TANGA RAHA (2)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA PILI
ILIPOISHIA...
Sote tulio kuwemo kwenye kibanda hicho hatukusita kumkodolea macho japo wengine wakaanza kujishaua kwa kumsalimia
Nikawekewa chipsi zangu kwenye mfuko na kulipa kisha nikaondoka zangu
SASA ENDELEA...
Nikiwa hatua chache kutoka kwenye kibanda cha chipsi nikasikia sauti ya kike ikiniita na ikanilazimu kugeuka
Nikakutana na yule dada niliye muacha kwenye kibanda cha chipsi akinifwata kwa mwendo wa haraka haraka
"Samahani mwaya kaka ulipokuwa pale umekaa umeangusha walet yako"
Kweli ni wallet yangu ambayo ndani yake inapesa nyingi pamoja na vitambulisho vyangu vya kazi na bima za afya
"Asante sana dada yangu sijui nikuchukuru vipi sema nikupe nini?"
"Hapana kaka yangu asante"
"Hapana jamani basi turudi nikakulipie sahani ya chipsi uliyo agizia"
"Nashukuru kaka yangu siku nyingine utanilipia"
Kabla sijazungumza simu ya yule dada ikaita akapokea ikanibidi nikae kimya
"Halow baby nakuja namalizia kufungia hizi chipsi..Kuna foleni kama nini"
Akamaliza kuzungumza na simu
"Kaka yangu Mungu akipenda tutaonana shemeji yako ana wivu sana"
"Sawa nisalimie shemeji yangu"
"Usijali"
"Samahani dada kama huto jali chukua namba yangu"
Nikamtajia namba zangu kisha akaondoka kwa mwendo wa haraka na kuniacha nimeduwaa nikiyatazama makalio yake makubwa jinsi yanavyo tingishika kama simu ya kichina yenye vibrate kali
"Mmm huku Tanga ni noma"
Nilijisemea kimoyo moya na kuanza kupiga hatua za taratibu za kurudi kwangu mtaa wa pili kutoka ninapo ishi.Nikastuka nikiitwa na sauti ya mtoto huku akinikimbilia
"Shikamoo Sir Eddy"
"Marahaba hujambo mtoto mzuri?"
Nikaanza kujiuliza huyu mtoto amenijuaje wakati kwa makadirio ya macho yangu hajamaliza darasa la saba
"Sijambo"
"Unaitwa nani?"
"Jumaa"
"Jina langu amekuambia nani?"
Kikajichekesha kisha kikanijibu
"Ameniambia dada yangu yule pale nje"
Nikageuka kumtazama sehemu anayo nionyesha nikaona wadada wanne wakiwa wamekaa kibarazani wanacheza karata huku macho yakitutizama kwa kuiba iba
Nikawasalimi wakaitikia kwa pamoja
"Haya rafiki yangu nenda kacheze"
"Sir Eddy naweza kuja kutazama DSTV kwako"
Nikajikuta nikiguna kimoyo moyo kwani sijui huyu mtoto amejuaje nimenunua DSTV wakati mimi minaishi mtaa wa mbele kutoka pale
"Mbona usiku labda kesho utakuja si unapajua kwangu?"
"Ndio ila leo kuna mechi za mpira ligi ya uingereza"
"Mmmm unashabikia timu gani?"
"Madrid ila uingereza nashabikia Liverpool"
Sikuwa na jinsi za kumkubalia akawaaga ndugu zake na tukaondoka.Tukafika kwangu nikamuwekea mechi ya mpira anayo itaka kupitia akaanza kuangalia huku akionekana kufurahi sana
Nikafungua kifuko changu cha chipsi nikamkaribisha Jumaa hakufanya makosa akaanza kuokota mskaki huku akiokota na chipsi nyingi
"Leo nitalala njaa"
Nikajisemea kimoyo moyo huku Jumaa akizidi kunichezea rafu kwenye kula hadi tukamaliza kwa hesabu za haraka haraka nimekula chispi kama ishirini tu kati ya nyingi zilizopo kwenye kifuko changu
Nikafungua friji na kumpa Jumaa soda akaonekana kuzidi kufurahi huku akipata midadi ya mpira unao chezwa
"Dogo saa nne huogopi kwenda kwenu?"
"Hapana si hapo nyuma tu"
Ikanibidi nikae kimya,dakika tano mbele mlango wangu ukagongwa huku sauti ya dada nisiye mjua akiita jina la Jumaa
"Huyu ma mdogo anatabu kama nini?"
Nikafungua mlango kisha nikamkaribisha mama yake mdogo akaingia ndani huku akijifunga tenge lake vizuri
"Haaa wewe tabia ya kula kwa watu nilikuambiaje?"
Dada huyo alizungumza huku akimsogelea Jumaa mwenye chupa ya soda mkononi
"Dada yangu mbona kawaida"
"Hapana kaka yangu huyu mtoto ana tabia za ajabu kama nini...Yaani ni mmero kama nini?"
Dada yule akampiga Jumaa kofi la mgongo na kumfanya Jumaa kutoka mbio na kukimbilia kwao
"Tena nikukute nyumbani mwehu wewe"
Kwa bahati mbaya mama mdogo wake Jumaa tenge alilo livaa likamdondoka kwa kurupushani za kumchapa Jumaa.Akawa mpole gafla kwani alibakiwa na chupi aina ya bikini huku kiuno chake kikiwa na shanga nyingi
Akainama na kuokota tenge lake na kujifunga vizuri kutokana yupo chumbani kwangu hakuona aibu sana kuanguka kwa tenge lake
"Kwani alikuwa anatizama nini huyu mtoto?"
Aliniuliza kwa kuzuga ili kupotezea tukio lililo tokea dakika chache zilizopita
"Alikuwa anatizama mpira ila kuna movie alikuwa akiimalizia"
Mama yake mdogo Jumaa akasimama na kuitazama movie ya kizungu ambayo kwa wakati huo ilifikia katika sehemu ya watu wazima kufanya yao live bila chenga
"Mmmm hawa wazungu hawana aibu"
Alizungumza huku akikaa juu ya mguu wa sofa na kuikodolea macho movie hiyo.Jinsi matukio ya movie hiyo yanavyo kwenda ndivyo jinsi mama mdogo Jumaa alivyozidi kukaa
Nikawa ninatamani kubadilisha chanel ila nikawa ninashindwa nifanye nini kwani ningemkatisha utamu mama mdogo Jumaa
"Kaka unaitwa nani?"
"Mimi?"
"Ndio"
"Ninaitwa Eddy"
"Ahaa wewe ndio mwalimu wao mpya Fatuma?"
"Ndio"
"Fatuma mwanangu anasoma kidato cha pili ndio ameingia mwaka huu"
"Ahaa mimi bado mgeni sijapata kuwajua wanafunzi wengi"
"Ahaa sifa zako zinatamba kama nini"
Nikastuka na kujiuliza ni sifa gani zinazo tamba kwao huku wazo la Rahma likinijia kichwani
"Sifa gani dada yangu...?"
"Fatuma anasema wewe unafundisha vizuri masomo ya Sayansi na wanafunzi wengi wanakuelewa"
Nikashusha pumzi huku nikimtazama mama mdogo Jumaa
"Ndio jukumu langu hilo"
"Jitahidi mwaya kwani ile shule wanafunzi wengi wanafeli masomo ya Sayansi"
"Musijali nitajitahidi kadri ya uwezo wangu wanafunzi waelewe"
Ukimya ukatawala huku sote tukitazama ile movie na sehemu iliyopo inamuonyesha dada wa kizungu akinyonya koki ya jamaa anayempa burudani hiyo
"Hivi una mchumba wewe?"
"Hapana sijajaliwa kumpata kwani nawaogopa sana wasichana"
"Mmm...yakweli hayo?"
"Ndio si ungemuona humu ndani"
Mama Mdogo Juma akanyanyuka na kujishika kiuno huku akionekana kufikiria kitu cha kuzungumza japo anaonekana kuto kujiamini
"Nani...Eddy"
"Naam"
"Ngoja niondoke niende kuoga kisha nikarudi kuimalizia hii movie imenibamba sana"
Akatoka huku akilitingisha kalio lake kubwa ambalo kwenye tenge alilo livaa lilijitokeza vizuri na kuufanya mwili wangu kunisisimka
Nikaufunga mlango wangu na kuingia bafuni nikanga nilipo maliza nikarudi kukaa kwenye sofa na kuanza kuandika topic(mada) nitakazo fundisha jumatatu nikiwa shuleni
Mida ya saa sita kasoro mlango wangu ukagongwa
"Nani?"
Ilinilazimu kuuliza kwani ni muda wa usiku na bado sikuwa mwenyeji katika mtaa huo
"Mimi mama Fatuma"
"Mama Fatuma yupi?"
"Mama yake mdogo Jumaa nimekuja kuimalizia ile movie"
Nikanyanyuka japo kwa tahadhari na kwena kuufungua mlango.Mama Fatuma akaingia huku akiwa amevalia suruali nyeusi iliyo mbana na kufanya hipsi zaka kupanuka vizuri na kalio lake kubwa kuchomoza zaidi ya nilivyo liona likiwa ndani ya tenge
"Karibu mwaya"
"Ile movie bado haijaisha?"
"Bado ila ndio ipo ukingoni kingoni"
Mama Fatuma akakaa kwenye sofa hapo ndipo nikapata muda wa kumtadhimini kuanzia usoni hadi chini.
Machn makubwa mazuri yaliyo legea kama mtu mwenye usingizi yanaendana na pua ndogo kiasi huku na midomo mipana ya wastani yenye meno meupe yaliyo jipanga vizuri.
Sura ya duara ya mama Fatuma ilizidi kumfanya kuwa mzuri zaidi.Macho yangu yakashuka hadi kifuani mwake ambapo kuna chuchu zilizo jalia ila zina ukubwa wa wastani zikazidi kuusisimua mwili wangu na kusabisha bastola yangu kusimama
"Labda nikupe kinywaji gani?"
"Una bia baridi?..Ila unaonekana wewe si mnywaji?"
"Nilikuwa ni mnywaji ila kama unahitaji ngoja nikakuchukulie"
"Sawa"
Nikampa rimoti ya Dstv ili hata akihitaji kubadilisha chanel abadilishe.Nikavaa vest na kutoka nje.Ila nikaufunga mlango wangu kwa nje ili hata kama atakuwa na lengo la kuniibia atashindwa
Kwa jinsi mtaa wa Chuda ulivyo na hotel na baa nyingi haikuwa ngumu mimi kutembea umbali umrefu kutoka na ninapo ishi.Nikanunua CARTON mbili za bia za kopo na mzinga mmoja wa VALUE
Kabla sijaondoka eneo la baa niliyopo nikaagizia nyama ya mbuzi ya kukaangwa kilo mbili na kurudi nyumbani.Nikamkuta Mama Fatuma akiwa amejilaza kwenye sofa huku taa akiwa ameizima
"Pole mwaya kwa kukusumbua"
"Hapana alafu sikujua kuwa unatumia bia gani?"
"Kwani umenunua bia gani?"
"Castel na Red's ila nimeongezea na mzinga wa Value"
Mama Fatuma akakaa vizuri kwenye sofa na mimi nikakaa huku mizigo nikiiweka juu ya meza.Mama Fatuma akavua nguo yake ya juu na kubakiwa na sidiria
"Nikupe glasi?"
"Hapana hivi hivi inatosha"
Tukaanza kunywa na kuzila nyama,kadri muda ulivyo zidi kwenda ndivyo pombe zilivyo zidi kunipanda kichwani.Nikaupeleka mkono wangu kwenye maziwa ya mama Fatuma na kuanza kuyachezea chezea na kumfanya mama Fatuma kulegeza jicho zaidi
Mama Fatuma akasimama mbele yangu huku akijichekesha chekesha.Nikataka kunyanyuka akanirudisha kwenye sofa kwa kunisukuma
"Usiwe na haraka babuu weee acha nikuonyeshe mambo"
Nikabaki nimekaa kwenye sofa huku nikihema kwa nguvu kama simba aliye mkimbiza swala na kumkosa.Mama Fatuma akanigeuzia makalio yake kisha akapanda juu ya na kupiga magodi na kukaa kama mtoto anaye tambaa
Taratibu akaanza kucheza kuendana na mziki unao imba kwenye tv yangu niliyo iunganisha na spika zangu za sabufa na kuufanya mziki kusikika vizuri na kwasauti ya juu.Mama Fatuma akazidi kunipagawisha kwa kalio lake anavyo litingisha huku shanga zake za kiunoni zikitoa kijimlio fulani ambacho kinatokana na jinsi zinavyo suguana
Nikasimama tena na kumshika kiuno chake.Akanigeukia na kunisukuma tena kwenye sofa nikadondoka kama gunia la chumvi.Akasimama kwenye meza huku akiendelea kucheza,akaivua sidira yake na kunirushia usoni
Akaanza kuyashika maziwa yake na kuyabana kwa pamoja na kuanza kuyalamba kwa ulimi wake japo hakuwa anayafikia vizuri.Kwa uchu nilio nao nikajikuta mapigo ya moyo yanakwenda kasi huku kijasho kikinimwagika kana kwamba nimekimbia katika mbio ndefu
Mziki ukabadilika naye akabadilisha mapigo ya kucheza.Akafungua kifungo cha suruali aliyo ivaa na taratibu akaanza kuishusha suruali huku akikijichezesha.Akabaki na bikini aliyo ivaa na kushuka juu ya meza huku jasho likimwagika
Akanishika mkono na kuninyanyua.Tukaanza kutembea taratibu na kuingia bafuni kwangu.Akanishika kiuno nami nikamshika kiuno chake chenye shanga nyingi.Akanivua pensi niliyo ivaa nikabaki kama nilivyo zaliwa
"Hizi shanga kazi yake ni nini?"
Akacheka huku akiichezea chezea bastola yangu
"Eddy unataka kuniambia hujui kazi ya shanga?"
"Ndio maana nikakuuliza?"
"Sawa babaangu.Shanga kwanza hupendezesha kiuno cha mwanamke pia isitoshe ukiwa na shanga unaonekana ni mwanamke aliye kamilika"
KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni