Notifications
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…
  • MY DIARY (11)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MOJATULIPOISHIA...Wakati akiongea maneno hayo mara mtarimbo ukaanza kusimama nikajisemeha nimeshakosea nilitakiwa niondoke nilivyoona kimelele tu, nikajua hapo lazima atanitafuuna bila huruma. Basi akaingia bafuni akachukua sabuni akajipaka ili kujisisimua ngoma isimame vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yaaani nilichanganyikiwa na huko bafuni nilisikia maneno ambayo yalinichekesha…
  • MY DIARY (10)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMITULIPOISHIA...Nikamwambia Joyce ndo maana mimi nakupendaga. Nikamwambia “nitakuapa feedback ngoja nimpigie asije akaja na makufuli yake leo hii. Nikampigia baba mwenye nyumba eti kwa kujiamini kabisa akapokea nakusema “ Halow mrembo” Nikamwambia Yes mpenzi kitu ambacho kilimfurahisha sana..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kuokoa hela ya vocha nikamwambia nimekubali ombi lako alafu nikakata…
  • MY DIARY (9)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TISATULIPOISHIA...Basi Dj wangu aliendelea na mautundu yake akaniwekea mambo ya pwani na hapo ndipo uvumilivu ulipomshinda akaja kunibambia na mimi sikuona haja ya kumbania kwa kuwa ni mali zake mwenyewe. Nilizungusha nyonga na kiuno mpaka nikachoka nikajitupa kitandani ili nipumzike. Nafsi yake ilikuwa imeridhika kwani hakutka tena penzi bali alichukua lap top yake na kuanza kunionesha picha na vitu vingine ambavyo vilinipa raha.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (8)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NANETULIPOISHIA...Sijui hata haya maneno yalitoka wapi, fahamu zilinitoka na Ticha aliamua kuninyanyasa maana nilishajikojolea zaidi ya mara tano. Basi na yeye kwa kutafuta mbwembwe alianza yale mambo yao ya katerero, siunajua tena mwalimu John alitokea pande za Bukoba.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinichezea sana na baadaye nilishangaa kukuta jamaa ameshaingiza kunako. Sikujielewa kwa…
  • MY DIARY (7)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SABATULIPOISHIA...Kwaito zilivyonoga uzalendo ulinishinda nikajikuta na mimi nashuka ngazi kuelekea chini sehemu ya kuchezea.Nilizijua kwani shuleni tulikuwa tunazicheza sana hasa kwenye yale madisco yetu ya mwisho wa mwezi.John wangu alibaki juuu akiniangalia jinsi nilivyokuwa nikicheza vizuri.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Yeye alishindwa kushuka akiofika kile kitu kukaliwa na watu…
  • MY DIARY (6)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA SITATULIPOISHIA...Akanambia kuwa wamemwambia wapo East Africa Pub na tayari wamaeshaagiza mkuu wa mbuzi. Mmmmhhhh kusikia mguu wa mbuzi mate yalinijaa mdomoni. Basi kwa harakaharaka nikamwambia naomba niende niende nyumbani nikachukue viwalo vya club kisha nitawakuta hapo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alinambia mbona hizo nguo ulizofaa zipo poa tu wewe twende hivyo bhana si upo na…
  • MY DIARY (5)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TANOTULIPOISHIA...Akanisimamisha na kuanza kuiuliza maswali mengi yasiyo na maana huko akionekana kutojiamini. “samahani dada, sijui unaelekea wapi”? Nikamjibu dukani. Akavuta pumzi ndefu na kuniambia ok, nisaidie namba zako za simu. Nikamwangalia juu na chini nikwambaia nimezisahau na simu nimeiacha ndani nikirudi ndani nitakuletea..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Akaishiwa pozi akanambia,…
  • MY DIARY (4)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA NNETULIPOISHIA...Uchambuzi huu ulinigusa sana kwani hata mimi nilijihisi kuwa sikuwa na utando huo yaani bikira japo nilikuwa sijawahi kujamiana na mwanaume wa aina yeyote zaidi ya ile michezo ya utotoni ya kula mbakishie baba au ile ya kibabababa na kimamamama. Alianza kunishika mapajani na kunifanya nianze kusisimuka ajabu kwani japo alikuwa ni mwanaume mikono yake likuwa ni milani sana kama ya mtoto wa kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media…
  • MY DIARY (3)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA TATUTULIPOISHIA...Nazani sasa unanielewa ninaposema nilikuwa sina ndugu kwani baba yangu hakuwa na ndugu yeyeote zaidi ya marafiki ambao na wao kwa sasa ndio hao wameshagawana mali zote. Nimebaki mimi na dunia yangu hivyo basi nilimwomba rafiki yangu wa kufa na kuzikana kwa jina Joyce anisaidie kunisitiri nyumbani kwao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Likizo ilipoisha tulirusi shuleni na…

BIKRA YANGU (72)

Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA SABINI NA MBILI
ILIPOISHIA...
“Catherine hanifai ni Malaya mmoja Mbwa,na bora mmekuja mapema ili mjue kuwa ni kiasi gani namchukia na simpendi”
Enock aliongea huku akionesha hasira za waziwazi.
SASA ENDELEA...
“unasemaje Enock? Usimuite Mwanangu Malaya”

“Sabrina Tulia kwanza”

Kway Aliingilia, sababu alishaelewa upepo umebadilika, kwa mara ya kwanza alidhani wenda Enock anaongea kutokana na Pombe, lakini neno KAMA Malaya,changudoa ndilo lililotawala kinywani mwa Enock hata kudiriki kumtukana na Sabrina.

“Mtoto wa nyoka ni nyoka, inaelekea aliyemzaa alikuwa Malaya vile vile, kama sio wewe basi baba yake..kama mna lingine semeni lakini kama kuhusu Catherine msinipotezee muda wangu, nina mambo mengi ya kufanya, sawa?”

Sabrina alikasirika sana na kuanza kurusha maneno Makali kwa Enock huku akilia kwa Kwikwi lakini alisukumizwa chini, Kway alivyoingilia nayeye alisukumizwa pia, hali ilishakuwa tete Sabrina alishashikwa na Pepo la hasira kali.

“Msitafute vita vya tatu vya dunia.Nadhani hamnijui vizuri mimi, naomba haya mambo yaishe”

Katika hali ya kushangaza Sabrina alisimama na kuchomoa bastola ya Kway iliyokuwa kiunoni mwake, kisha kumuwekea Enock aliyekuwa mbele yake huku akilia machozi ya hasira, dalili zilionesha kuwa ni lazima angefyatua, kutokana na hasira mbaya alizokuwa nazo.

Ni kweli ndani ya dakika moja ulisikika Mlio mkubwa wa bastola baada ya risasi mbili kuchomoka ndani ya chemba.

“Paaa! paaaaaa”

Enock alikua yupo chini ametulia, Sabrina alibaki akilia machozi ya hasira!.

Jasho jingi lilimtoka akiwa chini, pombe zote alizokunywa sasa ziliyeyuka na kwa mbali alimuona Israeli mtoa roho za watu mita mia mbili tisini na saba kusini kwake.

Licha ya kusikia mlio wa bastola uliyofyatuliwa na Sabrina kwa kusudi la kumlenga yeye lakini hakuhisi maumivu ya aina yoyote ile mwilini mwake. Hakuelewa ni kitu gani kimetokea wenda alidhani ameikwepa risasi na ikapita juu lakini baadaye aligundua kuwa risasi zilipigwa hewani.
“Sabrina tafadhali naomba iyo silaha,hupaswi kufanya ivyo, Hasira hasara”

Alisema Kway kwa hofu, hata yeye ilibidi awe mpole sababu ya hasira mbaya aliyokuwa nayo Sabrina na mpaka kuanza kulia.

Ilichukua dakika kumi na mbili mpaka kuzituliza hasira za Sabrina aliyekuwa ameambiwa maneno machafu na mtoto mdogo Enock aliyekuwa Mkwe wake.

Alimchukia ghafla,alimkabidhi Kway bastola yake kisha kutokomea na kuondoka zake.

Bado akili ya Enock haikufanya kazi sawasawa, kila mtu alikuwa adui yake hasa kwa yoyote yule aliyezungumzia habari za Catherine, alimtukana vibaya mno! Hakuwa Enock Yule aliyekinga kifua chake na kupigwa risasi kwa ajili ya Catherine miaka kadhaa nyuma iliyopita.

Alimpenda sana Catherine kuliko kitu chochote kile chini ya Jua la Mungu pamoja na viumbe viishivyo majini,Mapendo aliyompa Mama yake baada ya kufariki dunia aliyahamisha kwa Catherine, lakini sasa ilikuwa kinyume, Picha za Ngono na sinema za utupu ndizo zilimchanganya akili yake kabisa na kumbadilisha kiujumla,alijua Catherine ni mwanamke changudoa tena Malaya hafai kabisa,Picha zake zilitapakaa Duniani kote alijuta kuwa naye kimapenzi, hakuelewa ukweli uliojificha nyuma ya pazia.
“Lazima nikutafute Catherine, popote ulipo kwanza unijibu kwanini ulinipotezea muda wangu”

Aliwaza Enock alivyotoka kujimwagia maji asubuhi hiyo.Alivaa nguo zake haraka haraka kisha kuvaa koti jeusi, alitoka nje na kuwasha gari mpaka Ofisini kwake NISSAN,wafanyakazi wake walivyomuona walianza kugongana vikumbo huku na huku, walitetemeka sana, walijua kabisa siku hiyo bosi wao hakuamka vizuri kutokana na macho yake kuwa mekundu sana, sura kaikunja mno,walielewa ni lazima siku hiyo mtu afukuzwe kazi kama sio kupigwa makofi hadharani, kila mtu alikuwa bize kwenye meza yake na ukimnya kutawala.

“Shikamoo Bosi, shikamoo bosi”

Waliamkia lakini Enock hakuwajibu.

“Dorothea nifate ofisini”

Maneno matatu tu aliyatoa Enock huku akiwa ameukunja uso wake kwa hasira, maneno hayo yaliutetemesha moyo wa Dorothea, alivyotaka kusimama alirudi tena kwenye kiti kutokana na kukosa nguvu za Miguu, alishaelewa ni kitu gani ameitiwa na Bosi wake!Alifungua mlango wa kioo na kuingia ndani ya ofisi ya bosi wake Enock!.

“Abee.. !Abee! Bosi”

“You are fired”(hauna kazi)

Enock aliongea kwa sauti kubwa kwa hasira huku akipiga meza,hakua hata na mzaha katika neno aliloongea kutokana na sura yake ilivyojionesha.

Dorothea aliangua kilio hapo hapo na kudondoka chini kwa magoti huku akiomba asamehewe, Bosi wake asimfukuze kazi japo hakuelewa ni kosa gani alilitenda la kiofisi!.

“No! I don’t want stupidity, Am done talking with you, No excuse!, Get out bitch, I don’t want to see your face here infront of me,for what you have done For God sake! don’t expect any apology from Enock…..(Hapana! Siihitaji ujinga,nishahitimisha mazungumzo nawewe,nenda nje Malaya sitaki kuiona sura yako mbele yangu, kwa ulichokitenda Nimemaliza,usitegemee msamaha kutoka kwa Enock)

Sauti hiyo ilipaa na kuwafikia wafanya kazi wote waliokuwa kwenye viti vyao, hata wao walielewa ni kiasi gani Enock bosi wao ana hasira, ni kitendo cha Kumfokea Dorothea mfanyakazi aliyemuamini kuliko wengine wote aliowahi kufanya nao kazi hapo Nissan kila mfanyakazi alihaha!

“Bosi naomba unisamehe nitakueleza kila kitu,naomba usifikie huko kwani nategemewa na ukoo wangu wote,ume..fika mbali naelewa nimekukosea sana,ila tafadhali naomba unipe japo dakika mbili nikueleze”

“No! no! I said No”(Hapana,Hapana nimesema hapana)

Enock alijibu huku akisimama na kumuacha Dorothea ofisini kwake akiacha ujumbe nyuma yake kuwa asikute kiwiliwili chake.

“Naomba uchapishe barua, Dorothea sio mfanyakazi wa Nissan tena. Endeleeni na kazi”Aliacha Maagizo Enock kwa secretary.

“Lakini Bosi”

“What?”(Nini)

“Sasa niandike alifanya kosa gani?”

“Nawewe hauna kazi, Michael chapa barua Dorothea na huyu Marry, sitaki kuwaona katika ofisi yangu, baada ya nusu saa nataka wote muwe conference room kuna kikao”

Kila Mtu alishaelewa kuwa Akili ya Enock imevurugika kiasi kwamba wafanyakazi wake wote walikaa mbali naye, hawakutaka hata kuuliza chochote kile.

Alivyorudi ofisini kwake bado alimkuta Dorothea amekaa chini analia macho mekundu na yamemvimba sana!

“Bado upo mahali hapa?”

“Naomba unisa…..me..he”

“Labda kwa kuwa niliongea kiingereza ndiyo maana hukunielewa, hapa hutakiwi kuonekana kabisa hauna kazi”

Dorothea alikua kama Ruba king’ang’anizi hakutaka kubanduka ofisini mwa Enock muda wote alilia akiomba msamaha kwa mambo aliyotenda.

“Unajua sitaki kabisa ukaribu na watoto wa kike,nawachukia sana nyie viumbe,ni waongo sana”

“Naomba unipe nafasi nyingine bosi wangu,kwa hisani yako, kosa sio kosa bali kurudia kosa ndiyo kosa”

Dorothea alijaribu kumshawishi Enock akitumia kila methali,hapo ndipo alipoingizia historia yake kuwa alikuwa ni mtoto yatima hakuwahi kuwajua wazazi wake hata siku moja, analelewa na ndugu zake kitendo cha Enock kumfukuzisha kazi kingeharibu muhimili wa maisha yake yote, Maneno hayo yalifanikiwa kubadili akili ya Enock aliyekuwa nyuma ya meza anamsikiliza huku akiwa ameshika mikono yake miwili kifuani anamtizama kwa huruma,

Dorothea aliongea huku akitoa machozi na makamasi. Kweli ungemuona Msichana huyu mdogo usingesita kumsaidia au kutoa kitu chochote mfukoni na kumpatia,

Enock hakuelewa kuwa anaigiziwa na maneno aliyosema Dorothea au historia yake asilimia themanini ilikuwa ni uwongo mtupu!

“Niliambiwa kuwa Mama yangu aligongwa na nyoka alivyokuwa akinitafutia dawa kipindi nipo mdogo, alikufa siku hiyo hiyo, Baba yangu naye kwa mshtuko na shinikio la damu nayeye umauti ukamkuta, niliteseka sana nikajuta kwanini nilizaliwa,mimi ndiye nilikua nikijisomesha mwenyewe kwa kufanya biashara ya kuuza mboga mboga mpaka nakuwa”

Historia hiyo ilipenya masikioni mwa Enock na kugota ndani ya moyo wake, ki ufupi aliumia sana,
hata siku moja hakuwahi kufikiria kuwa Dorothea ni msichana mdogo aliyepita kwenye matatizo mengi kiasi hiko pengine kuliko yoyote Yule ulimwenguni,alielewa nini maana ya kufiwa na Mama mzazi,alijikuta anatoa leso yake na kujifuta machozi huruma ilimjaa hasa alipokumbuka alivyomtukana na kutaka kumfukuza kazi.

“Ilikuwa niende kujiua nife kabisa kuliko mateso ambayo ningeteseka huko mitaani”

Dorothea alizidi kupigilia misumari uwongo wake!

Mambo yalikuwa kinyume, badala ya Dorothea kuomba msamaha sasa iligeuka kuwa Enock!
Alimuinua Dorothea akiwa chini kisha kumuweka juu ya kiti akizidi kumuomba msamaha sana!

Dorothea alijiona mshindi sana pengine kuliko msanii yoyote Yule wa Bongo movie.

Maigizo aliyoyafanya jana yake kwa Enock na kushinda yalimtia moyo na kuona sasa ushindi ni wake, ilibaki sasa kumuweka Catherine karibu ili awamalize.

Ndani ya moyo wake aliwachukia watu hawa wawili ni kitendo cha Dada yake Naomi kutupwa ndani, ilibidi afanye juu chini ili ajuwe ni wapi catherine alipo lakini hakujua ni njia gani atumie.

“Mimi ndiye Dorothea Masunga nitahakikisha hawa watu wanakufa tu, tena taratibu sana, na hata mtu mmoja hatofikiria kuwa ndiye nilifanya mauaji”

Alivaa nguo zake haraka haraka kwa furaha na kukiendea kioo kikubwa kilichokuwa mbele yake na kuweka kidole gumba kumaanisha kuwa amejikubali amependeza au ametoka chicha! Kwa Kiswahili cha uswazi!

Dorothea Alifanya kazi kwa juhudi zote hata wakati mwingine kuzidi muda, Enock alifurahishwa na jambo hilo na kufanya amuongeze mshahara asilimia thelathini, hakuna mfanyakazi ambaye aliyeonesha kujali kampuni isipokuwa Dorothea,hiyo ilimfanya hata Enock kutoka naye mchana kwenda kula chakula cha mchana akimpa Ofa.

Na ikitokea Enock amekasirika ofisini basi wafanyakzi humuendea Dorothea ili awatetee kutokana na ukaribu aliokuwa nao na Bosi Enock ambaye haikuwa rahisi kuzoeleka na mfanya kazi wake yoyote yule kirahisi rahisi,alikuwa mgumu kama mfupa! Lakini kwa Dorothea alikua mlaini kama Maini ya Ng’ombe.

Maisha yalisonga lakini Enock hakuweza kumsahau Catherine hata mara moja.

“Ngoja kesho niende gerezani nina imani ndiyo siku ya kuwaona wafungwa naenda kumuona Dad kule, anipe ushauri”

Usiku huo Enock aliwaza, Na kulivyokucha tu aliwasha gari na kununua chakula cha Baba yake aliyefungwa Gereza la Keko ambapo hata Naomi alihamishiwa gereza hilo hilo kutokea segerea.

Mzee Mwasha alishtuka sana baada ya kumuona Mwanaye Enock amekuja kumuona tena, mazungumzo aliyoongea naye yalizidi kumfanya atabasamu.

“Nilijua ipo siku ungenitafuta Son!, ngoja nikwambie kitu tutaonana wiki ijayo uraiani…”

Kauli ya kuonana na Baba yake uraiani ilimshtua sana lakini hakutaka kuonesha wazi wazi kuwa alishtuka.

“Kivipi baba?”

“KUNA vijana wangu watafanya kazi yao, kipindi naamishwa gereza kwenda Mwanza”

Mzee Mwasha aliongea kwa kujiamini, dalili zilionesha ni lazima atakuwa huru siku za usoni sababu hakuwa na wasiwasi,

Katika hali ya kushangaza Enock alivyopiga jicho pembeni alimuona Dorothea, kwa mara ya kwanza hakuelewa ni kitu gani alifuata gerezani mpaka alipomuona wapo na Naomi tena wanacheka na kugonganisha mikono yao, hakuelewa kuwa watu hao ni Ndugu tena wanampangia mikakati mibaya sana.

Hakutaka kupoteza wakati alisimama mpaka sehemu walipokuwepo Dorothea na Naomi.
“Habari zenu”

Alisalimia Enock na kumkataka jicho kali Dorothea aliyekua anatetemeka kwa hofu!

KWA WATUMIAJI WA APP KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

15 Bikra Yangu Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni