BAMBUCHA (21)

Jpt
0

JINA: BAMBUCHA
Mwandishi: Eliado Tarimo

SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA
ILIPOISHIA...

“Ni kweli lakini ngoja nikuulize wewe nani alikutonya huu mtonyo”. “Aliyenitonya huu mtoyo ni rafiki yangu mmoja yeye kwa sasa ni muhudumu wa ile hotel waliyofikia”. “Basi kama ni hivyo hawa watakuwepo hapa kwa mda mrefu hivyo hatuhitaji papara naomba nipe nusu saa tu niende nyumbani nikatupie vile vitu vyangu vya kibata mzinga nikija kwa mara ya pili tu wenyewe watatufuta”.

TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE

SASA ENDELEA...
Sabrina alaitabasamu kidogo kisha kuniambia “sawa ila nisicelwe sana”. Niliondoka kupitia mlango wa nyuma na nilipotoka nje nilichukua bodaboda na kuwahi nyumbani.Akili siku hiyo ilikuwa inafanya kazi kupita maelezo.

Nilivyofika nyumbani kitu cha kwanza ilikwua nikumsalimia mwanangu na kumpa maneno yenye nguvu kisha nilingia ndani na moja kwa moja niliingia bafuni.

Nilioga vizuri kwa kutumia shower jelly ambayo huwa inanukia vizuri sana.Basi nilivyotoka nilikaa kwenye dressing table yangu na kujikwatua.Nilijipara vilivyo kisha nikachukua lile wigi langu la bei ghali kabisa ambalo huwa nikilivaa mtu hawezi kujua kama ni wig anaweza kufikiria kuwa ni nywele zangu.

Nikavaa kimini ambacho kilinibana kupita maelezo na lengo ilikuwa wowoo na hips zionekane.Juu pia nilitupia kidude ambacho kiliacha mgongo wazi na kwa mbele haya matiti yangu niliyoyaboost kwa mazoezi sehemu kumbwa yalikuwa yanaonekana. Sikutanii kama uliniona usiponitamani wewe mtoto wa kiume basi nenda hospitali kapimwe huenda ni hanisi kabisa..

Sasa nilifikiria pale naingia na mbinu gani ambayo itawafanya watu wote watambae uwepo wangu.Ilitakiwa nifanye kitu ambacho kitawafanya watu wote waniangalie. Niliamua kujipulizia marashi yangu fulani hivi ambayo hayo nikipulizia ni lazima mtu yeyote atashtuka.Nikaona sasa itakuwa ni aibu kupanda bodaboda. Nikampigia dereva wangu wa tax ambaye huwa yupo standby. Kweli alikuja na kunipakia na kunipeleka hiyo sehemu.

Sasa ilitakiwa niingilie mlango wa mbele ambapo wale jamaa wataniona.Ujue kule tulipo kaa mwanzo walitupa migongo hivyo ilikuwa ni rahisi sana. Hapo nikampigia simu Sabrina na kumwambia kuwa nikifika hapo mlangoni aje huku akikimbia aje anikumbatie na hiyo ni mara baada ya kuwasaliimia wale vijana.

Swaga zitakazo tumika ni kuongea kama umenimss sana na huamini kuwa mtoto wa waziri anaweza kuja eneo hilo. Basi viatu nilivyovivaa vilikuwa ni virefu sana hivyo hatua mbili tatu vilifanya watu wote wageuke. Nikailenga ile meza ya wale vijana huku Sabrina na yeye akitoka kule alipo na akawa anakuja.

Nikapunguza hatua na kuhakikisha kuwa tunakutana karibu kisa na kwenye ile meza ya wale vijana.Hapo Sabriana alinirukia kwa nguvu na kuanza kuniia mabusu yaani wao wao waoooooooooo mpaka watu walishangaa. Yaani sikuamini kama kweli unaweza kutoka Marekani mtoto wa waziri wewe na kuja moja kwa moja kuniona badala ya kwenda nyumbani.

Wacha tu shosti kwa jinsi nilivyokumiss imenibidi nichukue tu chumba hapo….nikilitaja jina la ile hotel ambayo niliambiwa wale vijana wamefikia. Kwa jicho la wizi niliweza kuona wale vijana walinikodolea macho yaani macho kodo. Basi muhudumu alikuwa akienda kuwaongezea vinywaji wale vijana na hapo hapo nikaona bora nichukue point kwa kusema kwa ngumu muhudumu utawaongeza hao wakaka kwa bili yangu alafu uje unisikilize na mimi.

Hapo ndo nilizidi kushangaa wakajua kweli huenda mimi ni mtoto wa waziri maana hizo zinaitwa nyodo za pesa. Alafu niliwapa ishara kuwa nawasalimia.Walitabasamu na sisi tukaenda kukaa kule mwisho.

Muhuduu alikuja na mimi hapo niliagiza vinywaji vya kitajiri.Kwa wanywaji mtakuwa mnavijua. Si hivyo hata sauti imebadilisha naongea kama mtoto wa waziri.Yaani kwa mapozi hapa ndo kwake.“Dili done”,nilimwambia Sabrina huku nikimwambia amwagize yule muhudumu ambapo hao vijana wamefikia atuwekee chumba kimoja.

“Mmmh chumba cha nini sasa best na vipi dili likikwama”. “Usijalia toa pesa utoe pesa hasara roho pesa makaratasi”. Sabrina alitabasamu na kunyanyua iphone 6 yake na kumpigia huyo muhudumu. Waliongea na kwa bahati nzuri vyumba vilikuwa bado vipo.

Kwa kuwa zilikuwa ni kazi za kirafiki akamwambia ahakikishe kuwa iibaki room moja haitoshi maana dili linakaribia kukubali. “Kwa hiyo mpango wako ni nini?”, aliniuliza Sabrina. Mpango wangu ni kunywa vinywaji mpaka tulewe wasipokuja wenyewe tutawafuata.

“Aaaaaah mnakuja ua niwafuate”, Sabrina alikazia msemo huo ambao tulikuwa tunaupenda kuutumia kipindi tukiwa tunataka jambo kwa haraka. Mara tuliona tunaongezewa vinywaji bila kuagizwa. “Vimetoka wapi? ni kwenye ile meza ya wale vijana wamejibu mapigo”.

“Oooops!!! Makosa”, nilisema kwa nguvu mara baada ya yule msichana kuondoka. “Makosa gani”? aliuliza Sabrina. “Hawakutakiwa kujibu sisi ndo ilitakiwa tuwe tunawahi tu”. “Mimi hata sikuelewi mbinu zako leo ni ngeni kabisa”. “Utanielewa tu kazi nzuri ni baada ya kulewa na tutaanza kufanya utumbo hapa mpaka watadata”.

“Siunajuaa mimi nikiamua kucheza nacheza sehemu yoyote”. Mara niliamua ninyanyuka pale tulipokaa na kuelekea kaunta huku nikitembea kwa madaha na kutingisha tako moja la kushoto.Nilitaka kuwachanganya maana niliamini safari hii watakuwa makini kunifuatilia.

Nilinda mpaka pale kaunta nikauliza kama wanachai ya ipad yangu.Nilijua kabisa watakuwa hawana. Nikiwa hapo kaunta ikapigwa nyimbo moja hivi ya Rihana hapo nilishindwa kujizuia nilicheza kidogo kuashiria kuwa wimbo huo nilikuwa naupenda sana.

Basi niliamua kurudi ile sehemu ambayo nilikuwa nimekaa na niliowapita wale vijana walishindwa kuvumilia waliniita.“Mambo mrembo inaelekea unajua sana kucheza hasa miziki ya nje”. “Kawaida jamani leo nipo na raha na huwa siwezi kujizuia”. “Raha ya nini tena jamani”.

“Raha ya kuja Tanzania ujue Marekani na penyewe panachosha sana”. “Alafu mbona mpo wenyewe mda mrefu tunaweza kujinga pamoja?”.Alichomekea kuoma kampani kijanja. “Tena itakuwa vizuri karibuni”, niliwajibu na kaunza kuondoka kwa mwendo wangu ule wa kuwaamsha waliolala.

Niliondoka kwa madaha yote jambo ambao nilijua huko nyuma lazima watu watadindisha tu wenyewe. Nilimkuta Sabriana akiwa ameshika mdomo hasiamini kile ambacho nilikifanya kwa mda huo mfupi maana ilikuwa ni kitendo cha kijasiri sana. “Wewe ni kiboko weka mbali na watoto”Sabrina aliatamka maneno hayo mara baada ya kuona wale vijana wakiomba muhudu anyanyue vivywaji vyao ili waje waburudike nao.

Walikuja pale kwa mbwembe huku wakioneka ni wazi walianza kulewa. Kweli mjini ni shule maana nilishaenda kozi ya kiingereza hivyo nilikuwa na swaga za kizungu.Maneno mawili ya Kiswahili maneno mawili ya kiingereza utanitaka sasa. Kampani ikawa kubwa na walianza wenyewe kujitambulisha na kueleza kuwa wao ni wafanyabiashara wa madini.

Mimi sikutaka mbwembwe niliwaeleza kuwa ni mwanafunzi lakini nasoma Marekani hapo nimekuja tu kwa sababu nipo likizo fupi. “Eeeeeh mpaka likizo fupi wewe unakuja huku alidakia kijana mwingine”. “Yeeah nikiwamiss marafiki zangu kama hawa lazima nije.

Na huwezi amini nimekuja kisiri hata Dady hajui”.Yaani akijua nipo Tanzania kinyemela anaweza hata kuniua”.Tukagonga cheers na kuendelea kupiga story za hapa na pale na Sabrina nilimtambulisha kama rafiki yangu naye ni mwanafunzi wa chuo kikuu Dar es Salaam.Basi tuliendelea kunywa huku sasa tukianz akulewa na kufanya story zinoge.

Baadaye mimi nilikuwa nakata mauno hapo hapo kwa chini nakuwafanya wapagawe.Mara kuna mda nilisimama na kaunza kucheza huku nikipiga nduru kuonesha kuwa nilikuwa napenda sana mziki. Alafu nlivyokuwa mjanja nilikuwa nategeategea zile nyimbo za nje ya nchi ndo nilicheza.

Baadaye Sabrina alitoa wazo kuwa kwa nini tusiingie club maana aliona kuwa nilikuwa na nyege za mziki. Wale jamaa walikuwa hawana kipingamizi hivyo tuliingia club. Haya ndo makoso makumbwa waliyoyafanya maana waliruhsu kuonesha ubora wangu na maana halisi ya kutengeza hips na malaio yangu.

Yale mazoezi hayakuwa ya bue jamani. Yani nilikuwa nanyambulikanyambulika mtoto kiuno kama hakina mfupa nyonga zinajizungusha kama feni walidata wakadatika. Yule bwana ambaye ndo alikwua ni target nilihakikisha kuwa nambana vizuri mpaka aombe mwenye kwenda kulala na mimi.

“Ulisema kuwa umechukua chumba kwenye ile hoteli ya…. nilihitaja sehemu ambayo walipofikia.Alishaingia laini huyu nikamwambia ndio tena itabid tukalale na rafiki yangu huyo maana mimi naogopa kulula mwenyewe. “Yule jamaa akapima maji kwa kuuliza kwa nini nisiende kulala naye na rafki yake akalala na rafii yangu.

SikujIbu swali hilo nilipotezea na kumtia hofu.
Wakati tukiendelea kucheza nilipata wazo kuwa nitumie mbinu ya kuondoka naye. Hpo tayari zile dawa za kulevya nilishakabidhiwa na Sabrina na nliziweka kwenye mkoba wangu.

Hakutaka kupoteza mda sana nilitegea mtu fulani hivi ambaye hata simjui alipoingia tu Club nilikimbia na kwenda kujificha mahali.Jamaa alinifata na kuuliza mbona nimekimbia ghafla. Nilimjibu kuwa kuna mtu aliyeingia amechafua hali ya hewa. Nilmiwammbia kuwa huyo aliyeingia ni kaka yangu hivyo tafadhali anisaidie hilo koti lake nijifunike alafu niondoke eneo hilo.

“Tafadhali nisaidie hilo koti maana akijua nipo hapa ni hatari sana ni mkorofi sana kaka yangu huyu”. Jamaa akaingia upepo akatoa koti na kunifunika. Ila kabla hajanipa lile koti kuna vitu alivitoa kwenye hilo koti na kuviweka kwenye mfuko wake wa suruali.

Hapo nikajua tu ndo hayo madini aliyokuwa akisema Sabrina. Basi nilimshika mkono na nilianza kupiga hatua ili tutoke nje. Pale mlangoni ilibidi watupishe tu maana ilionekana kuwa kama kuna tatizo limetokea. Tulivyofika nje niliita tax jambo lilofanya anizuie na kusema ngoja atanipeleka.

Tukasogea sehemu ambayo alikuwa amepaki gari yake tukaingia na safari ikaanza. Sasa nikawa nawasiliana na Sabrina kwa njia ya sms kumwambia kuwa nikifika pale nitajifanya nimesahu funguo hivyo tutaingia kwenye hicho chumba cha huyo mwanaume.

Kweli tulivyofika kwenye ile hotel tayari dada wa reception alipewa maelekezo na jinsi mimi nitakavyokuwa. Swali la kwanza kumuliza ni chumba namba ngapi dada akanjibu namba sita kwani si uliondoka na funguo.Hapo nikajifanya kuanza kujisachi kwenye pochi yangu.

“Ooh My God itakuwa nimemwachia yule rafiki yangu”. Nilianza kupigapiga miguu kuonesha kama nimechanganyikiwa vile. “Dada usipaniki twende chumbani kwangu alafu wakija wewe utarudi” alitoa wazo la busara kaka huyo. Kimoyo moyo nilisema tayari kashaingia King.

Basi tulipandisha ngazi na kwenda kwenye hicho chumba chao. Nilivyofika tu nilivua viatu vyangu huku nikilalamika kuwa ni joto sana. “Yaani ukikaa ulaya siku ukija Bongo unaweza hata kutamani kukaa uchi jinsi kulivyokuwa na joto” nilisema huku nikitafuta mbinu ya kuchojoa nguo zangu.

Nikafanya kama nakivua kile kinguo changu. Nikasimama na kumwambia joto limenishinda nataka kuoga. “Kuwa na amani wewe ingia kuoga tu au unaniogopa mimi”. “Sikuogopi kwani unang’ata nikampa ishara kuwa anisadie kufungua zipu huko mgongoni.

Nilijua tu huo mgongo na kile kitatuu changu mabegani kitamchanganya tu. Niliamua kujitoa ufahamu na kuvua nguo mbele yake na kubaki na chupi tu. Nilijua ninachotaka kukifanya tena kwa mada mfupi tu. Niliingia bafuni nikaoga na kumwacha hapo akaishangaa kama fisi kaona mzoga.

Nilivyotoka kuoga nilivuta shuka na kujaribu kujifunika. Akanambia simu yangu ilikuwa inaita na kuangali alikuwa ani Sabrina nadhani alikuwa akitaka muongozo kuhusu yule kaka mwingine. Sasa nikamwambia yule mwanaume akaniletee kinywaji. Sasa kwa akili zake akawa anapiga simu wakati mimi nilishatuma sms kuwa yule dada wa reception hasipokee simu.

Alipoona simu haipokelewi alikasirika na kuanza kwenda huko kaunta. Hapo nilimpia Sabrina na kumwambia ahakikishe anampagawisha huyo mwanaume mwingine mpaka mda wa cluba kufungwa. Na pia aoneshe kuwa yupo radhi kumpa mzigo usiku huo lakini mpaka mida mibovu.

Kitendo cha yule kaka kwenda kaunta pia kilinipa fursa ya kupaka ile dawa ya kumzimisha mtu.Nilipaka kwenye matiti nikiamini kabisa lazima atataka kuninyonya. Nilijifunua lile shuka nikalitupa pembeni nikajilaza pale kitandani huku nikiyategesha mabambucha yangu juu. Nilifanya makusudi na nikajua kwa mtego huo hawezi kuruka...

Yaani kuonesha kuwa nilichokifanya kilimchangayanya alidondosha glass pale mlangoni.Jambo lilonifanya nijinyanyue kizembe na kwenda kumpokea kinywaji.Alibaki amesimama kama zuzu hasiyejua cha kufanya.Nikainama kama nafanya yale mazoezi ya chura na kumuachia huu mgongo wa dhahabu.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)