MASHINE YA NANI? (1) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumatano, 14 Aprili 2021

MASHINE YA NANI? (1)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
πŸ“– KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
πŸ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
πŸ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Eliado Tarimo

SEHEMU YA KWANZA
Ahsante sana kaka Eliado kwa kunipa na mimi nafasi ya kusimulia Simulizi yangu ya maisha ambayo kwa namna moja inafurahisha na kwa namna ingine inasikitisha. Sijui nianzie wapi lakini ngoja nianze tu kwa kujitambulisha..Naitwa Jimmy jina nililopewa na wazazi wangu ingawa nilipokuja mjini jina hilo limefifia na sasa wananiita tamu yao.

Ndio tamu yao ndo jina langu maarufu, maana wadada wananipenda sana na ndo wananipa umaarufu.Sijisifiii ila ulizia mitaa ya Tanki bovu Mbezi hapa Dar es salaam ndo utajua kwa nini wananiita tamu yao.Mimi nilizaliwa huko Singida mpakani na mkoa wa Manyara kwenye kijiji kimoja kinachoitwa Kidarafa.Nilipozaliwa tu, wazazi wangu walishtushwa sana maana nilionekana kama na jinsia mbili.

Ndio usishangae ndugu msomaji nilikuwa na jinsi ya kike na ya kiume.Madaktari pamoja na kutoa ufafanuzi wa kisayansi kuhusu jambo hilo lakini bado swala lile wazazi wangu walilihusisha na imani za kishirikina.Lakini madakari baada ya kunipima na kugundua kuwa nilikuwa na homoni nyingii za kiume kuliko za kike walinisaidia kunipeleaka South Africa ambapo nilifanyiwa upasuajii na kuzibwa sehemu ya jinsia ya kike.

Basi kwa kuwa nilikuwa bado mdogo baada ya matibabu hayo nilirudi zangu kijijni kuendelea na maisha.Kwa mujibu wa histori niliyopewa ni kwamba kadri nilivyokuwa mkubwa ndivyo hivyo kiungo changu cha kiume badala ya kuongezeka na kuwa kikubwa chenyewe kilizidi kuwa kidogo.Hofu ikazidi kuwatawala wazazi wangu na hapo ndipo walianza kwenda kwa waganga wa kienyeji.

Lakini babu yangu yeye hakuwa na hofu sana maana na yeye alikuwa ni mtaalamu kidogo.Yeye alishauri nipelekwe jandoni na baada ya hapo ndo watajua watanisaidiaje.Kweli bwana nikiwa darasa la tano nilipelekwa jandoni na mpaka leo bado nakumbuka maumivu niliyoyapata siku natahiriwa.Najua sa hivi watoto wa siku hizi wanafanyiwa huduma hiyo hospitalini tena kwa kutumia ganzi.

Tukiwa kwenye kambii hiyo ya jandoni huku wenzangu wote wakiwani wakubwa sana kila mtu alikuwa akishangaa udogo wa uume wangu na wengine walidiriki kunitania na kuniambia kuwa hicho kibamia changu sitaweza kuwarizisha wanawake. Hata mimi kwa kweli nikaanza kujidharau maana wenzangu walikuwa na mitarimbo ya ukweli.Ingawa nilikuwa siyajui mapenzi lakini nilitamani na mimi kama siku moja mtarimbo wangu ungekuwa mkubwa kama wao.

Mbaya zaidi kuna binamu yangu mmoja alidiriki kuniambia kuwa madaktari walikosea sana mbora wangekikata hiki kibamia nibaki tu mwanamke.Kiukweli lazima nikiri kuwa hata homoni za kike nilikuwa nazo maana kuachilia mambo mengine pia nilikuwa na ngozi nyonyoro kama ya kike.Kitu kingine kilichozidi kuwashitua wazazi wangu ni jinsi nilivyokuwa mzuri yaani bonge la handsome boy (H.B) na hata sauti yangu ilikuwa ni nyoroo kama ya kike.

Siku moja nikiwa nipo darasa la saba nimeshaanza kujielewa na pengine niseme kumendea membea visichana vya nyumba ya jirani babu yangu aliiniita na kuniambia anataka niwe mwanaume wa ukweli.Neno kuwa “mwanaume wa ukweli” sikulielewa hivyo nikaomba ufafanuzi. “Mjukuu wangu sisi katika famailia yetu hakuna hata mmoja mwenya maumbile madogo ya kiume” alifafanua baby huku akitoa tumbaku lake na kusokota tayari kwa kuvuta..

Akakooaa kidogo kisha akaendeea “Hivyo kwa kuwa mimi babu yako ni mganga sina haja ya kukuacha uwe hivyo mjukuu wangu.Leo tutaondoka na kwenda mtoni ambapo nitakufanyia utatibu na wewe uume wako ukuwe ili usije mbeleni ukaaibisha familia yetu”alisissitiza babu yangu huyo ambaye kipindi hicho alikuwa na umri mkubwa sana.Sikuwa na la kusema zaidi ya kumsiiliza babu na alipomaliza safari ya kwenda huko mtoni ambao pia ndipo bustani yake ilipo ikaanza.

Alinipeleka moja kwa mja kwenye mti ambao uliitwa mboribo.Mti huu huwa unazaa vitu kama madodoki lakini yenyewe ni magumu sana na yanaumbo kama viungo vya siri vya kiume.Basi tukapanda juu ya mti tukachangua mboribo mmoja ambao ulikuwa bado mdogo.

Babu akauchannja kidogo na kuweka vitu ambavyo sikuvijua, kisha akafungua zipu ya suruali yangu na kisha akakitoa kibamia changu na kukichanja kidogo kisha ile damu akaiweka kwenye kitambaa kisha kufungia pale kwenye mboribo.Akanambia natakiwa niwe mlinzi maana kadri tunda hilo linavyokuwa ndivyo hivyo uume wangu utakavyokuwa.

Kweli bwana baada ya mwezi mmoja maendeleo yalikuwa yakionekana.Nilianza kujiisi mwanaume wa kweli kwa sababu uume wangu ulianza kurefuka na kunenepa.Mpaka namaliza darasa la saba kwa kweli sikua haba.Niliambiwa ule mboribo unatakiwa kukatwa punde tu nitakapofikisha ukubwa wa kiungo ninachokitaka.

Nilivyomaliza tu shule shangazi yangu alimuomba baba niende mjini.Baba naye alikubali hivyo safari ya kuja Dar ikaanza.Kutokana na ubize wa shangazi siku hiyo alimtumwa mwanaye Magret na msichana wa kazi waje kunipokea.Walinipokea na kunipeleka nyumbani.Baada ya kuoneshwa chumba na kuoga nikiwa sebuleni nilibahtika kumsikia yule beki tatu amabye kidogo alikuwa ni mkubwa akiumuuliza Mage “hivi huyu binamu yako ni wa kiume au wa kike mbona mzuri hivyo”.

Nilipunguza sauti ya radio ili niendelee kusikia kinachoendelea huko jikoni.Mage naye kwa mbwembe akamjibu“wacha tu Aisha huyu atakuja kuwa tishio sana mjini, lazima atakuja kuwa tamu yao.Yaani wasichana watakuwa wanajigonga sana kwa huyu mwanume”.Alisisitiza dada binamu huyo.

Niliamua kupotezea nikaendelea kuangalia TV huku nikisindikizwa na juisi niliyopewa.Siku zilizidi kwenda huku kiungo changu kikiendelea kukuwa mpaka kufikia ukubwa ninao utaka.Sasa nakumbuka babu alinambia kuwa nikifikisha urefu unaotakiwa inabidi nikakikate kile kitunda cha mti wa mboribo.

Sasa mimi nipo Dar je nani atanisaidia kwenda kukikata?Swali hili alikupata jibu na siku zilizidi kwenda.Yaani kila siku mtwangilio ulizidi kuwa mkubwa mpaka nikaanza kuingiwa na hofu.Nilitamani kumwambia shangazi ukweli lakini nilishindwa maana niliogopa.Ikafikia sasa nikivaa suruali inayobana mtarimbo unaonekana.

Siku moja shangazi aliondoka na mwanaye na kutuacha mimi na beki tatu tu. Ingawa nilikuwa sijawahi kufanya mapenzi lakini hata mimi nilikuwa nikimtamani dada huyo ambaye alijaliwa makalio makubwa na urefu kama twiga.Basi siku hiyo nikiwa zangu sebuleni huku nikiwaza kuhusu mapenzi ambao mimi nilikuwa ni limbukeni kabisa nilisikia dada huyo kwa jina 

Aisha akiniita.Sauti yake ilitokea chumbani kwake “Jimmy, Jimmy handsomeboy wangu ebu njoo mara moja”.Eeeh kuna nini tena huko chumbani niliwaza huku nikajaribu kuuweka sawa mtarimbo wangu ambao ulikuwa umeumuka kama unga wa mandazi kutokana na mawazo ya kimapenzi niliyokuwa nikiwaza pale.

Nilisimama vizuri na kujitahidi kuurudishia na kuubana vizuri na suruali lakini wapi ndo kwanza ulikuwa na hasira.Nikiwa bado nipo kwenye jitihada hizo za kuuzuia mtarimbo wangu ili usije kuonekana dada huyo wa kazi naye alitoka chumbani kwake ili kuja kunifuata maana alihisi labda nimemdharau

“Yaani wewe umekuja juzi tu na umeshaanza kuwa na dharau kwa wakubwa zako” aliuliza Aisha kwa hasira. “Hapana dada Aisha ndo nilikuwa nakuja” nilijitetea huku nikijaribu kuirudisha mpini wangu ambao ulikuwa ushaanza fujo mara baada ya kupitisha macho yangu kifuani kwa binti huyu na kugundua kuwa alikuwa hajavaa sidiria.

Macho haya yaliongozwa na tama za kitoto yaliweza kuona michirizi michirizi ya matiti hayo ambayo yalikuwa yamefunikwa na kishati kifupi cha mikono mifupi.Safari hii dada Aisha alinyamaza kimya huku macho yake yakiganda kwenye suruali yangu. Nilijihisi naweza kutoboa zipu kwa jinsi hizo pushapu za kiungo changu zilikuwa zikipigwa..

“Hivi wewe mtoto hiyo naniluu ni ya kwano au ni ya nani? Aliuliza dada Aisha huku akiwa ameshika mdomo.” “Naniliu ya naniii”….nilijikuta na mimi nikimuuliza japo nilielewa swali.Siyo hiyo naniliu yako kwenye suruali alijibu Aisha huku akiendelea kunishangaa.. “Naniliu ya nani, mimi sijui bwana wewe nambie ulikuwa ukisemaje? Nilimwambia huku nikiingiza mkono mfukoni na kujaribu kuzuia huo matarimbo usiendelee kufanya fujo.Kumbe wakati huo Shangazi na Magreth walishakuwa wamerudi na wapo mlangoni nyuma ya dada Aisha wakisikiliza mabishano yetu.

“Yaani wewe mtoto sio bure huwezi kuwa na naniliu kubwa hivyo” alisema Aisha huku akianza kunisogelea. Kweli hiyo “Naniliu ni ya naniii?” ilisikika sauti ya shangazi nyuma ya dada Aisha kabya ya mwanaye Magreth kuchekana kusema “hiyo naniliu itakuwa ya naniii”.Ya nani wewe naye kama sio umbea aliuliza mama yake kwa mshangao.

Mimi hapo nilihisi kupatwa na aibu sana na sikutaka tena kusubiri nilikimbilia chumbani kwangu.Niliona aibu sana maana nilihisi siri yangu ya kuwa na Naniliu kubwando ishajulikana hivyo.Nilisema kama Shangazi ataniuliza juu ya ukubwa wa kiungo changu basi nitamwambia ukweli kuwa kuna mti wa mboribo babu alifanya utundu wake kule bustanini.

Nilimsikia shangazi akimfokea Aisha kwa kumwambia mimi ni mtoto na hasije kujaribu kunifundisha michezo ya kiutu uzima.Aisha alijitetea kuwa yeye hana kosa alitoka chumbani akanikuta sebuleni nikiwa katika hali hiyo ndo aakanza kunishangaa.

Basi kwa aibu niliyoipata nilizidi kukaa ndani mpaka hapo nilipogongewa kuwa niende nikale.Nilikula haraka haraka na kurudi zangu chumbani.Niliwaza nikajisemea Shangazi anaiujua histori yangu vizuri kwa hiyolazima atampigia baba na kumuuliza kuhusu 

Naniliu hii ni ya Nanii mbona haiendani na umri wangu.Basi nililala zangu huku nikiwaza san kuhusu kitu kinachoitwa mapenzi.Usiku wa manane nikiwa usingizini nilisikia kama kitasa cha mlango wangu kimeguswa.Na kwa kuwa nilikuwa sijafunga malngo niliskia mtu akiingia.

Kwa hofu niliwasha taa kwa kutumia switch ndogo ya hapo kiatandani. “Mungu wangu nilijikuta nikizima ile taa mara baada ya kumuona dada Aisha akiwa ameingia huku akiwa nusu uchi.

Ndio nusu uchi kwa maana yale matiti yake yaliyonitoa udenda mchana yalikuwa wazi huku akiwa amevaa kufuli jeupe.Kwa hofu nilijikuta nikizima ile taa na kuanza kuhema kwa nguvu.Kila nilipokuwa nikihema na kuvuta pumvi ndivyo 

Naniliu yangu ilivyokuwa ikisimama na kuzidi kurefuka.Aisha naye aliwasha taa kwa kutumia swichti ya ukutanai.Macho yakandelea kuganda kwenye mwili wa binti

huyo.Katika umri huo mdogo sikuwa tena na akili za kitoto bali akili za kiutu uzima maaana nilitamani kumrukia.


KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni