UZOEFU (23) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumapili, 11 Aprili 2021

UZOEFU (23)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
πŸ“– KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
πŸ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
πŸ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa

JINA: UZOEFU
Mwandishi: Elisha Msafiri

SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU
ILIPOISHIA...
Angerogwa na kulikubali ombi langu la kutaka niwe mpenzi wake basi nilikuwa nimemuandalizia zawadi nzuriii ambayo kama ningemkabidhi angenichukia hadi kufa kwake, naam! Hivyo ndivyo ilivyokuwa. Salha hakurudi tena na mimi sikushughulika na yeye wala dada yake abadani.
SASA ENDELEA...
Baada ya juhudi zangu za majuma kadhaa, kuumwagilia mti wangu, kuutia mbolea na kuupalilia hatimaye ulizaa tunda murua, Tunda lilinawiri, kupendeza na kuvutia mno lakini ni jinsi gani ya kulichuma hapo ndipo palipohitaji hesabu za hali ya juu sana zaidi ya zile za Magazijuto. 

Lakini me ni mzoefu bhana ntashindwaje kulila tunda ambalo nimeshalichuma tayari japo ni hatari sana lakini ntakapofanikiwa itakuwa ni raha iliyotukuka.

Yote hayo nilijiwazia nikiwa njiani kuelekea maeneo ya Kinyerezi.Sehemu ambapo niliweka miadi ya kukutana na Sunshine siku hiyo, ingawa mimi nilikuwa najua nini kinakuja kutokea, Sunshine kwa upande wake sizani kama alifikiria japo kwa bahati mbaya tu nimepanga kitu kama hicho.

Kabla ya mualiko huo wa tukutane Kinyerezi kwajili ya kula bata, nilishamualika Sunshine sehemu nyingi tu hivyo halikuwa jambo la kustaajabisha hata kidogo kumualika tena siku hiyo na yeye hakusita kuukubali mwaliko wangu.

" Uko wapi my sista jamani!" Nilimtext ( nilimtumua ujumbe mfupi) Sunshine mara baada ya kufika ndani ya Lodge matata iliyokuwa ndani ya mtaa huo huku kimoyo moyo nikimshukuru rafiki yangu Amani aliyenielekeza mahali hapo.
" Am sorry mdogo wangu ndo napanda gari saivi ila hakuna foleni ntafika sasa hivi!" Alijibu Sun ambaye mara zote amekuwa mwaminifu kwangu.
" Nambie basi utakula nini nikuwekee oda kabisa!" Nilimuhoji Sunshine ili akifika ratiba yangu isichelewe.
" yaani hadi leo hujajua dadaako anapenda nini!?" Alitania Sun hali iliyonifanya Nione haya kiasi.
" Samahani boss!" Namimi nilijibu kiutani huku nikimuwekea oda ya chips mayai, mishkaki ya samaki pamoja na soseji kwani ndio vitu anavyopenda huku upande wangu nisiweke oda ya kitu chochote kwani nilikuwa na hamu naye siku hiyo kiasi cha kunifanya hata nikose hamu ya kula.
" Nimeshafika tayari!" Alinitext Sun nilipokuwa nakikagua chumba kizuri cha suit ( chumba na sebule) nilichokikodi siku hiyo maalumu kabisa kwajili ya mimi na yeye.
" am coming!"(nakuja) nilimjibu huku nikimfwata aliposhukia chap chap.
"Wow your looking so mmwah!" Nilimsifia Sun huku nikimpa ki hug ( kumbatio) cha kizushi.
" thank you!" Alijibu kwa furaha Sun.
Taratibu mimi na yeye tukaanza kuelekea ilipo Lodge nilimokodi chumba na sikuwa na wasi hata kidogo kuwa angeshtukia kuwa ni Lodge, kwa hatua za awali kutokana na manthari yake kuwa kama hoteli yenye hadhi ya kula vigogo.
"Leo ndio tutakuwa hapa my dia!" Nilimwambia Sun nilipokuwa nachukua fungua mapokezi.
"Vyakula vyetu tuleteeni juu saivi enh!" Pia nilimuamuru muhudumu huyo na muda huo Sun hakuwa ameelewa bado nini kinaendelea.
" Letz go up!" ( twende juu) nilimwambia Sun huku nikimshika mkono kuelekea ghorofa ya pili kilipo chumba chetu.
"Whaaat!?........Tom??.....unanipeleka wapi!?" Aling'aka kwa hasira Sunshine huku akiuchomoa mkono wake niliokuwa nimeushika.Yote hayo yalitokea baada ya kuona nafungua mlango wa chumba nilichokodi

Nilitegemea kitu kama hicho kutokea hivyo hali ya Sunshine haikunipa hofu hata kidogo japo ilinitisha.
" Listen Sun.....!" (Sikiliza) nikiwa nimejipanga kuanza kumwaga sera zangu za kumshawishi Sun ghafla nilisita kutokana na watu wawili waliokuwa wanapita hapo kordoni tulipo, kwa kiasi kikubwa niliwashukuru sana watu hao kwani walimfanya Sun aingie ndani mwenyewe kwani hakutaka kutizamana nao.
" Tom hii ni nini umefanya lakini?" Sun aliendelea kubwata tulipoingia ndani.Nikiwa nataka tena kujitetea mlango uligongwa hivyo nikaelekea mlangoni.Alikuwa ni muhudumu kaleta vyakula, nikamruhusu aingie ndani kuviweka mezani.
"Karibu eenh!" Muhudumu huyo alimkarimu Sun alipokuwa anatenga vyakula hivyo mezani pia Sun aliitikia kwa kutikisa kichwa tu.
Baada ya muhudumu kutoka nilirudi Sun alipo huku nikiwa mpole sana.
"Karibu ule mamii!" Nilimwambia Sun huku nikimuwekea chakula sawa.
"Tom?....nimeingia humu kwaajili ya heshima yako tu, wahudumu wasije kukucheka lakini kiukweli sijapenda ulivyonileta hapa hata kidogo....kwani Tom unanionaje mimi!?" Duku duku la Sun lilikuwa bado halijaisha bado alikuwa na hamu na mimi.
" Basi mama naomba unisamehe tunakuwa kama tumeonana leo bhana!?" Niliongea nikiwa nimekereka na muda huo tayari kichwa kilishaanza kupata moto.
" Hamna sio hivyo ila ungeniambia mapema!"
" Aya basi naomba ulee alafu ndio tutaongea!" Nilimbembeleza Sun huku nikiweka chakula sawa.
"Wee mbona huli!?" Aliuliza Sun ambaye muda wote nilikuwa nikimuhangaikia yeye tu.
" Nna kazi ya kukulisha wewe tu ukishiba na mimi ntakula!" Nilimwambia Sun huku nikimpa soseji ang'ate.
"Me ntakula tu na wewe kula!" Mazungumzo ya hapa na pale yalianza kumrejesha Sun katika hali yake ya kawaida na jinsi yeye alivyoanza kuwa kawaida ndivyo na mimi nikaanza kubadilika japo sikujiona lakini niliamini hivyo.
"Tom vipi wewe!?" Sun aliuliza baada ya kuona sipo katika hali ya kawaida.
" kwani vipi!?" Badala ya kujibu na mimi niliuliza.
"Umenyong'onyea alafu macho yako yamekuwa mekundu!"

" sijisikii poa sana Sun ngoja niagize maji!" Niliongea huku nikiifwata simu ya mezani iliyokuwa chumbani hapo.Baada ya kuagiza maji sikurejea Sun alipo na badala yake nilijitupa kitandani na kulala kifudifudi huku nikipiga mahesabu jinsi ntakavyokula hasara siku hiyo.

Chumba vyakula pamoja na zawadi niliyomletea Sun viligonga kwenye laki moja na ushee ukiachilia mbali gharama hizo siku hiyo ni ya Jumapili, siku ya kazi, na niliomba ruhusa kwajili ya shughuli hiyo maalumu ya siku hiyo.

Hivyo ukijumlisha na hela ambayo ningepata kazini siku hiyo basi hasara ingefika kwenye laki mbili.Sababu hizo ndizo zilizinifanya kichwa kiniume kwa wakati huo niliwaza sana jinsi Sun akininyima tunda itakavyokuwa tafarani akilini mwangu.

" Tom!...Tom!?" Ama kweli nilikuwa kwenye fikara nzito hata Sun alipokuja kitandani hapo sikumuona kabisa.

" amka unywe maji yameshaletwa!" Aliniambia Sun baada ya kufungua macho huku akinifungulia maji hayo.

" thanx Sun!" Nilishukuru baada ya kuamka na kupiga funda moja kisha nikajilaza tena kama awali, Sun ambaye muda huo alikaa pembeni ya kitanda, alikipakata kichwa chake kw a viganja vya mikono yake, bila shaka kuna jambo zito alikuwa akilifikiria.Taratibu nilipeleka mkono wangu na kuanza kukishika kiuno chake.

" potelea mbali!...akizingua naita goma (msichana) lingine sasa hivi!" Nilijiwazia nilipokuwa nikiendelea kukitomasa kiuno cha Sun kujaribu bahati yangu.

"Tom!?" Sun aliita huku akiushika mkono wangu nisimtomase zaidi.Nilihisi anataka kusema nini hivyo sikuitika aliponiita na kwa kuwa nilishaona dalili zote za kunyimwa utamu siku hiyo ikanibidi nimtongoze Sunshine rasmi sasa.

Ni kama vile ndicho alichokuwa anakisubiria siku zote kwani licha ya mimi kumtongoza na yeye alinitongoza pia huku akinielezea jjnsi hisia zake zilivyokuwa deep kwangu toka awali.Maneno yake matamu yalisababisha kichwa changu kilichokuwa 

Kikiwaka moto kwa wakati huo kupoa kama vile kimezamishwa kwenye unga wa barafu. Miongoni mwa mambo tuliyojadili wakati tunatongozana ni pamoja na fofauti yetu ya umri pia Sun hakusita kuonyesha hofu yake juu ya wifi yake lakini yote hayo niliyaweka sawa na kumtoa hofu.

Taratibu nilimvuta Sunshine kitandani na tulianza kutomasana taratibu huku tukinyonyana ndimi zetu na kutengeneza ladha ya ajabu.Baada ya kuhakikisha kuwa ameorojeka vilivyo nilianza kumsaula nguo yake moja baada ya nyingine kwa upande wa juu nilimtoa kiblauzi alichokuwa amevaa hivyo kuzifaidi chuchu saa sita zake zilizosimama na kujaa 

Vilivyo huku ziking'arishwa na rangi nyeupe na kupambwa na chuchu za brown zilizosimama vizuri hakika nilijihisi niko Peponi nilipokuwa nikinyonya maziwa hayo.Nilipojaribu kushuka chini na kutaka kufungua kifungo cha suruali yake alinikamata mkono kwa nguvu kama si yule aliyekuwa amelegea ndembe ndembe.
"Unataka kufanyaje!?" Sun aliniuliza swali ambalo lilinikata nyege zote.

Nilihisi Sun ananiletea utani inamana hadi hatua hiyo niliyofikia hakujua nataka kufanya nini ama yalikuwa masihara hayo.Nikaondoka juu ya mwili wake na kujilaza chali pembeni.
"Tom!?" Sun aliita huku akionyesha shaka na hali yangu iliyobadilika tena ghafla.
"Yes my dia!" Niliitika bila kufumbua macho.

" Tumeshakuwa wapenzi sasa naomba tufanye siku nyingine...sawa baby wangu!" Sun alijaribu kunishawishi huku akionyesha kujua nilitaka kufanya nini.

"Sikiliza Sun...wasichana wengi huona haya kufanya mapenzi siku ya kwanza wanapokutana na mpenzi mpya lakini Sun sisi hatujajuana jana wala juzi, pia nilikupenda kitambo sana ila leo ndio nimeeleza hisia zangu kwako so mi sioni kama kuna tatizo lolote tukifanya leo....Sun nakupenda sana pia naomba ujiamini!" Katika vita vya maneno tu daima huibuka kidedea hasa ukizingatia mimi ni mzoefu wa viumbe hawa, najua nionge nini, niongee vipi na kwa wakati gani. Baada ya blaa blaa za hapa na pale nilifanikiwa kumshawishi Sun anivulie suruali iliyombana.

Baada ya kuvua suruali yake nakuona mapaja yake myeupe pee yaliyonakshiwa kwa vinyweleo mwanana vilivyolala juu yake hakika shetani wa tamaa alitaka kunitoa roho!. Taratibu nikaanza kuyatomasa huku sehemu zangu nyeti 

Zikidinda na kukomaa maradufu, hakika Sunshine alikuwa mrembo wa haja na nyege zake zilikuwa ni hatari mara mia ya zangu kwani zilipompanda alinikamata kwa nguvu huku akininyonya sehemu mbalimbali za mwili wangu bila kubagua na alipofanikiwa kuupata ulimi aliunyonya kama vile anataka kuung'oa, kusema kweli sikuwahi kunyonywa hivyo kabla ya kukutana naye.

Kadrii muda ulivyokwenda ndivyo hali yake ilivyozidi kuwa mbaya na kama nisingempatia huduma ya kwanza mapema huenda angepata ugonjwa wa uchizi.Sikuweza kubaini mara moja kuwa nguo zangu nilizivua mwenyewe ama nilivuliwa hata chupi ya Sun iliyokuwa imesalia mwilini mwake sikujua 

Ilitoka vipi ila muda huo viungo vyetu vya siri vilikuwa vikisagana na kutupatia utamu wa ajabu uliotuhamisha sayari hii inayoitwa dunia na kutupeleka ulimwengu mpya wa burudani.Baada ya purukushani hizo za vuta nikuvute zilizodumu kwa takribani dakika kumi hatimaye nilifanikiwa kufungua champigne ( kufikia mshindo).

"Woooh oooh oooh!!" Nilidiha huku nikihema kwa kasi nilipokuwa naichomoa mashine yangu toka kwenye utamu wa Sun.

"Pole baby!" Nilimwambia Sun nakumbusu kwenye paji lake la uso.Shughuli haikuwa ndogo.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni