Notifications
  • MY DIARY (9)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TISATULIPOISHIA...Basi Dj wangu aliendelea na mautundu yake akaniwekea mambo ya pwani na hapo ndipo uvumilivu ulipomshinda akaja kunibambia na mimi sikuona haja ya kumbania kwa kuwa ni mali zake mwenyewe. Nilizungusha nyonga na kiuno mpaka nikachoka nikajitupa kitandani ili nipumzike. Nafsi yake ilikuwa imeridhika kwani hakutka tena penzi bali alichukua lap top yake na kuanza kunionesha picha na vitu vingine ambavyo vilinipa raha.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (8)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NANETULIPOISHIA...Sijui hata haya maneno yalitoka wapi, fahamu zilinitoka na Ticha aliamua kuninyanyasa maana nilishajikojolea zaidi ya mara tano. Basi na yeye kwa kutafuta mbwembwe alianza yale mambo yao ya katerero, siunajua tena mwalimu John alitokea pande za Bukoba.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinichezea sana na baadaye nilishangaa kukuta jamaa ameshaingiza kunako. Sikujielewa kwa…
  • MY DIARY (7)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SABATULIPOISHIA...Kwaito zilivyonoga uzalendo ulinishinda nikajikuta na mimi nashuka ngazi kuelekea chini sehemu ya kuchezea.Nilizijua kwani shuleni tulikuwa tunazicheza sana hasa kwenye yale madisco yetu ya mwisho wa mwezi.John wangu alibaki juuu akiniangalia jinsi nilivyokuwa nikicheza vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yeye alishindwa kushuka akiofika kile kitu kukaliwa na watu…
  • MY DIARY (6)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SITATULIPOISHIA...Akanambia kuwa wamemwambia wapo East Africa Pub na tayari wamaeshaagiza mkuu wa mbuzi. Mmmmhhhh kusikia mguu wa mbuzi mate yalinijaa mdomoni. Basi kwa harakaharaka nikamwambia naomba niende niende nyumbani nikachukue viwalo vya club kisha nitawakuta hapo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinambia mbona hizo nguo ulizofaa zipo poa tu wewe twende hivyo bhana si upo na…
  • MY DIARY (5)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TANOTULIPOISHIA...Akanisimamisha na kuanza kuiuliza maswali mengi yasiyo na maana huko akionekana kutojiamini. “samahani dada, sijui unaelekea wapi”? Nikamjibu dukani. Akavuta pumzi ndefu na kuniambia ok, nisaidie namba zako za simu. Nikamwangalia juu na chini nikwambaia nimezisahau na simu nimeiacha ndani nikirudi ndani nitakuletea..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Akaishiwa pozi akanambia,…
  • MY DIARY (4)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NNETULIPOISHIA...Uchambuzi huu ulinigusa sana kwani hata mimi nilijihisi kuwa sikuwa na utando huo yaani bikira japo nilikuwa sijawahi kujamiana na mwanaume wa aina yeyote zaidi ya ile michezo ya utotoni ya kula mbakishie baba au ile ya kibabababa na kimamamama. Alianza kunishika mapajani na kunifanya nianze kusisimuka ajabu kwani japo alikuwa ni mwanaume mikono yake likuwa ni milani sana kama ya mtoto wa kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media…
  • MY DIARY (3)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TATUTULIPOISHIA...Nazani sasa unanielewa ninaposema nilikuwa sina ndugu kwani baba yangu hakuwa na ndugu yeyeote zaidi ya marafiki ambao na wao kwa sasa ndio hao wameshagawana mali zote. Nimebaki mimi na dunia yangu hivyo basi nilimwomba rafiki yangu wa kufa na kuzikana kwa jina Joyce anisaidie kunisitiri nyumbani kwao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Likizo ilipoisha tulirusi shuleni na…
  • MY DIARY (2)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA PILITULIPOISHIA...Kwa ufupi japo sitaki kueleza historia yake ila kwa sasa ni shoga na teja. Baba yetu alitupenda sana na alihakikisha tunapata elimu nzuri na bora. Mimi na kaka yangu wote tulisoma International school ya hapo Moshi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baadaye kaka yangu alianza kuvuta bangi kitu ambacho kilimtia hofu baba yangu na kuamua kumpeleka kusoma nje ya nchi.Alikosea sana…
  • MY DIARY (1)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KWANZANilikuwa juu ya jukwaaa nikifanya vitu vyangu ili hali nikijua kabisa watu wote waliokuwa wakinitizama walikuwa wanaumia roho kutokana na mvuto wa umbo langu niliokuwa nao. Nilisikia mijibaba miwili ikiulizana hivi lile wowoo ni la kwake au ni la mchina? Mmoja wao akaropoka “wee kitu original hicho,kwani umemsaahau huyu binti tulishakutana nae kule Arusha mpaka tukambatiza jina la soda kubwa tena ya fanta yaani BAMBUCHA.?” Yeah nimekumbuka alidakia…
  • HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA (18)
    Jina: HAMUNAPTRAMtunzi: Richard MwambeSEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...“Mamaaaaaaaa!” Anna akapiga kelele na kutereza vibaya, miguu yake ikaliacha daraja, Seidon akawahi kukaza mikono na kumzuia, lakini miguu yake tayari ilikuwa imeacha daraja na sasa ikining’inia chini ya daraja. Anna akalia kwa uchungu sana, akijua kuwa mwisho wake sasa umefika.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...“Jipe moyo Anna, tumefika mwisho sasa,” Seidon…

BIKRA YANGU (71)

Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA SABINI NA MOJA
ILIPOISHIA...
Kabla ya Mama Milanto kujibu kitu alipokea ukofi mzito uliompeleka mpaka Chini kifudifudi, Catherine alilishuhudia hilo,na kumsogelea Mama Milanto kisha kumsimamisha wima.
SASA ENDELEA...
Ngumi ya nguvu ilirushwa usawa wa tumbo la Mama Milanto lakini kabla haijafika Catherine aliipangua na kumsukuma Mackdonald, kutokana na afya yake mgogoro alijikuta yupo kwenye masufuria ya ukoko ameyadondokea.

Catherine alimtizama na kumsogelea.

“Naomba uinuke uwende,usilete matatizo bure”

“Unasema nini wewe Malaya?”

Neno Malaya ndilo liliamsha mzimu wa Catherine na kupandwa na hasira upya, alimkwida Mackdonald na kumtwanga kichwa puani kikali mno,hakuishia hapo alimburuza mpaka nje kisha kuanza kumshambulia na ngumi zisizokuwa na idadi kamili, hakuna hata mmoja wa wenzake aliyeingilia katikati kusuluisha ugomvi huo hata watu wa Mackdonad waliopanga kumpiga Catherine wote walikaa kando walijifanya hawaoni kitu, walishaelewa ni kiasi gani mwanamke huyo aliyekuwa hatari anachanganya mapigo ya karate,Judo mpaka Kick boxa.

“Eliza! Eliza! Elizaaa!”

Watu walianza kuimba huku wakipiga makofi, walionekana walifurahishwa sana kwa kitendo cha Catherine kutembeza kichapo hiko kwa watu hao waliokuwa waonevu ndani ya mtaa huo na wakorofi pia.

Dorothea alizidi kukizungusha kiuno chake taratibu sana kisha baadaye kuzidisha kasi huku akilitaja jina Enock na kutoa mihemo ya Puani, alikuwa mbali kihisia, MARA ya Mwisho kukutana kimwili na mwanamme ilikua ni miaka Mitatu iliyopita kutokana na aibu aliyokuwa nayo, ivyo aliogopa kumvulia mwanamme nguo, kwaiyo aliitumia fursa hiyo kwa juhudi zote, hakuelewa kuwa kila kinachoendelea Enock alikitambua sana,

Enock alikuwa katika maigizo kisha baadaye nayeye kuanza kuhisi raha alijitahidi sana kujikaza ili asitingishike na kufanya Dorothea ajue kuwa yupo macho bado.

Mpaka anamwaga oil chafu hakujitingisha, alichofanya Dorothea ni kwenda bafuni kisha kurudi na kitambaa kilicholowana na kuanza kujipangusa na kumsafisha Enock, zoezi hilo lilivyokamilika alimvuta Enock na kumuweka mgongoni kisha kwenda naye chumbani huko alimvua nguo na kumlaza chali.

Alivyoridhika alimpiga Denda na kuondoka mpaka Seblen na kuandaa chai.

Bado masikio ya Enock yalikuwa yamejitega mpaka alivyosikia mlango umefungwa na kuhakikisha kuwa Dorothea ameshaondoka.

“Sasa kwanini anafanya hivi lakini?,ana ajenda gani namimi, huyu mlokole gani? hapa hamna kitu inabidi niendelee kumchunguza,lakini ngoja nitambana mpaka aniambie ukweli kwanini ananitegea mpaka nilale ndiyo afanye mambo yake”

Aliwaza Enock akizidi kutafakali,ghafla alikunja sura baada ya kukumbuka binadamu aliyeitwa Catherine, alitetemeka kwa hasira kupita kiasi,majasho yalimtoka.

“Catherine lazima nikumalize,umenipotezea muda wangu,..popote ulipo, uwe Marekani, Jamaica,Bangladesh au Msumbiji lazima nikutie mikononi mwangu nikumalize Malaya mchafu”

Usiku mzima alikuwa akiwaza mbinu za Kumkamata Catherine tena kwa gharama yoyote ile swala la Dorothea aliliweka kwanza kando usiku huo, Baada ya kuwaza kama Lisaa lizima alipata jibu ni jinsi gani ya kumpata.

“Labda uwe umekufa! as long as you are alive I will find you Catherine”

Alimaliza Enock kisha kuanza kutafuta usingizi.

KULIVYOKUCHA tu alienda seblen na kukuta Chai iliyoandaliwa na Dorothea kabla ya kunywa alimtafuta kwenye simu, lakini siku hiyo alionesha mabadiliko kiasi kwamba hata Dorothea alianza kuhisi alishtukiwa, lakini alitii amri kutoka kwa bosi wake, baada ya Dakika sabini na Mbili walikuwa meza moja seblen kwa Enock wameanza mazungumzo.

“Kwanini ulinivua nguo zangu kisha ukafanya Ngono na mimi na unajifanya umeokoka wewe ni nani?”
Kinyesi cha ghafla kilimbana Dorothea mkojo ulimpenya na kulowanisha nguo yake ya ndani baada ya kusikia swali hilo kutoka Kwa Enock aliyekuwa mbele yake amekunja sura kama aliyekuwa anakunywa togwa.

Kichwa cha Sabrina kilivurugika vibaya mno, hakuweza kufikiria vizuri,kompyuta yake ya kichwani haikufanya kazi sawasawa kama siku zote! Mambo makuu mawili ndiyo yaliyomchanganya akili, Moja kupotelewa kwa Mwanae Catherine na kingine ni kuuguliwa Kwa Christopher.

Usiku Mzima alisumbuliwa na Christopher akilia mfululizo huku mwili wake ukichemka, alijitahidi kumbembeleza lakini hilo halikuwezekana, hapo ndipo aliposubiri kukuche kisha kumpeleka Hospitali ya Watoto kwa Dokta Hameer Kariakoo.

Akiwa anasubiri majibu kwenye Benchi ghafla sura ya Catherine ilimjia, hakujua ni wapi alipo
“Mzee Mwasha yupo Gerezani, sasa ametekwa na nani?”

Hilo ndilo swali kubwa alilojiuliza kila kukicha na kukosa jibu la haraka,akili yake iligota kufikiria nje ya boxi.

Alishatoa taarifa polisi na kufuatilia lakini hakuambulia kitu chochote kile.

Ilibidi kwanza ashughulikie tatizo la Christopher kwanza alafu mengine baadaye.

Alichukua simu yake na kumtafuta Kway mzazi mwenzake hewani, ilikuwa ni lazima ampe taarifa za mtoto wao Christopher kuumwa.

“Upo hospitali gani?”

“Kariakoo kwa Dokta Hameer”

“Sawa Nakuja”

Kwa kuwa ofisi ya Kway ilikuwa sio mbali na hospitali, Dakika hamsini baadaye alifika kisha kuonana na Sabrina,hakuonesha kinyongo chochote kile, kilichowaunganisha watu hawa wawili ni Christopher tu na wala sio kitu kingine, kitanda hakizai haramu.Alimpenda Christopher.

“Vipi imekuaje, Mbona anachemka hivi?”

Kway alimtupia Swali Sabrina huku akimshika shika shingoni Christopher.

“Hali ilianza Juzi, alikua hataki kula sasa nikaona kawaida, usiku wa jana ndipo alipoanza kulia mfululizo akaanza kuchemka ndipo nikamleta hapa hospitalini”

“Itakuwa Malaria tu pole sana”

“Ahsante”

Japokuwa Sabrina alikuwa keshazaa watoto wawili lakini umbo lake lilibaki vile vile, ukimwangalia usingethubutu kusema ni Mama wa watoto wawili umbile lake lilifanana na binti wa miaka kumi na nane hivi.

Dokta alitoka na kuwaita ofisini kwake ili kupatiwa majibu.Wote walifika na kuketi.

“Huyu ndiye Baba wa mtoto?”

Aliuliza Daktari.

“Ndiyo ndiye Baba yake”

“okay! Mtoto wenu ana homa kali ya mapafu yaani Limonia,msingemuwahisha mngempoteza”

“Atapona?”

Kway aliuliza Kwa hamaki!

“uwezakano wa kupona upo asilimia themanini kama mtafuata dawa nitakazo muandikia hapa”

“Ndio Ndio”

Matibabu ya haraka yalianza mara moja na kupewa dawa za matibabu.

Moyoni mwa Sabrina alionekana kuwa ana kitu anachotaka kukitoa lakini alishindwa na kubaki kumtizama Kway aliyekuwa makini kusikiliza Maelezo ya Daktari, kila kitu kilivyokamilika alilipa matibabu yote.

“Vipi?”

Kway alihoji baada ya kumuona Sabrina kaganda ana mtizama aliyetaka kuuliza kitu.

“Catherine!”

“Nayeye anaumwa?”

“Hapana,bado hajapatikana”

“Unanitania Sabrina sio kweli”

“Kwanini nikudanganye sasa”

Wote walikaa chini!

Sabrina alianza kumueleza kila kitu mpaka hatua aliyofikia na jeshi la polisi kumuhaidi kuwa wangempata lakini hakukuwa na dalili yoyote.

Sabrina aliongea kwa kutia huruma huku machozi yakimlenga, Catherine ndiye alikuwa kila kitu kwake, Maisha bila mwanae aliyaona ni bure tena machungu alimpenda sana binti yake na ndiyo maana alitumia gharama zake zote kumtunza na kumlinda kwenye mikono ya Mzee Mwasha.

“Sasa atakuwa wapi?”

“Hata nashindwa kuelewa naomba unisaidie”

“Nitakusaidiaje unadhani?”

“una watu wengi unafahamiana nao Kway, tafadhali nipo chini ya miguu yako”

“Kwani Yule mchumba wake, huyu nani huyu huyu jina lake limentoka nanii..”

Kway alionekana kufikiria jina la mtu akijaribu kuvuta kumbukumbu.

“Enock”

“Enhee..,anajua?”

“Ndio anajua, lakini nayeye hapatikani,”

“Kwake hupajui?”

“Sijawahi kufika”

“wenda atakuwa huko, sasa inakuwaje usipajue nyumbani kwa Mkweo?”

“Kway naomba nisaidie acha kuniuliza maswali”

“Sabrina sikiliza nikwambie ukweli, mke wangu unajua kabisa yupo katika hali gani,cha kukusaidia mimi nitakuelekeza Kwa huyo Enock, uwende mkaongee mjue mtafanya nini,Mimi msaada wangu utaishia hapo,Kwanza kinachotuunganisha mimi nawewe ni Christopher lakini si vinginevyo,ungeishia kunisikia tu”

“Tafadhali usiseme ivyo,embu tafakari vizuri kumbuka Marehemu Ramsey rafiki yako kipenzi kumbuka Yule ni mtoto wake”

“Sabrina”

“Abee”

“Naomba uniache niende kazini”

Sabrina hakutaka kukubali!

kesho yake asubuhi na mapema aliamka na kunyoosha nyumbani kwa Kway asubuhi sana.
Ni kweli alimkuta akiwa na Julia ndiyo anajiandaa kwenda Kazini, hakusita kusema shida yake mbele yao huku akilia machozi.

“Cherie, musikilize tu, njo ana matatizo mukabisa Musaidie baby”

Kauli Kutoka kwa Julia ndiyo iliyokunjua Moyo wa Kway.

“Sawa njoo jioni ofisini kwangu twende kwanza kwa Enock, wenda atakuwa anajua ni wapi Cate alipo”
Alishauri Kway.

Saa kumi ya jioni Sabrina alipaki gari yake kando ya Ofisi ya Kway kisha kushuka,Wafanyakazi walishajua ujio wake.

“pita ndani anakusubiri”

Alisema Zuhura secretary wa Kway, Ofisini hawakukaa sana waliingia ndani ya gari na safari ya Kwenda Kibamba kuanza, kutokana na foleni iliwachukua masaa mawili kuwasili nyumbani kwa Enock.

walifunguliwa na mlinzi geti kisha kuingiza gari yao ndani.

Enock alishtuka kuona ugeni huo akiwa na Dorothea anamfokea ajibu maswali juu ya yeye kumvua nguo zake na kufanya naye ngono bila ridhaa yake, hapo ndipo alipoghairisha mahojiano kisha kusalimiana na wageni aliowaona.

“Karibuni”

“Ahsante”

“Enock, tunataka tuzungumze nawewe tutoke hapa kidogo”

“Sawa”

Wote waliinuka na kutoka na gari mpaka nje kwenye moja ya Mgahawa wa pombe, kabla ya yote Enock aliagiza pombe kali.

“Nipatie Shot” Aliletewa.

Alikunywa ya kwanza, ya pili kisha ya tatu aliagiza mzinga mkubwa, Kway na Sabrina walionekana kuwa na mshangao lakini walibaki kimnya bila kusema lolote, wao waliagiza Soda.

“Naam Mr.Kway naona mnenivamia ghafla bin Vuu, leteni swaga”

Enock aliongea Kiswahili cha Geto!

“Ni kuhusu Catherine”

“Ndio kafanya nini?”

“Sasa Mr. Enock”

Kway alianza kuongea huku akipooza koo lake na soda ya baridi coca cola.

“Naaam naam”

“nadhani una habari kuhusu Catherine kupotea kwake?”

“Nina habari hiyo ndiyo”

“Nafikiri hata wewe ulifanya juhudi za Kumtafuta”

“Hapana”

Jibu hilo fupi liliwashtua sana. Enock hapo hapo alikunja sura yake na kuwatizama kwa macho ya hasira.

“Kwanini?”

Sabrina alimrushia swali nayeye akitaka jibu la haraka.

Enock alishusha pumzi zake na Kuinamisha kichwa chake chini kisha kuinuka, ilikuwa ni lazima awape makavu yao kuwa Catherine ni malaya, na ivyo hakusita sababu pombe zilikua kichwani tayari na kumpa ujasiri.

“Catherine hanifai ni Malaya mmoja Mbwa,na bora mmekuja mapema ili mjue kuwa ni kiasi gani namchukia na simpendi”

Enock aliongea huku akionesha hasira za waziwazi.

KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

15 Bikra Yangu Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni