PENZI PENZINI (13)

Jpt
0
Mwandishi: Eliado Tarimo

SEHEMU YA KUMI NA TATU
ILIPOISHIA...
Kila mtu ilibidi acheke maana Omary alikuwa akiendesha kikao kidikteta kama mtu vile mwenye madaraka makubwa sana. Stella alivyokuwa na mbwembwe tayari alaishasimama ikabidi wausika wafanye walivyooagizwa.Basi kabla ya kuwaruhusu kila mmoja aseme ya kwake ya moyoni bado nitaomba kila mtu ajibu maswali yangu alisema omary.

SASA ENDELEA...
Nitaanza na Alice je ni kweli bado unampenda Dullah muendelee kuishi kama wapenzi?Alice akamwangalia kila mtu usoni kisha akajibu ndio. Je na wewe Dulah bado unampenda Alice muendelee kuwa wapenzi.? Dullaha naye akajibu ndio. Basi kama ni hivyo namuomba Stella aseme yaliyo moyoni mwake. 

“Asante sana kaka mimi binafsi nafurahi kwa sababu sikuona sababu ya muhimu ya watu hawa kuachanaili hali wanapendana sana na wametoka mbali sana. Labda niseme tu ukweli kwamba Dulah alikosea sana siku ile kwa sababu kitendo cha mwanamke kuwa na mwanaume haimaanishi kuwa ni mpenzi wake. Mazingira siku ile yalitulazimisha kwenda club mara baaada ya rafiki yetu Easther kushinda umisss wa chuo. Yeyeni mtu anayependa kwenda club hivi unafikiri angetuelewaje kama tubgektaa kwenda club. Pia lazima nimtetee Aice maana shem amekuwa akimnyima mara kwa mara fursa ya kushiriki furaha na wenzake.

Si unakumbuka pia ile siku ya sherehe ya kuwakaribishawanafunzi wapya(welcome freshers) ulimnyima ruhusaya kushiriki na sisi aliendelea kufafanua Stella. Kwa hiyohata siku ile ilimbidi akudanganye maana angekuomba ruhusa ungemnyima tu. Kwa kifupi rafiki yangu Alice masamehe Dulaha na mpe nafasi ingine lakini pia Shemu wangu Dulah badilika mpe huru mwanamke kamwe hawezi kukusaliti na atajiheshimu sana alimaliza kusema Stella. Hapo Omary akawa mpole kwa sababu yaliyozungumzwa kwa namna moja ua nyingine yalikuwa na uzito. Omarya akampa nafasi Alice aongee.Alice alisema kwa upande wake yeye hana kinyongo ila Dulah afuate ushauri na Stella.

Yaaani kama anataka penzi lao liendelee kudumu abadilike kwani mwanamke hachungwi kama mbuzi. Kabla Dulah hajapata nafasi ya kuongea aliingia Deo na aliwapa salamu kisha akaenda kukaa sehemu ya juu.Alice alishituka kidogo lakini hakujua nini kilikuwa kinaendelea. Lakini kwa haraka haraka ni kwamba Deo alikuwa akimfuatilia Alice ajue alikuwa akienda wapi?je ni kweli alikuwwa akienda kwa dada yake kama alivyosema au alikuwa akienda sehemu ingine.Deo kwa kuwa alikuwa akimtumia sana Easther kama ndo kowadi ilibidi amtumie meseji ili aje aone kainachoendelea.

Dulah akapewa nafasi ya kuongea na alisema kuwa yeye amekubaliana na maazimio yote yaliyopitishwa ila Alice naye aangalia marafiki kwa sababu wengine wana wivu tu hawataki kuona penzi lao likishamiri.

Dulah alisema hivyo kwa sababu alijua kabisa watu waliokuwa wakimwaribu Alice ni marafiki zake ambao walishakuwa ni wazoefu wa mji wakaijaribu kukikimbizana na starehe za hapa na pale. Kikao kikawa kimemalizika hivyo na Alice alitaka kurudi chuo na rafiki yake Stella. Lakini Omary alikataa na kusema “Kama kweli shemeji mmekubaliana kuwa mtaendelea kuishi kama maisha yenu ya kawaida mimi naona hana ya wewew kurudi shuke kwa sababu ndo kwanza jumamosi mimi napendekeza wewe ubaki na Dulah wako na shuleni utaenda kesho.

Alice alisita kidogo na kumuuliza Stella vipi unalionaje wazo hilo. Stella naye alirudisha mpira huo kwa Alice na kumwambia yeye ndo ana uamuzi wa mwisho.Alice akaumuuliza tena kwa hiyo utakuwa tayari kwenda mweneyewe chuoni. Stella alicheka kidogo na kumjibu kwani siilikuja mwenyewe.
Kwa hiyo wakakubaliana kuwa Alice ataondoka na Dulah na kwenda kulala gheto kwao.Waliendelea kuvuta mda mpaka kigiza kikaingia.

Waliingia kwenye gari na ikabidi wampeleke kwanza Stella chuoni na Alice alimuonya rafiki yake huyo kwa njia ya meseji kuwa akiulizwa kuwa Alice ameenda wapi ajibu kuwa ni kwa dada yake kwani kikao hakikupata muafaka hivyo wameachana rasmi na Dulah. Alice hakutaka kuachana na Deo kwa shari na pia aliitaka apate mda wa kuongea kwanza na Easther ambaye ameonekana na yeye ni kiwazo kikubwa cha yeye kuendelea na mpenzi wake Dulah.

Kwa hiyo Stella alipoulizwa alijibu kuwa Alice amekataa kumsamehe Dulah hivyo wamekubaliana kuachana.Hakuna aliyaamini maneno hayo kwa sababu Alice aliamua kuzima simu zake zote mara baada ya kuwaona Easther na Deo plae Uhuru Park.Maana Deo alipowakuta pale alikaa kwa juu na alimpigia simu Easther akaja eneo lile.

Basi Dulah walindoka na Alice wake wakaelekea gheto huku kila mmoja akiwa hana imani na mwenzake kwa asilimia zote mia moja kama kweli amesamehewa na mwenziye. Walifika getho na Dulaha aliendelea kusisitiza kuwa kamwe Alice hasikubali kuyumbishwa na marafiki. Alice kuonesha kuwa amemsameha alitoa viwalo vyake vyote kisha akachukua taulo na kumwambia Dulah “Twende tukaoge mapenzi wangu”.

Dulaha hakujivunga naye alivua nguo na yeye alichojoa nguo zake na kubaki mtupu. Waliingia bafuni na kuanza kuogeshana.Alice akachukua lile kufuli lake na kuanza kujisugulia hiyo ni mara baada ya kulifua. “Nilisjhakukutaza hiyo tabia ya kutumia nguo ya ndani kama brashi kwa sababu sio vizuri na wakati mwingne ni hatari kiafya maana dead backteria wanaweza kuingia sehemu zingine za mwili wako na kuleta maambukizo,alisema Dula. Wewe naye hayo mabrash yako ni magumu sana na mimi nishazoea kijisugulia vitu laini alijitetea Alice. Walicheza cheza huko bafuni na baadaye walimaliza na kurudi ndani.

Wakapanda kitandani na walionekana kusahau yote yaliyotokea na kwa sasa kila mmoja alikuwa akiwaza raha ya huba atakayopata usiku huo.Walianza safari hiyo kwa mwendo wa uchokozi na Dulaha alikuwa na papara sana ya kuchota maji ya kisima. Alice akamwambia kuwa “leo sikupi mpaka uvae kinga kwa maana si unakumbuka mara ya mwisho kilichotokea”Hapo Aice alisema hivyo huku akikumbukia maumivu aliyoyapata wakati wa zoezi la utoaji mimba ilie ambayo waliipata biala kukusudia

“Sasa usiku huu mimi nitazipata wapi” aliuliza Dulah. Ndo utajua sasa Alice alimjibu huku akishuka kitandani na kuanza kuvaa taiti kama njia ya ya kusisitiza kuwa hayupo tayari kufanya tendo hilo bila kutumia kondomu. Baada ya kuvaa alizima taa na kupanda kitandani.

Dulah akamuuliza kwa hiyo hiyo ndo kinga yako? Alice akajibu “kabisa kwanza sio lazima kila siku tukiwa wote tufanye mapenzi tunaweza kulala tu kwani ukinioa ndo itakuwa kila siku kuchikuch?”. Dullaha kaangalia simu yake ya mkononi akaona haja ya kwenda maduakni kuchukua hizo kinga maana hasingeweza kuvumilia mpaka asubuhi.

Alivaa nguo zake na kutoka nje na kuelekea dukani.Kwa bahati nzuri alikuta duka ndo linamaliziwa kufungwa. Aliona aibu sana mara baada ya kumkuta mwanamke ambaye waliheshimiana sana. “Una mipira” aliuliza Dulah.Mipira gani aluliza muuzaji akijua kabisa Dulaha alikuwa akitaka kondou.Mipira ya kitandani alijibu Dulah.Ooooh ninayo unatka ya aina gani? Nipe ile ya bei ghali kabisa alisema Dulah. Yule dada akamfungia huku akimwambia “hivi shemeji yupo siajmuona siku nyingi. Dulaha alijibu yupo ndo karudi leo.

Basi akapewa bidhaa zake akarudi eneo la mapambano.Kwa jinsi alivyokuwa na hasira na uchu juu ya Alice alitamani aivalie hiyo kondonu huko huko barabarani.Alifika akakuta Alice ameshapitiwa na usingizi. Mmmmm ameshalala aliguna na kujiuliza Dulah. Hawezi kulala hivi hvi nitapiga hata kimoja cha hamu ndo alale aliwaza Dulah.

Alianza kupitisha mikono yake sehemu zote anazojua mpenzi wake huyo akishikwa basi hupata hamu ya kungonoka. Alizichezea chuchu za mrembo huyo kwa kuzipapasapapsa huku akijisemea moyoni mwake wewe ni wangu huwezi kuondoka na kuniacha niishi peke yangu. “Ila tuache utani huyu mtoto ni mzuri sana yaani nikijichanagnya tu mapesheee hawatamuacha hapa mjni alizidi kuwaza Dulah huku akiamishia zoezi la kumpandisha stimu kwenye mapaja na makalio ya Alice.

Alice akiwa usingizini alianza kuhisi anaota ndoto nzuri ya mahaba akajikuta akaijigeuza kutoka mlalo wa ubavu ubavu na kulalai tumbo.Hapo akawa amempa nafasi Dulaha kuanza kuchojoa ile taiti taratibu huku akiendelea kumpapasapasa sehemu zake za nyuma.

Akawa anayabinyabinya yale makalio kimahaba kama,hiyo haitoshi akaaanza kuyalambalamba kwa kutumia ulimi wake huku akichora viduaara vidogo vidogo kuanzia kwenye mapaja mpaka zile sehemu za goti kwa nyumba ambapo kulikuwa na michirizirmichirizi ambayo kwa Dullah ilikuwa ni kivutio sana.

Alice alikuwa akijigeuza geuza kama ambaye aikuwa hataki kukaangwa akiwa bado mzima. Dula aliendelea na mchezo huo na safari hii alikuwa akifanya double click(akibofya mara mbili).Yaani mdomo ulikuwa ukifanya kazi yake na mikono ilikuwa ikifanya kazi yake.Baadaye samakii alisalimu amri kwa kukubali kuingia kwenye kikaangio ambacho kilikuwa na mafuta ya moto sana.

Alice alishituka kutoka kwenye usingizi na kukuta tayari kisu kipo kwenye ala yake.Hakujua kiliingia saa ngapi kwani yeye mwanzoini alihisi kuwa anaota tena yupo na Deo.Kumbe haikuwa ndoto ilikuwa ni kweli lakini hakuwa Deo alikuwa ni Dulah.
Alice akaanza kujikatisha mauno kama vile feni mbovu.

Alice utamu ulipozidi alijikuta akimkumbatia kwa nguvu Dulaha huku akipiga mayowe ya kimahaba yaani mmmmmmmmh iiiissssssssssssssssss,, aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah,, asaaaanteeeeeeeeeeee,, asanteeeee mpenzi wangu Deo, haaaao haapooooo usitoeeee usitoeeeeeeeee nasikiaa raahaaaaaaaaaa Deo wangu.

Nenoo Deo lilimshitua kabisa Dulaha na kujikuta akipoteza kabisa hamu ya kuendelea na mchezo huo Alihisi mtarimbo wake ukisinyaa tena ukiwa bado upo ndani ya ikulu ya Alice. Alamu za hatari zilipiga kichwani mwake akajua tayari kuna wajanja walishapita barabara hiyo ya lami ya Alice.

Alice yeye aliendelea kumkumbatia kwa nguvu huku akionesha kuwa alikuwa akifurahia sana kumbatio hilo na aliendelea kuzungusha kiuno hivyo hivyo.Kiuno cha chini ambacho Alice alikuwa akizungusaha mara baaada ya Dulaha kutulia kilimrudisha Dulaha mchezoni na kuanza kuhisi raha ya ampenzi iliyopotea ghafla. Dulaha aliendeea kujilazimishana zoezi hilo mpaka pale alipofika kileleni..

Alice alijibwaga kitandani kizembezembe akavuta shuka lake na kuendelea kuuchapa usingizi.Dulaha yeye usingizi ulikataa kabisa kuja akatoka kibarazani na kuanza kuwaza kile alichokisikia. “Hili jina la Deo sio mara ya kwanza kulisikia” aliwaza Dulah. Akaanza kuvuta kumbukumbu zake na akakumbuka kuwa alilisikia siku ile walipokuwa club.Akakumbuka jinsi wale marafiki zake na Alice walivyokuwa wakimsihii aache fujo kwa kumtaja jina lake.

Hasira zikaanza kumpanda kila mda ulivyokuwa ukizidi kwenda,Akaanza kuhisi kuwa Aice amekuja kumsanifu tu kwa sababu ameshaingia kwenye uhusiano na mtu anayeitwa Deo.Akaamua kurudi ndani ili alale na hapo ndipo aliopata wazo la kukaguaa pochi ya Alice Alikutana na vipodozi kibao na kioo na alipojaribu kupekua upande wa pili kakakutana na simu smartphone nzuri kubwa na ya ukweli.Simu hiyo ni ile Alice alikuwa ameongwa na Deo.

Hapo Dulah aalishangaa na kujiuliza ina maana ana simu mbili siku hizi.Ile simu ingne ya Alice ailikuwa hapo juu ya meza ikimaanisha yenyewe haikuwa na majanga na ndo maana haikufichwa. Dulaha akazichukua zote na kwenda nazo nje.Akawasha ile smartphone na akakutana na password. “Ooooops shit” alisema Dulaha mara baada ya kuambiwa enter password.

Bado Dulah hakukubali kushindwa akaanza kujaribu jaribu kwa kuingiza password za kila aiana hasa Alice anazopenda kutumia.Akaanza na mwaka wa kuzaliwa wa Alice bado aliambiwaa ameingiza wrongpassword. Akaingiza namba za siri ambazo Alice anazitumiaga benk lakini bado zilikataa.

Akaingiza jina la Alice bado ilikataa na safari hii alipewa onyo asubiri baada ya dakika tano ndo ajaribu tena.Akasubiri na baada ya dadika kadhaa akaanza kujaribu jaribu sana.Aliposhindwa kabisa aliaamua kuingiza jina la Deo na alishangaa simu imefunguka kiulaini kabisa.

Akakaribishwa na sms za mtu aliyeseviwa beeib.Sms zote zilikuwa za mpenzi na zingine zilikuwa zikiuliza kama Alice alishafika kwa dada yake.Meseji zilionesha wazi kuwa tangia siku ile wamegombana na Alice ndio siku hiyo hiyo Deo aliaanza kupewa nafasi.

Dulaha alibaki njia panda hasijue kwenye mda mfupi huo wa mapenzi yao walishafanikiwa kufanya mapenzi au la?Na kama hawakuwahi kufanya mapenzi kwa nini alitaja jina la mwanaume huyo kipindi alipokuwa akifanya mapenzi.Jasho jembemba lilianza kumtoka Dulah akihisi hatari kubwa juu ya kidudupenzi kuvamia uhusiano wao.

Akachukua namba za Deo akazisevu kwenye simu yake pia akachukua za marafiki zake wa karibu na Alice pia akazisevu. Kisha aakaamua kutuma sms kwa Deo iliyosema “vipi mpenzi, natamani tungekuwa tumelala wote” meseji ikajibiwa mda huo huo “Kwa hiyo ukiwa kwa dada yako ndo unazima simu mpenzi ?. “Hapana simu iliisha chaji alafu umeme ulikatika” alijibu Dulah akijifannya yeye ndo Alice. Deo akaamua kupiga simu mara baada ya kuona sms zake hazijibiwi tena.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)