SEHEMU YA HAMSINI NA SITA
ILIPOISHIA...
Sauti nyororo kutokea kwenye spika za pembeni ziliwataka wafunge mikanda sababu ndege ilikua tayari inaondoka, baada ya dakika mbili taratibu ilianza kutembea kisha kuchanganya kasi na baadaye matairi ya mbele kuinuka na ya nyuma kufuata ikipaa angani.SASA ENDELEA...
“tutatua wapi na wapi?”
Alivunja ukimnya Catherine wakiwa ndani ya ndege
“Kigali na Entebbe kisha tutabadilisha ndege hapo na kuchukua nyingine”
“aah sawa”
Baada ya nusu saa ndege ilitua Rwanda uwanja wa ndege wa Kigali, hapo hawakukaa sana ndege iliinua matairi yake na kupaa tena, kisha baadaye kutua tena uwanja mkubwa wa Entebbe nchini Uganda.
Catherine na Jenipha walikuwa miongoni mwa abiria ambao safari yao ilikomea hapo ili wabadili ndege nyingine ivyo ndivyo aliamini Catherine, hakuelewa lolote juu mipango ya Jenipha,walitoka kidogo nje ya uwanja wa ndege.
“inabidi tusubiri ndege ya usiku”
“sawa hakuna shida yoyote, sasa si tuache mizigo yetu au tuondoke nayo?”
“tuondoke nayo tu”
Hapo hapo walichukua Taxi Mpaka kwenye moja ya Hotel ili kupumzika.
“njoeni mchukue mzigo wenu tayari nipo hapa Chiken Bites hotel chumba namba 20”
“okay”
Mazungumzo hayo kupitia simu yalimfurahisha sana Joyla, hapo hapo alichukua gari mpaka Entebbe na kupaki nje ya hotel na watu wake.
Catherine Hakutaka kuamini macho yake baada ya kumuona Joyla mbele ya macho yake, alimkumbuka sana mwanamke huyo ambaye alimtesa na kumchezesha filamu za ngono siku za nyuma zilizopita, moyo ulimwenda mbio hakuamini kama amerudi kwenye mikono yake upya, alimtizama Jenipha na kumuona akifurahi na kuelewa teyari kuna mchezo umefanyika sababu picha ilionesha dhahiri,
Watu sita walioshiba waliingia ndani ya chumba chao.
“ha ha ha ha ha, Catherine Ramsey, kwa akili yako unafikiri ungeweza kutukimbia?”
Aliongea Joyla kwa nyodo.
“mchukueni”
Joyla alitoa kauli hiyo kwa mabaunsa na kuanza kumsogelea Catherine, mmoja wapo alivyotaka kumshika aligoma, walivyotaka kutumia nguvu Catherine alirusha ngumi palepale iliyo mfikia baunsa mmoja wapo puani, alirudi nyuma kidogo na kurusha round kick kwa mwingine na kumfanya aparamie meza na kudondoka kama mzigo na kukaa tena sawa, ilikua ni lazima ajiokoe maana hakutaka kurudi tena mikononi mwa watu hao hatari,
Alichezesha miguu yake na kumpiga baunsa mwingine nyuma ya goti iliyopelekea aende chini, hapo hapo aliruka na ngumi iliyomfikia juu ya taya,dalili zilionesha kuwa anaenda kushinda na kuwazidi nguvu wanaume hao kutokana na hawakuwa na mafunzo vizuri ya ngumi lakini wana miili mikubwa,
alizidi kupambana nao, lakini alijikuta yupo chini baada ya Jenipha kuokota taa kubwa ya mezani na kumpiga nayo kichwani, walianza kumshambulia akiwa chini na hapo hapo kupoteza fahamu zake…
Katikati ya usiku alizinduka baada ya kuhisi maumivu makali juu ya utosi wake,fikra zake zilirudi nyuma kwa kasi na kukumbuka yote yalitokea,mtu wa kwanza kumkumbuka ndani ya akili yake alikua ni Jenifa ambaye aliyesababisha mpaka yeye kurudi katika mikono ya watu wabaya waliomtesa na baadaye kuokolewa,lakini leo amerudi tena kirahisi,alichojilaumu ni kitendo cha kumuamini mwanamke huyo, licha ya yote kutokea alipiga moyo konde na kuamini kuwa atashinda vita hiyo kali iliyokua imeanza tayari.
Alikaa macho mpaka kunakucha na mlango wa chumba alichofungiwa kufunguliwa, alifunikwa usoni na kitambaa cheusi na kuingizwa ndani ya gari, hakuelewa ni wapi anaenda hata yeye. Baada ya dakika ishirini alihisi gari imesimama na kushikwa mkono akivutwa nje,
Mbele yake aliona nyumba kubwa baada ya kitambaa cheusi kutolewa usoni mwake, walimuingiza ndani ya nyumba hiyo seblen na kuona sura zote ngeni lakini baadaye alitokea Joyla, alivyopiga jicho lake pembeni hakuamini Mwanaume aliyemuona amefungwa kamba yupo chini.
“Anc…o Kway!”
Aliita Catherine kwa sauti ya chini na Kway aliyekua amelala kuinua kichwa chake juu kwa shida ili kumtazama ni nani aliyekua akimuita, hata yeye alionekana kustaajabu sababu alijua Catherine amefariki Dunia na ndiyo ivyo alivyowaambia Watu hao wabaya waliokua wanamuhitaji,
“Caa..therine” Aliita Kway.
Catherine alikua teyari na kibarua kingine, mwanaume aliyekua mbele yake ana majeraha ilikua ni lazima amuweke huru kutoka kwenye mikono ya watu hawa wabaya wanaomtesa nusu kumuuwa.
Alishaelewa kuwa ndiye baba yake kutokana na kumzalisha Mama yake mtoto Christopher ivyo alimuhesabia kuwa ni kama Baba yake wa kumzaa,hakutaka kumpoteza wakati uwezo wa kumuokoa na kumuweka huru alikua nao,
Baada ya muda kidogo ulisikika muungurumo wa Gari kisha ukimnya kutawala, Carl Martin alikua teyari amewasili ili tu amchukue CATHERINE na kuondoka nae siku hiyo hiyo aende naye Germany, alionekana alikua na hamu naye hata yeye!.
“Mr. Mullosi! Hope you have good news for me?”(Mr.Mullosi natumai una habari nzuri za kunipa)
Aliuliza Mwanaume wa Kigermani akiwa na walinzi wake pembeni wakilinda usalama wake.
“First be seated then we talk My Friend,which kind of drink would you prefer?”(embu keti kwanza alafu tuongee,aina ya kinywaji gani unapenda?”
“Red wine”
“okay”
Kabla ya mazungumzo yao kuanza waliletewa vileo ili kupasha akili zao, Carl Martin alifurahishwa alivyomuona Catherine, hata yeye alikiri kuwa ni mzuri sana alivyoletwa mbele yake, udenda ulimtoka na baadhi ya viungo vyake vya mwili kusimama,neno Ngono ndilo lilikuwa limetawala ndani ya kichwa cha Carl Martin, baada ya kila kitu kufanyika Catherine aliingizwa ndani ya gari ndefu milango sita aina ya Limo mlango wa nyuma kisha Carl Martin kufuata.
“Your pretty, I wan’t to enjoy with you today before we start our journey to Germany My Angel(Wewe ni mrembo,nahitaji kufurahi nawewe leo kabla hatujaanza safari yetu ya ujerumani Malkia wangu”
Tamaa za Mwili zilizidi kuusumbua mwili Wa carl Martin na kutamani hata wakati huo huo afanye ngono, alimuangalia Catherine maziwa yake yalivyosimama vizuri na kufanya kidogo yaonekane sehemu ya juu, aligandisha macho yake juu ya midomo ya mwanamke huyu ilivyokua myekundu iliyolowa muda wote, alishusha macho yake tena mpaka kwenye mapaja yake yaliyokuwa meupe na malaini sana, kitendo cha kuangalia sehemu izo tu kilifanya uume wake usisame na kufanya suruali yake itune kidogo, Catherine alikua kimnya hasemi lolote, ndani ya akili yake aliwaza ukombozi ilikua ni lazima arudi nyuma akamkomboe Kway na wanawake wenzake wengine waliokuwa wakiteseka sana wakichezeshwa filamu za ngono kisha kuuzwa nchi tofauti mbali mbali.
“Alexander!”
Carl Martin alimuita dereva wake
“Yes boss”
“Take me back to the hotel immediately(nirudishe hotelini haraka iwezekanavyo)
“But Boss, you have a flight to catch!”(Lakini muheshimiwa kuna ndege unatakiwa kuwahi”)
“I know, just do what I have said(naelewa,fanya nilichokwambia)”
Hapo hapo dereva alizungusha usukani na gari kuanza kurudi lilipotoka na kufika ndani ya hotel ya nyota tano alipokua amefikia Carl Martin iliyoitwa Sea Hotel, na walinzi kuwafungulia mlango, kisha Carl Martin na Catherine kushuka ndani ya gari hiyo Limo ya kisasa,
Ndani ya akili ya Catherine hakuwa anawaza kitu kingine zaidi ya kutumia akili yake ya ziada, kama mwanamke ili bidi amlegeze mwanaume huyo aliyeonekana kuwa hoi na miyemko iliyo mpata,
lift ililia baada ya kufika gorofa namba ishirini kisha kujifungua na wote kuanza kutembea mpaka chumbani,
Kitendo cha kufika tu Catherine aliomba kuingia bafuni kujimwagia Maji ili baadae akirudi waanze kufanya mapenzi na Carl Martin, alipita mpaka bafuni na kuchungulia dirishani, kupitia kioo aliweza kuwaona walinzi wa Carl Martin wakiwa kwenye gari na kuanza kupiga hesabu jinsi ya kutoka, alishaelewa kuwa kuna mlango mwingine wa upande wa nyuma atakao tumia kutokea,
Alivuta pumzi ndefu na kufungua mlango wa Bafuni.
Carl Martin alikua teyari hana shati lake akiwa na glasi mbili za pombe kali mikononi mwake na kumkabidhi Catherine ili wanywe kidogo!.
Baada ya kunywa pombe Carl Martin alimsogelea Catherine na kuanza kumpapasa kwenye maungo yake, hata ivyo ilibidi Catherine nayeye amlegeze kwanza mwanaume huyo ili aweze kutoka kiurahisi, alianza kumshika shika ila baada ya kumshika kiuno kwa nyuma alihisi kashika kitu kigumu sana,
“You have a gun sweatheart?, I fear gun please put it aside(una bastola mpenzi?, ninaogopa bastola tafadhali iweke pembeni)”
Aliongea Catherine akitoa sauti ya puani na kuzidi kumpumbaza Mjerumani huyu aliyekua hoi bin taaban damu ikimwenda mbio!, alitoa bastola yake kiunoni na kuiweka juu ya meza bila kujua anafanya kosa la jinai, na kilichofuata hapo yalikua ni madenda kwenda mbele, kisha Catherine kumtupa Carl
Martin juu kitandani nayeye kupanda juu yake,alianza kumnyonya masikio yake na kumvua mkanda taratibu na kisha baadae kutoa suruali yake na boxa kufuata, kilichomshangaza Catherine ni mzungu huyo kuwa na Mashine ndogo kama ya mtoto wa miaka tisa ambayo ilikuwa tofauti kabisa na mwili wake, hata ingetokea wangefanya ngono asingemfikisha popote pale, hakutaka kujali sababu haikuwa kazi yake, alimfuata kwenye shingo na kuanza kuilamba shingo yake huku mkono wake taratibu akiusogeza mezani ilipokuwa bastola ya Carl Martin, alivyohakikisha kaiweka vizuri mikononi mwake, wakati huo huo alimuwekea juu ya uso wake.
“I don’t want to do this, but I will if you won’t cooperate (sitaki kufanya haya lakini nitalazimika endapo usipotoa ushirikiano)”
Carl Martin alikua amepigwa na butwaa sana macho yamemtoka, kitendo cha kumuona Catherine kaishika bastola vizuri kiujuzi tena kidole chake kipo kwenye triga ambacho kikivutwa nyuma tu risasi itatoka hapo hapo na kumpeleka ahera!.
Hakuwa na chaguo lingine kwani maisha kwake yalikua matamu sana alisimama akiwa bado uchi wa mnyama na kuhamriwa kuingia bafuni na Catherine kufunga mlango kwa Nje.
Aliweka nguo yake sawa na kuiweka bastola kiunoni kwa safari moja tu kurudi kwa Kway na wanawake wengine waliokua wametekwa nyara ili awaweke huru, aliamini jambo hilo litafanyika tena siku hiyo hiyo, alitoka nje na kuingia ndani ya lift.
Baada ya kushuka alitembea mpaka mapokezi.
“Don’t disturb my husband I will be back soon”(usimsumbue Mume wangu, nitarudi hivi karibuni)”
Catherine alitoa maagizo hayo kwa mwanamke aliyekua mapokezi kisha kutokea mlango mwingine, aliangalia huku na kule na kukodi usafiri mpaka kwenye nyumba kubwa aliyokua amechukuliwa na Carl Martin, na kumuomba dereva taxi amsubiri asiende popote pale.
Alinyoosha mpaka Getini na kugonga, kitendo cha mlinzi kulifungua geti alikutana na mlango wa bastola na kushindwa kufanya lolote.
“Kway yuko wapi?”
“yu yu yu yupo ndani”
Baada ya kuongea hayo alipigwa kitako cha bastola kisha Catherine kuzidi kusonga mbele mpaka alipoingia seblen, ni kweli alipo chungulia tu aliwaona Don Mullosi pamoja na Joyla wakiwa wananyonyana midomo yao wakiwa mbali kimahaba, alivyopiga jicho upande wa kushoto alimuona
Kway akiwa amelala sakafuni amelowa damu nyingi, hakutaka kupoteza wakati, mzima mzima aliingia na kumtwanga Don Mullosi na kitako cha bastola kichwani aliyekua juu anampiga denda Joyla na kujisahau kuwa yupo seblen.
KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA