BIKRA YANGU (50)

0
Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA HAMSINI
ILIPOISHIA...
Alimaliza Naomi na kuondoka zake. Catherine alibaki akilia machozi asijue cha kufanya matusi aliyo tukanwa hakika yalikua mazito sana mama yake ndiye pekee aliyeenda na kumbembeleza ili asiendelee kulia,
SASA ENDELEA...
Ndani ya moyo wake alijuta kumkubalia Enock, ilikua ni lazima amfuate na amuelezee ukweli hata kama angeumia ndani ya moyo wake, alijua yeye ndiye kikwazo cha matatizo yanayotokea na ugomvi japo alimpenda Enock ilikua ni lazima aachie ngazi ili amuachie Naomi afurahi.

“Mama nataka niende kwa Enock Kesho, nimwambie ukweli siwezi kuishi hivi, siwezi kuishi na mashaka kiasi hiki nishachoka Mama”

Alizungumza Catherine siku hiyo usiku wakiwa wanakula chakula mezani, kweli aliongea kwa msisitizo juu ya kile anachozungumza japo alijua kuwa ni jinsi gani Enock alivyoteseka na kuyapigania maisha yake,alikumbuka jinsi alivyojitosa na kupigwa risasi kwa ajili ya kutetea uhai wake,licha ya kukumbuka yote hayo lakini hakuweza kubadili maamuzi aliyo yatoa tayari, aliona ni bora kula wali mkavu kwa amani kuliko wali nyama vitani!,

“lakini mwanangu… Enock hakukwambia kuhusu huyu mwanamke?”

“aliniambia lakini alisema atajua cha kufanya, Mama mimi siwezi”

“Embu kajaribu kuongea naye iyo kesho alafu uniambie kasemaje, usije ukapata matatizo hapo baadaye”

Alishauri Mama yake

“sawa Mama wacha niende hiyo kesho”

Baada ya kula chakula kila mtu alienda kulala, ila kwa Catherine ilikua kinyume, hakuweza kulala usiku kucha akitamani kukuche asubuhi yake ili akaonane na Enock na kumueleza yale yanayo msumbua ndani ya kichwa chake ilikua ni lazima amuombe waachane.

Asubuhi ilivyo fika alijiandaa!. Aliwasha gari ya mama yake mkuku mkuku mpaka kwa Enock, baada ya kufika alipaki nje ya geti na kuingia ndani, bahati nzuri alimkuta Enock yupo peke yake Naomi Alisha ondoka tayari kwenda kazini.

“vipi mbona ghafla, hata kunipigia simu?”

Alihoji Enock akiwa ana malizia kunywa chai asubuhi kasha jiandaa tayari kwa kuondoka kibaruani.

“sikia Enock sina mengi ya kuongea nawewe, ninacho kuomba tu, tuwe marafiki wa kawaida sio vinginevyo, siwezi mimi kuishi na mashaka”

“Catherine usiseme ivyo, Naomi isiwe kikwazo mimi na wewe tume toka mbali sana, unalijua hilo Catherine Mpenzi wangu, naomba usichukue huo uamuzi,”

“hapana Enock nishamaliza mimi”

“Catherine,”

Aliita Enock huku akimsogelea kwa hatua za taratibu sana na kumshika Kidevu chake, alipeleka mdomo wake mpaka midomoni mwa Catherine na kuanza kumnyonya mdomo wake taratibu sana wakilana denda,

Alichukua mikono yake na kuizungusha mpaka kwenye kiuno chake na kumvuta karibu na kufanya maziwa yaguse kifuani mwake, Catherine damu ilimwenda mbio hakua na cha kusema zaidi tu nayeye aliuzungusha ulimi wake ndani kinywani mwa Enock.

Safari ya ofisini ilighairishwa Enock alimbeba Catherine juu juu mpaka juu gorofani chumbani kwake na kumtupa kitandani huku wakiendelea kupigana madenda wakicheza na ndimi zao kama njiwa,

Kila mtu hakua mgeni wa Mwenzake Enock alijua udhaifu wa Cate ulipo ni kwenye maziwa juu ya chuchu zake, taratibu alimvua topu aliyo vaa na kuanza kuyanyonya maziwa yake tena kwa zamu kila sekunde akibadili huku mkono wake mmoja akiupitisha chini kwenye mgodi wa msichana huyo mrembo na kuanza kupekecha pekechua,wakati hayo yana fanyika Catherine alikua hajiwezi kaya fumba macho yake, ni siku nyingi sana hakuwahi kukutana kimwili na mwanaume ivyo kutoka ilikua vigumu, mwenyewe alianza kukikatikia kidole kilichoingia ndani ya mgodi wake huku akitoa mihemo puani mwake,

Alijikuta anapeleka mikono yake mpaka kwenye suruali juu ya zipu ya Enock na kuifungua. Alitoa Tango la Enock na taratibu kuanza kulichua baada ya sekunde mbili aliliweka mdomoni mwake na kuanza kulilamba taratibu, ‘utamu wa pipi ni mate’ aliyakusanya mate mengi mdomoni mwake ili ale pipi kijiti, hakuelewa hata yeye ni kwanini anafanya hayo yote,alikumbuka sana alivyokua UGANDA alivyokua akichezeshwa filamu za ngono na kusikia wanavyo fundishwa jinsi ya kucheza na UUME na ndio alivyo taka kudhiirisha utundu huo kwa Enock,alimtoa shati lake la juu kisha kuanza kumlamba kifuani na kutumbukiza ulimi wake hadi masikioni mwake.

Enock alikua hoi bin taaban! Hajiwezi tena, hata yeye alisha jua kuwa mwanamke huyo amebadilika na sasa hivi yupo vizuri kitandani, licha ya hayo yote hata yeye hakutaka kuonekana mzembe alimvua suruali ya jins Catherine na chu** kufuatiwa kisha kuipanua miguu yake,hakuna kilicho fuata hapo zaidi ya kupeleka ulimi wake mgodini juu ya kitu kilicho fanana na kiharage na kuanza kukilamba vizuri sana kama paka alambavyo maziwa juu ya kisosi!,

Alichukua kidole chake na kuanza kupima oil.

“aaashhssss Assshhhs Ennnn….ockk.. Assshhh aaaaaah aaaaah …aaashsssss aaaaaah”

Sauti izo za puani ndizo alizotoa Catherine huku akiya shika shika mashuka na kuyavuta, alihisi raha za Ajabu sana, alihisi mabati yanafunguka na yupo angani anapaa bila mabawa,

Enock Alisha lijua hilo na kuzidisha kasi ya mashambulizi, akizidi kuulamba mgodi wa mrembo huyo ambaye muda mfupi uliopita alikua anataka kumuacha hakutaka jambo hilo litokee,

Catherine alizidi kuibana miguu yake huku akizidi kukishika kichwa cha Enock kwa nguvu zake zote dalili zilionesha kuwa anafika MSHINDO,baada ya kufika tu, Enock alimuwahi na kuipanua miguu ya Catherine tayari kwa kuanza uchimbaji wa mgodi huo ambao ulikua usha tema madini tayari,
lakini alitaka kuuchimba na kupata madini aina ya Tanzanite sababu madini aina ya shaba yalikua yametoka tayari.

Kifo cha mende ndiyo ili toka kubadilishwa na sasa ili kua mbuzi kagoma kwenda majanini kula!, 

Enock alikamata vizuri kiuno cha Catherine kwa mikono yake yote miwili na sasa kuanza kuchimba mgodi wa Catherine huku akikizungusha kiuno chake taratibu sana, mambo yalikua mukide mukide yalienda aste aste taratibu sana,hakika siku hiyo ndiyo ilikua siku ya kufungua ukurasa wao mpya wa mapenzi hapo kitandani na wala sio vinginevyo,

Alimpindua tena na kumuweka chini kisha yeye kupanda juu yake, mguu mmoja wa kulia aliuchukua na kuuweka begani kwake na kuingiza tena mashine ndani ya mgodi kwa mara nyingine huku akinyonya maembe ya Catherine,

“Aaaaaah aaaaaah aaaaah Ennn…..ockkkk”

Kelele izo zilimaanisha kuwa gari imewaka ivyo muda mfuppi angeenda tena kufunga goli la pili,
aliomba denda hapo hapo bila kuchelewa, hapo ndipo Enock alipozidisha nguvu kazi za kuchimba mgodi na kwenda spidi za haraka,kama angekua gari basi angekamatwa na trafiki kutokana na kutembeza gari kwa spidi nyingi sana zilizozidi mia.

Catherine alizidi kutoa miguno ya huba kisha kucheua madini ya Tanzanite papo hapo, ivyo ndivyo ilivyokua Kwa Enock kasi ilizidi na baadae kidogo kupungua alimwaga oili chafu na kudondoka kifuani mwa Catherine huku jasho kwa mbali likimtoka,

Kila mtu alikua amechoka lakini mwenye furaha,

Kilicho mfanya Catherine ashtuke ni hodi ya mlango iliyokua ikigongwa kwenye mlango na hisia kumpelekea ni lazima atakua NAOMI. alimuogopa sana na kujua kuwa amekwisha, moyo ulimwenda mbio mno,

Hata kwa Enock alianza kuogopa lakini hakutaka kuonesha hali hiyo sababu alijua fujo za mchumba wake huyo Naomi ambaye ni mkorofi sana…

Ilikua ni furaha kubwa sana kwa wawili hao wakiwa kitandani wana fanya mapenzi wakiiburudisha miili yao baada ya kupitia matatizo mengi sana katika maisha yao. Safari ya Catherine aliyeenda kwa Jazba nyumbani kwa Enock ili wamalize mapenzi yao sasa ilikua kinyume, badala yake walijikuta katika dimbwi la huba.

Kitendo cha kumalizakufanya mapenzi na kila mtu kuridhika mlango wao uligongwa nakuwafanya wote washtuke.

“Nani?”

Aliuliza Enock

“Boni, mimi Boni”

Hapo ndipo wote walishusha pumzi ndefu baada ya kusikia sauti ya mlinzi wake.

“kuna nini?”

“kuna simu yako bosi kutoka kwa Mama”

“sawa nakuja”

Alifungua mlango kiubavu ubavu na kuchukua simu aliyo pewa iliyo kua bado hewani.

“Naomi”

“upo wapi?”

“nipo nyumbani kuna kitu nilisahau”

“fanya basi uje nakusubiri mpenzi wangu, nishafika ofisini kwako”

“poa nakuja”

Baada ya kumaliza mazungumzo yao alikata simu na kumuendea Catherine aliyekua kitandani bado kajifunika na shuka amechoka na shughuli pevu waliyo fanya muda mchache uliopita!.

“Catherine mpenzi wangu?”

“Abee”

“naomba usinione mimi muhuni,napenda kukwambia kuwa haya yote yataisha naomba uwe mvumilivu, huyu mwanamke sio wa kwenda nae pupa pupa”

“sawa lakini muda una kwenda Enock, wewe ni mwanaume utamuogopa mpaka lini sasa?”

“sio kwamba namuogopa, ana mambo Fulani Fulani ambayo hata mimi nashindwa kuyaelewa vile vile, cha kufanya uwe na subira kidogo”

Kweli Naomi alikua ni hatari na mgumu wa kuelewa jambo hata Enock hakutaka kumuendea kichwa kichwa alijua hata yeye angefanyiwa kitu ambacho hatokuja kukisahau maishani,mauaji aliyo yafanya kwa Heather ndiyo yalimtisha ivyo alijua hayo ndiyo yatatokea kwa Catherine endapo akigundua siku yoyote ile ana mahusiano na mwanamke huyo Catherine.

Walikua wakifanya mapenzi yao kwa siri sana bila ya Naomi kujua lolote lile, walikua sana makini huku taratibu Enock akijitahidi kukaa sana Mbali na Naomi, mapenzi aliya punguza kwa kasi sana.

“Mbona siku izi sikuelewi Enock”?

Aliuliza Naomi baada ya kuchezwa na machale.

“kivipi?”

“hujui?”

“kama hauna cha kuzungumza nyamaza naangalia CNN”

“mimi na CNN kipi muhimu?”

Aliuliza tena Naomi

“CNN”

Enock alipokea ukofi mkali sana wa usoni kutoka kwa Naomi majibu aliyokua akimpa ya mkato ndiyo yalimkera sana, hakuweza kujizuia hasira zilimpanda na kuzima tv kisha kutanda mbele yake huku akiwa ameshika kiuno chake tayari kwa lolote.

“yaani mimi nakuongelesha unanijibu kunya nyodo nyodo, mpuuzi nini wewe, nakuuliza mimi na CNN kipi bora unasema huo utumbo bwege sana wewe”

Alizidi kubwata Naomi akipaza sauti na kumkalipia Enock aliyekua amekaa kwenye sofa kafura kwa hasira huku majasho yana mtoka, hata yeye kifua chake kilikua kinapanda juu na kushuka huku akitetemeka kwa hasira alijua fika kitendo cha kusimama na kumvaa Naomi kinge mgharimu wenda angefungwa ili bidi kama mwanaume azuie hasira zake, bila kusema lolote alipita na kupanda ngazi juu gorofani chumbani mwake na kujitupa kitadani kulala,

“unaona ulivyokua una dharau, nakusemesha unaondoka?”

Naomi aliongea bado akiwa nyuma yake, maneno haya kua mishale ivyo aliweka pamba masikio na kunyamaza kimnya!

Kesho yake asubuhi waliamka vizuri kabisa walisemeshana kama hawa kuwahi kugombana na ndo ivyo ilivyokua hata siku iliyo fuata, Naomi alikua mpole sana, akifanya uchunguzi wake chini chini ili 

Kujua ni kipi kilicho msibu Enock mchumba wake na kufanya hata kutokushiriki nae tendo la ndoa kama zamani, alijua fika Mwanamke Aliyeitwa Catherine ndiye chanzo cha yote licha ya kudhani hayo yote ilibidi afanye uchunguzi wa kina ili apate ushahidi wa kutosha.

KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)