BIKRA YANGU (70)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA SABINI
ILIPOISHIA...
Miaka Mitano baadaye! Raisi Okello alipinduliwa na ndiyo hapo Maisha ya Masunga yaliingia dosari na kukosa muhimili,serikali ilimfuatilia kila kona anayokwenda, ‘Mungu hadhiakiwi’ alikamatwa nchini China mji wa Hongkong akiwa na kete mia tano za madawa makali aina ya Herroin kwenye begi lake la Biblia, hakuna mtu aliyemtetea alipelekwa jela siku hiyo hiyo na kusubiri kunyongwa na ndiyo iyo sheria ya iliyowekwa na Serikali ya China.SASA ENDELEA...
Raisi wa Kenya mpya pamoja na wananchi waliichukia familia yao kiujumla na kuwafukuza Jannet na Watoto wake Naomi na Dorothea nchini kwao.
Hapo ndipo walikimbilia Mwanza kuishi huko kwa Tabu, haikuchukua muda Mama yao alifariki dunia kwa ugonjwa wa kipindupindu uliozuka ghafla, huku nyuma yake akiwaacha watoto wake bado wadogo na kuwa watoto wa mitaani wakiwa omba omba barabarani na mitaani hakuna mtu aliyewajali.
Operesheni ya safisha jiji ilianza, hapo ndipo omba omba wote walisombwa na serikali na kupelekwa mikoa tofauti.
Naomi na Dorothea walipoteana na baadaye kukutana ukubwani baada ya Naomi kusomewa kesi hapo kisutu.
Dorothea alikuwepo ili kumsikiliza sababu bosi wake Enock ndiye aliyeshtakiwa, alivyofuatilia aligundua kuwa Naomi ni dada yake, alisikitika sana na ndiyo hapo walipounga nguvu zao ili kutaka kumkomesha Enock.
Mpaka alipofikia Dorothea ilikua ni hatua kubwa sana,Enock alimuamini kupita kiasi au pengine kupita Mfanyakazi yoyote Yule katika kampuni yake,hakuwahi hata kumuhisi kuwa ana undugu na Naomi hata siku moja na kuwa maisha yake yapo matatani,
laiti angelijua hilo asingethubutu hata kumkaribisha nyumbani kwake na kumuamini kiasi hiko.
Hakujua nini kinaendelea ndani ya akili ya Dorothea alichojua yeye ni binti mpole,mchaMungu na Mchapakazi hodari.
Lakini licha ya yote hayo kilichomfanya aanze kuhisi vitu vibaya ni juu ya Hereni ya Dorothea aliyokuta chumbani kwake chini,dalili zilionesha kuwa Dorothea ndiye kila siku huingia naye chumbani na kumvua nguo zake zote lakini hakuelewa kwanini.
“Lazima nifanye uchunguzi usikute nahisi vibaya namsingizia tu binti wa watu,lakini sio vizuri kumuhisi mtu”
Aliingia bafuni na kuoga huku akiwa bado na mawazo juu ya Hereni hiyo aliyoikuta.
Alitoka seblen na kukuta Chai imeandaliwa kama kawaida.
Alichukua simu na kumpigia Dorothea na kumuuliza juu ya Hereni aliyoikuta chumbani kwake, hakutaka kuzunguka zunguka Mbuyu! alimuuliza swali hilo wazi wazi.
“Hereini Hereini?”
Baada ya Dorothea kujibu alibabaika kidogo, hata yeye alishtuka.
“Ndio Hereni yako nimeikuta chumbani kwangu, jana uliingia?”
“Ndio niliingia chumbani kwako”
“Uliingia kufanya nini?”
“Baada ya wewe kuingia chumbani kwako, nilisikia ukiniita na nilivyofika ukaanza kulitaja jina la Mama yako kuwa anakutokea”
“Nani Mimi?”
“Ndio wewe bosi,”
“Mhhh”
Enock Aliguna baada ya kuvuta kumbukumbu nyuma na kutokumbuka kitu chochote kile kuhusiana na yeye kupiga kelele alichokumbuka ni kuona mtu kama Mama yake juu ya kochi.
“Hiyo ndoto iliniogopesha hata mimi”
“Sasa hiyo kali sana, anyway hakuna tabu,samahani kwa kukusumbua endelea na kazi lakini uje jioni pia unipe kampani, ujue nishakuzoea Dorothea”
“Sawa Bosi”
Walikata Simu lakini Enock hakutaka kukubali.
Alielewa kuna mchezo anachezewa na ni lazima awe mwangalifu sana kwani Tangu Dorothea awe anakuja kwake mambo yalibadilika kabisa.
“Huyu anayenifanyia hivi inaelekea anasubiri mpaka nilewe, subiri ipo siku nitajua za mwizi ni arobaini,nitamfahamu tu,hata kama ni jini nitapambana nalo tu”
Enock aliwaza.
Siku hiyo hiyo alienda mpaka kwenye chupa moja ya Wisky na kumwaga pombe hiyo kisha kuweka maji ya kawaida. Hakutoka nyumbani ili kuandaa mitego yake, ilikua ni lazima aujue ukweli kuwa ni nani aliyekuwa anampeleka chumbani kwake na kumvua nguo zake zote.
Masaa yalienda mwendo wa Ajuza!
kisha kufika jioni na Dorothea kuwasili, alifunguliwa mlango na Enock kisha kuingia mpaka seblen na kupewa juice kisha Enock kuchukua chupa ya wisky aliyoweka maji kisha kuimimina kwenye glasi yake.
“Vipi Dorothea za Kazi?”
“Safi tu bosi , leo kuna foleni sana ndiyo maana nimechelewa kufika hapa kwako,hata ivyo leo kulikua kuna wateja wengi”
“Nani aliniulizia?”
“Wakina Daniel,walikuwa wanahitaji ile pesa yao uliyokopa benki”
“Aisee”
“Usiwaze bosi, nilishawalipa kwaio kampuni haina deni lolote lile, na sasa hivi nimeomba TENDER bandarini za kusupply injini za meli”
Maongezi hayo yalimfurahisha sana Enock alikenua meno yake, hakujua kuwa amekaa na jini kabula ambaye amevaa ngozi ya binadamu,
Uso Mzuri wa Dorothea ulikuwa tofauti kabisa na Moyo wake,uliojaa chuki.
Dorothea alitoa Biblia na kuanza kusoma maneno yaliyoandikwa, alimsimulia habari za Manabii wakina Ezekiel,Isaya pamoja na Eliya, wote hao aliwachambua na kumpa mifano mbali mbali kuhusu Wana waisrael walivyokombolewa na Musa kutoka kwa Farao.
Na kuwapeleka nchi ya ahadi Kanani, aliubadilisha mfano huo na kuupeleka kwa Catherine alimwambia kuwa aweze kumtafuta ili waweze kusameana wawe wapenzi kisha wafunge ndoa kwani hayo yalikua ni majaribu ya Shetani aliyekuwa kuzimu.
Alijaribu kumpumbaza Enock afanye ivyo ili iwe rahisi kuwaweka wote wawili kirahisi.
Lakini Enock alitingisha kichwa na kuanza kusinzia na kujifanya amelewa pombe kali.
“Mhhhh Mussa sindo Moses namfahamu na kuna Nabiii Umemsahau Elisha huyu ni nabii safi sanaaaaa… ali ali aliii….”
Hapo hapo Enock aliyafumba macho yake lakini Masikio yake aliyatega vizuri kama antena ya king’amuzi.
Kwa mbali alihisi lips zake zinanyonywa na kuanza kupapaswa na mikono laini kifuani mwake kisha suruali yake kufunguliwa.
Dorothea alianza kuchua Koki ya Enock taratibu ilivyosimama alipiga magoti na kuanza kuiweka mdomoni mwake, yote yaliyotokea Enock alisikia vizuri na kupata jibu la kitendawili chake cha siku nyingi, lakini alitaka kujua mpaka mwisho wake.
Dorothea alivyoona Mashine ya Enock imesimama imara alivua Sketi yake kisha kupanua miguu yake na kujiweka vizuri juu ya mashine, alijua Enock amelala fofofo, hakuelewa kuwa anachorwa na anachokifanya Enock alikitambua na hakuwa amelewa kama anavyodhani.
“Aaaaah sshsss aaah En…ock”
Dorothea alipiga kelele za Puani huku akijaribu kukizungusha kiuno chake taratibu kama feni lililoanza kuwashwa..
Watu walizidi kufurika nje ya kibanda cha mgawaha wa Mama Milanto, Kila mtu alitaka kushuhudia kilichokuwa kikiendelea ndani yake, watu walishika vichwa na kubaki vinywa wazi maana kulikuwa na heka heka sio masihala! wanaume walitupwa nje wakiwa wanaugulia maumivu,kilichowashangaza watu sio watu kutupwa bali mtu aliyekuwa akiwapiga mapigo hatari na kuwaumiza alikuwa ni mwanamke Mrembo aliyebana nywele zake kwa nyuma, alikuwa si mwingine bali ni Catherine Kidhirwa, alichoshwa na tabia za wanaume kuja na kumfanyia vituko Mama huyo hawalipi baada ya kula chakula kisha kumdhalilisha huku wakimshika baadhi ya sehemu za mwili wake kama makalio na maziwa.kama mwanamke mwenzake alijisikia vibaya.
Na siku hiyo ndiyo aliyoamua kuwatolea uvivu, alikua akipambana na wanaume kumi na watano, aliona ngumi inakuja na kuinama, hapo alirudi kidogo nyuma na kurusha ngumi iliyomfikia mzee huyo Mwenye mvi kwenye taya zake na kudondoka mbali juu ya vyombo, alivyokuja mwingine alitulizwa na kifuti cha tumbo na chembe, alijipinda pinda na kukaa chini bila kupenda.
Ndani ya Dakika kumi na tano wanaume wote walikuwa chini wengine wamevunjwa vibaya mno hawajiwezi.
“Are okay Madam?”
Catherine alimuuliza Mama Milanto aliyekuwa chini analia kwa kwikwi.
“Who are you?,your going to put me in trouble, those people are very Dangerous(Wewe ni nani, unaenda kuniweka kwenye matatizo, hao watu ni hatari).
Mama Milanto badala ya kushukuru aliogopa alishaelewa wanaume hao ni hatari kiasi gani kutoka katika kikundi cha Black Serial Ninjas,
walikuwa ni vibaka waliotishia mtaa mzima wa Kazak, ki ufupi waliogopwa kuliko hata mnyama mkali yoyote Yule, walikuwa ni watemi na wavuta bangi na waonevu.
Catherine alishaelewa kuwa yupo katika visiwa vya Madagascar na ndege iliyomilikiwa na Carl Martins ilidondoka katika msitu wa Azerbaijan,huko hakuwa na ndugu wala rafiki zaidi ya kuzoeana na Mama Milanto wakiwa wanaishi katika nyumba yake ya udongo, mbavu za mbwa, wakisaidiana kuuza chakula na kilichopatikana basi hiko ndo hushindia, hakutaka kufungua kinywa chake kusimulia historia yake na asili yake, alidanganya kuwa yeye ni mkimbizi kutoka nchini Libya baada ya vita vya Gadaffi kutokea, tena alikuwa ni mtoto yatima.
Mama Milanto alimuonea huruma na kumchukulia kama Mtoto wake wa kumzaa wakiishi pamoja na kula pamoja.
Ndani ya dakika mbili habari za mwanamke aliyepiga wanaume kumi na watano zilitapakaa kila kona ya mtaa huo, wengi walitamani kumuona, kikundi cha Black Serial Ninjas kilikasirishwa kwa kitendo kilichotokea katika mgahawa huo, haikuwezekana hata mara moja mkuu wao kukubaliana na aliyoyasikia kuwa Mwanamke mmoja kawazidi nguvu wanaume kumi na tano, zilikuwa ni habari za kuchekesha kwake.
“Ha ha ha ha ha ha ha haaa, hata wewe Ismigo, unabondwa na mtoto wa kike?, kwanza ilikuwaje?”
Aliuliza Mkuu wao aliyeitwa Mackdonald Pelegreen, ungebahatika kumuona usingethubutu kusema kuwa ndiye mkuu wao, alikuwa amekondeana mwembamba kama kijiti cha meno pengine hata upepo ukija angepeperushwa mbali lakini alikua ni mwingi wa maneno mdomoni pengine ndiko kilikomsaidia.
“Hatujui mkuu, atakuwa ni jini yule mwanamke tulijikuta wote tupo chini, mara ayayuke mara atokee kule,”
Alidanganya mmoja wao na wenzake kumuunga mkono.
“Anaishi wapi?”
“Pale kwa Mama Milanto, binti mwenyewe anaitwa Elizabeth”
Hilo ndilo jina alilojitambulisha Catherine hata kwa Mama Milanto, kila mtu alimtambua kutokana na upole wake aliokuwa nao lakini alivyopigana ndipo umaarufu ulizidi, waliokuwa wakionewa kila siku walielewa walipata mkombozi wa wanyonge.
“Twendeni tukamsake”
“Poa twenzetuni washkaji,Mimi ndiyo nitakuwa wa kwanza kupambana naye”
“Haina noma”
Kikosi cha pili kilijipanga na kuanza safari ya kuelekea kwenye mgahawa wa Mama Milanto, hawakujua wanacheza na mwanamke hatari kiasi gani, laiti wangelijua wasingewahi hata kufikiria kwenda,walitembea huku wakiwa wenye hasira, Umbali wa mita kama mia mbili walikuwa wamefika nje ya kibanda cha Mama Milanto kisha mkuu wao kusimama mlangoni akiwa ameitanua mikono yake.
“Karibuni”
Catherine alijua ni wateja na kuwakaribisha kwa lugha ya kiingereza.
“Tunamuhitaji Elizabeth haraka sana, kabla sijapiga mgawaha huu mzima kwa sekunde sifuri!”
Mackdonald alipiga mkwara na wateja kuanza kutetemeka sababu walijua nini kingefuata endapo huyo Elizabeth aliyemuulizia asingejitokeza mbele yake.
“Napenda kurudia Mara ya mwisho, kama jina lako ni Elizabeth tafadhali choma mbele upesi kabla sijatembeza kibano”
“Mack”
Aliita Mama Milanto kabla ya Catherine kujibu lolote.
“Unasemaje?”
“Njoo nje tuongee”
“hakuna cha kuongea,Elizabeth ndiye nani?”
“Unaongelea ni…”
Kabla ya Mama Milanto kujibu kitu alipokea ukofi mzito uliompeleka mpaka Chini kifudifudi, Catherine alilishuhudia hilo,na kumsogelea Mama Milanto kisha kumsimamisha wima.
KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni