BIKRA YANGU (39)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA THELATHINI NA TISA
ILIPOISHIA...
Upande wa pili wa simu ulisikika na simu kukatwa baada ya kutoa kauli kuwa Enock mwanae auwawe na majambazi aliowatuma mkoani Tanga,SASA ENDELEA...
Pick nyeusi tayari ilikua nje ya nyumba ya Mama Andunje ndani ya gari hiyo walikaa wanaume wanne wakisubiri giza liingie ili waweze kumuuwa Enock wakitumia silaha za moto,walisha kula nusu ya pesa kutoka kwa Mzee Mwasha ili jambo hilo la mauaji litekelezeke.
“wewe na Pascal itawabidi muingie, sisi tuta subiri ndani ya gari”
“kwanini wewe usiende sisi tubaki?”
“usitake mambo ya kubishana sawa, fuata nilichokwambia, piga shaba tusepe, nafikiri mtu mwenyewe unamjua?”
“ndio,”
“hakuna cha mazungumzo ukifika hapo piga risasi, atakae leta shobo tandika risasi”
Alizungumza mwanaume mmoja aliyeonekana mwenye mamlaka kupita wengine.
Giza lilishaingia sasa na kufungua Milango na kuingia ndani ya nyumba ya mama Andunje.
Waliwakuta wote wapo seblen isipokua Enock peke yake wanayemtafuta.
“tuna mtaka Enock yuko wapi?”
Aliuliza jambazi mmoja akiwa na bastola yake mkononi, hofu ilizidi kutanda, watu wote walikua wamelala chini sakafuni wakisali sala zao za mwisho,ilibidi mmoja aingie kila chumba kumtafuta Enock kisha baadae kurudi nae na kumuamuru apige magoti kati kati.
“kabla hamja niua naomba nijue ni nani aliye watuma”
Aliuliza Enock. ndani ya akili yake alishajua kuwa watu hao walitumwa na mtu anaye mjua, kumbu kumbu za kutekwa nyara kipindi cha nyuma akiwa na Catherine zilianza kujijenga moja kwa moja akili yake ilimpeleka kwa Darlington Shebby alijua ni bado ana kisasi na Catherine na wala sio vinginevyo,
hakuelewa kuwa baba yake ndiye aliwa tuma watu hao.
“sawa nisha mjua, mnaweza kuniua sasa..”
Aliyafumba macho yake huku akiwa amepiga magoti chini, kweli alishasalimu amri hakutaka kujitetea kwa lolote lile hata majambazi hao walishangazwa na ujasiri wa Enock.
Lakini hio haikuwafanya wabadili mawazo yao ya kutaka kumuuwa.
“kacha kacha”
Bastola ilikokiwa kisha Enock kuwekewa kichwani kumaanisha kuwa kitendo cha risasi kutoka ndani ya chemba ingemuondoa duniani pale pale na umauti kumkuta.
Picha ya ubongo wake pamoja na damu nyingi zikiwa zime tapakaa chini vilinza kujijenga ndani ya akili yake akisubiri kifo chake sekunde chache tu mbeleni na kuji kuta akibubujikwa na macho sababu anaenda kufa bila ya kumsamehe baba yake mzazi na kumuaga Catherine.
“paaaaaaa”
Mlio mkubwa wa bastola pekee ndio uliosikika ndani hapo na damu nyingi kuruka pamoja na ubongo kutapakaa chini sakafuni!.
“hivi hali ya Yule mgonjwa inaendeleaje?”
Generali Shedrack alimuuliza mke wake baada ya kuzinduka kutoka usingizini asubuhi ya siku hiyo, ni siku nyingi sasa zimepita bila ya kumuona japo moyo ulimuuma lakini hakua na lakufanya kutokana na kazi zilizombana za kulitumikia jeshi la JWTZ,
ivyo mke wake pekee ndiye aliyekua akimpa taarifa juu ya afya ya Enock!.
“sasa hivi hali yake inaridhisha sio kama tulivyo mpeleka”
Alijibu Vivian
“itabidi leo twende hata iweje, nataka niage kazini ili leo jioni tuwe tunaenda”
“utakua umefanya vizuri sana”
“sawa wacha nikajiandae, nawewe jiandae sasa hivi nikija tu tuanze safari”
“sawa mume wangu kazi njema”
Na ivyo ndivyo walivyo kubaliana mtu na mke wake asubuhi ya siku hiyo,
alichukua koti lake la jeshi na kulivaa kisha baadae kukagua magazine ya bastola yake kama ina risasi na kuiweka kiunoni kama afanyavyo kila siku.
Hakuna alichowaza kichwani mwake zaidi ya kwenda kazini kuomba ruksa akidanganya kuwa anaenda kuuguza mgonjwa mkoani, kumbe haikuwa ivyo nia yake ilikua ni kwenda kumuona Enock mwanaume asiye na hatia ambaye anawindwa na kutaka kuuliwa na watu wabaya, bado alikua na siri hiyo ndani ya mtima wake, bado alitaka kujua ni wakina nani walikua nyuma na kutaka kumuua kijana huyo, alifika moja kwa moja mpaka kwa mkuu wake wa kazi na kuomba ruksa.
“umesma nani anaumwa?”
Alihoji mkuu wake wa kazi
“mtoto wa dada yangu, ana wiki sasa”
“utachukua muda gani?”
“siku moja tu Mkuu”
“basi nitamwambia MP Ngoni akushikie nafasi yako, fanya hima iyo kesho urudi”
“sawa mkuu”
Hakuelewa kuwa mambo yangekua maraisi kama alivyodhani hapo awali, alimuelewa sana mkuu wake jinsi alivyokuwa mgumu,alimshukuru mara mbili mbili na kuingia ndani ya gari huku akimsisitiza mke wake awe tayari amejiandaa sababu yeye yupo njiani.
Haikuchukua muda mwingi walikua njiani tayari wanaelekea Tanga wakiwasiti za mbele huku gari likiwa inaenda kasi kidogo,walishakata kilometa sitini sasa na kuikaribia Tanga, giza kwa mbali lilishaanza kuingia walisimama sehemu ili kununua vitu kama mchele na mkaa kama shukrani ya kumpa mama Finakwa kazi aliyo fanya ya kumtibu Enock na ndugu wengine wa karibu!.
Walirudi ndani ya gari na kuzidi kusonga mbele ilishafika saa moja ya jioni, na kuwasili kijiji cha Handeni salama salmin!.
“lile ni gari la nani”?
Alihoji Shedrack baada ya kuona pickup kwa mbali sana nje ya nyumba ya Mama Andunje na kuanza kuanza kupunguza mwendokasi taratibu na kupaki pembeni ya michongoma
“hata sijui”
“nisubiri ndani ya gari”
“lakini..”
“nisubiri usitoke”
Hisia kuwa hakuna usalama wa aina yoyote ile vilianza kujijenga ndani ya akili yake sababu ya hali ya utulivu iliyo kuwepo mahali hapo,
alitembea taratibu kwa tahadhari zote kwa mbali aliwaona wanaume wawili wanashuka ndani ya gari,
Nayeye kupita upande wa nyuma uwani taratibu na kuifikia nyumba ya mama Andunje.
alitegesha sikio lake dirishani na kutambua kuwa walikua ni majambazi na kilichomshtua zaidi ni kitendop cha wao kumuulizia Enock,
hata yeye hakuelewa walijuaje kama Enock yupo mahali hapo.
Alifungua mlango Taratibu sana na kulala chini chali huku akitambaa kama mwanajeshi msituni anaye pigana vita huku silaha yake ikiwa ameishika mkononi vizuri kabisa,
alivyofika chini ya meza alikua akimuona kila mtu, alimuona Enock amepiga magoti na kawekewa bastola kichwani,
Ilikua ni lazima achukue hatua ya haraka sana vinginevyo Enock angeuwawa pale pale.
aliiweka bastola yake vizuri kwa kutumia jicho moja nayeye alimlenga jambazi aliyeshika bastola usawa wa kichwani.
Kabla ya kumfyatua Enock yeye alishairuhusu risasi itoke kwenye chemba na kumpeleka jambazi huyo chini pia, ivyo ivyo alifanya kwa mwingiwe na wote kudondoka chini puh!.
“jamani mpo salama?”
Aliuliza Generali Shedrack na wote kutoamini kitendo kilichotokea sekunde chache zilizo pita, Enock alikua bado ameganda amepiga magoti analia machozi sana, hakuamini kuwa amepona, hakuamini kuwa muda mfupi angeitwa marehemu, alibaki akimtizama mwanajeshi huyo aliyeyaokoa maisha yake.
“kaeni kimnya tulieni hapo hapo”
Alisema Shedrack na kutoka nje mpaka ndani ya gari kisha kumtwanga risasi mmoja wa majambazi na mwingine kuingia nae ndani ili tu amuhoji ni kwanini wana taka kumuuwa Enock.
“unaona wenzako nilivyowafanya, sishindwi kutenganisha ubongo wako, nani kawatuma?”
Jambazi huyo alimpiga jicho Enock na kuonekana anataka kuongea kitu lakini alisita
“sema wenda unaweza ukaishi”
“sa sawa sawa naongea…”
Kila mtu alikua kimnya anamuangalia yeye, hata Enock pia hakuelewa kuwa alikua anawindwa tangu alipokua kitandani maututi.
“kuna mzee mmoja anaitwa Mwasha, david mwasha, baba yake na huyo kijana hapo ndiyo ali ali aliyetuagiza”
Enock alisimama mzima mzima baada ya kusikia maneno yale hakutaka kuyapa nafasi kabisa, hakutaka kuamini kuwa baba yake mzazi ndiye katuma majambazi ili yeye afe pengine alidhani wanamsingizia.
“My Dad!,,sio kweli”
Alikataa katakata!
“kuna kipindi alituma watu wakuteke kisa Catherine lakini hakujua kama ni wewe mkapata ajali, Enock mimi nakufahamu sana tangu ulivyozaliwa.”
Jambazi huyo ilibidi atoe historia fupi juu ya visa vingi vilivyopita, aliongea kila kitu juu ya marehemu mama yake Josephine na Ramsey, hapo ndipo kila mtu alibaki mdomo wazi.
“jiulize mimi nime juaje wewe upo hapa, ulimpigia baba yako simu, ajev kukufuata”
Alizidi kupasua jibu jambazi huyo huku mlango wa bastola ukiwa kisogoni mwake.
Kila mtu alimtizama Enock aliyekua bado amechanganyikiwa asijue la kufanya alishajua ukweli sasa baba yake ndiye anaetaka kumuuwa,
Alisha jua ukweli kuwa ni lazima Sabrina na Catherine wauwawe, ilikua ni wakati wake wa kumuokoa catherine mwanamke anaye mpenda na mama yake Sabrina.
“mpigie simu nisikie mwambie kuwa mshanikamata nime kufa tayari”
Ivyo ndivyo Enock aliamuru na jambo hilo kufanyika, kweli jambazi huyo alichukua simu na kumpigia mzee mwasha.
Hakuamini upande wa pili wa simu baada ya kusikia sauti ya baba yake mzazi ikicheka huku ikitoa pongezi za dhati sana, jasho jingi lilimtoka mwilini mwake huku akitetemeka kwa hasira nyingi hakuelewa hamfanye nini baba yake mzazi endapo atamuweka mikononi mwake!.
Alimsukumiza Shedrack nayeye kuikamata bastola, pale pale bila kujiuliza alimfyatua risasi jambazi huyo kichwani mwake na kumfanya kila mtu aingiwe na hofu nyingi sana.
“lazima nifanye kitu nimuokoe Catherine wangu!”
Aliwaza Enock kichwani mwake huku akitetemeka kwa hasira
Mambo yalizidi kuwa mabaya kwa Catherine kila siku alikua ni mtu wa kuingiliwa kimwili na wanaumwe tofauti wenye nguvu zao huku wakiendelea kurekodi mikanda ya ngono na kuirusha sehemu nyingi tofauti,mama yake aliyekua Tanzania Alisha mtafuta sana bila mafanikio yoyote yale na kuchoka kabisa, alitamani japo apige simu aseme jinsi gani anavyo teseka lakini ilishindikana kabisa,alimkumbuka Enock hakuelewa kuwa amekufa au la!. Kilasiku alikua ni mtu wakulia kwa uchungu, hakujua mwisho wake ungeishia vipi.
Joyla mwanamke meneja katika usambazaji wa kampuni hiyo ya ngono, kila siku alikua akikenua meno yakekwa kitendo cha Catherine kumuingizia pesa nyingi kuzidi mwanamkeyoyote Yule ndani humo, mikanda yake iliuzika sana kwenye mitandao,
Mataikuni mbali mbali walisha taka kumnunua kwa pesa nyingi lakini Joyla hakukubali hata kidogo, akiamini kuwa atapoteza pesa nyingi sana kwakitendo cha kumuuza Catherine, hata yeye hakuweza kuamini kabisa kama mambo yangekua kama hayo
“ina bidi sasa hivi tutumie mbwa”
Alishauri Joyla akiwa anaongea na simu ndani ya jumba hilo kubwa lenye ulinzi kila kona ya pembe, wanawake waliozoea kucheza ngono walikua wakipita mbele yake na kumuita mama.
Catherine alikua chumbani akilia, alivyosimama alimuona mwanaume mchukua kamera anapita dirishani huku akiongea na simu hapo ndipo alipompungia mkono na kumuita.
Ilikua ni lazima atumie akili nyingi ili aweze kuichukua simu ya mchukua kamera huyo.
Kitendo cha mwanaume huyo kuingia alimrukia na kuanza kumshika shika kifua chake huku mikono yake ikigusa mtalimbo wake taratibu na kumtupa kitandani,alisha sahau kibarua cha kuchukua video sababu hata yeye kazi hiyo ilimfanya awe mvumilivu sana, kuchukua watu wanaofanya ngono alikua akiumia sana kihisia,leo hii aliona kwake ni bahati sana.
Akili ya Catherine ilimtuma sehemu moja tu mifukoni mwa mwanaume huyo na kuitoa simu ndani ya mifuko ya suruali yake na kuzidi kumpagawisha ambapo alizidi kuichua koki yake.
KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni