BIKRA YANGU (61)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA SITINI NA MOJA
ILIPOISHIA...
Siku ya furaha sana ndani ya moyo wake,hakuweza kufurahi mwenyewe siku hiyo, aliwapigia simu wafanya kazi wake wote pamoja na ndugu jamaa na marafiki zake ili waweze kuungana katika ukumbi wa Meeda uliopo sinza.SASA ENDELEA...
Watu walizidi kufurika wakiudhuria sherehe ndogo iliyoandaliwa na Enock baada ya kupitia matatizo yote na kukaa mahabusu miezi kadhaa, alishajua teyari anaenda kusota Gerezani lakini alimshukuru Mungu wake aliye juu sababu bado alikua akimpigania na kuyapigania maisha yake kwa ujumla.
Hapo ndipo alipoamua kuandaa ukumbi ili waweze kusherekea siku hiyo aliyoiita siku ya ushindi!.
Magari ya kifahari yalizidi kufurika hata paking kukosekana ni kweli Enock alikuwa ni mtu wa kupendwa na watu sababu ya upendo wake aliweza kujuana na watu wote tofauti.
Mtoto Wa Becker ndiye aliyeteuliwa kuwa mshehereshaji siku hiyo ya tafrija ndogo akiwa amevalia suti nyeupe mpaka viatu alivaa vyeupe, sherehe ilizidi kunoga ilivyofika saa nne ya usiku!.
“Mr. Enock Mwasha napenda kukuita mbele ili uweze kuongea machache D.j Msindikize na ngoma kali”
Alisema Mtoto wa Becker huku akitabasamu Kisha Mwanaume Mrefu maji ya kunde kusimama mpaka mbele ya Mtoto wa Becker na kuchukua kipaza sauti,
Mziki ulizimwa ili kila mtu aweze kumsikiliza Enock aliyekuwa ameandaa sherehe hiyo kama shukrani kwa watu wote waliompigania mpaka hapo alipofika na watu wote walioonyesha kuwa naye bega kwa bega!.
“Well…NAPENDA kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyetupa Pumzi yake bure,Atukuzwe yeye naomba kidogo tufumbe Macho yetu ili tumkumbe Mama yangu kipenzi na tuweze kumuombea huko alipo apumzike kwa Amani kwa sababu siwezi kumsahau Marehemu Mama yangu,angekuwepo hai nafikiri angefurahi sana!
Naamini kimwili hayupo nasi ila tupo naye kiroho”
Watu wote waliyafumba macho yao na ukimnya kutawala kama dakika tano nzima kisha Enock kuendelea kuongea.
“Leo nina mengi ya kuongea,lakini napenda nifupishe ili tuendelee na tafrija ya leo tunywe tufurahi kwa ujumla, kuna muheshimiwa napenda nimuite hapa mbele yenu na huyu ndiye aliyefanya sisi tujumuike sote, naomba nimuite Mr.Kway hapa mbele najua hamtaelewa ila mtajua kwanini”
Kway alishtuka hata yeye hakutegemea kama angeitwa, alimgeukia Mke wake Julia kisha kusimama na kwenda mbele kisha baadaye Catherine kuitwa pia.
“Napenda leo kutangaza Rasmi mbele yenu Catherine ndiye mchumba wangu ninaenda kumfika pete ya uchumba, nampenda sana huyu Mwanamke, tumepitia mengi sana, na huyu mnayemuona hapa ni Baba Mkwe wangu”
Catherine aliyekuwa mbele alipigwa na butwaa moyo unamdunda sana hata yeye hakuamini kuwa anaenda kufikwa pete ya uchumba, jambo Hilo Enock alilifanya Siri sana,hapo hapo alitoa pete mfuko wa nyuma.
“Catherine will you Marry me?”
Aliuliza Enock, Catherine alishindwa kuyazuia machozi yake ya furaha, alijikuta analia huku akiweka mikono yake kinywani moyo ulimwenda mbio sana haamini kama leo hii yupo na Enock tena wamerudi kwenye furaha, alichotakiwa yeye ni kujibu swali aliloulizwa ili zoezi hilo litokee.
“Y..es Ye..s Enock”
“NAKUPENDA CATHERINE!”
Kwa heshima yote Enock alipiga magoti na kumvalisha pete Catherine mwanamke ambaye anampenda kuliko mwanamke yoyote yule chini ya jua la Mungu, na ndiye mwanamke aliyeamini kuwa aliyechaguliwa na Mungu,
Hata yeye hakuamini kuwa ameweza kufanikisha hatua hiyo, ni mambo mengi sana walipitia mpaka kuuwa watu na kuchukiana hata na Baba yake mzazi kisa mwanamke huyo.
Kilichosikika ni kelele kutoka nyuma na makofi kila mtu alifurahishwa na kitendo hiko alichokifanya Enock, walikumbatiana wote wawili wakiwa wenye furaha mioyoni mwao,sherehe ilizidi kupamba moto wageni waalikwa walizidi kunywa na kula na wegine kusaza hata chakula kubaki kingi.
Upendo ulizidi mara dufu walizidi kuoneshana mapenzi ya dhati kila sehemu wakiongozana kilichokua kina subiliwa hapo ni harusi kubwa sana,
Enock aliipania sana Harusi hiyo ivyo alifanya kazi kwa bidii ili apate pesa nyingi, alitaka ndoa yake iwe historia na izungumziwe na kila mtu huku taratibu akitafuta nyumba ya kuishi, Mungu si Athumani alipata nyumba kubwa iliyokua ikipigwa mnada kwa bei rahisi sana maeneo ya Kibaha, licha ya kuwa mbali na mjini lakini ilikua na kila kitu ndani na uwanja mkubwa, baada ya kumaliza malipo ya nyumba hiyo alianza taratibu kuikarabati, baadaya wiki mbili kukatika ilikua teyari ina vitu vya thamani ndani.
“Darling,nataka leo ukaione nyumba yangu mpya”
Enock alimwambia Mchumba wake siku hiyo akiwa ofisini.
“nitafurahi sana Mpenzi wangu”
“unanipenda Cate?”
“ofcourse yes”
“Nafurahi kusikia ivyo mke wangu mtarajiwa,subiri nimalizie hii kazi hapa kisha tuongozane mpaka nyumbani kwangu, hope utapapenda!”
“mpenzi, kila unachokipenda wewe mimi nakipenda pia”
“okay sawa”
Ni kweli baada ya shughuli kuisha Enock alisimama kisha kumshika Catherine na wote kuongozana mpaka kwenye maegesho ya magari.
Wafanyakazi wake wote walishamjua Catherine kuwa ndiye Mke wa bosi wao hata wao walimpenda sana Catherine, muda wote alikua akitabasamu na kuongea na kila mtu hakuringa, kila mtu alikiri kuwa mwanamke huyo ni mzuri hana mfano wake alijaaliwa kila sehemu,akitembea basi hata wanawake wenzake ni lazima wageuze shingo zao.
Enock alizidi kumtunza, hata yeye aliweka kifua mbele akitembea naye popote pale tena hutanua mikono yake, alijiona ni mwanaume mwenye bahati kumpata mwanamke huyu Mzuri ambaye hata baadhi ya Makampuni mbali mbali walimtaka japo afanye matangazo, hakutaka jambo hilo litokee hata kidogo alilipiga vita.
“jamani Herman Milinga si nilishasema sitaki hayo mambo yenu, sitaki sitaki naomba mnielewe, sawa.... hata kama okay what ever,mtamlipa pesa nzuri,hana dhiki hiyo so please find someone else,wanawake mbona wapo wengi mjini,hamjamuona Shasharty Miss Tanzania mtafuteni huyo, lakini kuhusu Mchumba wangu Hell no”
Enock alikata simu yake kisha kumgeukia Catherine aliyekua anatabasamu hakika alikua mzuri, Mungu alimpendelea kwa kila kitu.
Walinyoosha na kufika Ubungo, baada ya taa za kijani kuwaka na kuruhusiwa walizidi kusonga mbele mpaka walipofika Kibaha, hapo waliacha bara bara ya lami kisha kuingia kwenye barabara ya vumbi na kukunja kushoto kisha safari yao kukomea kwenye geti kubwa jeusi,
Baada ya honi kupigwa Mlinzi alisukuma geti kubwa la kisasa lenye matairi kwa chini kisha Enock kuingiza gari mpaka kwenye maegesho maalumu na kupaki gari lake.
“Mpenzi umejitahidi, ni nyumba nzuri naona kuzidi hata ile”
“Hapana Darling”
“kweli tena Baby”
Wote waliingia ndani na kukaa kwenye masofa, ilikua ni nyumba ya kisasa yenye seble kubwa,muda wote kulikua kuna kiyoyozi,walichokuwa wanaongelea sio kitu kingine bali ni mambo ya ndoa yao, hapo ndipo Enock alipochukua Glass ya Catherine na kuiweka mezani kisha kumsogelea mdomoni,wote walikutanisha ndimi zao na kuanza kubadilishana mate taratibu sana,
Hawakuwa na haja ya kuendelea kufanya tendo hilo seblen, kwa kuliheshimu tendo hilo Enock alimbeba Catherine huku wakiwa wanapigana denda mpaka chumbani juu ya kitanda puu!
Walizidi kunyonyana ndimi zao taratibu sana hakuna aliyekua na haraka hata kidogo, Enock taratibu alimvua Catherine nguo yake ya juu kisha kuitoa blazia aliyokua nayo hakua na jingine zaidi ya kuanza kuyanyonya maziwa ya Catherine taratibu na ulimi wake hususani juu ya chuchu zake huku mkono mmoja akiushusha mpaka chini ya ikulu na kuanza kuipapasa taratibu sana sehemu ya juu na kumfanya Catherine aanze kujipinda, alishuka chini kisha kuivuta sketi ya jinsi na kumfanya Catherine abakiwe na boxa peke yake, hapo ndipo alipoitoa na kuipanua miguu yake kisha kuingiza ulimi ndani ya mgodi taratibu na kuanza kuulamba kama paka alambavyo maziwa yaliyokua juu ya kisosi, Catherine alichukua mikono yake na kuanza kulivua shati la Enock, ndani ya dakika mbili wote walikua kama walivyozaliwa……
Mzee David Mwasha ni jambazi sugu, aliyesifika na jina lake kuvuma bara mpaka visiwa vya Zanzibar, lakini hakuchukuliwa hatua yoyote ile na jeshi la polisi
kutokana na kuwa na mkono mrefu wenye pesa ,Polisi waliomfuata walipewa hongo na kukaa kimnya, kundi la NO MITEGO lililosifika kwa upambanaji ya michezo ya kick boxa alilidhamini nakuwalipa pesa nyingi,na ndiyo hao vijana aliowatumia kwa kazi zake za uvamizi wa bank na utekaji wa meli zenye mizigo mikubwa kisha kuwauwa watu wasiokuwa na hatia, alishaamua kuwa jambazi sasa na kufanya kazi za uharamia, kundi hilo la No Mitego lilivuma sana kwa kazi hizo na kuzidi kuwakusanya watoto wa mitaani ambao hawana kazi, kundi liliposhikiliwa na polisi Mzee Mwasha aliwakikingia kifua na kuwatolea pesa nyingi ili waachiwe huru.
Hakuweza kufanya ivyo peke yake alikua akila njama na mkuu wa kituo cha Zanzibar na ndiye huyo aliyekua akimpa michoro yote jinsi ya kufanya uvamizi na baadaye kugawana pesa,ivyo ndivyo ilivyokuwa, licha ya hayo yote anayofanya alikuwa bado ana kisasi na Mtoto wake Enock,Sabrina pamoja na Catherine ilikua ni lazima awauwe tena kwa mikono yake.
Taarifa izo ziliruka mpaka jijini Dar es salaam kituo cha polisi cha staki shari na kuweka kikao kidogo, hawakutaka kulifumbia macho swala hilo, ilikuwa ni
lazima wamuweke Mwasha kituoni awe hai au amekufa, na ndipo hapo walipofunga safari mpaka Zanzibar na kupokelewa na Jeshi la polisi visiwani Zanzibar,
Mzee Mwasha alishapewa taarifa izo siku mbili nyuma kabla, ivyo nayeye alindaa jeshi lake ili kuwafunza adabu.
Walipokelewa na kufika kituo kikubwa cha polisi Madema ili kupanga mikakati yao.
“Sasa tunaanzia wapi?”
Aliuliza Kaminshna wa Dar es salaam Bonifasi Kobello.
“huyu ana patikana huko Kizingo Atiii, itabidi siye twendeee tukamkamate sasa hiviii yakheee”
Alijibu Koplo Abdul, IGP wa Kituo cha Madema kwa rafudhi ya kwao.
“sasa nafikiri vijana wako wapo tayari?”
“ndio”
“Ngusa utaongoza kikosi,tutaondoka leo usiku saa moja ya jioni ili kufanya Ambushi hiyo kimnya kimnya”
“Sawa Mkuu”
Kikao kizima walipanga jinsi ya kumkamata Mzee Mwasha na kumuweka kizuizini,Ni kweli walikuwa wamejipanga vya kutosha, saa moja ya jioni ilipofika tu waliwasha Diffenda na magofu ya polisi kwa safari ya kuelekea msitu wa kizingo uliosifika kwa kuwa na majambazi, ambapo huko waliweka makambi yao.
Ulikua ni msitu unaotisha hakuna mtu aliyethubutu kukatiza ifikapo jioni,watu waliuwawa kila kukicha.
Baada ya kutoka kituoni Madema walinyoosha kilimani na kukuta maungio ya barabara,
waliacha barabara inayokwenda Gereza la Kinua na kufuata njia ya kwenda hospitali kuu ya Mnazi mmoja kabla ya kufika hospitali, gari zilisimama upande wa kushoto sehemu iliyojaa na kuzungukwa na miti aina ya mikoko, kisha taa za magari kuzimwa!.
“Ndio hapa?”
“ndio hapa inabidi tushuke”
“sawa jamani kuweni makini Ngusa na vijana wako piteni upande wa kule mtaongozwa na Afande BARAKA, wewe Joshi na wenzako mtapita kushoto,sisi
wengine tupite kati kati”
“sawa Mkuu”
“sawa mkuu”
Polisi wote walikuwa makini kila mtu kashika bastola yake mkononi tayari kwa kuachia risasi, giza lilikua nene sana.
Walizidi kusonga mbele wakipita ndani ya miti hiyo ya mikoko.Ilikua ni lazima wamkamate Mzee Huyu Hatari sana, kabla hawajafika mbali walisikia milio ya
KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni