pua zako”
“sawa nita jaribu”
“are you ready(upo tayari)?”
“ndio”!

Enock alimchukua Heathear na kuzama nae chini ya maji huko ali mchukua na kuanza kumnyonya mate, huku na kule alimvua kinguo chake cha juu na bikini kisha nayeye kuvua boxa yake, Pumzi zili muishia Heather na kuibuka juu, ila kama samaki aina ya double kisoda Enock alimuungia juu kwa juu na kumshika kiuno vizuri na kumuweka juu ya MTALIMBO wake na sasa jahazi kuanza kwenda alimbinua vizuri huku mara nyingi akiomba mdomo wake na kuanza kunyonyana midomo, Heather alizungusha mikono yake nyuma ya shingo ya Enock huku kiuno chake akikizungusha vizuri taratibu ndani ya maji akikatikia MTALIMBO huo, Enock alimgeuza na kumwambia ashike ukuta wa swimming pool nayeye kuja kwa nyuma yake na shughuli kuanza upya , zilikua ni raha za ajabu sana,
huku yeye akipata raha na kutanua madaktari walikua wakiokoa maisha ya Catherine aliyekua kitandani maututi ,.

“NANI mimi ndiye mama yake, nini yuko wapi?, jamani hospitali gani, nakuaja nakuja”
Taaarifa mbaya sana alipokea Sabrina mama yake mzazi na Catherine na kumfanya afunge duka la nguo k,koo alikua kama amechanganyikiwa baada ya kusikia habari zile ambazo zili kata maini yake kabisa, aliingia ndani ya gari na kutimua mbio akielekea hospitalini, njiani akiendesha gari alikua mwenye mawazo mengi sana na kuanza kulia ,

Alifika hospitalini hapo na kunyoosha moja kwa moja mpaka mapokezi
“yupo ICU hauwezi kumuona subiri baadae”
“siwezi kumuona. Lakini ni binti yangu”
“tuna elewa mama”
“ili kuaje, kuna kijana Yule pale amevaa shati la bluu, ndiye aliye mleta hapa hospitali”

Sabrina alikimbia mbio mbio mpaka kwa kijana Yule aliyeelekezewa na kuanza kumuhoji maswali, bila kupoteza muda Darlington Shebby aliweza kumuhadithia tangu alivyo mkuta baa chooni, alimshukuru sana kwa kuyanusuru maisha ya binti yake kipenzi. .
“yupo kile chumba pale”

Katika hali ya kushangaza Sabrina aliona kitanda kinatolewa ndani ya chumba alichooneshwa kuwa yupo Catherine, huku mtu aliye kua juu ya kitanda kile amefunikwa na shuka la bluu gubi gubi kulikua kuna kila aina ya dalili kua aliyelala pale alikua ni Catherine amefariki dunia alijua fika nini maana ya kufunikwa na shuka la bluu, daktari mmoja alitoka huku akiwa ana fikicha macho yake , nyuma yake wali fuatiwa manesi watatu wakiwa wenye huzuni sana, picha ya madaktari wale ili onesha zairi kuwa kuna habari mbaya ya kutisha kwake tena nzito sana.

Kila mtu alihisi kuishiwa nguvu Sabrina alipiga hatua kadhaa akiwa analia machozi hakutaka kuuliza chochote alifika kwenye kitanda kile na kufunua shuka lile la bluu alizidi kuingiwa na hofu na moyo wake kumuenda mbio sana baada ya kuona sura iliyokua juu ya kitanda, alihisi moyo wake ume mlipuka, japo kua madaktari walijaribu kumzuia asifunue kitanda kile ila walikua wamesha chelewa tayari…..

WALIOMUONA walimuonea huruma, madaktari wote walibaki kimnya wakimtazama kwa macho yaliyo jaa huzuni mwingi,! sababu alikua akilia muda wote akihangaika huku na kule akitaka kujua mwanae amelazwa chumba kipi baada ya kufunua shuka lile la bluu na kukutana na sura nyingine tofauti, bado alikua ni kama aliyepatwa na uchizi au mwenye mapepo,! Roho ya umauti ilianza kujijenga ndani ya akili yake akimuona mwanae amelazwa juu ya jeneza amekufa,
“mwanangu yuko wapi dokta, niambieni ukweli tu mimi mjane”.

Aliuliza mama Sabrina huku akidondoka chini na kuwa pigia magoti wauguzi wale, hakutaka kumpoteza mwane kipenzi
“Mama naomba uni subiri pale kwenye benchi”
“hapana niambie ukweli”

Alivyotaka kuingia ndani ya chumba cha upasuaji walimzuia pale pale,Shebby aliye mleta Catherine hakika hata yeye roho ya huruma ili muingia na kuji kuta ana yafuta machozi yake yaliyo kua yana mtoka japo hakuelewa kwanini analia wakati ule, mambo aliyo yaona pale yalikua ni kama watu walio kua wana igiza filamu ya kihindi.

Haikuwa kazi rahisi kumtuliza Sabrina, ambae muda wote alikua akili taja jina la mwanae Catherine, bado hakupata chanzo kamili kilicho mpelekea mwanae kuwepo hospitalini ndani ya chumba hiko.
“Mwanao yupo chumba cha upasuaji tuna jitahidi kutoa sumu iliyo kua inataka kuingia ndani ya ini, , naomba ukae pale Mama angu, tuta jitahidi kadri ya uwezo wetu mwanao aweze kupona, tuachie tufanye kazi yetu”!

Alizungumza Dokta Amani na kuweka kitu Fulani kilicho zuia pua na mdomo kisha kurudi tena ndani ya chumba cha upasuaji ,

“Dokta Rukia mme fikia wapi”?
“kuna kazi hapa bado, sumu ile imeshata pakaa sana, inavyoonekana alitumia kilevi kikali sana na hizo dawa zikawa excess, tuna kazi ya ziada hapa”

Alizungumza Dokta Rukia huku akifuta majasho yake usoni sababu ya chumba hiko kukosa hewa,
“Sawa , nipatie hiyo chupa ya dawa hapo”

Yaliyokua yanaendelea ulimwenguni Catherine hakujua hata kidogo alikua ni nusu mfu sasa, alikua hasemi tena

madaktari walijitahidi kadri wawezavyo ili kuokoa maisha yake,japo hawa kua na matumaini tena kama ange rudi katika hali yake ya kawaida kulikua kuna kila aina ya dalili kuwa ange poteza maisha yake sababu ya sumu ambayo inaanza kuingia kwenye damu na pengine kumsababishia kansa ya damu, jambo hilo hawa kutaka litokee hata kidogo.

“Enooc…k maaaliza aaaaaah aaaaaah”
Ilikua ni sauti iliyokua ina tokea puani ndani ya chumba kikubwa sana chenye kila kitu ndani yake, aliye kua chini alikua ni Heather huku juu yake Akiwepo Enock amemuweka mbuzi kagoma, kitendo cha mechi ile kuchezwa nusu saa bila goli kutokea kili mfanya Heather aanze kuchoka sana, ila bado aliye kua juu yake alikua mwenye midadi mingi sana, alimuweka sawa sawa, huku akizidi kuzugusha MTUTU ndani ya ikulu ya Heather mechi iyo ilizidi kuendelea alimfuata mdomoni na kuanza kumpiga denda na kuanza kulambana midomo kwa fujo zote ,lakini ili mbidi Heather ashike mpira makusudi ndani ya boxi ili asababishe penati, kweli juhudi zake zili zaa matunda sababu alisababisha penati kisha baadae goli kufungwa kiulaini sana.

Mbio mbio alitoka akikimbia na kuelekea bafuni aliliendea sink na kuanza kutapika, hakukuwa na haja ya kuuliza kitu chochote juu ya dalili hiyo, kulikua kuna kila aina ya dalili kua Heather tayari ni mjamzito , kitendo cha Heather kutapika kili mfanya Enock ashangalie badala ya kumpa pole.
“sasa unacheka nini”?
“yeeeeh you gonna be my baby mama,that is what I was dreamt about(yeaah utaenda kuwa mama wa mtoto wangu, hizo ndizo zilikua ndoto zangu)”

Alizungumza Enock huku akiruka ruka , haraka haraka alimuomba Heather aweze kuvaa nguo zake ili waende hospitali kuhakikisha kuwa jambo lile ni kweli, hakupata picha mama yake ange kua na furaha kiasi gani, angesikia habari za mjukuu wake, aliamini kuwa sasa mama yake liye kua gerezani atafurahi sana,

Haraka haraka walivaa na kutoka nje, hakukuwa na umbali kutoka hapo hotelini mpaka ilipo zahanati ndani ya kisiwa hiko cha chake chake, waliiingia mpaka ndani ya zahanati na Heather kuchukuliwa mkojo wake tayari kwa vipimo,

Baada ya dakika kadhaa tayari dokta alikua mbele yao na karatasi sasa akiwapa majibu, maneno aliyo tamka daktari Yule yalizidi kumfurahisha Enock sana,
“kwaio doctor, sasa huyu ni mama kijacho”?
“ndio Mr, sema ina kubidi kama ikiwezekana aanze kuudhuria clinic mapema”

Akiwa mwenye furaha sana hakujua kuwa upande wa pili wa shilingi alisabisha Catherine awe kitandani hajielewi, dawa ya wakyokyo hakika ilichukua akili yake yote kabisa, alicho waza yeye wakati huo ni kuitwa baba tu, picha ya mtoto mdogo ikiita jina baba miaka michache ijayo ilianza kujijenga ndani ya kichwa chake na kumfanya afurahi, pale pale alimvuta Heather na kumnyonya mdomo .

Waliondoka hapo wakiwa wenye furaha sana, alipanga siku iyoiyo jioni aondoke zake arudi jijini Dar es salaam ili kesho yake akampe habari zile mama yake gerezani alipo,

Harakati za safari zilianza kuandaliwa wakitafuta boti ndogo ya kukodi iwapeleke mpaka Zanzibar kisha huko siku hiyo hiyo watafute ndege na kuondoka zao.

KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)