BIKRA YANGU (28)

0
Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE
ILIPOISHIA...
Enock na wenzake waliingia kwenye Limo ya nyuma huku baba yake, Betty,Catherine na Ngowi waliingia kwenye Limo ya rangi nyeupe kisha safari hiyo kuanza, ambapo dereva huyo alionekana kabisa alijua ujio wa ugeni huo,
SASA ENDELEA...
hakua na haja ya kumuelekeza ni wapi aende, waliuacha mji wa Porto velho na kuzidi kusonga mbele, ulikua ni mji uliotulia sana, uliojaa warembo na vijana watanashati

Walitoka kabisa mji huo nje kidogo na mji wa Brasilia mji mkuu wa Brazil.

“Mwasha hapa panaitwa Riode Jeneiro, wachezaji mpira wote ukitaka kuja kuwaona njoo hapa, huu mji ndo wa starehe,ila sio pazuri sana kuna fujo fujo nyingi,”

“kwani tunaenda mji gani sasa hivi”?

“tunaenda Venezuella, mji wa bata,kuna jamaa angu kule ana hotel yake karibu na bahari ya Atlantic, ni mtu wa kusini ana pesa sana”

Waliongea Mwasha na Ngowi, Catherine alibaki kimnya muda wote alishindwa kuelewa mambo yanayo tokea katika maisha yake, hakuamini kama ata kuja kufika nchi kama hiyo, wakati mwingine alijua ni ndoto ya mchana lakini ilikua ni kweli.

“Cate, kuna watu wanajua kucheza na pesa, wanajua kutumia pesa hapa duniani khaaa”

“kwanini. Betty”?

“yaani gharama zote izi, mi ndo maana nakwambia wazee ndo wanajua kulea, kuliko kule kijana kakupeleka mlimani city cinema, atamuhadithia kila mtu,yaani hapo haijazidi hata elfu hamsini atapiga kelele huyo, sasa angalia mzee huyu, piga hesabu nauli ya kutoka bongo mpaka huku alafu maskini hata haongei, cate usicheze bahati hii, haya ndo maisha!”

Alizungumza Betty masikioni mwa Catherine akimnong’oneza. Limo waliyopanda taratibu ilianza kupunguza mwendo kisha kuingia ndani ya hotel kubwa sana na ndefu kwenda juu,kwa upande wa pili kulikua kuna fukwe za bahari watu wakicheza michezo ya mpira upande mwingine kulikua kuna swimming pool,watu tofauti wakiogelea

Kweli walikua wapo dunia nyingine kabisa, walifunguliwa milango na Franco kisha kuingia ndani. waliingia ndani ya hotel hiyo, na kupanda Eleveta iliyo wapeleka mpaka gorofa namba mia moja na tisa kisha kupewa chumba chao kikubwa Catherine na Mwasha,

Baadae waliagiza chakula na kuanza kula kisha Catherine kuingia bafuni kuoga baada ya kutoka alikua na kanga moja tu iliyolowa maji na kufanya umbo lake lijichore vizuri sana huku chuchu zake zikiwa zime simama vizuri kabisa,

JONGOO wa mzee mwasha alianza kufurukuta na kujikuta anasimama kitandani bila kuitwa na kumsogelea Cate midomoni mwake taratibu na kuanza kulambana midomo huku wakibadilishana mate, Catherine alimtupa mzee huyo kitandani kisha kumfuata kwa juu.

“nataka leo nikufanye uwasahau wanawake wote uliowahi kufanya nao mapenzi”

Alizungumza Catherine huku akilichua tango la mzee Mwasha.

“Noo, usiniambie ninyamaze, usinitishe sawa mimi naijua sheria, nimesoma sheria,, naomba uniambie kifungu kipi kimeandikwa kuwa askari anatakiwa kumpiga mtuhumiwa, wewe ni FFU? Mumempiga na kumfunga na pingu, na sio jambazi, sheria ya nchi hii navyojua mimi mnamfuata mtuhumiwa tena ikiwezekana na barua kuwa ana hitajika kituoni, ninyi mmeenda kumfanyia fujo tena mbele ya familia yake alafu nimefika hapa mnaniambia mambo ya utumbo, hivi nyie mnanijua mimi, sasa sikilizeni hii kesi nainunua”

Sabrina aliwaka sana kituoni hapo baada ya kuambiwa Kway yupo mahabusu tena alipigwa, kweli sheria aliijua isitoshe alikua ni wakili wa kujitegemea ivyo sheria zote alikua nazo kichwani, kitendo alichofanyiwa kway kiliukoroga sana moyo wake,na kuwafanya askari waliokua mbele yake waanze kutetemeka sababu walishajua kitumbua kimeingia mchanga na akiwezi kulika.

“wewe jina lako nani”?.

“nani mimi huyu au”?

Alibabaika askari mmoja huku akiwa mwenye kiwewe.

“wewe hapo, jina lako nani”?

“lakini mama naomba tumalize tu, sisi wenyewe vibarua hapa, tumepewa tu maagizo”

“sitaki kusikia, sawa nimeshaiona namba yako hapo kwenye shati”

Sabrina alitoa simu yake mfukoni na kutoka nayo nje akiongea na mwanasheria mkuu Ndibalema Jovan,ambaye alikua akifahamika sana nchini hapo, alimueleza kila kitu kilicho tokea, na sasa hivi kesi hio kuichukua Sabrina bila kujua anajiingiza kwenye matatizo makubwa sana,hakujua kwanini alikasirika kwa kitendo cha Kway kufanyiwa kitendo hiko cha kinyama,wakati mwingine alidhani wenda Kway alimsaidia kipindi cha nyuma kwenye kesi ya Ramsey lakini vile vile alikua na mimba yake tumboni ambayo aliamini ilikua ni ya Kway, vitu ivyo viwili ndivyo vilivyo msukuma na kumfanya akasirike sana.

“huyo mwana mke aliye sema kuwa Mwanae kabakwa na Kway yuko wapi”?

“hajafika bado”

“hajafika sio, mwambie ivi mimi kesi nimeshainunua, nioneshe faili la kesi ya Kway”

“Bado hatujaliandika”

“hilo ni kosa lingine, alikuja vipi kushtaki huyo mama hapa kituoni bila kuyachukua maelezo yake kwa njia ya maandishi, sawa hakuna shida hiyo kesi sasa mimi naifungua kwa kuanza kuwashtaki ninyi alafu

nije kwa huyo mama then tumalize,ivyo basi naomba Kway atoke kwa dhamana, mimi namtolea dhamana, pia nataka kufungua kesi sasa hivi”

“Mama naomba tuyamalize”

“haiwezekani nilishasema, siwezi namuomba Kway,”

Taratibu za dhamana zilianza sasa na tayari Kway alitolewa. alishalala siku moja nzima kituoni hapo, alishaanza kuchoka sasa, Sabrina machozi yalianza kumlenga alivyomuona Kway,alimuonea sana huruma, alichukua bastola yake na kuondoka wote mpaka kimara kwa msuguli, ila alivyofika kwake alimkuta Mke wake Julia akilia sana machozi, hakuelewa nini kilimfanya alie kwa sauti ile.

“Julia, Julia Mama Natu tatizo nini?”

Julia alimkimbilia mume wake na kumkombatia huku akilia machozi, Kway alimsogeza kidogo kisha kumfuta machozi akitumia viganja vyake viwili.

“Natu simuoni, shuleni hayupo tangu jana hajarudi”

“embu ngoja kwanza, niambie vizuri unasemaje?”

“Natu, Natu mwanangu, tangu jana sikumuona nilienda usiku jana kisha wakaniambia kuwa alikuya mtu akasema kuwa yeye ni mujomba wake na kuondoka nae”

“EEEH Mungu nime kukosea nini”?

Haraka haraka Sabrina,,Julia na KWAY waliingia ndani ya gari na kuanza safari ya kwenda shule aliyokua akisoma Natu iliyoitwa EAST AFRICA INTERNATIONAL iliyokua mikocheni,

Ndani ya dakika kadhaa walikua wakiiacha mwenge na kunyoosha cocacola kisha kukunja kulia, baada ya dakika mbili walipaki gari lao ndani ya shule hiyo na kuonana na mama mlezi wa watoto aliyeitwa Madam Salome, na kuelezea juu ya kupotea kwa mtoto wao.

“ndio jana alikuja kijana mmoja hivi akaniambia ni mjomba wake nyumbani kuna matatizo”

“yaaani wewe ni bogazi kabisa huna ak…”

“kway”!

Alidakia Sabrina kwa sauti ya chini baada ya kuona kway keshapandwa na hasira

“Sabrina nyamaza, sasa nini maana ya wewe kupewa hawa watoto, habari ni hivi mwanangu simuoni na nyumbani kwangu hakuna matatizo, mimi nita hesabia kuwa wewe umehusika”

“hapana baba angu mimi sijui chochote naomba unisamehe nipo chini ya miguu yako,”

“hata niki kusamehe wewe, mimi sito jua mwanagu alipo”

Kway alizidi kufoka akiwa mwenye hasira kisha kwenda mpaka kwa mkuu wa shule, japo kua alizuiwa ila alinyoosha mpaka ndani ya ofisi hiyo, lakini majibu aliyopewa hayakufanya Natu arudi mikononi mwake, maneno aliyopewa na mkuu wa shule yalikua ni ya kumpa moyo tu na wala sio vinginevyo.!

Maneno aliyoongea Sabrina yalikua yana ukweli ndani yake sababu alianza kufuatilia kesi ile mpaka mwisho wake, kabla ya kufika mbali alipigiwa simu na RPC Mkumbo ambaye alitoka nchini Commoro baada ya likizo yake kuisha,

Baada ya kusikia kesi ile ilibdi amuite Sabrina ili waweze kuongea kabla mambo hayajafika pabaya sababu alijua angeulizwa maswali mengi,

Moja kwa moja alifika mpaka ofisini kwa RPC MKUMBO na kuketi kiti kilichokua pembeni na kuanza kuelezea kila kilichotokea!.

“MAMA iyo kesi, mimi ndiyo niliyepewa ila kazi hiyo niliwapa vijana wangu, sasa unavyo niambia tena Kway alikamatwa sielewi vizuri, alafu mbili umesema na mtoto wake ametekwa nyara?”

“ndio ninaweza nikasema ivyo”

“mmmh, mama wewe nenda niachie namba yako, mimi nitakutafuta”

“lini”?

“kesho asubuhi”

“sawa, mimi naenda”

Baada ya kuagana Rpc Mkumbo alinyanyua mkonga wa simu na kumuita Koplo Mwita ndani ya ofisi yake, kweli baada ya dakika chache alishafika ofisini kwa mkuu wake huku akiwa mwenye hofu sana.
Na kuanza kuhojiwa maswali ambayo aliyajibu kwa kubabaika sana.

“tulifanikiwa kumsaidia Kway”

“usinidanganye”!

“sio ivyo mkuu”

“Mwita, unajua kuwa naujua ukweli wote, kwaio anza upya”

“ki ukweli, mkuu nilishindwa kukuku…ku”

“sawa, tuachane na hayo, kwanini mlimkamata?, nani aliyetoa tamko kuwa akamatwe”?

“ni mimi mkuu”

“kwanini,! alifanya nini”?

“Kuna mama alikuja akasema kuwa alimlawiti mwanae”

“mbona faili siku liona, sikia nikwambie Mwita, hii kesi imeenda ngazi za juu, kuna watu walioshuhudia kitendo mlichomfanyia, wamefungua kesi, kupitia macho yako najua kuna kitu una kijua, naomba uanze kuniambia kabla sijakijua, na unaelewa kabisa nitakijua tu, kwaio naomba nikisikie kutoka kwako sasa hivi kabla sijachukua uamuzi mwingine mbaya sana”!

Rpc Mkumbo aliongea akiwa mwenye hasira sana siku hiyo, na kumfanya Mwita aanze kuogopa aanzie wapi, alijua kuongea ukweli litakua kosa linguine lakini hata akikaa kimnya mkuu wake ni lazima angejua, sababu alimtambua kuwa akiamua kufatilia jambo ni lazima atalijua tu.

KWAY bado alizidi kuchanganyikiwa siku ya nne sasa hakuweza kumtia mwanae Natu machoni yeye na mke wake kila siku walihangaika na kuchoka, ila siku hiyo alipokea simu kutoka kwa mtu asiyemfahamu ambaye alidai kuwa ana mtoto wake.

“kuna maagizo hapa, futa kesi uliyoanzisha na mtoto wako atakua salama, nenda kituo cha polisi waambie kuwa umesha mpata mwanao, una masaa mawili tu kuanzia sasa hivi”.

Sauti ya upande wa pili ili ongea na simu ile kukatwa pale pale na kumfanya Kway azidi kupatwa na ngekewa asijue cha kufanya kwa wakati huo.

MZEE MWASHA ALIKUA AKITOA MIHEMO YA raha baada ya mwanamke mrembo mwenye mikono laini sana kuchua TANGO lake huku akimfuata kwenye chuchu za mzee huyo na kuanza kuzinyonya,alivyotaka kuinuka alitulizwa pale pale chali,

kila alilotaka kulifanya aliambiwa atulie kabisa na kumfanya atulie kama mwanakondoo huku akiwa tayari uchi wa mnyama,

Cate alimuendea kwenye masikio yake na kuanza kumlamba taratibu huku akiingiza ncha ya ulimi ndani yake, kweli mzee huyo alipagawa sana.

“baada ya hapa, nitakupa million hamsi,…ni saaawa”

Alijikuta anaongea mwasha akipanda dau kana kwamba ananunua hisa tanesco, Catherine kila alipohisi mzee huyo anataka kufika alisitisha zoezi na kumfanya mzee huyo wa watu achanganyikiwe Zaidi,
“Milioni sa….biiini sasa”

Catherine alitabasamu na kuendelea na mchezo huo huo na kufanya mzee huyo azidi kupanda dau mpaka alipo fikia milioni mia na hamsini,

KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)