SEHEMU YA KUMI NA SITA
ILIPOISHIA...
Ilisikika sauti ya mzee Mwasha ndani ya duka la nguo ila alivyopepesa macho yake juu aliona picha kubwa ya Ramsey akiwa na mwana mke amabye wakati huo alikua akimuuzia nguo pale dukani, hasira za chuki zilianza kujijenga tena upya macho yalimbadilika rangi, alimkumbuka sana Ramsey aliye sababisha yeye aka fungwa , Ramsey huyoo huyo aliye tembea na mke wake, kwa hasira alijikuta anaweka mkono wake kiunoni na kuanza kuitoa bastola yake kwa lengo moja tu kumfyatua Sabrina ambaye alikua ana uza duka hilo la nguoSASA ENDELEA...
“Ramsey njoo nikuoneshe sasa, si ulikua una bisha Yule mwana mke wako sio Malaya, twende, shika funguo izi washa gari twende BUGURUNI ULIMBOKA ,ukaone kwa macho yako.”
“Josephine acha uwongo wako haiwzekani”
“noo twende sasa hivi, twende ukamuone”
Yalikua ni maongezi baina ya Josephine na Ramsey wakiwa chumbani siku hiyo baada ya kutoka kula tunda tamu la usiku, kilicho fuata hapo ni Ramsey kuwasha gari na kuondoka na Josephine ili akashuhudie kile alichoambiwa, gari hiyo aina ya Jaguar lilizidi kwenda mbio sana usiku huo wa saa saba, baada ya dakika kumi na saba tayari lilikua limeegeshwa nje ya baa iliyo kua ulimboka maeneo ya buguruni ilisifika kwa wanawake wanaouza miili yao almaarufu kama machangudoa, baa ilikua ime changamka sana, vijan a kwa watu wazima hununua wana wake hapo kisha huondoka nao.
“sasa tukae hapa uone”
“sawa, na ole wako Josephine”
“subiri uone”
Walisubiri takribani dakika hamsini , Ramsey hakuamini baada ya kutazama mbele yake na kumuona msichana aliye valia kimini kilicho oonesha nusu ya maumbile yake, hakukuwa na haja ya kuuliza ni nani ilionesha dhairi hata kwa .
picha kuwa mwana mke Yule yupo kazini ana jiuza,mkononi akiwa ameshika sigara akiwa amesimama ukutani akimwita kila mwana mme anaye pita,
Moyo ulimuuma sana Ramsey hakuamini kuwa mwana mke aliye mpenda amekua taxi bubu sasa, alishindwa kuvulia aliisimama palepale na kumuendea ukutani.
“show time buku tano,”!
“Heather,ni wewe”?
Aliongea Ramsey huku akimuinua kidevu mwana mke huyo aliye kua akiji uza pale ukutani, alitamani kumzaba makofi ila alishiia kuhema kwa nguvu sana!
“nilikwambia Ramsey huyu mwana mke sio”
Josephine alitokea pale na kuanza kumkandamiza maneno huku akimvuta Ramsey na kuondoka zao ndani ya gari, .
“MWANANGU NAONA AIBU SANA kukwambia haya maneno leo hii , hustaili kuniiita Mama, nime mkosea sana baba yako, sitaki upotee mwanangu, nasikia uchungu sana, Mwanangu Enock nakupenda sana, namimi ndiye niliye kupigania kwa baba yako mpaka ukaenda kusoma nje ya nchi, Heather sio chaguo lako, kuna vitu vingi vingine sistahili kukwambia ,kuhusu Heather ……“
Josephine aliongea huku akilia machozi ya uchungu baada ya kumpa stori fupi ya nyuma, hakika hakustaili kufungua mdomo wake kama mama kutoa maneno kama yale mazito na ya aibu mbele na mtoto wake, lakini hakua na jinsi sababu hakutaka kumuona mwanae ana tumbukia ndani ya shimo refu ambalo akiingia hatoweza kutoka habadani,
Bado akili ya Enock ili zidi kuchuja mambo na kuchekecha vitu vingi tofauti, alimtazama mama yake ambae alikua akilia sana kwa kwikwi, alimsogelea na kumkombatia huku akimfuta machozi ambayo yalikua yana lowanisha mashavu yake, hakuelewa nini amfanye Heather akirudi nyumbani, hasira zili mkaba sana kooni kwake!,
“Mama nita fanya ivyo,kesho nita kuja kukuona tena”!
Enock aliondoka akiwa amejawa na hasira nyingi sana, alitembea na kuingia ndani gari na kutoa mbio, moja kwa moja alienda kwenye moja ya baa na kuanza kunywa pombe kali.
“mwanangu achana na Heather sio mtu mzuri”
Maneno ya mama yake yalizidi kupenya ndani ya ubongo wake na sauti ile kujirudia rudia tena.
Usiku mnene ulivyo fika aliwasha gari na kurudi nyumbani kwake, alifika na kumkuta Heather amelala juu ya kochi bila kumuongelesha alinyoosha mpaka kwenye meza ya chakula kisha kuketi mezani.
“Enock, mbona ume chelewa leo, sija kupata kwenye simu, ume kuja ume lewa!”
“kaaa kimnyaaaa, changudoa wewe,super prostistute , bitch, Malaya mchafu”
“Enock mume wangu”!
“keep your mouth shut”(funga mdomo wako),.”
“mbona sikuelewi, kula basi chakula mume wangu najua izo ni pombe tu”
“sili, siji sikii kula”
“sasa kwanini upo hapa mezani, kwanini upo hapa mezani?”
Alianza kuwaka Heather na kumjia juu Enock
“hii nyumba ni yangu, nita kujaaaaa muda naotaka mimi Malaya wewe, na kesho utoke kwangu siku taki tena, mama yangu kaniambia ukweli, Malaya mkuuuuuubwa, fuc***** you bitch. Pack your things and leave my house, I don’t fuck****ing care! , ”
Enock alisimama huku akipepesuka na kuondoka zake huku kichwani akiwa mwenye mawazo mengi,
Kulikua kuna dalili kuwa maneno aliyoongea aliyamaanisha.
Sasa Josephine alikua ni kama amemchokoza Heather asubuhi ya siku iyo alivyo amka alinyoosha moja kwa moja mpaka segerea na kumtafuta mmoja wa askari magereza na kuanza kumwambia shida yake juu ya kumuuwa Josephine akimuahidi kumpatia Pesa nyingi sana.
“swala hilo lita wezekana, nita fanya kiakili Mama, nunua chakula, weka dawa za kuharisha zile kisha niachie mimi hapa, kesho atakua marehemu, cha msingi pesa yangu tu uni letee, usifanye mchezo!”
Hakutegemea kuwa kama Askari Yule ata fanya mambo yawe mepesi sana,alimuandikia hundi ya shilingi milioni tatu kama nusu ya malipo ya kazi hiyo, kisha yeye kuondoka zake akitegemea kesho yake ata pewa taarifa nzuri juu ya kifo cha Josephine , kweli alidhamiria kuua sasa,
Kazi zili mbana sana siku iyo Enock na kushindwa kwenda kumuona mama yake ivyo alijitahidi sana kesho yake aende kumuona, baada ya kukucha aliwasha gari na kunyoosha moja kwa moja mpaka gerezani hakuamini alichosikia kutoka kwa askari magereza pengine alidhani amesikia vibaya.
“Mama yangu ame fanya nini”?
“amefariki dunia”
“sio kweli, juzi nili kuwepo hapa, alikua na hali nzuri tu!”
“ndo ivyo Mr, Enock aliumwa ghafla,p ole sana, cha kufanya ufanye taratibu za kuuchukua mwili wake”
Maneno yale yali penya ndani ya mtima wake na kuzidi kuchanganyikiwa aliserereka mpaka chini sababu ya kuishiwa na nguvu zote za miguu yake, alilia kama mtoto mdogo huku akizidi kumkumbuka mama yake mzazi.,
Kama mwana ume ilibidi ajikaze kiume ili afanye taratibu za kuwataarifu ndugu jamaa na marafiki, aliwasha gari na kuliondosha kama chizi, baada ya kufika nyumbani kwake aliji tupa kwenye sofa, huku akiwa mwenye mawazo mengi sana na kulia kwa sauti.,
,
“shemeji nini tatizo”?
Sauti hiyo ya Zahara ili mshtua kutoka kwenye mawazo aliyokua akiwaza na kuya futa machozi yake,
“Mama yangu, amefariki”
Zahara aliya toa macho yake na kumsogelea Enock karibu akimfariji, wakati ndani ya moyo wake alijua dhahiri kuwa aliye fanya mauaji yale ni Heather mke wake.
“Catherine”!
Enock aliita huku akimuangalia Zahara machoni katika jambo lisilo la kawaida alimvuta Zahara shingo na kumvuta mdomoni na pale pale kuanza kulambana midomo kama njiwa.
“Zahara”
Sauti Ya Heather ili washtua wote wawili baada ya kuwa fuma laivu wakilana denda.
Risasi ilipenya juu ya bega la Kway akiwa chini amelala chali baada ya kuwa fyatua risasi majambazi watatu, kitendo cha kuingia ndani ya gari na kutoa bastola yake na mmoja ambae hakumuona alimuwahi na kumpiga ya begani,
Bado akiwa chini aliji tahidi kurusha risasi na mmoja wa jambazi Yule kukimbia akitoka getini baada ya kuona hali isha kua tete, baada ya hapo Kway alianza kutembea huku akiji buruza chini kama nyoka au jongoo huku akiacha damu nyingi sana chini zilizo tokana na jeraha la risasi.,
“Kway”!
Aliita Sabrina huku akimuendea kilicho tokea hapo ni kuingia ndani ya gari na kuelekea kituo cha polisi kuchukua PF3 kwa ajili ya matibabu na kutoa maelezo juu ya kilichotokea, muda wote mke na mtoto wake walikua wakilia sana na nyuso zao kubadilika rangi sababu kway alikua kimnya katulia tuli hasemi chochote kile, walinyoosha moja kwa moja mpaka hospitalini ili matibabu ya haraka yaanze.
Kadri siku ipitayo hali ya Catherine ilizidi kuleta faraja katika macho ya watu ila hakuacha kulitaja jina la Enock huku akilia machozi.
“sikia mimi nime soma saikolojia naomba niongee nae”.
“we una umwa nini?, alafu hutakiwi kabisa kumsogelea karibu sababu kila akikuona ana piga kelele, huoni kama utamzidishia matatizo!?”
Aliongea daktari
“niamini daktari, naelewa kile nacho zungumza, mimi ni proffesheno!”
“sawa embu nenda tuone”!
Darlington shebby taratibu alijongea mwendo wa kinyonga mpaka pembeni ya kitanda cha Catherine ila bado alifokewa na Catherine huku akilitaja jina la Enock na kuanza kurusha makofi , kulikua kuna kila dalili ya kuonesha kuwa uwendawazimu una mnyemelea,, katika akili yake tayari alikua ameshaa athirika kisaikolojia, alimchukia sana mwana ume anayeitwa Enock ndani ya moyo wake.
“Catherine, nataka nikusaidie, mimi naitwa Darlington Shebby”
“Ennnnn,,ock. Toka nje”
“nisikilize niangalie kwa umakini sana, vuta pumzi ndefu niangalie machoni punguza jazba”
Catherine alianza kulia na kichwa chake kukiwekaa juu ya bega la Shebby hapo ndipo taratibu kijana huyo alianza kumpa historia tangu alipo muokota chooni na kumsaidia , kweli alikua ni kama ana rejewa na fahamu zake wakati huo, aliwatazama watu wote waliokua mbele yake na kufuta machozi yaliyokua yakimtoka wakati wote,
Watu wote macho yao yalikua kodo kwa Darlington shebby wakimwangalia ,hakika jambo kubwa sana alikua amelitenda Mama yake mzazi na Catherine aliye kua ana watizama alitoa shukrani ambazo zilishindwa kuelezeka kwa wakati huo,
Baada ya siku chache kusonga, Catherine aliruhusiwa hospitali hapo na jukumu la kurudisha akili zake alipewa Darlington Shebby mwana saikilojia afanye kazi ya kumsahaulisha Catherine juu ya mambo ya nyuma yaliyo pita, kwa mara ya kwamza aliiona kazi iyo ilikua ngumu sana ila kwa kuwa alibobea kucheza na akili za binadamu alikaza moyo na kuzidi kufanya kazi yake.
Ilikua kila ipitayo siku ya Mungu lazima aende nyumbani kwa Sabrina na kumchukua Cate wakizunguka sehemu mbali mbali kama ufukweni mwa Bahari na sehemu nyingi tofauti.
Catherine alijiona mwenye furaha sana , mazoea aliyo jenga na kijana huyo ilikua haiwezi kupita hata siku moja bila ya kumuona, kweli alimzoea na kujiachia wala hakujistukia.
“Leo muvi mpya ina toka tukaicheki, Wrong Turn inaitwa”
“Shebby, haitishi”?
“kwani unaogopa nini sasa?”
“ wewe, mimi mwenzio naogopa, kama wiki iliyopita, una tabia mbaya sana huku niambia kama ile muvi ina tisha,”
“ya leo haitishi hata kidogo”
“sawa hakuna shida, Sasa tumuage mama kabisa,”
“hakuna shida”
Tayari nyumbani kwa kina Cate walisha mzoea walimuona ni kijana mwema kabisa, mama yake alifurahi sana
kumuona mtoto wake akiwa mwenye furaha muda wote, walimuaga Sabrina ilivyo fika jioni ya siku hiyo kisha kuingia ndani ya gari ya Sheby na kutoa mbio, huku wakiwa na nyuso zenye furaha sana siku hiyo.
Baada ya kufika quality center waliiingia moja kwa moja na kutafuta siti za katikati kisha kuketi na baadae taa za humo ndani kuzimwa, ili filamu iyo ianze,
Ukimya ulitawala kila mtu ndani humo, akiwa makini sana juu ya kioo kikubwa kilicho kua mbele yao wakitazama filamu iyo, ambayo ilionekana kuteka hisia za watu wengi sana,
Ila kila mtu alianza kuogopa sana sababu ilishaanza kutisha sasa, waliona mijitu ya ajabu ikianza kula nyama za watu Catherine aliiingiwa na hofu kubwa sana,aliogopa sana na mapigo yake ya moyo kumuenda mbio alimsogelea Darlington Shebby na kumkombatia huku akijiziba sura yake akilalamika kuwa waondoke mahali pale
Alimganda sana akimshika shati kutokana na kelele nyingi za kutisha, katika hali ya kushangaza Darlington Shebby alimvuta karibu kisha kuzidi kumvuta tena mpaka mdomoni kwake na kuanza kumnyonya mdomo, Catherine hakua na ujanja tena hapo alijikuta ana kubali na wote kuanza kulambana midomo ndani ya jumba la sinema.
KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA