BIKRA YANGU (29)

0
Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA ISHIRINI NA TISA
ILIPOISHIA...
Catherine alitabasamu na kuendelea na mchezo huo huo na kufanya mzee huyo azidi kupanda dau mpaka alipo fikia milioni mia na hamsini,

SASA ENDELEA...
Catherine alipanda juu yake na kuweka Tango la mzee huyu mtu mzima vizuri ndani ya ikulu yake na kuanza kukatika juu yake, ndani ya sekunde chache tayari mzee huyo alishamaliza mzunguko wa kwanza, na kumfanya aheme juu juu kama aliye kimbia mita mia nane tisini,

Alimtizama Catherine na kusimama alienda mpaka kwenye begi kubwa na kuanza kuhesabu pesa,
“hizi ni milioni mia na hamsini za kitanzania, sitaki uende ukawape wazazi wako, izo tumia wewe mwenyewe Beatrice ni za kwako wewe tu”

Catherine hakuyaamini macho yake baada ya kukabidhiwa pesa zile nyingi sana, alimfuata mdomoni na kumbusu Mzee Mwasha huku akiwa mwenye furaha sana. Walitoka nje usiku na kwenda kukaa pembeni kidogo ya fukwe ya bahari huku wakipiga stori.

“hivi baby”!

“naam mke wangu”

“kitu gani ambacho ukifanyiwa kwenye mapenzi una kasirika sana,au hupendi kufanyiwa”?

“kwanini umeniuliza ivyo”?

“aaah bwana nijibu tu”

“Mimi nina wivu sana japo umri umeenda sana,mfano nikijua kuwa unatembea na kijana mwingine nitamfanya mbaya, mfano mzuri, ngoja nikwambie ukweli. marehemu mke wangu alini fanya nifungwe jela ujue, kuna kijana mmoja alikua akitembea nae, nilicho mfanya huyo kijana hakika huko alipo hawezi kunisahau”

“mmh huyo kijana sasa hivi yupo wapi kwani”?

“nilisikia alikufa kipindi mimi nipo jela, lakini bado nina kisasi kwenye familia yake, awe ana mtoto au mke lazima ataonja joto la jiwe, kweli tena!”

Aliongea mzee Mwasha bila kujua anaezungumza nae hapo ni mtoto wa Ramsey, ki ukweli hata Catherine vile vile hakuelewa kuwa baba yake ndiye aliye kua akizungumziwa hapo.!

“mmh unanitisha sana”

“mfano sasa, lakini usikasirike baby, ivi siku ukajua natembea na mwanao Enock utamfanya nini”?

“sasa hapo atakuwa mwenyewe ametaka vita na mimi, wewe siku jaribu uone nitakacho mfanya,au tayari?”

“AKUU! siwezi kufanya ivyo ni mume wa mtu yule naogopa sana”

Walipiga stori nyingi za hapa na pale kisha baadae usiku sana ulipo fika walirudi chumbani kwao kulala.

Asubuhi ilipo fika Catherine aliamka kimnya bila kutaka kumsumbua Mzee Mwasha alioga kisha kutoka nje kunywa chai,moyo ulimwenda mbio baada ya kukutana na Enock akimuoneshea ishara kuwa aende alipo,

“unasemaje Enock”?

“twende huku”

Enock aliongea kwa sauti kubwa na kuanza kumvuta Catherine akitumia nguvu na baadae kumuweka begani, alienda mpaka kwenye moja ya boti ziendazo kasi na kumbwaga, aliingia kwenye usukani na kuwasha boti lile na kulitoa kasi.

“Enock nini unafanya”?

“nataka tukaongee”

“sijamuaga baba yako”

“keep quit”

Enock aliongea huku akizidi kuuzungusha usukani wa boti hilo liendalo kasi sana ambalo alilikodi,
Walitembea na kusimama kwenye moja ya kisiwa na kumshusha Catherine.

“huku tupo peke yetu, usijidanganye ukapiga kelele”

“unataka nini”?

Enock moja kwa moja alienda chini na kupiga magoti huku akiomba msamaha kwa Catherine na kumwambia ni jinsi gani anampenda sana,alilia machozi kama mtoto mdogo akiomba msamaha,

“Enock, siwezi nielewe”

“kwanini Catherine”?

“baba yako,mimi ni mke wa baba yako sasa hivi, itakua vigumu sana”

“Catherine,nakupenda mimi nilianza kukupenda, lakini najua ni hasira tu ndizo zilikufanya ukawa na mahusiano na baba yangu najua una fanya haya kulipiza kisasi, nime umia ndio nakubali, naamini bado una nipenda sana, niangalie machoni niambie hunipendi”!

Enock alimtizama machoni Catherine na kusubiri jibu hilo kutoka kwa Catherine,

Kwa Catherine huo ulikua ni mtihani mkubwa sana ndani ya moyo wake alihisi kitu. damu ilimwenda mbio,ila katika hali ya kushangaza hali ya hewa ilianza kubadilika ghafla na mvua kuanza kunyesha huku radi ikipiga,

walivyoangalia upande walipoacha boti yao, hawakuiona kuashiria kuwa ilipelekwa na mawimbi makali, na kuzidi kuchanganyikiwa hawakujua watarudi vipi na wote hawakubeba simu zao…

“mimi leo nakuuwa, nakuuwa umemuuwa mama yangu?.”

“Enock nisamehe mume wangu nili fanya hivi sababu nilikua nakupenda sana, siku taka nikukose mume wangu”

“ndo umuuwe mama yangu?”

Enock aliongea kwa uchungu na simanzi huku akiwa mwenye hasira nyingi sana kohoni mwake, alimvuta Heather na kuanza kumzaba makofi mazito kila sehemu ya mwili wake, ndani ya nyumba hiyo, walianza kukimbizana huku Enock akiwa na kisu mkononi mwake kweli hakua na mzaha hata kidogo, ilikua ni bora akafungwe jela kuliko kumuacha mwanamke huyo akiwa hai aliyeutoa uhai wa mama yake mzazi.

“Enoooockk. Jamani majirani nakufa mimi, Enock anata kuniua.”

Aliita Heather huku akikimbilia getini na kuomba msaada ila aliteleza na pale pale Enock kuja karibu yake na kushusha kisu kile maeneo ya tumbo la Hetaher ila Heather aliushika mkono ule wenye kisu na kuanza kushindana nguvu,bahati mbaya Enock aliteleza kidogo na kisu kile kuzama ndani ya tumbo lake,kilikua kimeingia chote kabisa na kufanya damu zianze kumwagika sehemu za chini kwa wingi,

Enock badala ya kulia kwa maumivu badala yake alianza kucheka huku taratibu akikitoa kisu kile tumboni mwake.

Alimtizama Heather ambaye alikua na wasiwasi mwingi sana kuona hali ile na kushangaa ule muujiza,ndani ya sekunde chache tayari kisu kile kilikua tumboni mwake na kumfanya ahisi maumivu makali.

“Enoooooock……”

Alishtuka usingizini Heather baada ya kutoka kuota ndoto hiyo ya kutisha, ndoto za ajabu sasa ilikua ni kawaida kwake, ilikua ni lazima aote ndoto za kutisha kama sio Enock basi mama Enock hakuelewa ni kitu gani afanye ili jinamizi alilokua nalo limtoke,ki ukweli damu ya mama Enock ilianza kumsumbua hilo alilijua, hakulala tena usiku huo, alisubiri mpaka asubuhi kukuche ili amsubiri Fredy Kiluswa ampe pesa za nyumba iyo kisha yeye atokomee mbali sana ikiwezekana ahame mji kabisa,

Asubuhi kulikucha na kuanza kutembea akishuka ngazi aliingia kuoga na kuanza kupanga nguo zake na kila kitu kukiweka sawa kabisa, baadae alisikia honi ya gari inapigwa na kutoka nje alimuona Fredy kiluswa kesha fika na kutoa begi lililojaa pesa.

“karibu hapa ni kwako sasa, subiri nikupe hati za nyumba kabisaaa”

“sawa ahsante sana”

Hati za nyumba zilitolewa na kuwekwa mezani mzee huyo wa makamo aliweka sahihi yake, na sasa kufikia zamu ya Heather ila cha kushangaza alishindwa kuelewa kama anaota au ni kweli alijifinya kwenye mkono na kufumba macho yake na kuyafumbua tena na kujua kweli hayupo kwenye ndoto hii ni baada ya kumuona Mama Enock amekaa pembeni ya sofa huku akiwa na damu mdomoni mwake,
huku akimtizama kwa hasira sana akikamkazia macho kuonesha kuwa anachukizwa na kitendo anacho taka kukifanya hapo.

“Mama vipi tena”?

“mmh mmh”

Heather alitingisha kichwa chake na kutoka mbio mlangoni na kumuacha mzee yule ashindwe kuelewa nini afanye, sababu hakuelewa nini kime mkuta mama huyo aliye kua na mimba kubwa akijikimbiza kama chizi nje.

Heather alitoka nje mbio mbio na kufungua geti kama umeme bila kuangalia upande wa pili kilicho mshtua zilikua ni honi za gari na kumchota mzima mzima kisha kumtupa mbali sana pembeni ya mtaro,
kila mtu alimuonea huruma na tumbo lake kubwa,

Wasamalia wema walifika haraka haraka na kumbeba Mwanamke huyu ambae kwa wakati huo alikua akiongea maneno ya ajabu sana.

“Mama Eno…ck us..iniue tafa..dhali ni..samehe”

Hayo ndiyo maneno alikua akiongea Hather njia nzima akiwa anawaishwa Hospitalini,waliomjua walianza kusikitika sana sababu walijua kua alikua ni mke wa Enock mwasha walijua ni lazima kuna kitu nyuma yake, mpaka ana fikishwa hospitali ya wilaya bado alikua akilitaja jina la Mama Enock mdomoni mwake akisisitiza kuwa asimuuwe na amsamehee.

Mvua ilizidi kunyesha na radi kupiga hawakuelewa wange toka vipi ndani ya kisiwa hiko kilicho kua kina miti mingi ya kutisha sana, na mara kadhaa walisikia miungurumo ya wanyama wakali sana, akili zao zilishindwa kufanya kazi kabisa, Catherine alibaki tu kumlaumu Enock kwa kitendo alicho kifanya hawakujua kuwa kama wangetoka salama ndani humo.

“sasa tutafanya nini Enock yote ume yataka wewe”?

“sio muda wa kulaumiana huu, cha kufanya tufikirie cha kufanya tujue tutarudi vipi”

“wewe unadhani tutarudi vipi.. na sijui kama tutatoka salama humu”

“tutatoka niamini mimi”

Tayari Catherine alisha kasirika sana alitembea mpaka katikati ya miti mingi na kukaa mwenyewe huku akitafakari sana juu ya maisha yake na kujilaumu kwanini alienda nchini Brazil,neno kifo ndilo lilianza kujijenga ndani ya mtima wake na wala si vinginevyo. Alikuja Enock na kumshika Kidevu ilionekana kabisa mwanaume huyu hakua na wasiwasi kabisa alichotaka yeye ni kurudiana na mrembo Catherine jambo ambalo alikua akilitaka siku nyingi sana na kupelekea kumleta katika kisiwa hiko, ndani ya moyo wake aliapia kuwa ni lazima amrudie Catherine hata kama kesha kua na mapenzi ya baba yake mzazi hilo hakulijali ,ilikua ni lazima amnyang’anye tonge mdomoni.

“Enock niache mimi ni mama yako”

“unachekesha sana, embu tengua hiyo kauli”

“ndo nina kwambia sasa, mimi ni mke wa baba yako, ni mama yako, na akijua wewe ndiye umenileta huku sidhani kama atakusamehe”

“subiri tuone sasa!”

Enock aliendelea kumsumbua Catherine na kumlazimisha lakini hakuweza hata kidogo na kuambulia kofi zito sana la shavu lililompa jibu kuwa hayupo tayari.!

Usiku ulisha ingia sasa na kulikua hakuna dalili ya mtu yoyote yule kutokea ilibidi tu wawashe moto na kuanza kuota joto,

Kulikua kuna baridi sana na giza totoro la kutisha kila pembe ya msitu huo wa kisiwani.

“Enoo..ck Enooock”

Sauti ya catherine ndiyo ilimshtua kutoka usingizini kukiwa tayari kumepambazuka na kukurupuka huku akitafuta sauti hiyo ilipokua ikitokea alijua ni Catherine ndiye alikua akipiga kelele zile akiomba msaada. bila kujua nini kilimkuta alianza kuifuata sauti hiyo ilipokua ikitokea.

“Catheriiiiine”!

“Enoooooock, nisaidiiieee”

Alizidi kuifata sauti hiyo huku akikimbia kisha kusimama nyuma ya vijana wawili wa kibrazil ambao walikua wame mbeba Catherine begani.

“Hey, let her go(mwacheni aende)”

Vijana wale wawili waliokua wana rasta vichwani walianza kucheka huku wakiongea lugha ya kwao na kuzidi kusonga mbele, lakini Enock alimfuata mmoja wapo aliyekua amembeba Catherine na kumshika begani ila alitulizwa na ngumi iliyo mfanya aende chini mzima mzima.!

Aliinuka na kukaa sawa kisha nayeye kukunja ngumi tayari kwa lolote dhidi ya watu hawa waliokuwa wanataka kuondoka na mwana mke aliyekua akimpenda ilikua ni lazima afanye jambo ili amkomboe mwanamke huyo aliye kua akimuomba msaada wake,

Watu wale walimuweka chini catherine na kumzunguka Enock ambaye sasa alianza kukunja shati lake kwa kujihami, alimuona mmoja wao akija kichwa kichwa na kumkwepa alimvuta na kumtwanga kichwa puani.

Palepale kama umeme aliokota gongo chini na kuanza kuwapiga watu wale mpaka walipopoteza nguvu zao,

catherine alimrukia Enock na kumkombatia huku akiwa mwenye hofu bado,
“Enock”.

Catherine aliita huku akitizama chini baada ya kumuona nyoka mkubwa akitambaa aina ya
Python mwenye mabaka mabaka meusi akija mbio usawa wao,

KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)