NIFANYE NAMIMI KAKA (25) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Alhamisi, 25 Machi 2021

NIFANYE NAMIMI KAKA (25)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
πŸ“– KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
πŸ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
πŸ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Juma Hiza

SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO
ILIPOISHIA...
Nilimaliza kuchat Instagram na Alice shabiki yangu kutoka Kenya msichana ambaye alionekana kuvutiwa na hadithi zangu.
SASA ENDELEA...
Niliendelea kujizolea umaarufu kila siku, umahiri wangu katika kutunga na kuandika Hadithi za kimapenzi ulinifanya nizidi kupendwa sana huku wengi wao wakiwa ni wanawake ambao ndiyo walikuwa wakizifuatilia sana kazi zangu. 

Mpaka kufikia muda huo sikuwa nimefanikiwa kucheza filamu yoyote lakini nilibahatika kuandika hadithi iliyochezewa filamu na mtu maarufu ambaye pia nilikuwa nikitoka naye kimapenzi.

Lengo langu kubwa la kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Irine ilikuwa ni kuutafuta umaarufu wa kuandikwa magazetini na kweli katika hilo nilifanikiwa.

Mchezo wangu wa kuchat na watu haukuishia kwa Alice kutoka Kenya bali uliendelea mpaka baadhi wa Wazungu wakawa wananitafuta. Nilifahamu yote yale yaliletwa na umaarufu ambao nilikuwa nao hivyo kila kitu kilichokuwa kikiendelea hakikuweza kunitisha wala kunishangaza, nilitegemea kila kitu kilichokuwa kikitokea.

Waandishi wa habari nao hawakuwa mbali katika kutafuta habari, nilikuwa nikipata Interview nyingi kutoka katika vituo tofautitofauti vya habari ambavyo vilikuwa na lengo la kutaka kufahamu historia yangu ya maisha mpaka ikatokea nikawa katika mahusiano na Irine.

Kwa kweli lilipofikia suala la kuwaeleza ukweli wa mahusiano yangu niliamua kuficha, sikutaka kufanya ule ni ukweli ambao kila mtu angeweza kuufahamu. Nilipoulizwa swali hilo niliweza kukanusha na kudai kuwa zilikuwa ni skendo za magazeti ambayo yaliamua kuandika kwa lengo la kuyauza magazeti yao.

“Kama unavyojua tena ndugu mwandishi mtu ukishapata jina kidogo lazima mengi yatatokea. Ni kweli nimeona na nimesikia mengi kuhusu mimi na Irine lakini yote yatabaki kuwa ni maneno tu. Magazeti nayo yananichafua sana jina langu la Dick linaonekana kuwa kama la kihuni kitu ambacho si kweli. Hakuna kitu kingine kinachoendelea nyuma yangu na Irine zaidi ya kazi tu,” haya yalikuwa ni maneno yangu niliyopenda kuyatamka kila nilipokuwa nikiulizwa na waandishi wa habari kuhusu kuhusishwa kuwa kimapenzi na Irine.

Sikutaka kuyaweka wazi mahusiano yangu na Irine hasa katika kipindi kile ambacho Precious alikuwa amejifungua na tayari alikuwa ameshapata wasiwasi juu ya habari alizokuwa akizisikia kuhusu Irine.
Nilikuwa makini sana tena zaidi ya kuwa makini, kumbukumbu hazikunipotea, nilikuwa nikikumbuka kila kitu nilichokuwa nikikizungumza, sikutaka kung’atang’ata maneno, nilizungumza ukweli wa kile ambacho niliamini kisingeweza kuniumbua baadae.

Maisha yaliendelea huku nikiendelea kuuficha ukweli wa mahusiano yangu na Irine. Nilijaribu kumshirikisha juu ya kile nilichokuwa nikikifanya na kumuuliza kama nilikuwa sahihi au la. Alionekana kufurahishwa sana, hakutegemea kama ningeweza kufanya hivyo, hilo ndilo lililozidi kumfurahisha kiasi kwamba akazidi kunipenda kupita kawaida.

“Ujue mimi sikutegemea kama ungeweza kufanya hivyo,” aliniambia nilipokuwa nyumbani kwake Tegeta majira ya usiku, tulikuwa chumbani, wakati huo nilikuwa nimevaa bukta huku juu nikiwa kifua wazi na yeye alikuwa katika vazi la kanga laini aliyokuwa amejifunga mpaka kifuani ndani yake hakuwa amevalia chochote. Alikuwa amekilaza kichwa chake kwenye mapaja yangu.

“Hukutegemea nini sasa?”nilimuuliza huku nikimpapasa uso wake laini ambao haukuwa na chunusi hata moja.
“Mimi nilijua ungeitumia nafasi hiyo kutafuta kiki,” aliniambia kwa sauti nyororo iliyogubikwa na wimbi la jinamizi la mapenzi lililokuwa linataka kuniingia hasa kwa mapema kiasi kile, niliwahi kulikemea.
“Irine sipo na wewe kwa lengo la kutafuta umaarufu bali nipo na wewe kwa lengo moja tu,” nilimwambi kisha nikanyamaza, nikamtazama, alionekana kuwa na shahuku ya kutaka kufahamu lengo langu. Akanyanyua kichwa chake kutoka katika mapaja yangu kisha na yeye akanitazama, tukatazamana.
“Lengo gani?” aliniuliza hapa ni baada ya uvumilivu wa kutazamana kumshinda.
“Nataka kutengeneza maisha bora na wewe na si bora maisha,” nilimwambia.
“Maisha bora?” aliniuliza.
“Ndiyo Mpenzi, natamani vitu vingi sana nifanye na wewe na vyote haviwezi kutimia bila ya kitu kimoja.”
“Kitu gani?”
“Upendo yani mapenzi ya dhati.”
“Unamaanisha nini?”
“Namaanisha bila upendo hakuna maisha bora, bila upendo hakuna familia bora ambayo nitaweza kutengeneza na wewe, bila upendo siwezi kufunga pingu za maisha na wewe, bila upendo siwezi kufanya lolote na ndiyo maana nikakuambia natamani vitu vingi sana lakini ukikosekana upendo nitashindwa.”
“Mume wangu.”
“Niambie.”
“Kitu gani unatamani kutoka kwangu.”
“Natamani mengi sana lakini kikubwa natamani mtoto.”
“Hilo tu?”
“Ni miongoni kati ya ninavyotamani kutoka kwako.”
“Usijali mimi nitakuzalia tena sio mtoto ni watoto.”
“Nitafurahi sana nahisi ndoto yangu itakuwa imetimia.”
“Ndoto yako gani?”
“Kuwa na mtoto yani mrithi wa mali zangu.”
“Usijali Mpenzi nimeumbwa kwa ajili yako yote unayotaka nitakutimizia kama ni mtoto pia nitakupatia.”
“Kweli?”
“Ndiyo Hubby sioni sababu yoyote ya kukudanganya.”
“Mimi nafurahi na tena najivunia kukupata katika maisha yangu umekuwa mwanamke wa kitofauti sana kwangu.”
“Inamaana hao wengine walikuwaje?”
“Vivuruge tu yani pasua kichwa.”
“Hahaha! Lakini kwangu je?”
“Kwako Napata burudisho la moyo pumziko la ubongo.”
“Kwa maneno sikuwezi.”
“Huo ndiyo ukweli,” nilimwambia.

Kwa muda ambao tulimaliza mazungumzo, mikono yangu haikuacha kutulia sehemu moja, ilikuwa ikitalii sehemu mbalimbali za mwili wa Irine, kuna muda nilikuwa nikizichezea nywele zake mara nikashuka shingoni nikaitomasa, nikashuka kifuani na hatimaye nikaangukia mapajani mwake, nilikuwa katika weweseko la 

Mapenzi, sikutulia sehemu moja kama mlinzi aliyekuwa malindoni, kila sehemu ya mwili wake ilikuwa imeumbwa ikaumbika haswaa!, hakukuwa na sehemu nilipopashika kwa muda ule kisha akawa amenyamaza kimya kama sanamu, alikuwa akitoa mguno kuashiria alikuwa akipata msisimko.

“Unataka nini tenaaaaaaa umeanzaaaa,” aliniambia kwa sauti iliyoanza kukosa uvumilivu.
“Baby nipe kidogo,” nilimwambia huku nikiifungua kanga yake, alikuwa ameifunga kizembe hivyo sikupata kazi sana ya kuifungua kilaini tu ilifunguka na sasa macho yangu yakawa ana kwa ana na vya siri alivyokuwa amevificha kangani.

Sikutaka kubaki kumshangaa kama bongo movie isipokuwa niliianza kazi yangu ya kucheza na bustani yake. Nilihakikisha mpaka anazidiwa vya kutosha ndipo ambapo niliweza kuingia mchezoni, sikutaka kumpa nafasi ya kuichezea mashine yangu ambayo na yenyewe ilikuwa tayari imezidiwa, nilimlaza chali kisha nikaanza kuingiza mashine taratibu.

“Aaaaaaiiiishhhhhh ooooooohhhh jamaniiiiii Dickkkk mbona tamu hivyooooo aaahhhhh ooooohhh,” aliniambia huku akitoa miguno mara baada ya kuingiza mashine yangu. Ilipoingia sikutaka kuipotezea muda wake ilianza kufanya kazi yake. Niliendelea kulisakata kabumbu mpaka pale wazungu weupe waliponibishia hodi, walikuwa wakitaka kutoka.

“Dick mwagia ndani tu…mwagiaaaa aaaahhhhh,” aliniambia huku akiendelea kutoa miguno ya kimahaba.

“Mmmmmhhhh ooooooooohh,” nilianza kutoa miguno wakati ambao wazungu walikuwa njiani kutoka nje.

“Mwagia babyyyyy babyyyyy babyyyyyy aaaaaahhhh oooooooh tamu baby tamuuuuu,” alizidi kutoa miguno huku akiwa amening’ang’ania, wakati huo nilikuwa tayari nimeshatoa wazungu weupe.

Tuliendelea kuucheza mchezo huo, tulipochoka tulipumzika, tulipopata nguvu mpya tuliendelea mpaka pale ilipofikia mwisho wa mchezo wetu wa utamu. Irine alinishukuru kwa kumridhisha usiku ule. Tulikwenda bafuni kuoga, tuliporudi tulijitupa kitandani kisha usingizi mzito uliweza kutupitia.

Niliamka katika siku ambayo naweza kusema ilikuwa ni siku mbaya sana kwangu, siku hiyo Magazeti yaliandika habari mbaya sana kuhusu mimi, sijui ni nini kilitokea au ni nani alitokea na kwenda kuzipeleka habari zile kwa waandishi wa habari ila nilijikuta tu! nikikumbana na skendo ambayo kwa upande wa pili wa shilingi ilikuwa na ukweli ndani yake na ni katika hiyo skendo iliweza kunipa funzo.

Ilikua ni siku ambayo magazeti yaliandika habari kuwa nilikuwa nikitembea na mke wa mtu ambaye nilibahatika kuzaa naye mtoto na kibaya zaidi waliandika kuwa hata nyumba ambayo nilikuwa nikiishi ni ya huyo Mwanamke ambaye alinihonga mara baada ya kufanikiwa kumpa ujauzito. 

Kwa kweli habari hizo ziliniweka katika mshangao wa hali ya juu, sikujua ni nani ambaye alihusika katika hilo, mtu wa kwanza ambaye nilimfikiria kwa wakati huo alikuwa ni Precious, niliamini Precious ndiye mtu pekee ambaye alikuwa akiufahamu ukweli huu tena aliniahidi kuwa itabaki kuwa siri kati yetu.Sasa kwanini anisaliti?

Hili ndiyo lilikuwa swali kubwa ambalo nilijiuliza lakini sikuweza kupata jibu lolote. Kichwa changu kilitawaliwa na maswali lukuki.

“DICK KAZAA NA MKE WA MTU.”, “UKWELI KUHUSU DICK KUWA NA MTOTO.”

Hivi vilikuwa ni baadhi ya vichwa vya habari vya magazeti ya udaku yaliyopamba moto kwa habari hizo siku hiyo.

“Dick utaniambia nini kuhusu hili?”
“Hakuna kitu.”
“Hakuna kitu wakati huu ndiyo uchafu unaoufanya?”
“Irine mimi hata sielewi naona mapichapicha.”
“Mapichapicha wakati kila kitu kinaonekana hapa au unataka kuniambia waandishi wa habari ni waongo?”
“Irine hakuna ukweli wowote ulioandikwa hapa niuwongo mtupu.”
“Dick usinifanye mimi mtoto mdogo sawa naelewa kila kitu.”
“Irine huo ndiyo ukweli ambao naufahamu sina ukweli mwingine.”
“Dick kumbe na wewe haujatulia?”
“Mpenzi wangu kwanini hutaki kuniamini?”
“Sitaki kukuamini na sitakuamini Dick, najutia maamuzi yangu ya kuwa na wewe kumbe nyuma ya pazia una mtoto halafu umezaa na mke wa mtu?”
“Irine nielewe mpenzi hakuna chochote ninachokifahamu kwanza mimi mwenyewe nashangaa sijui ni nani amepanga kunichafua.”
“Unashangaa? Inamaana unataka kujifanya hujui kinachoendelea?”
“Sijui Irine kweli tena yani nimechanganyikiwa.”
“Umechanganyikiwa wakati hiyo ndiyo tabia yako. Hivi Dick ni kitu gani umekosa kwangu, ni nini ambacho umekikosa kwangu.”
“Hakuna kitu nilichokosa kwako.”
“Dick naomba uniache, niache Dick.”
“Irine mpenzi wangu nipe nafasi basi nijieleze.”
“Nikupe nafasi gani Dick, nimekupa moyo wangu lakini tayari umeshaumiza naomba uniache Dick.”
“Irine.”
(Alinyamaza kimya) huku machozi yakimdondoka.
“Irine mpenzi wangu.”
(Alinyamaza kimya)
“Nipe nafasi mpenzi wangu nijieleze,” nilimwambia lakini hakujibu lolote, alinyamaza kimya kana kwamba alikuwa bubu, nilijitahidi kumsemesha kadri niwezavyo lakini hakuna nilichoambulia zaidi ya machozi yake aliyokuwa akibubujikwa.

Nilikumbuka usiku wa siku hiyo tulitoka kufanya mapenzi tena hakukuwa na tofauti yoyote kati yetu lakini nilishangaa tukiamka katika asubuhi ya tofauti, asubuhi ambayo ilibadilisha kila kitu katika mapenzi yetu.

Tulikuwa katika ugomvi ambao uliletwa na skendo ambayo ilinihusu kwa asilimia kubwa wala hakukuwa na cha kuficha kwani kila kitu kiliwekwa wazi.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni