MAPENZI NA NGONO (21)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA
ILIPOISHIA...
Siku ilikatika na kesho yake asubuhi na mapema tukadamka mimi na mama kuelekea kwa rafiki yangu kipenzi samson kwenda katika msiba wake ambao baada ya kufika tukapokelewa na vilio vya hapa na pale kutoka kwa ndugu na jamaa na sisi tukajiunga nao wakiambatana na mamia ya wanafunzi ambao wengine tulihitimu nao kidato cha nne ambacho ilikuwa si siku nyingi tumalize.TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE
SASA ENDELEA...
"Iiiiiiiii..ooooooook jamani samson mwaaaaanangu baba umeetuachia ukiwaa mimi na dadaaa yako umetuaacha peke yetu na kumfuata baabaaa y....akkkoooo mwa...nangu mamamama weeeee Eee mungu"yalikuwa ni maneno ya mama samson yaliosababisha mamia ya watu waliomsikia kuhuzunika sana na wengine kulia kabisa wakiambatana na mimi ambaye nikajikuta nikiangua kilio cha nguvu na kusababisha nianze kubembelezwa na wanafunzi wenzanfu ambao wengi walikuwa wakijua mimi na samson tulikuwa ni marafiki wa kushibana shuleni hapo.
Taratibu za ratiba ya maziko zikatajwa na kutangazwa kuwa mwili wa marehemu utaagwa hapo hapo kwao nyumbani na kuzikwa maeneo karibu na hapo nyumbani.kweli muda muafaka ukawadia na mamia ya watu waliojumuika tukaitwa kwenda kuaga mwili wa marehemu samson.hakika nguvu zikaniisha kabisa baada ya kushuhudia mwili wa samson aliyekuwa na ndoto za kuwa daktari wa baadae akiwa na lengo la kuisaidia familia yake kuondokana na umaskini akiwa ndani ya jeneza pamba zikiwa puani na masikioni alikuwa ametulia kama sio yeye.kwa uchungu nikajikuta nikiangukia jeneza lake huku nikilia kwa uchungu zaidi hakika inauma kumpoteza rafiki yako kipenzi ambaye ulikuwa upo naye bega kwa bega kwa mambo mengi yakushauriana.
"Sammmson amka haliima anakuita sammmm daaaa samson amkaaaaaa" nikajikuta nikimlalamikia amke baada ya kumuona amelala hakika niliona kama ni ndoto fulani lakini wapi ulikuwa ni ukweli mtupu.Miongoni mwa watu wakiambatana mama yake samson ambaye alikuwa akinifahamu vizuri na mama yangu na baadhi ya wanafunzi wakanisogelea na kwenda kuninyanyua pale nilipokuwa nimeegemea katika mwili wa samson ambaye alikuwa wala hanisikii na wala alikuwa hanioni roho yake ilikuwa ishatangulia sehemu husika.
"Nyanyuka Pablo kazi ya Mungu haina makosa" niliyasikika maneno ya mwanafunzi mmoja akiniambia lakini hakuniingia niliendelea kubaki palepale lakini nguvu za watu waliweza kuninyanyua na kunipeleka pembeni hakika ilikuwa ni majonzi juu ya machozi kwangu mimi na kila miongoni mwa watu walioudhuria na kweli ilipotimia mida ya saa tisa jeneza lile likabebwa na wote tukajumuika kumsindikiza samson katika safari yake ya mwisho katika maisha yake hapa duniani.katika hali ya sintoamini jeneza likadumbukizwa shimoni katika kaburi lake na kisha yule mchungaji akatoa wosia flani watu wakaanza kulifukia lile kaburi.
"Daaaaa sam kwa heri" nikajikuta nikijisemea kimoyomoyo baada ya watu kumaliza kulifukia kaburi lile la samson kisha wakaitwa watu kwenda kuweka maua baada ya pale yule mchungaji akatoa wosia wa mwisho wa kutukumbusha kuacha madhambi kwa kumrudia Mungu na baada ya kumaliza wakaambia wabaki wanandugu tu kisha sote tuliobakia tukaruhusiwa tuondoke.mama akanishauri niondoke nyumbani kisha yeye akabaki kwa lengo la kusaidia saidia kazi zilizokuwa hazijaisha katika ule msiba huku akinisisitizia kuwa nisipitie sehemu nyingine yoyote zaidi ya kuelekea nyumbani.mwanaume nikaenda kupanda gari la kuelekea nyumbani ambapo kama vile mchezo wa kuigiza nikakutana na dada yule niliyemgonga kule serena hoteli siku ya kwanza ambayo nilienda kufanya mapenzi na rukaiya kisha yule demu alionekana kunipenda na kunipa na namba yake na siku ya pili nilionana naye katika gari siku hiyo tulipotoka kwa akina rebecca.baada ya kuniona tu haraka akanisogelea mpaka katika siti niliyokaa mimi kwa sababu kulikuwa hamna mtu mwingine yeye akakaa.
"Jamani nimefurahi kukuona Mambo"yule dada akajikuta akivunja ukimya na kuamua kunisalimia.
"Poa tu"
"Unaonekana haupo sawa vipi kuna tatizo gani wangu niambie mpenzi halafu jamani hata ujanipigie simu tangia siku zile kwanini lakini??"
"Nilikuwa sina vocha"
"Jamani basi hebu nipe namba yako maana mimi sina"
"Sina simu sasa"
"Hee jamani..."
Ghafla yule dada akanisogelea karibu kabisa nakunikamata mikono yangu nakunishika kwa mahaba sana na kusababisha nigeuke na kumuangalia kwa hasira iliyosababisha aniache kwa uoga nakubaki akiniangalia lakini mimi sikuwa na haja ya kuongea naye baada ya kituo changu cha kushikia nikasimamisha gari na kushuka lakini cha kushangaza na yule dada akashuka na kuanza kunikimbilia aliponifikia karibu akazunguka mbele na kuniekea mkono kwa lengo la kunisimamisha lakini mwanaume nikautoa mkono huo kwa nguvu kwa kumsukumiza lakini hali ikarudi ile ile akanisogelea tena na kunisimamisha.
"Weee mwanamke unataka nini nitakufumua ujue"mwanaume nikang'aka kwa hasira zaidi na kusababisha yule dada atishike.
"Unajua mimi tangia nikuone nimekupenda ghaf....."
"Weeeeee acha ujinga hapa ntolee utumbo wako bwege wewe" kabla hata ajamaliza kuongea nikamzuia na kumuambia vile kisha nikamsukumiza tena na kuanza kuondoka haraka na kumuacha akiwa anajiuliza maswali mengi.nikafika nyumbani nakujibwaga kitandani kisha nikaichukua simu yangu ambayo baada ya kuiwasha messeji tatu zikaingia lakini nilipotaka kufungua simu yangu ikaita na nilipoangalia jina alikuwa ni rebecca. Haraka haraka nikaipokea nakuiweka sikioni.
"Hivi wewe ni mwanaume wa aina gani maana nimekufumania na hata kuniomba msamaha umeshindwa eee sasa basi kuanzia sasa naomba tuachane tusijuane kabisa wala sikuhitaji tenaa"yalikuwa ni maneno ya rebecca ambaye alionekana akiongea kwa jazba kubwa ambayo hata nilipotaka kujaribu kuongea akakata simu na nilipopiga mimi simu haikupokelewa ikakatwa na nilipopiga tena niliambia haipatikani.nikajikuta nikipotezea huku mawazo ya kifo cha samson kunitawala kichwa changu ghafla mlio wa ujumbe wa messeji ukasikika kwenye simu yangu na haraka nikaungalia alikuwa ni rukaiya taratibu nikaufungua nakuanza kuusoma
"Sikiaaa pablo nikuambie baba amenibana na kuniuliza ni nani aliyeuharibu uso wangu sasa sikia nikutaarifu pablo kama nikikutaja wewe na mbwa wako yule mmjue wote mmekwisha kabisa"............
Nikajikuta nikishusha pumzi baada ya kusoma ujumbe ule wa rukaiya ambaye hata nilipojaribu kumpigia simu ikakatwa na nilipojaribu kupiga tena ikawa haipatikana. Akili yangu ikaanza kuchanganyikiwa flani mwili ukaanza kutoa majasho mwili mzima hofu kubwa ikanitanda na kusababisha hata moyo uanze kunidunda sana. Hakika siku hiyo hata usingizi haukuja kutokana na mawazo yaliyokuwa yakiniandama.hakika maneno ya rukaiya yalikuwa yakinitisha sana kutokana na ukweli kwamba baba yake alikuwa ni mtu anayejiweza mno hakika kujiweza kwake kulisababisha kuniogopesha kwa sababu anaweza kunifanyia chochote kutokana na hela zakeambazo zilizidi kupendezesha wanae.
Kesho yake mwanaume nikaamka mapema nakuanza kufanya usafi wa nyumbani kwetu na kumsaidia mama kazi kazi ambazo mara nyingi alikuwa akizifanya yeye na kumaliza kwangu shule ilikuwa ni msaada tosha kwa mama ambaye mara nyingi kazi hizo alikuwa akizifanya yeye pekee.ghafla nikiwa nakunywa chai simu yangu ikaaita na nilipoangalia alikuwa ni zureiya ambaye ilipita kitambo sana tukiwa katika kutoelewana haraka haraka mwanaume nikaipokea haraka na kuipeleka sikioni.
‘’halooo mpenzi.’’nikajikuta nikianza kwa mbwembwe zote hali iliyosababisha mshangao mkubwa kwa zureiya ambaye alikaa kimya kisha akaachia tabasamu ambalo lilinifurahisha na mimi pia.
‘’jamaani leo unanitaa mpenzi pabloo wewe bana haya nambie sasa.’’
‘’aaaaa jamani sasa unataka nikuitaje zureiya mke wangu.’’
‘’hahahahaha jamani basi nakuomba leo tukatane kama ukiwa na muda maana nimekumiss sana.’’
‘’jamani usijali hata sasa hivi.’’
‘’heee naomba tukutane mmmh kule beach yani palm beach.’’
‘’jamani shaka ondoa sasa hivi nakuja honey.’’
Mwanaume nikajikuta nikipata furaha ya ghafla.hakika kilikuwa ni kipindi change kigumu kwa sababu nilishagombana na Rebecca na dada yake zureiya rukaiya ambaye jana yake alikuwa amepata dhahama kubwa ya kupigana na Rebecca ambao wote wakiwa wananigombania mimi.mwanaume haraka nikamaliza kunywa chai na kumuaga mama ambaye naye akakubali na kuniruhusu huku akanisisitizia kuwahi kurudi.nikaenda haraka haraka mpaka stendi na kupanda gari ambalo lilikuwa limejaa lakini kutokana nilikuwa nataka kuwahi nikapanda hivyo hivyo huku nikibanana na watu ambao nao walikuwa wamepanda gari hilo.
Siku hiyo haikuwa na foleni haraka nikafika na kukutana na zureiya ambaye alionekana kuwa na furaha sana baada ya kuniona haraka akanisogelea na kunikumbatia kwa mahaba ambayo yalikuwa kivutio kwa watu waliokuwepo pale stendi ambao wakaishia kutuangalia kwa maswali mengi yakujiuliza.
‘’jamnai Pablo nimekumisi sana mpenzi na hakika sasa umenisamehe kabisa.’’zureiya akafungua mazungumzo baada ya kutafuta sehemu nzuri na kukaa huku tukiwa tunakunywa kinywaji cha juice ya mapenseni.
‘’nisakusamehe wala usijali zureiya mimi ni wako haina haja ya kuogopa kwa sababu wewe ndio peke yako nimekuweka moyoni.’’
‘’jamani Pablo asante sana kwa kusikia hivyo kwa sababu nilikuwa nina wasiwasi wa kukupoteza kwa wasichana wengine ambao wengi wao wanakutamani kutokana na ukarimu wako,ustaarabu uliokuwa nao pablo.’’
‘’hahaha hamna bana nambie.’’
‘’Pablo dada yangu rukaiya anaumwa jana amepigana sijui nani basi amemuharibu uso.’’moyo wangu ukaanza kudunda baada ya kusikia maneno yale ya zureiya maneno ambayo kisa chote na chanzo nilikuwa nakijua mimi pekee.nikajikuta nikionyesha uso wa mshangao kwa zureiya ambaye aliongea kwa kusikitika.
‘’jamaani kisa nini.??’’
‘’basi najua baba amembana sana ujue lakini kakataa kusema so baby tufanye haraka mimi niwahi kurudi nyumbani.’’
‘’mmmmh tufanye nini tena zureiya jamani.’’
‘’wewe bana situkumbushie kale kamchezo tuliofanya siku ile.’’
Nilimwangalia zureiya aliyesema maneno yale huku akiwa ameregeza macho yake yalionipandisha mzuka na kusababisha mwanaume mzuka upande ghafla na kujikuta uchu ukinipanda na mimi nikawa namuangalia zureiya kwa macho ambayo hata yeye yalimuonyeshea kitu.
‘’Twende basi’’zureiya akaniambia huku akinyanyuka na mimi nikamfuata alipokuwa akielekea na safari yetu ikaanza na kuingia katika hoteli ya palepale palmbeach. Lakini baada ya kuingia katika hoteli ile iliyokuwa imesheheni waarabu na watu weusi kama mimi wachache nikamshuhudia zureiya akiwa ana jificha ficha kama anamkwepa mtu asimuone jambo ambalo lilinishangaza sana na kujikuta nikimuuliza.
‘’Mmmh baby vipi mbona unajificha jificha.??’’
‘’Mmmh bby kuna humu ndugu zetu wengi ila usijali wala nini.
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni