BIKRA YANGU (38)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA THELATHINI NA NANE
ILIPOISHIA...
“Sandra, naitwa Sandra Katali, unapita Uganda?”
“ndio” alijibu Kway
“kumbe tupo musafari moja”
SASA ENDELEA...
Alizidi kuongea Kiswahili kibovu mwanamke huyo Sandra huku wakizidi kupiga stori na kujaribu kuzoeana, ndani ya dakika arobaini na tano ndege ilishusha matairi yake uwanja wa ndege wa Kilimanjaro(KIA) ,na abiria waliokuwa wamefika walishuka na wengine walipanda, baada ya dakika chache Ndege iliondoka tena na kutua Rwanda Kigali hapo walibadili ndege na sasa kubakiza uwanja wa ndege mmoja tu Entebbe ili afanikishe safari yake,
Moyo wake ulikua ukimdunda muda wote, japo alikua wakisimuliana jinsi maisha yanavyoenda pamoja na Sandra lakini akili yake haikuwa hapo,muda wote alimuawaza Natu na mke wake Julia ambaye mpaka dakika hiyo hakujua ni wapi alipelekwa na wazazi wake.
Sauti ya muudumu ilisikika tena ikiwaomba abiria wafunge mikanda yao sababu ya ndege kwenda kutua.
Iliinama na kutoa matairi yake nje tayari kwa kutua baada ya kutua ilitingishika kidogo na kukaa sawa ikiwa bado na mwendo kasi kisha baadae taratibu kusimama.
“Ahsante Mungu!”
Kway alishukuru Mungu kimoyo moyo nakuanza kutoa begi lake dogo juu sehemu maalumu na kuanza taratibu kutembea.
“sasa unaelekea wapi?”
Alihoji sandra baada ya kutoka nje wakiwa na mizigo yao.
“sasa hivi nataka nitafute Hoteli nikapumzike ili kesho nianze biashara zangu”
“itakua sio vizuri, tuongozane namimi twende kwangu tafadhali kwani wewe ni mkarimu sana”
“hapana usijali”
“nakuomba”
Kway hakuwa na kipingamizi chochote kwani tangu safari ianze alitokea kumzoea sana mwanamke huyo waliingia ndani ya taxi na kuanza kuondoka zao.
“mwanangu Enock mimi sina kipingamizi nawatakia maisha mema wewe na Catherine najua unampenda sana, naomba unisamehe kwa yote yaliyo tokea tafadhali”
“Dad, usijali wewe ni baba yangu, nime kusamehe baba yangu, naomba usipige magoti tafadhali simama, tuishi tu kama zamani”
“ahsante Mwanagu Catherine naomba niwa bariki wote muishi kwa pamoja”
Mbele yake walisimama watu wawili pembeni Catherine, mbele baba yake mzazi Mzee mwasha ambaye aliinuka kutoka kupiga magoti na kuwa kombatia Catherine na Enock na kuwapa Baraka zote,
alishaamua sasa kuwaacha na mapenzi yao, Enock na Catherine kwa furaha pale pale walianza kunyonyana midomo yao huku baba yake akipiga makofi ya furaha sana.
“Heather nilisahau kumfunga kamba”
Alihamaki Enock na kumtoa Catherine mikononi mwake Heather Alisha kua kichaa sasa lakini alitunzwa ndani akiwa muda wote kwenye kamba,
Enock alivyoenda stoo hakumkuta na kuzidi kumuita lakini ukimnya ulitawala.
“En…..ock na..kufa”
Sauti pekee ya Catherine ndiyo iliyosikika kwa mbali sana na kumfanya Enock atoke mbio mpaka seblen hakuamini alichokiona baada ya kuona kisu kirefu kimezama tumboni mwa Catherine huku Heather aliyekua pembeni amemchoma anacheka sana sababu ya akili zake kumruka.
Alikichomoa kisu na kumchoma Tena Catherine hapo ndipo Enock alipo chomoka na kumsukumiza Heather pembeni huku akimshika Catherine mikononi mwake!.
“En..ock natese..ka siwezi kuu..pona na..kuf..a nakup..”
“Catherine haufi nakupeleka hospit…”
Hakumalizia kuongea neno lingine nayeye alihisi maumivu makali sana juu ya shingo yake kisu kilikua teyari kimeingia ndani ya koromeo lake alivyogeuka nyuma alimuona Heather anafurahi.
“Jamani kafumbua macho, ni maajabu haya, Mungu ni mkubwa sana”
Aliruka Mama Fina kutoka kitandani na kwenda kumuita Mama Andunje aliyekua jikoni anapika dawa,
Enock alishayafumbua macho yake baada ya wiki nne kupita tangu ajeruhiwe kwa kupigwa narisasi na baba yake, ni ndoto peke yake ndiyo ili mzindua kutoka katika usingizi mzito aliokua amelala.
Jina la kwanza kuliita lilikua ni Catherine tu alivyotaka kuinuka alirudi chini kutokana na maumivu makali aliyo yasikia kifuani mwake, bado ndoto aliyokua ametoka kuiota ilimrudia tena, na kuanza kutoa machozi.
“usifanye chochote pumzika”
Aliongea Mama Fina na kumnywesha kikombe chenye dawa nyeusi ndani yake.
Matibabu yalizidi kuendelea kila kukicha Vivian kila akipata nafasi alikua akitoka Dar es salaam mpaka hapo Tanga kumjulia hali,alimchukulia kama ni mtoto wake wa kumzaa sasa hata yeye alilvyo iona hali ya Enock alifurahi sana na kupatwa na matumaini.
Siku zilizidi kuyoyoma na miezi kukatika na kuweza kutembea mwenyewe lakini kwa msaada wa magongo akifanya mazoeezi kila siku, walisha mzoea sasa hapo nyumbani .
“naona hali yangu ishakua nzuri sasa, naweza nikaondoka?”
Aliuliza Enock siku iyo asubuhi baada ya kunywa uji mzito hakuona haja ya kubaki hapo sababu aliamini kuwa hali yake ilikua ni nzuri ya afya.
“tutakuruhusu uondoke hivi karibuni usijali”
“naweza nikapata simu niongee”
“nime pewa maagizo kuwa haurusiwi kupiga simu popote pale”
“kwanini?”
“sijajua hata mimi”
“baba yangu anajua kua nipo hapa”
“hakuna mtu anaye jua”
“tafadhali naomba nimpigie baba yangu simu ili ajue nipo hapa, najua ana nitafuta sana nataka nimsamehe najua kuna kitu ameni fanyia na anahitaji msamaha wangu, mimi ndio mtoto wake wa kipeke hana mtoto mwingine”
“sawa ngoja nikupatie simu,”
Hakuelewa kuwa baba yake mpaka dakika hiyo alijua yeye ni marehemu, hakujua kuwa kwao walisha mzika na kumsahau tena aliye fanya njama ndiye baba yake mzazi,alikua ndani ya kiza kinene sana.
Simu ili letwa na kukabidhiwa kwa kuwa namba za baba yake alikua nazo kichwani alibonyeza namba za simu kisha kuiweka sikioni.
“Dad!”
Kitendo cha upande wa pili kupokelewa tu Enock alizungumza lakini hakujibiwa kitu mpaka alipoita tena
“Eno..ck!”
“yes Dad ni mimi Enock mwanao!”
“kweli ni wewe?”
“ndio Dad ni mimi”
“mwanangu Mungu mkubwa sana, sisi tulijua umefariki tayari upo upo upo wapi”?
“nipo Tanga kijiji cha Handeni”
“sasa mwanangu usitoke hapo mimi nitatuma watu waje kukuchukua leoleo, tuweze kuongea mwanangu”
Hakuelewa kuwa teyari anajiweka kwenye matatizo tena, hakuelewa kuwa baba yake ndiye aliyepanga njama za kumuuwa.
“shiiit!”
Alifoka Mzee mwasha na kupiga simu haraka haraka
“Hakufa nendeni Handeni sasa hivi mkam-malize huko huko kabla hajaongea chochote”
Aliropoka mzee Mwasha huku jasho likimtoka hakuelewa mwanae Enock alipona vipi hakuelewa kuwa mwanae alitaka kumuomba msamaha na wayamalize!.
“sasa kuhusu Sabrina na mwanae?” uliuliza upande wa pili
“hao niachie mimi”
Mbele ya macho yake alisimama mwanamke aliyekua uchi wa mnyama juu ya kitanda amelala chali!, pembeni alisimama mwanaume aliyeshika kamera anamrekodi huku mwanamke huyo akiwa anaongea maneno ya kimahaba,ukutani alisimama mwanamke mwenye macho makubwa, kwa haraka haraka alikua ndiye meneja,akiangalia zoezi linavyoendelea ambapo baadae anaingia mwanaume aliyejazia mwili wake mwenye kifua kipana sana na kusogea kitandani pale.
“Cut!”
Alisema mwanamke huyo na kufanya mchukua kamera asitishe zoezi la kurekodi
“Sikiliza ukiingia jifanye kama una shangaa, wewe Pendo ukimuona huyu anakuja unamfuata unafungua zipu yake unaanza kumshika shika hilo dude lake!”
“sawa Maam!”
Mambo yaliyokua yakiendelea mbele yake Catherine aliyashuhudia akiwa pembeni, walikua wakitengeneza mkanda wa ngono tena aliambiwa wakishamaliza kucheza na yeye zamu yake inge fuata ili arekodiwe na kampuni iweze kuingiza pesa nyingi za kigeni.
Aliweza kumshuhudia mwanaume huyo alivyokua na uume mkubwa akizidi kufanya mapenzi na kubadilisha mikao mbali mbali kila sekunde na kusababisha kelele nyingi sana ndani humo,
Alijikuta akilia sana machozi ya uchungu hakuelewa atatokaje ndani ya jumba hilo lililokua na ulinzi mkali sana kuanzia nje mpaka ndani ambapo hakuna hata mmoja wao aliyegundua kuwa ndani humo kuna michezo michafu inaendelea,
Alishuhudia mwanamke huyo akimeza risasi nyeupe mdomoni mwake huku akitabasamu kuashiria kua amependezwa na kitendo kile,baada ya hapo alimuona mwanume mwingine ambae mwili wake ulifanana na aliyokuwepo mara ya kwanza.
“zamu yako, vua nguo panda kitandani”
Alisema mwanamke huyo Meneja
“siwezi labda niwe nime kufa”
“usijidanganye kabisa, chagua mwenyewe ufanye kwa hiari yako au tutumie nguvu , nina uwezo wa kufanya ivyo pia!”
Alizidi kuongea mwanamke huyo huku akimsogelea Catherine.
Alibubujikwa na machozi mengi hasa baada ya kuona wanaume wengine watatu wanaingia ndani humo.
“wote hawa itakubidi uwamiliki, camera action!”
Kitendo cha kusema ivyo wanaume hao waliokua na misuli kama wapiganaji walimvaa Catherine na kumshika huku na kule na kumbwaga kitandani huku wakianza kumvua nguo zake,
hakuweza kushindana nao nguvu kabisa.
Ndani ya sekunde mbili alikua tayari uchi wa mnyama na wanaume wawili kuipanua miguu yake kisha mmoja wao kupeleka ulimi wake chini ya mgodi wa cate na kuanza kuulamba taratibu sana,wakati hayo yana fanyika mchukua video nayeye alikua makini sana kuchukua mkanda huo ambapo Catherine kila alipojaribu kutumia nguvu kujinasua hakuweza kujitoa, hakuweza kushindana nguvu na mijitu hiyo ya miraba minne ambayo sasa hivi yalikua yakimlamba ikulu yake kwa zamu zamu yakipokezana.
“kesi imehairishwa mpaka ,mnamo tarehe sita mwezi ujao”
Aligonga nyundo mezani Jaji Julius Ikanza baada ya kusikiliza kesi ya Sabrina na Mzee Mwasha kuhusu kifo cha mwanae Enock ,
Sabrina ndiye aliyepeleka mashtaka mahakamani ni baada ya kumtafuta mwanae Catherine kila kona ya pembe ya mji bila mafanikio ya aina yoyote na kumshuku Mzee mwasha ndiye aliyekua muhusika,
hakujua kuwa amejiingiza katika mambo ya hatari sana hakujua kuwa ilikua ni kama amemwaga mafuta ya petrol juu ya moto unaowaka kichakani na kuufanya ulipuke,
Kesi ili hairishwa mpaka pale Catherine atakapo patikana na atoe usha hidi ili kukamilisha kesi na hukumu itolewe,hakukua na ushahidi wa kutosha wa kumuweka Mwasha jela sababu alikua na wakili aliye mtetea vilivyo,
Sabrina alishaelewa nini maana yake alishaelewa kuwa hakukua na dalili ya yeye kushinda sababu hakuelewa ni wapi mwanae Catherine alipo.
Licha ya yote hakuacha kuweka juhudi kumtafuta mwanae kipenzi kila sehemu. mwishowe aliamua kwenda kwenye maredio na mitandao kutangaza juu ya kupotelewa kwa mtoto wake catherine, hakuweza kufua dafu wala kupokea simu yoyote ile na kuchoka kabisa na mimba iliyo kua ikimsumbua tumboni mwake.
Roho iliyo jaa chuki tayari ilisha mtawala Mzee Mwasha Alisha fikiria kumwaga damu alishawaza kumuuwa mwanae kipenzi,siri ya kuwa mwanae yupo hai alikua ameibeba peke yake kifuani mwake ilikua ni lazima ammalize pia, hakuacha kuweka juhudi hata yeye kumtafuta Catherine na kumteketeza kabla ya hata Sabrina kumpata.
Ilikua ni lazima akatishe uhai wa watu watatu Sabrina, Catherine pamoja na Enock.
“Mshafika tayari?”
Aliuliza Mwasha akiwa ameweka simu sikioni mwake
“tusha fika ndio, tunasubiri kauli yako bosi”
“subiri usiku uingie”
“kwaio tumuulie hapa hapa?”
“hilo swali gani una niuliza muuweni hapo hapo”
“sawa tutafanya ivyo”
Upande wa pili wa simu ulisikika na simu kukatwa baada ya kutoa kauli kuwa Enock mwanae auwawe na majambazi aliowatuma mkoani Tanga,
KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni