PENZI PENZINI (4)

Jpt
0
Mwandishi: Eliado Tarimo

SEHEMU YA NNE
ILIPOISHIA...
Gaston anaeleza kuwa alimwona yule kijana akienda kule sehemu ambayo yeye alikuwa amechukua chumba na Kumwacha Beatrice nje. Basi bila kujua chochote kinachoendelea alimfuata Beatrice na kuanza kumwoji maswali. “Hapa ni wapi? Upo na nani? Na kwa nini unataka kunisaliti”. Wewe vipi una maswali mengi kwani wewe ni polisi? alijibu Beatrice. Kitendo hicho au jibu hilo lilimfanya Gaston kukasirika na kuanza kumshushia kipondo kama anapiga mbwa mwizi.

SASA ENDELEA...
Alimpiga sana na baadaye alituma meseji kwa ndugu zake wote kuwaambia kuwa Beatrice amefumaniwa na mwanaume mwingine. Kwa kuwa Gaston alikuwa akifahamika kwa kina Beatrice hivyo ujumbe huo ulikuwa ni mzito sana na ulichukuliwa kwa umakini wa hali ya juu.Gastoni aliendelea kumweleza Mwajabu kuwa baada ya hapo aliumia sana na alikuwa akipoteza dira siku hadi siku. Baadaye marafiki zake walimshauri kurudiana na Beatrice jambo ambali lilimfurahisha japo yeye ndo alisalitiwa.

Baaadaye walirudiana kabla ya Beatrice kuamia Dar es Salaam ndipo hapo walipopoteza mawasiliano.Kwa hiyo tangia miaka miwili iliyopita yeye aliamua kutafuta msichana mwingine yaani Jesca.Mwajabu aliumizwa sana na simulizi hiyo akasema kweli mapenzi yamekuwa ni usaliti kwani kila siku watu wanaumizwa na kuumiza. 

“Ni kweli kabisa Mwajabu na hapa tayari nishamsaliti Jesca wangu na bado Beatrice ananisumbua anataka aje Moshi sijui hata nifanyaje?” alisema Gaston.Hakuna cha kupoteza zichange karata zako vizuri maana hapa ni PENZI PENZINI alisema Mwajabu.

“Una maanisha nini, PENZI PENZINI?” aliuliza Gaston kwa mshangao.Mwajabu akamwambia “fimbo ya mbali haiui nyoka cha msingi sasa tafakari ombi langu la mimi kuwa wako”.Nataka niachane na mpenzi wangu wa Rufiji kwani hatuendani maana tayari nishamzidi kielimu na hanihudumii kwa lolote lile na sipendi kuendelea kumsaliti na wewe sipendi uendelee kumsaliti Jesca aliendelea kufafanua binti huyo mwenye mapozi ya kipwani.

Gaston alimsikiliza lakini hakumwelewa kabisa. Gaston akamwambia “ni alfajiri sasa na hatujalala kwa hiyo naomba tulale kwa kuwa asubuhi tuna kipindi cha saa mbili”. Ni kweli lakini mimi leo sitoki hapa mpaka usiku mwingine unikute hapa maana sijajua kuwa hizi habari za kufumaniwa watu wamezipata au la. Nataka ukienda chuo unipe ripoti ili nijue nafanyaje alifafanua Mwajabu.Basi walijufunika shuka na kulala.

Kweli chui na kondooo hawawezi kulala zizi moja na siku zote ukichanganya na kuunga hasi na chanya lazima umeme utawaka.Dakika tanao tu baada ya kujifunika walishaanza kupapasana na kujikuta wakirudia kale ka mchezo huku kila mmoja akijisaulisha kuwa ana mpezi wake. Usaliti ni jambo ambalo wote wawili walikuwa wakilifanya. Baada ya Gaston kurizika na penzi la Mwajabu aliamua kujiachia na kupitiwa na usingizi. Mwajabu naye kuona hivyo akajua kabisa hakukuwa na yeyote baina yao ambaye ataweza kuwahi kipindi cha saa mbili asubuhi hivyo waliendelea kupiga usingizi.****

Alice Baada ya kuachana na Gaston pale Vimbwetani yeye alielekea hostel kwao.Aliendelea kuwaza lile tukio la watu wawili kuvunja amri ya sita kwenye vimbweta. “Haaa ngoja niachane na wale wapuuzi” alijisemea Alice na kuamishia mawazo kwa Gaston. Da hila boy friend wa rafiki yangu Jesca ana mvuto sana alijesemea Alice na kuendelea kuona kuwa rafiki yake amepata jembe, kijana mtanashati, mkarimu, mcheshi na mwenye uwezo mzuri darasani. 

Tazama yale maswali ya Bussines mathematic sisi wote darasani tuliyashindwa yeye ameyafanya kwa dakika mbili tu.Sema sasa hawaendani sana na Jesca maana rafiki yangu yule amekaa kilokole lokole sana aliendelea kuwaza Alice.But any way ngoja nimpigie Dulla wangu alijisemea Alice na kunyanyua simu.

Dullah ni kifupi cha jina Abdalah ambaye ndiye boy friend wake. Dullah ni kijana mdogo mwenye mafanikio makubwa hapa mjini na hii inatokana na utajiri wa familia yao. Baba yao anamiliki malori yanayokwenda nchi ya jirani, pamoja na mambo mengine walikuwa na mali nyingi sana mjini Moshi na Arusha, mali ambazo zinatosha kuwaita matajiri. 

Wanamiliki maduka ya spea za magari na pia wana sheli. Ukiachilia mbali mali za familia pia na wao watoto walipewa mgao ambao uliwawezesha kuishi maisha ya kifahari na kuonekana kuwa kweli walikuwa ni watoto wa matajiri. Dullah kwa sasa ni mwanafunzi wa form six katika shule ya sekondari ya wavulana inayoitwa Umbwe ambayo ipo Kibosho mkoani Kilimanjaro.

Alice na Dullah walijuana miaka mingi sana iliyopita kabla ya kukutana wakiwa ni watu wazima ambao wamekwisha balehe. Mwanzoni walikuwa wakisoma wote katika shule moja ya English medium huko Arusha. Baadae Dullah aliamishwa na hapo ndipo walipopotezana. Lakini miaka ilivyosonga walikuja kukutana tena stend. Siku hiyo 

Alice alikuwa akienda kwao Dodoma na kipindi hicho alikuwa form two na ikumbukwe waliachana tangia wakiwa primary.Basi tangia siku hiyo mawasiliano yao yalianza upya na baadae walikubaliana kuwa wapenzi.Simu iliita mda mrefu bila kupokelewa, akawa anarudia rudia kila baada ya dakika kazaa mara simu ikapokelewa lakini sio na Dullah ilisikia sauti ya kike.


Wakati Alice anapiga simu Dullah hakuwa na simu wakati huo kwani alikuwa amenyang’anywa mchana wa siku hiyo, kwani ilikuwa ni marufuku shuleni hapo kumiliki simu na ukikamatwa adhabu yake ilikuwa ni kwenda nyumbani kumleta mzazi na unapigwa faini ya laki mbili lakini kwa umaarufu wa Dullah yeye akufukuzwa bali simu ilichukuliwa tu na madam mmoja wenyewe walimwita madam Lil ambaye ndie mwalimu wa darasa lao. 

Kwa hiyo Alice alivyopiga simu ilipokelewa na madam Lil. Alice alishtushwa sana na sauti ya kike lakini baadae Dullah alimtafuta kwa kutumia simu ingine.

Dullah alimweleza tukio la yeye kupokonywa simu lakini licha kumwelewesha kuwa alinyang’anywa simu bado Alice alikuwa mkali sana na mwenye maswali mengi sana.
Alice; kwanini kama ilitokea hivyo usinitafute kwa simu ingine?
Dullah; Hapana wangu simu sikupata kwani rafiki yangu hayupo alienda kwao Arusha ana matatizo ya kifamilia.
Alice; Kwani wewe una rafiki mmoja yaaani ushindwe kunitumia hata sms, kweli siku hizi hunipendi.
Dullah; ok nisamehe yaishe mpenziii
Alice; Sikusamehii mpaka upige magoti
Dullah; basi nakupiga mabusu mpaka ulie
Alice; Ahhhhhaaaaaaaaa, ebu piga nione
Dullah; Mmmmmmwaaaaaaaahhhhhhhhhhhhh mwaaaaaaaaaaaaaaahhh
Alice; Sitaki masihara yako hilo sio busu umenifyonya
Dullah; ok yaishe, how iz ur dei ( umeshindaje leo)
Alice; poa tu sijui wewe mume wangu?
Wakati wakiendelea kuchombezana mara kuna mtu alimshika mabegani Dullah na kumwambia “kamanda tunakuomba mara moja kuna tatizo limetokea” Dullah ikabidi akatishe mazungumzo na Alice na kuamua kusikiliza ni tatizo gani kwani yeye alikuwa ni kiongozi wa ulinzi shuleni hapo.
Kijana aliye mwambia kuna tatizo pia alikuwa ni kiongozi wa chakula, hivyo aliendelea kwa kusema “Kiongozi wa ulinzi ebu tuambie tuchukue hatua gani kuhusu hawa form 4 kwa maana wamewadanganya wasichana wa shule ya hapa jirani kuwa wana majibu ya mtihani na wamewaambia hawawezi kuwapa mpaka watoe penzi” alifafanua kiongozi huyo.

Kumbe miezi hiyo ilikuwa ni ile ya mitihani ya kidato cha nne na inasemekana kuwa kuna baadhi ya wavulana wa shule hii walikuwa na majibu ya mtihani huo kwani eti walikuwa ni watoto wa vigogo. Kwa hiyo tatizo hapa haikuwa posibo(majibu) bali ni vitendo vya uharamia vilivyokuwa vikiendelea ndani ya chumba kimoja. 

Wasichana wawili waliamua kujitoa muhanga ili waweze kupata majibu ya mtihani huo na hatimaye kufaulu. Waswahili wanasema shida haina adabu kwani wasichana hao warembo walikubali kutoa penzi kwa wanafunzi hao wa kiume bila kuwa na uhakika kuwa majibu hayo yalikuwa ni ya ukweli au la( enzi zetu sisi tuliyaita matango pori)

Huwezi amini wasichana hawa wadogo kiumri na kifkra walikuwa wakigawa penzi mbele wavulana wanaozidi sita yaani kwa lugha isiyo rasmi walipigwa mtungo. Jambo hili ndo lilimfanya waziri wa chakula kuleta taarifa kwa waziri wa ulinzi ambaye ni Dullah. Dullah kwa haraka baaada ya kupewa taarifa alienda moja kwa moja kwenye chumba ambacho uharamia ulikuwa ukiendelea. Akagonga lakini wahusika hawakutaka kufungua kwa hasira waliupiga mlango kwa nguvu na kuingia ndani (Walivunja mlango).

Bila kutegemea wahusika walikurupuka kutoka ndani kwa kasi ya ajabu na kuwapamia viongozi hawa kisha wakatokomea pasipojulikana. Viongozi wakaingia ndani na kuwakuta wale wasichana wakiwa watupu kama walivyozaliwa. Dullal kwa huruma aliwaaambia poleni sana ebu vaeni nguo muondoke hapa msije mkafia humu.

Msichana yule aliyekuwa juu ya deka akasema “asante sana kaka maana sisi walituambia wapo 4 lakini cha ajabu hawaishi na kila baada ya dakika kadhaa nilikuwa nahisi kuingiliwa na mwanaume mwingine sasa sijui walitaka tufanye na darsa zima” alilalamika msichana huyo. Dullah kabla hajaongea kitu alivua koti lake na kumtupia yule binti aliyekuwa deka ya chini ili ajifunike sehenu zake za siri lakini cha ajabu yule dada alimwambia “we kaka vipi unataka nijifunike wakati jogoo wa rafiki yako amesimama na anataka kuwika. Mimi naona nimpe(penzi) rafiki yako na wewe kama unataka upewe na huyo huko juu mkirizika muwatafute hao wadogo zenu waliokimbia watupe majibu tuondoke.”Alisema binti huyo bila aibu yoyote.

Dullah alishtushwa sana na kauli hiyo ja kijasiri ya dada huyo ambaye alijaliwa umbo zuri la kibantu lililonona kupita maelezo, kiukweli simuliwa tu omba wewe mtoto wa kiume usikutane nae tena akiwa mtupu kama alivyo hapo. Dullah alichanganyikiwa asijue cha kufanya wakati anatafakari simu yake iliita tena na hii ilikuwa ni mara ya kumi. Ni Alice ndo alichoka kusubiri akawa anapia piga kila dakika. Dullah akatoka nje ili apokee na kumwambia kuwa awe na subra kuna tatizo limetokea. Kitendo kile cha Dullah kutoka nje kilimpa ujasiri yule dada aliyekataa kujifunika kumvuta yule kaka aliyeingia mule ndani na Dullah.

Kweli dunia ina mambo na ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni na ukitaka kujua uchu wa paka mwoneshee nyama. Dullah kurudi anakuta tayari mambo yameshaaribika, akajisemeha kwa mshangao “mungu wangu, wewe si ulikuja kunipa taarifa tuwaokoe hawa wasichana” Alishindwa kuelewa afanye nini au na yeye ajiunge na yule binti mwingine aliyekuwa kwa juu ya deka. Wakati anajifikiria mara mbili mbili, yule binti wa juu alijifunua na kumwambia “karibu kaka hamna jinsi hapa ni PENZI PENZINI..”

Yule binti akaongeza “ingawa sikupenda iwe hivi lakini naamini kama tutawafurahisha mtatusaidia kuyapata hayo majibu ya mtihani kutoka kwa wadogo zenu. Dullah alizidi kuchanganyikiwa asijue cha kufanya na wakati huo miguno ya raha na karaha ilikuwa ikiendelea kwenye kitanda cha chini. Mara yule binti wa juu akateremka kwa nguvu kutoka dekani na kumvamia Dullah na kuanza kumpiga mabusu yaani huwezi amini ilikuwa ni kama watu waliodata na wasiojua wanachofanya.

Kwa kuwa Dullah na yeye ni rijali na alikuwa na ugwadu wa siku nyingi uzalendo ulimshinda maji yalizidi unga kajikuta akijibu mapigo kwa kumyanyua na kumweka juu ya meza ambayo ilikuwa ikitumika kwa kujisomea. Alipompandisha juu ya meza vitabu na vitu vingine vilidondoka chini na hapo ndipo alifanikiwa kuziona kondomu nyingi tena zilikuwa ni zile za msaada zinazowekwagwa vyuoni na mashuleni..

Kitendo cha kuziona zile kinga kilimfurahisha sana akajipa moyo kuwa ngoja apige kimoja asije akamwona boya bure.Akamuweka mkao vizuri na yule binti kwa kutambua kitu kilichokuwa kinafuata alijipanua vizuri tayari kwa kuliwa kwa staili hiyo ya juu ya meza.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)