Notifications
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…

BIKRA YANGU (63)

Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA SITINI NA TATU
ILIPOISHIA...
Hayo ndiyo maagizo waliyopewa na mzee huyu katili mwenye roho mbaya kumzidi Shetani huko kuzimu,alishaamua kumwaga damu kwa yoyote atakae ingia katika himaya yake, Ni kweli mzee huyu alitisha sana kuliko ugonjwa wa ukoma.

SASA ENDELEA...
Alirudi mpaka kwenye ngome yake kubwa ambayo alikua akiishi, ilikua ikilindwa sana kama ya mfalme.

“Sabrina”

Aliita Mzee Mwasha.

“Mara ya mwisho kukuona ilikua nyumbani kwako lakini sina kumbu kumbu vizuri nilitaka kumpiga risasi Catherine, sitoweza kukuuwa mpaka wenzako wakamilike Enock na Catherine, punguza presha bado una siku za kumuomba Mungu wako na kumuomba msamaha”

“Kwanini unafanya hivi?”

“unataka kujua?”

“ndio”

“Ramsey ndiyo anakufanya leo hii uteseke,alinikosea sana yeye ndiye kanifanya niwe hivi leo hii, nilikua mtu safi sana,ila sasa hivi nimekua na roho ya kinyama kuliko hata Adolf Hilter natafutwa kila kona,lakini nitahakikisha wewe na wenzako mnakufa wenda nitajisalimisha polisi, una mtoto mzuri sana,Vipi Kway hajambo?”

Sabrina alishaelewa teyari muda wowote anaenda kufa, hakuelewa ni wapi alipo, mara ya mwisho alikumbuka alikuwa posta na wanaume waliodai kuwa wanataka kununua nguo duka zima ivyo waende bank kisha walivyofika posta hakuelewa kilichoendelea kuanzia hapo, alijaribu kuvuta kumbukumbu zake bila kupata majibu.

Alivyoshtuka alijikuta yupo juu ya sofa na Christopher pembeni yake lakini tangu akae ndani ya nyumba hiyo alipata kila kitu kuanzia chakula mpaka vinywaji alikua ni kama mfungwa huru.

Licha ya kufungiwa ndani ya chumba kikubwa alipata huduma zote,lakini alichojua yeye siku zake zinakaribia kufika za kuuwawa,alishawaza njia nyingi za kutoroka lakini alishindwa kabisa ni wapi aanzie.

“Najua mwanao Catherine pamoja na Enock wanakutafuta sana huko walipo Ha ha ha ha ha ngoja niwapigie simu waje leo hii”

Licha ya kumtafuta mama yake kwa takribani wiki nzima bila mafanikio lakini hakuonesha hali ya kukata tamaa hata kidogo, aliamini kuwa mama yake yupo mahali Fulani lakini sio salama,
alishampa taarifa izo Mpaka baba yake wa hiyari Kway hata yeye alishindwa kuelewa, habari mbaya pia zilizomchanganya ni kuwa mwanae Christopher pia haonekani,walishaelewa teyari mapambano bado hayajaisha.

“ilikua lini?”

“ni wiki sasa imepita”

“mbona hukuniambia mapema sasa?”

“nilikua nimechanganyikiwa Dad”

“huu sasa ushakuwa mtihani,ulishaenda kutoa taarifa polisi?”

“ndio kote nimeenda lakini hakuna nilichoambulia”

“sawa basi wewe nenda nyumbani nitakupigia simu baadaye”

“sawa Dad”

Kway alimtizama Mke wake Julia aliyekua amekaa juu ya sofa ana mimba changa hakuamini kuwa angeweza tena kushika Mimba,

Mungu ndiye pekee aliyeweza kutenda miujiza,muda wote alikua naye karibu kuliko kitu chochote kile, hakutaka akae naye mbali hakutaka yatokee yaliyotokea miaka ya nyuma!.

“Cherie. pesa nga mai(Mpenzi naomba maji ya kunywa)”

Alisema Mama Natu huku akiyatoa macho yake makubwa kisha Kway kuenda mpaka jikoni na kumpelekea mke wake Maji ya kunywa,muda wote mwanamke huyo alideka kama mtoto mdogo wa miaka mitatu.

Taarifa alizopewa Catherine kutoka kituo cha polisi siku iyo zilimchanganya sana akili yake, kuwa Gari ya Mama yake ilikutwa posta mpya, hapo hapo hakutaka kupoteza muda alikodi piki piki mpaka posta ili kuhakikisha ni kweli,alilikuta gari la Mama yake lakini hakuelewa limefikaje mahali hapo,hakukuwa na dalili ya mtu yoyote kuwepo ndani ya gari,lilikua katika maegesho ya magari ndani ya hotel kubwa,uchunguzi uliofanywa na polisi haukumridhisha Catherine.

Ghafla simu yake ya mkononi iliita kisha kuipokea.

“Mpenzi Catherine nakumisi sana”

Upande wa pili wa simu ulisikika baada ya kupokea simu yake, sauti hiyo haikuwa ngeni katika masikio yake lakini hakuwa na kumbukumbu nzuri ni wapi aliisikia.

“naongea na nani?”

“Ha!Ha!Ha!Ha!Ha!Ha!Ha!,Mara hii umenisahau Mpenzi wangu unaongea na wako wa Maisha Mr.Mwasha, Darling ukisikia sauti hii unakumbuka nini?”

“unataka nini?”

“nakuhitaji mpenzi wangu,nakuhitaji uje umchukue Mama yako huku Zanzibar”

Catherine alihisi kuchoka alishusha pumzi ndefu sana na kushindwa kitu chakujibu.

“Naomba usimdhuru Mama yangu tafadhali”

“siwezi kumdhuru Mama mkwe njoo basi mpenzi wangu”

“Nakuja nakuja”

Simu kutoka kwa mzee mwasha ilimtisha sana,ilikua ni lazima amuuwe mzee huyu ni kweli alishawahi kuwa mpenzi wake hapo miaka ya nyuma iliyopita kisha baadaye kuwindana kama paka na panya,ilikua ni lazima atafute silaha ndipo aende Zanzibar, alikumbuka sana kuwa Kway ana bastola hapo ndipo alipofunga safari mpaka Kimara kwa msuguli,

Ni kweli alimuhadithia kila kitu Kway kuhusu kutekwa kwa Mama yake na Mzee Mwasha, Kway alivyosikia jina hilo hata yeye alitetemeka sana na kuogopa alimjua vizuri Mzee Mwasha sio mzee wa kuchezea, alikua ni mzee katili aliyeogopeka sana, alimtizama Natu na Mke wake Julia ambao walionekana kuwa na hofu sana, wote ilionekana wanamuhitaji, ukizingatia Mke wake Julia ni Mja mzito,alikumbuka Mimba ya kwanza ilivyoharibika kisa Mzee Huyo Mwasha, picha nyingi tofauti zilipita kichwani kwake na kuona kitu kama filamu ndani ya halmashauri ya ubongo wake!.

“unasemaye kuwa Mama yako amekamatwa njoo na huyo Mwasha?”

Aliuliza Julia bila Mume wake kujibu lolote.

“Ndio Mama”

“Njoo inakubidi uwende polisi ukawaeleze hilo tatizo”

“sawa Mama nitafanya ivyo”

“pole sana Catherine Muombe tu Mungu atampigania huko alipo atakua njoo salama mukabisa”
Mama Natu alimpa moyo na matumaini Catherine,

Mahesabu ya Catherine ilikua ni lazima achukue bastola ya Kway na ni kweli alivyopiga jicho chini ya mto pembeni alipokuwa ameketi Kway aliiona kisha kusogea na kukaa pembeni yake,taratibu sana kwa uangalifu aliivuta kisha kuiweka vizuri kiunoni tayari kwa kwenda kisiwani Zanzibar siku hiyo hiyo jioni kwa ajili ya kufanya ukombozi kimnya kimnya bila ya kumwambia Mtu wa aina yoyote ile

“Sawa Mama mimi ninaenda”

“nenda kituo cha polisi kawaeleze kisha uje kuniambia ni kitu gani wamekueleza”

“sawa Dad”

Catherine alisimama vizuri, tena taratibu huku akizidi kuivuta nguo yake ya juu na kuficha bastola aliyoiba,alivyopiga hatua mbili Kway alimuita na kumfanya aingiwe na Mashaka.

“usijisikie vibaya kwamba nimeshindwa kumsaidia Mama yako,jua kuwa nipo nawewe bega kwa bega nitahakikisha atapatikana, wewe nenda kapumzike sasa hivi mimi nitajua cha kufanya”

“sawa Dad”

Maelezo hayo tu machache yaliashiria kuwa Kway hakua anaelewa kuwa bastola yake aliyokuwa ameificha chini ya mto anayo Catherine na Muda mchache itaenda kufanya mauaji na pengine kumuweka katika matatizo makubwa huko mbeleni.

Kitendo cha catherine kutoka nje alikodi piki piki mpaka nyumbani Kwao tabata kisha kushuka na kumlipa dereva huyo wa pikipiki,hakuwa na wazo jingine zaidi ya kuingia ndani na kuanza kuweka vitu sawa ili siku hiyo hiyo aanze safari ya kwenda Zanzibar akamuweke Mama yake huru pamoja na Christopher.

Haraka haraka alibadili nguo na kuvaa shati refu kiasi huku chini akiwa amevaa suruali ya jinsi, alichukua bastola na kuikagua baada ya kuitoa magazine,alivyohakikisha imejaa risasi za kutosha aliiweka kiunoni kisha kuifunika na shati tayari kwa safari ya kwenda Zanzibar kufa au kupona,alitembea mpaka nje lakini ilionekana kuna kitu alisahau na haraka haraka kurudi tena ndani kisha kuingia jikoni na kubeba kisu kidogo cha kujikunja, aliinama na kukiweka ndani ya kiatu aina ya ALL STAR kilichopanda juu kidogo.

Hapo ndipo alipotoka nje haraka haraka na kulifunga geti vizuri.

“Athumani”

Catherine alimuita dereva wa boda boda.

“sema Catherine”

“hapa na bandarini posta ni kiasi gani?”

“tunaendaga na elfu kumi na tano kule”

“acha zako”

“kweli tena”

“sawa nipeleke basi”

“panda twende”

Catherine alipanda pikipiki kwa nyuma kisha kumshikilia vizuri kiuno dereva, safari nzima alikua akiwaza sana jinsi atakavyo fika huko Zanzibar ili kufanya ukombozi,hakua na uhakika kama atashinda lakini alijiamini sana ilikua ni bora afe yeye lakini mama yake abaki huru,

Baada ya dakika hamsini walifika bandarini kisha kumlipa dereva wa pikipiki pesa yake.

“vipi una safari nini?”

“hapana kuna mtu nimekuja kumpokea”

“nikusubiri au?”

“hapana nenda tu”

Alianza kupiga hatua mbili mbili mpaka ndani na kukata tiketi za boti za Bakhresa,
Bahati nzuri alipata boti inayoondoka baada ya dakika thelathini ivyo aliketi na abiria wengine ili kusubiri dakika zifike nayeye aanze safari.

Haikuchukua hata muda mrefu mwanamke mrembo wa kipemba aliyevalia ushungi mweusi alitangaza kuwa boti imeshatia nanga ivyo wasafiri wanatakiwa waingie ndani ya boti ili safari ianze.

Catherine taratibu alisimama na kuanza kutembea mpaka upande wa pili wa boti kisha kuingia ndani na kuketi kwenye siti yake.

Abiria wote walivyoingia ndani ya boti taratibu ilitoa nanga kisha taratibu kuanza safari yake ya kuelekea visiwa vya Zanzibar ambapo huko Catherine aliamini kuwa Mama yake pamoja na mdogo wake Christopher wametekwa na Mzee huyu katili na hatari,

ALIYAKUMBUKA MAMBO mengi sana yaliyopita katika maisha yake, fikra zake zilirudi harakaharaka mpaka nchini Brazil tena kitandani walivyokuwa wakifanya mapenzi na Mzee huyo ambaye alikolea katika penzi lake kisha baadaye kutokea kuchukiana sana,alitamani siku zirudi nyuma ili aweze kubadili kilichotokea lakini hilo halikuwezekana, ukweli ni kwamba Alimchukia sana Mzee Mwasha.

Alimkumbuka rafiki yake Betty alivyomshauri awe naye kimahusiano ili wamkomoe Enock hakujua kuwa mbele itakuja kuleta uhasama,’majuto ni mjukuu’ leo hii aliulaumu sana ushauri wa rafiki yake kipenzi Betty.

“Lazima nimuuwe huyu mzee tena kwa mikono yangu Mungu naomba unisamehe”
Aliwaza Catherine huku akiyabana meno yake kwa hasira,

Ni kweli alikua ni mwenye hasira sana kupita kiasi, moyo ulimdunda sana damu ilimuwenda kasi kuliko kawaida, alitamani afike mapema.

Baadaye Boti taratibu ilianza kupunguza mwendo wake baada ya kukata mawimbi kutokea barani Mpaka visiwa vya Zanzibar kisha kuweka nanga na kusimama kabisa,

Abiria walianza kushuka huku Catherine akiwa ni miongoni mwa Abiria waliokua wanasafiri, kitendo cha kufika bandarini alitoa simu yake kisha kumtafuta

Mzee Mwasha hewani.

“oooh Mpenzi umefika salama?”

Sauti ya upande wa pili ilisikika.

“Ndio”

“nisubiri hapo, umevaaje?”

“shati jeusi na jinsi”

“sawa,”

Ndani ya nusu saa baada ya kuongea na simu aliwaona wanaume wawili wamesimama mbele yake wanamuangalia sana kisha kumsogelea.

“Wewe ndiye Catherine?”

Aliuliza Mwanaume mmoja huku akiwa hana uhakika.

“Ndio!.. ndo mimi”

“tumeagizwa na Mr.Mwasha, karibu Zanzibar”

“yeye yupo wapi?”

“twende utamkuta huko”

Waliingia ndani ya gari kisha hapo hapo kumfunika Catherine na kitambaa cheusi usoni ili asiweze kuona njia yoyote ile.

KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

15 Bikra Yangu Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni