SEHEMU YA KUMI NA TISA
ILIPOISHIA...
Kwa muda wote huo ambao niliweza kushiriki naye mapenzi nakumbuka nilikuwa makini sana, sikutaka niweze kumpa ujauzito hivyo kila golinililokuwa nikilifunga nilihakikisha nalitoa nje ama kama niliweza kulifungia ndani basi nilihakikisha hakuwa katika siku zake za hatari.SASA ENDELEA...
Nilifahamu kuwa Precious alikuwa ni mke wa mtu na wala sikutaka kujisahaulisha hilo, nilikuwa nikishiriki naye kila aina ya starehe lakini kichwani mwangu sikuacha kuitengeneza picha ya mume wake, nilifahamu madhaifu ya mume wake hata kile kipindi ambacho niliweza kuzungumza naye kwenye simu bado nilizidi kuujua udhaifu aliyokuwa nao.
Lilipokuja suala la mke wake na kwa uchafu ambao niliyokuwa nikimfanyia sio siri kuna kipindi nafsi yangu ilikuwa inanisuta. Ilinisuta kwa maovu niliyokuwa nikiyafanya.
Kitendo cha Precious kuniambia kuwa alikuwa akihitaji mtoto na alikuwa radhi kuubeba ujauzito wangu hakika kilikwenda kunichanganya akili yangu sana, nilihisi kupata mtihani mgumu sana japo aliniambia kuwa angeweza kunipa pesa, nyumba pamoja na mahitaji mengine lakini kwa upande wa pili wa shilingi niliingiwa na uwoga, sikutaka kujiamini sana na ni hapo ambapo nikajikuta naingia katika mgogoro dhidi ya nafsi yangu, kuna muda
Nilikuwa nikitamani sana pesa, nyumba nzuri, gari la kifahari lakini akili yangu ilipowaza siku ambayo ningeweza kukamatwa na mume wake hakika nilizidi kuingiwa na uwoga, niliamini nilikuwa katika harakati za kukitafuta kifo changu ambacho kilikuwa mikononi mwa mwanaume mwenye hasira kali ya kuibiwa mke wake.
“Mbona unajifikiria hivyo?” aliniuliza.
“Hapana Precious nawaza,”nilimwambia.
“Unawaza nini sasa wakati nimekuambia kama ni pesa nitakupa.”
“Tatizo sio pesa Precious.”
“Ila.”
“Kumbuka wewe ni mke wa mtu.”
“Nafahamu Dick ila naahidi kufanya iwe siri.”
“Siri?”
“Ndiyo itabaki kuwa siri kati yetu.”
“Siamini kama kuna siri hapo hivi mumeo ni mjinga kiasi gani mpaka umefikiria kuchukua uamuzi huo.”
“Dick naomba uniamini mimi hakuna kibaya chochote ambacho kitaweza kukutokea kwanza shida yangu ni kupata mtoto tu.”
“Mumeo akijua kuwa ujauzito sio wake unafikiri ni nini kitatokea?”
“Si rahisi kama unavyodhani Dick naomba unielewe basi,” aliniambia Precious kwa sauti iliyokosa kabisa uvumilivu, alikuwa amekimaanisha kile alichokuwa akikiomba, nilipomtazama na yeye alinitazama kwa macho yaliyoniambia “Nifanye Dick sasa hivi hivi.”
Nilizidi kuwaza mambo mengi sana kichwani mwangu lakini kila nilipokuwa nikijaribu kuwaza na kuwazua ajabu sikubahatika kabisa kung’amua lolote zaidi nilizidi kuona dakika zikizidi kujongea kwa kasi sana kusababisha mabadiliko ya saa. Nilizidi kupagawa.
“Dick inamaana umekataa kabisa kunisaidia?” aliniuliza Precious huku akiendelea kunitazama kimatamanio.
“Precious unaniingiza katika matatizo,” nilimwambia huku nikionekana kuzidi kutawaliwa na uwoga.
“Embu acha uwoga Dick.”
“lazima niwe na uoga kumbuka wewe tayari umeshakua mke wa mtu sasa nitaanzaje kukupa ujauzito huoni nitakuwa nakimbilia matatizo?”
“Kwanini hutaki kuniamini lakini nimekuambia hakuna kibaya kitakachokupata shida yangu ni unipe ujauzito tu,” aliniambia kwa sauti iliyoonyesha msisitizo wa kauli yake.
Baada ya maneno yale sikutaka kuwaza mara mbilimbili, nilichoamua kukifanya ni kumpa alichokuwa akikihitaji.
Nilianza kwa kumtomasa taratibu mpaka akaanza kuzichojoa nguo zake mwenyewe, haikuchukua muda na mimi nikaweza kuzichojoa zangu na kitendo kilichofuata nilianza kuutumia ulimi wangu katika kutalii sehemu mbalimbali za mwili wake laini ambao ulizidi kunisisimua kila nilipokuwa napita.
Sauti na miguno ya kimahaba aliyokuwa akiitoa mahali pale iliufanya mpaka mtarimbo wangu ukawa umesimama wima halafu ukaanza kutokwa na majimaji legevu mithili ya mlenda. Sikuacha kuupeleka ulimi wangu katika vile vitongoji ambavyo vilikuwa vikisifika kwa kutoa ladha ya utamu mithili ya rojorojo za chocolate.
“Aiiiisssshhh Babyyyyyyyyyyyyyy,” alizidi kutoa miguno hapa ni baada ya kufika katika kisima cha chumvi.
“Yeees babyyyy,” nilimuitikia huku nikijaribu kuizuia mihemko iliyokwisha anza kunipanda kwa wakati huo. Nilijitoa ufahamu kisha nikawa naendelea kupasugua pale kwenye kisimi kwa kuutumia ulimi wangu.
Ulikuwa ni mchezo mdogo ambao nilikuwa nikiurudia mara kwa mara, niliamini ulikuwa ni mchezo wa utamu utamu niliyokuwa nikimpa Precious kwa wakati huo alikuwa hoi bin taabani akisubiria dozi ya mapenzi.
“Tamuuuuuu babyyy ooooooohhhh aaaaiiiishhhhhh,” alizidi kulalamika kimahaba katika namna ya sauti iliyoniweka katika wakati mgumu sana, mtarimbo wangu ulikuwa umesimama muda wote huo ukisubiria mechi.
“Inatoshaaaaaa babyyyyyy aaaaaaaahhhhh inatoshaaaaaaa ooooooohhhh,” aliniambia huku akionekana kuzidiwa.
Nilitoka chumvini na sasa nikaingia rasmi katika mgodi, nilianza kwa pupa katika kuchimba madini kiasi kwamba nilishindwa kabisa kujizuia, nikajikuta goli la kwanza nimelimwagia ndani.
“Oooooooh,” niliutoa mguno huku nikiwa nimejilaza kifuani mwa Precious, alikuwa amening’ang’ania vilivyo kwa wakati huo, hakutaka nitoke nje hata kidogo na kitendo cha goli la kwanza kulimwagia ndani alikifurahia sana, alinipokea kwa mabusu mfululizo huku akizidi kunishukuru.
“Asante mume wangu asanteeeee,” aliniambia maneno ambayo sidhani kama aliyahakiki kabla ya kunitamkia, sikua mume wake wa ndoa lakini nilishangaa akiniita jina hilo huku akiwa amenikumbatia.
Labda nikuambie kitu ni katika siku hiyohiyo ambayo niliweza kufanya mapenzi na Precious tena katika siku zake za hatari lakini ajabu alikuwa akifurahia kila bao ambalo nilikuwa nikilimwagia ndani, aliamini kuwa hitaji lake lilikuwa linakwenda kutimia. Hivyo furaha ilizidi kuchukua nafasi kubwa katika uso wake.
TABATA BIMA, DARESALAAM.
Ilikuwa ni siku ya jumamosi tulivu, hali ya hewa ilikuwa ni ya joto la wastani katika jjiji la Daresalaam. Siku hiyo ilikuwa ni siku ambayo Evadia aliamua kunipeleka nyumbani kwao Tabata kwa lengo la kwenda kunitambulisha.
Ilikuwa ni moja kati ya ndoto yake kubwa aliyokuwa akitamani kuitimiza siku moja, ndoto ya kumpata mpenzi ambapo wazazi wake wataweza kumfahamu.
Nakumbuka siku hiyo nilienda dukani kwake nikatafuta suti nzuri ambayo iliweza kunipendeza sana, ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuonekana katika muonekano wa vazi la suti.
“Karibu baba,” alinikaribisha Mama yake.
“Karibu kijana,” alinikaribisha Baba yake.
“Asanteni Baba na Mama,” nilijibu kwa sauti ya upole.
“Unaitwa nani?” aliniuliza Baba yake Evadia.
“Naitwa Dick,’ nilijibu kwa kujiamini.
“Unaitwa Dick! hilo ndiyo jina lako?” aliniuliza baba mtu kwa ukali wakati huo mama yake alikuwa kimya.
“Hapana Baba mimi naitwa Dickson Felix,” nilimwambia.
“Anha! Unajishughulisha na kazi gani?” aliniuliza.
“Mimi ni mwandishi wa hadithi hivyo kazi yangu kubwa ni uandishi.”
Hayo yalikuwa ni moja kati ya maswali na majibu ambayo yaliweza kunikabili siku hiyo lakini kitu ambacho nilikishukuru ni kuwa kila kitu kilikwenda vizuri, hakuna kitu kilichoweza kwenda mrama siku hiyo.
Baada ya utambulisho ule na pamoja na wazazi wake Evadia kuonekana kunikubali kwa kila kitu, nilichoamua ni kuitumia siku hiyohiyo katika kumuelezea Evadia dhamira yangu ya kutaka kutoa hadithi yangu iweze kuchezewa filamu na Irine muigizaji ambaye alikuwa ni rafiki yake.
“Usijali nitazungumza naye na kila kitu kitakwenda sawa,” aliniambia Evadia maneno yaliyonipa matumaini makubwa sana.
Evadia aliamua kujitoa muhanga katika kuhakikisha ndoto yangu inatimia, alijitoa sana kwangu, aliutumia muda wake mwingi sana katika kuzungumza na Irine. Aliamini katika urafiki aliyokuwa nao kwake hivyo alizidi kuniondoa hofu kuwa kila kitu kingeweza kutimia.
“Vipi imekuaje amekubali?” nilimuuliza siku moja huku nikionekana kukosa matumaini kabisa kwani ilikuwa tayari imeshapita wiki moja tangu alipoanza kufuatilia suala hilo.
“Bado usiwe na wasiwasi mpenzi atakubali,” aliniambia katika namna ya kunipa matumaini.
“Lini?” nilimuuliza.
“Atakubali tu! kikubwa unatikiwa uwe na subira kumbuka yule ameshakuwa msanii mkubwa na ana mambo mengi anayafanya lakini hata hivyo nilikumbuka kumpatia namba yako ya simu, aliniambia atakutafuta,” aliniambia Evadia kwa sauti iliyozidi kunidhihirishia wazi kuwa alikuwa akinipenda sana.
Niliendelea kuvuta subiria katika hilo, siku nazo hazikuacha kusonga mbele kwa kasi na kila ilipokuwa ikiitwa leo nilianza kumuona Evadia alikuwa ni miongoni mwa wale wasichana waongo ambao ukweli kwao ulikuwa ni mwiko. Nilihisi wenda alikuwa amenidanganja kwa kuniambia kuwa aliweza kumpa namba yangu Irine ili aweze kuwasiliana na mimi, jambo ambalo sikutaka kuliamini kabisa.
Siku moja nilipokuwa ndani ya chumba changu nimejilaza kitandani niliweza kupigiwa simu na namba ngeni nisiyoifahamu, nilipoitazama na kuligundua hilo sikutaka kupokea kabisa, niliamua kuachana nayo kwani nilihisi watakuwa ni wale mashabiki zangu wa Machombezo ambao kila siku walikuwa wakinisumbua.
Simu ilikata lakini iliweza kupigwa tena, niliendelea kuitazama bila kupokea lakini safari hii uvumilivu ulianza kunishinda, nikaamua kupokea huku nikionekana kuwa mvivu nikatega sikio langu vyema kusikiliza.
“Nazungumza na Dickson?” sauti nyororo ya kike ilinipokea kwa kuniuliza swali.
“Yes! Ndiyo mimi wala hujakosea,” nilijibu huku nikionekana kama nisiyejisikia kuongea kabisa, nilikuwa nikijilazimisha.
“Unajua unazungumza na nani?”
“Hapana sikufahamu.”
“Naitwa Irine Kisoka,” alijitambulisha kisha ghafla! nikainuka pale kitandani nilipokuwa nimejilaza nikakaa, nilikuwa nimeyatoa macho yangu kwa mshangao, nilikuwa siamini kabisa kama kweli Irine alikuwa amenipigia simu kwa wakati huo.
“Irine ni wewe kweli?”
“Ndiyo mimi,” alijibu kisha akanyamaza kidogo halafu akaendelea kuzungumza.
“Nimepokea taarifa kuhusu wewe kutoka kwa rafiki yangu Evadia. Ameniambia kuwa wewe ni mwandishi wa hadithi mitandaoni, nimejaribu kuzitafuta kurasa zako alizonitajia ambazo ni Facebook na Instagram na nimezipitia baadhi ya hadithi zako kwa kweli ni nzuri, kipaji unacho hongera sana,” aliniambia Irine.
“Asante sana,” nilimwambia.
“Kwahiyo unataka ufanyie filamu hadithi ipi?” aliniuliza.
“Ipo hadithi nimeiandika ambayo nimepanga kuifanyia filamu,” nilimjibu.
“Inahusu nini na inaitwaje?”
“Hadithi inaitwa BADO UNAISHI MOYONI MWANGU na inahusu mapenzi.”
“Kuna kitu gani kipya katika hadithi yako?”
“Vipo vingi sana na ndiyo maana nataka kuifanyia filamu?”
“Unajua kwanini nimekuuliza hivyo?”
“Hapana sifahamu.”
KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA