UZOEFU (24) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumapili, 11 Aprili 2021

UZOEFU (24)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
πŸ“– KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
πŸ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
πŸ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa

JINA: UZOEFU
Mwandishi: Elisha Msafiri

SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE
ILIPOISHIA...
"Woooh oooh oooh!!" Nilidiha huku nikihema kwa kasi nilipokuwa naichomoa mashine yangu toka kwenye utamu wa Sun.
"Pole baby!" Nilimwambia Sun nakumbusu kwenye paji lake la uso.Shughuli haikuwa ndogo.

SASA ENDELEA...
Baada ya kupumzika kidogo hatimaye nilikumbuka kama kuna kiyoyozi maana japo tuliweka nyuzi 16 za baridi lakini haikufurukuta kulizima joto lililozalishwa na miili yetu.Nazani joto hilo lingetumika Kuzalisha umeme basi zingetoka megawati nyingi sana.

" Twende tukaoge!" Baada ya kukaa kimya kwa muda hatimaye Sun aliongea huku akinyanyuka kitandani sikuwa na la kufanya zadi ya kumfwata nyuma huyu malkia wangu.Kitaulo alichojifunga kifuani mwake na kuacha eneo lake 

Kubwa la mwili likiwa wazi kilinifanya niuone uzuri wake wa ndani ambao sikuwahi kuuona kwa mtu mwingine.Tulipokuwa bafuni hakuna kilichofanyika zaidi ya kumwagiana maji na michezo ya hapa na pale.

Baada ya kuoga tulirudi tena chumbani na hapo ndipo nilishuhudia maajabu ambayo yalinifanya nipikiche macho kwa kutoamini kile nilichokiona.Ilikuwa ni ajabu lakini ni dhahiri.

Nakumbuka vizuri kabisa nilipoingia chumbani hapo kitanda kilitandikwa kwa mashuka mazuri meupe.Lakini kilichonishangaza muda huo ni baada ya kuona mashuka hayo meupe pee! Yakiwa yamenakshiwa kwa madoa doa mekundu.Je ni nani aliyoifanya kazi hiyo mie na mpenzi wangu tukiwa bafuni.

" Baby ulikuwa bikra!?" Nilimuuliza Sun kwa furaha nikiwa siamini macho yangu lakini Sun alinitumbulia macho ya haya pasina kujibu kitu.

Wahenga walisema kimya nacho ni jibu.Maumivu ya mashine yangu iliyopata tabu kupenya kwenye utamu wa Sun jumlisha maumivu ya mikwaruzo ya kucha iliyotapakaa mgongoni mwangu ilitosha kuthibisha kuwa nimemtoa Sun bikra.

Sikuwahi kukutana na mechi tamu kama ya siku na niliona ufahari mkubwa sana kumtoa mlimbwende huyo bikra hasa ukizingatia kimekuwa kitu adimu kukipata kama nyoka mwenye miguu.Siku hizi binti wa miaka tisa tu ashaiuza siku nyingi.

" Sun nashindwa kueleza ni jinsi gani nakupenda!" Nilimwambia Sun nilipokuwa natoa shuka hilo lililochafuka na kutandika lingine lililokuwa limekunjwa vizuri nazani lilikuwa maalum kwaajili ya kujifunika.

" Nakupenda zaidi Tom wangu!" Alijibu Sun huku akinisaidia kutandika shuka.

Kadrii muda ulivyozidi kwenda ndivyo nilivyojikuta naanza kufall inlove (kuzama kwenye pendo) kwa Sun.Tukiwa tunacheza cheza kitandani nilimuangalia bila kummaliza, hakika niligundua uzuri wa ajabu kila nilipomtazama mrembo huyu. 

Na kwa kuwa nilishajua ni mgeni wa ngono sikutaka kuviapply (kuvitumia) vitu nilivyocopy toka kwa mtoto wa kitanga kigamboni.Nilitaka nimpeleke taraatibu aenjoy huba langu.

Tukiwa bado tunacheza kitandani Sun alipenyeza mkono wake na kushika mmea wa asili ulioota katikati ya mwili wangu.kadrii alivyozidi kuichezea kwa vidole vyake ndivyo ilivyozidi kujaa na kuwa kubwa.waungwana tunasema mmea umestawi.

" hiiii! mbona inakuwa kubwa sasa!" Sun aliishangaa wazi wazi, hakika alionekana ni mgeni wa kitu hiyo.
" Utakoma nani kakwambia uichokoze!" Nilimtania.
"Unajua hata yako nikiichezea inakuwa kubwa!?" Nilimuuliza Sun kwa kumtega!
"Uwongoo!" Alijibu kama mtoto huku akiwa amebetua mdomo wake kimikogo.
" Can i prove it!?" ( nithibitishe) niliuliza kimombo kwa pozi naye akajibu ndiyo kwa kutikisa kichwa.

Taratibu kama vile nazamia chumvini nilishuka kati kati ya mapaja yake na kuanza kuyachezea mashavu ya utamu wake hali iliyomfanya ajimwaye mwaye na kujinyonga nyonga kitandani.Kama hiyo haitoshi niliukamata vizuri mpini wangu na kuanza kuupalaza kati kati ya utamu wake hali iliyofanya kisimi chake kusimama kama kidole cha mtoto mdogo.

" Unaona!?" Nilimwambia Sun ili akiangalie kisimi chake vile kimetuna lakini kwa bahati mbaya hakuweza hata kunyanyuka na akabaki akiguna tu.Urojo tayari ulishakilowesha kitumbua cha Sun na nilipojaribu kuupalaza tena mpini wangu juu juu uliteleza na kuzama ndani.

" mmmh mmmh mh!" Sun aligugumia kimya baada ya kumzamishia mpini huo, kama vile nachonga njia taratibu nilianza kusugua upande wa kulia kidogo, kushoto kidogo, juu na chini pia sikupasahau.Njia ilikuwa ni nyembamba na ilikuwa imenibana sana hivyo kitendo cha kufanya hivyo hakikunichukua dakika saba nikawa nimefungua champigne nyingine ( nimepiga bao)
" Oooh thanx my Sunshine and my moon light!" Nilimshukuru Sun nikiwa nimelala pembeni.Hakujua kwanini namshukuru lakini vitu alivyonipa siku hiyo ni kabambe.

Baada ya ungwe hiyo ya pili kumalizika tulikumbatiana na kulala pamoja.Toka saa kumi za jioni usingizi ulipotupitia tulikuja kushtuka saa mbili za usiku.

"Sun!?...Sun?" Niliimuita Sun huku nikijikwamua toka kwa mikono yake aliyokuwa amenikumbatia.
" niiiini!?" Aliniuliza akiwa amekunja sura kuonyesha nimemkatili usingizi wake mnono.

" Amka usiku umeingia!!" Nilimuhamasisha naye akajizoa zoa kuamka kisha tukaelekea tena bafuni kuoga kwa mara nyingine.
Baada ya kurudi kila mtu akaanza kuokota nguo zake zilipokuwa.

" Tafadhali naomba uvue mamii!' Nilimuamuru Sun huku nikimsaidia kuvua chupi yake nyeupe iliyopambwa kwa makopa ya njano sanjari na neno I love you.Sun hakujua nataka kufanya nini ila hakunizuia kufanya nilichotaka.

" Wee vaa hii!" Nilimwambia huku nikimpa boxer yangu na mimi nikivaa chupi yake.Kitendo hicho hakikumshangaza sana Sun kwani tangu nimejuana naye sikuwahi kuacha vituko.Hatimaye tuliondoka kwenye Lodge hiyo huku nikivuta picha muhudumu atakavyotukana baada ya kukutana na shuka liliongezewa mapambo.

Siku hiyo niliporudi nyumbani nilikuwa na furaha isiyo kifani pia sikutaka kukaa karibu na mtu yeyote asije akahisi kitu.Nikaelekea chumbani kwangu moja kwa moja, niliivua ile chupi ya Sun na kuiandika tarehe na mwezi wa siku hiyo kisha pale kwenye maandishi ya 'i love you' chini yake nikachora jua linaloangaza nikiwa na maana ya Sunshine, Kisha nikaikunja vizuri nakuiweka kwenye droo langu la vitu nyeti kuifanya kuwa kumbu kumbu muhimu, nikavuta pumzi ndefu nakuiachia baada ya kuwaza kuwa nilipanga nimuonje Sunshine kisha nisepe.

Ivi inawezekana vipi mtu azindue nyumba kisha aishi ndani yake siku moja tu na atake kuhama?.Kama ningeishikia bango ahadi niliyoupa moyo wangu kuwa ntatembea na Sun mara moja tu kisha niachane naye basi ningekuwa mchoyo wa fadhila na kukosa ubinadamu hivyo kiapo kingine nilichoupa moyo wangu kwa wakati huo ni kwamba nitaachana na Sun mara baada ya kulala naye mara zingine tatu.

Baada ya hapo hata nikiachana naye itakuwa sijamtendea vibaya. Kinyume na matarajio yangu na vile nilivyokuwa nimepanga mara ya mwisho kama nakumbuka vizuri nilichoka kuhesabu nnapokutana kimwili na Sun nikiwa nineshalala naye mara kumi na saba, kutupilia mbali zile tatu zangu nilizokuwa nimepatana na moyo wangu.

Ama kweli mapenzi hayajaribiwi.Kadrii nilivyokuwa namtafutia Sun sababu nimbwage ndivyo alivyozidi kunipa sababu za kuwa naye.Wakati mwingine kosa nilifanya mimi na msamaha akaomba yeye ali mradi tu penzi letu lisifike kikomo, Tupilia mbali utamu wake tuwapo kitandani, Sun alikuwa ni msichana anayejitambua na kuelewa ni jinsi gani ya kuishi na mume, hata sijui alijifunzia wapi mambo hayo.Lakini nafikiri hii huja yenyewe( automatical) mtu anapokuwa na mapenzi ya dhati.

Me nikiwa najitahidi kumfanyia visa na vimbwanga.Yeye alijitahidi kunijali na kunipenda mfano siku moja niliamka sijisikiii kuwasiliana naye kabisa, alituma meseji bila kujibiwa badala ya kutuma meseji ya malalamiko ama kutishia kuachana kama wafanyavyo wasichana wengine alichofanya yeye ni kuziunga line (sim card) zangu zote mbili na vifurushi vya mwezi.

Haya sasa hapo nitasingizia nini tena! Sina vocha(credit) ama muda wa kumjibu meseji zake.Kiukweli penzi la Sun lilikuwa ni zito hata shetani asingemudu kulibeba.Jaribio pekee alilowahi kunifanyia Sun ili kujua kama kweli namjali, aliniomba kiasi cha pesa mchana na nilipompatia jioni aliniita na kunirudishia mara tatu ya kiasi nilichompa.Je ni mwanaume gani mwenye akili timamu anaweza kuachana na Sun?.

Bila shaka hakuna na hicho ndicho kilichonifanya na mimi pia kubwaga manyanga yangu na kuamua kutulizana kwa kimwana huyu.Kutoka ile mara moja ya kulala naye kisha tuachane sasa tulikuwa tukihesabu miezi kwenye penzi letu lililokuwa likizidi kunawiri na kushamiri kila uchwao.Nani angeweza kulivunja pendo hili imara?. 

Pendo nililotaka kulikimbia mara chungu mzima lakini juhudi zangu zote zikagonga mwamba na kuangukia pua,Hivyo nikaamua kutulia ndani ya pendo hilo baada ya kung'amua kuna minyororo mizito ya upendo niliyofungwa.Minyororo ambayo isingekatika kirahisi hata kwa moto wa gesi.

"Sunshine umenishika nikakamatika mpenzi wangu!" Siku moja nilijikuta nikimnong'oneza hivyo Sun wangu tulipokwenda kwenye mkahawa mmoja kwajili ya chakula cha jioni.Sikumwambia hivyo ili kumfurahisha ila ni hali halisi niliyokuwa najisikia toka moyoni mwangu.Mapenzi ya dhati ndiyo yakawa maisha yangu na Sun toka nilipoamua kunyosha mikono juu na kutulia na yeye tu mpaka Siku moja Changamoto kubwa ilipokuja kulitikisa penzi letu.

Ni takribani wiki moja imepita toka simu yangu ipokee ujumbe mfupi toka kwa Lisa.Ujumbe uliokuwa umeandikwa kwa maneno mengi ya kiingereza, Lisa akiwa anaomba radhi kwa yale yaliyotutenganisha na kuomba nafasi nyingine ya kulijenga penzi letu.Ingawa nilisoma mengi katika ujumbe huo, machache yaligoma kutoka kichwani na yalikuwa yakijirudia rudia kila mara.

Japo maneno hayo yaliandikwa kwa kiingereza kilichofupishwa mno lakini yalikuwa na maana hii kwa kiswahili ' usinihukumu kwa jinsi nilivyokuwa jana kwasababu nimebadilika na siishi tena kama jana ila nihukumu kwa jinsi nilivyo saivi!'. Mengi yaliandikwa lakini kauli hiyo ilionekana kubeba maudhui mazima ya ujumbe huo.Sasa nimuhukumu sasa hivi Lisa kwa kosa gani haswaa wakati makosa yake yote yalikuwa ni ya nyuma na hataki yajirudie.

Ujio wake Lisa kwa mara nyingine tena kwangu ilikuwa ni changamoto kubwa kwani nakiri sikuwahi kumpenda msichana mwingine yeyote kwa kiasi ambacho nimewahi kumpenda yeye, Mara zote nimekuwa kama mfupa kwa fisi mbele ya pendo la Lisa.Ningekuwa naamini uchawi hakika binti huyu angekuwa amenilisha limbwata. Tofauti na mara nyingine nilipoachana na Lisa kurudiana ilikuwa rahisi sana lakini kwa safari hii mambo yalikuwa tofauti kidogo.

Palikuwa na kizingiti kikubwa na kigumu kung'oka kilichoitwa Sunshine.Sunshine ananipenda hadi naogopa! Nilishafanya visa chungu mzima lakini kuachana ilishindikana.Japo avumaye baharini ni papa lakini wengine nao wamo vivyo hivyo avumaye moyoni mwangu ni Lisa lakini Sunshine naye hakuwa wa kubeza hata kidogo.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni