MAPENZI NA NGONO (22)

0
Mwandishi: Pablo

SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI
ILIPOISHIA...
Lakini baada ya kuingia katika hoteli ile iliyokuwa imesheheni waarabu na watu weusi kama mimi wachache nikamshuhudia zureiya akiwa ana jificha ficha kama anamkwepa mtu asimuone jambo ambalo lilinishangaza sana na kujikuta nikimuuliza.
‘’Mmmh baby vipi mbona unajificha jificha.??’’
‘’Mmmh bby kuna humu ndugu zetu wengi ila usijali wala nini.

TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE

SASA ENDELEA...
Nikajikuta na mimi nikipotezea na tukalipia chumba na tukaingia katika chumba ambacho kulikuwa ni kizuri sana.
‘’unajua bby hii ndio mara yangu ya kwanza kuingia gesti.’’zureiya akaniambia vile huku akianza kuvua nguo zake alizovaa nikifuatiwa na mimi ambaye nilipoangalia pembeni nikakutana na box kubwa la kondomu.nikalisogelea lile boxi na kulifungua kisha nikatoa pakti moja kwa lengo la kuvaa lakini cha kushangaza zureiya akanifuata na kunipokonya.
‘’heee vipi zureiya mbona unaninyang’anya kondomu.??’’
‘’wee za nini sasa.??’’
‘’khaaaa si tunafanya mapenzi au tumekuja kupiga stori??’’
‘’najua kama tumekuja kufanya mapenzi baby lakini mimi sitaki na kondomu mimi nat…’’

Kabla hata zureiya hajamaliza sentensi yake nikamsogelea na kuanza kumnyonya denda jambo ambalo hata yeye lilimshangaza na yeye akajikua akinipokea vizuri na wote tukaanza kudendeka taratibu.
‘’aaaaasssss ooooooo Pablo mume wangu nimekumiss maana kitambo sana,’’Zureiya akazidi kunipagawisha kwa sauti yake mwanaume nikajikuta nikijisahaulisha majanga yote ambayo yamenitokea kufumwa na Halima kama natembea na rukaiya,pia kutojuwa Zureiya kama mimi natembea na dada yake.

Hakika miamko ilikuwa inakuja ilinisahaulisha kama nilikuwa nimepoteza rafiki yangu kipenzi kwa sababu ya Halima ambaye ndio rafiki yake mkubwa zureiya na ndio yeye ambaye aliniyenionganishia na zureiya mpaka nampata na baadae eti anakuja kusema kwamba ananitaka jambo ambalo lilipelekea yeye kugongwa na gari kisa baada ya kutufuma na rukaiya akiwa ananibusu, hakika pia nikajikuta nikijisahau kwa muda kama nilikuwa nimegombana na msichana mwingine mrembo anayefahamika kwa jina la Rebecca ambaye alipigana na rukaiya ambaye kwanza alinipa kitisho kwamba akinitaja mimi kwa baba yake basi nitakwisha pili nikajikuta nikisahau tena onyo kubwa kutoka kwa rukaiya ya kwamba nisitembee tena na mdogo wake ambaye kwa muda huu nilikuwa nabanjuka naye.

Mihemiko iliendelea kuchukua nafasi yake mwanaume nilionekana kuwa na uchu sana na zureiya ambaye hakika nilimuona mpya tena na mapenzi yake yakarudi na kujikuta nikizidisha mbwembwe nyingi.nikamsukumiza kitandani zureiya ambaye tayari alishakuwa mtupu hana hata alichovaa kujistili.mwanaume nilikuwa tumbo wazi huku nikiwa nimevaa suruali tu baada ya kuvua shati tu.mzuka ukanipanda sana macho yakiwa yanaumangalia zureiya alikuwa naye akiniangalia mimi huku akiyashika maembe dodo yake mawili na kuzidisha kunipa mzuka mkubwa.taratibu nikashusha suruali yangu na kumvamia kitandani kwa kumkandamiza mabusu mbali mbali ambayo yalimpagawisha sana zureiya ambaye alionekana kuvimisi vitu vile adimu.

‘’Oooosssss Pablo mwili ni wako huu fanya utakacho.’’zureiya bila ya kuwa na hiyana wala choyo kweli akanipa ruksa kabisa kwamba niendelee na mbwembwe zangu ruksa ambayo sikutaka kuichezea wala kuipoteza ama kuipuuzia kweli nikaendeleea kutawala uwanja ipasavyo.zureiya naye hakuwa nyuma sana nilipokuwa namnyonya maembe dodo yake yeye alikuwa mstali wa mbele yeye alikuwa anachezea koki yangu nakuitoa kabisa kwenye ndugu yangu ya ndani itwayo boxer kama wengine walivyozoea kiziita na kuanza kuichua kifundi na kuzidi kuipandisha hasira.baada ya kuridhika kunyonya madodo mawili yaliokuwa katika kifua cha zureiya yaliosimama vizuri kama kawaida yangu mwanaume nikaanza kumramba ramba zureiya mwili mzima nakusababisha azidishe kelele kisha nikajikuta nikitulia kabisa katika ikulu yake na hapo ndipo nikaanza kupanyonya kabisa kama vampire anavyomnyonya damu mtu.

‘’Oooooossssss uwiiiiiii yessss pa……ooooo ho..niiiiii uwiiiii’’zureiya akaendelea kulalamika kama kawaida yake sauti yake ya kutokea puani ilizidi kunipa shamsham na baada ya kuona zureiya ajiweze nikaingiza koki yangu katika ikulu ya zureiya ambaye alitaka kuruka lakini nikamzuia akajikuta akizidisha ukulele wa raha tulionekana kama tunagombana lakini la hasha tulikuwa katika sayari tamu ya ulimwengu mwingine kabisa ulimwengu mtamu wa malavidavi. Baada ya purukushani ndefu za hapa na pale wote tukafika kikomo na kuanza kusifiana sifiana.

‘’Ooooh baby umebadilika sana kweli wewe ni mrembo umenipa vitu adimu sana.’’nikajikuta nikimwagia sifa kemukemu msichana huyo ambaye ndio alikuwa ni msichana ambaye yeye alinifundisha kamchezo hako kipindi cha nyuma.alikuwa ni mwalimu wangu ambaye nilimzidi ujuzi baada ya mimi kuongezea ujuzi mwingine niliojifunza kwa dada yake.

‘’jamani honey ahsante kusikia hivyo ni faraja tosha kwangu yani nakupenda kweli wewe mwanaume wa shoka.’’naye zureiya akanimwagia za kwangu na kusababisha na mimi nitabasamu kwa furaha na hapo hapo nikamsogelea karibu kabisa nakuanza uchokozi ili tuendelee tena.
‘’baby subiri.’’zureiya akaniambia vile na kunyanyuka na kusababisha nishangae lakini mshangao wangu ukaisha baada ya kumuona zureiya akiufuta mkoba wake na kuufungua mkoba huo kisha akatoa simu iliyokuwa ikiita lakini ghafla nikamuona akishtuka baada ya kuangalia simu hiyo kisha akaipokea haraka na kuiweka sikioni.

‘’Ook….dady….yesss…mmmh niii…po …kwa rafiki yangu….noo am sorry dady…give me 20munites nitakuwa hapo baba’’kwa hali ya uoga zureiya akaniangalia kwa makini.
‘’baby we have to goo aaaaaa tuondoke maana baba kanipigia simu yupo nyumbani yaani daah sijui itakuwaje maana anaongea kiukali.’’zureiya akaniambia vile na kusababisha nisiwe na la kusema nikabaki nikumuangalia alivyokuwa anavaa haraka haraka huku mimi nikiwa bado nina uchu naye..........

Sikuwa na cha kufanya mwanaume nikanyanyuka na mimi haraka haraka na kuvaa nguo zangu baada ya wote kuhakikisha tupo sawa haraka haraka tukatoka.tukaanza kutembea kuelekea nje lakini kabla hata hatujafika nje nikashikwa mkono na jamaa mmoja mrefu wa kiarabu ambaye alinishika mkono kwa nguvu mpaka nikajikuta nikiugulia.nikabaki namuangalia huku nikijikwamua kuutoa mkono wake ambao ulikuwa ukiniumiza sana kwa wakati huo.

‘’Wee vipi.’’zureiya akamwambia Yule jamaa kisha na yeye akaungana na mimi kuutoa ule mkono wa Yule jamaa wa kiarabu ambaye baada ya kumuona naye zureiya akinisaidia mimi akaniachia huku akiniangalia mimi kwa dharau huku akicheka kwa nguvu jambo ambalo lilinikera mimi na zureiya ambaye baada ya kuniachia akaanza kupasika pale aliponishika Yule jamaa ambaye aliniachia alama ya kuviria damu baada ya kuwa alinishika kwa nguvu sana.

‘’Mmmh kwani unamjua Yule zureiya.??’’
‘’Wala hata simjui ila usiogope maana hawa mimi nawajua huaga wakionaga wanaume wa kawaida wanaongoza na msichana wa kiarabu mrembo kama mimi huaga wanachukia sana.’’zureiya akaniambia maneno yake ambayo kwa namna moja ama nyingine yalinitoa hofu kubwa niliyokuwa nayo ambayo nilidhania labda alikuwa ni mtu ambaye alikuwa anafahamiana naye.baada ya haliile kuisha tukatoka nje ambapo zureiya akachukua taxi ili kuwahi safari ya kwenda nyumbani kwao na kuniacha mimi nikiwa palepale stendi nikisubiria gari kama lakini kabla yay eye kuondoka akanitandika busu matata na kuniachia na baadhi ya hela ambazo sikujua ni bei gani zote nikaziweka mfukoni nakuwaacha watu pale stendi kuendelea kunishangaa kama mara ya mwanzo.nikafanikiwa kurudi nyumbani mapema na nilipoingia tu ndani simu yangu ikapigwa na nilipoangalia ilikuwa ni namba ngeni bila ya hali ya kusita nikaipokea.

‘’halooo wewe nani.’’nikajikuta nikianza mazungumzo baada ya kuona ukimya mzito kwa Yule aliyenipigia.
‘’haloow mzima wewe,’’nikasikia sauti ya kike ambayo baada ya kuitathimi nikaigundua kuwa ilikuwa ni sauti tamu na nyororo ya Halima ambaye alikuwa ni mgonjwa na ilipita kama siku mbili au tatu sijaenda kumuona kwa sababu kumuona kwake kulikuwa kunaniumiza kwa sababu yeye ndio alikuwa chanzo cha mimi kumpoteza rafiki yangu kipenzi Samson ambaye alikuwa tayari kashatangulia kisa mapenzi jambo lililofanya nithibitishe msemo wa nyimbo moja ya ally kiba inayosema mapenzi yanarun dunia.

‘’mimi mzima nambie.’’
‘’pooo tu Halima hapa Pablo naona utaki hata kuja kuniona jamani kumbuka mimi bado nipo hospitali natamani nione sura yako.’’
‘’sio kama sitaki nilikuja siku kama tatu siku ambazo wewe ulikuwa bado haujapata fahamu lakini sasa hivi kulikuwa kuna mambo nayafuatiliwa so ndio maana siku mbili tatu hizi sijaja kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu.’’
‘’sawa bana Pablo pole sana nilisikia rafiki yako Samson alijinyonga jamani niliumia sana kwa sababu ni rafiki yako ambaye mlikuwa mkipendana sana kwa dhati pole sana najua sasa una muwaza sana.’’
‘’ahsante sana Halima kazi ya mungu haina makosa kwa sababu hakuna anayeijua kesho Halima shukuru mpaka sasa wewe ni mzima.’’
‘’kwelii Pablo ila sasa naona itakuwa ni nafasi nzuri sana ya kuwa mimi na wewe kwa sababu yeye kama alikuwa ndio kikwazo kwangu.’’

Yalikuwa ni maneno ya Halima ambayo kwa hakika yalinikera kupindukia nikajikuta nikijiuliza kwanza mwenyewe yani kifo cha Samson ndio kimekuwa furaha kwa Halima.

‘’Weee chizii kweli au kuumwa kwako kuna kupeleka kubaya??’’
‘’Jamani Pablo kumbuka mimi nakupenda sana sijamaanisha kama ulivyokuwa ukifikiria wewe pa….’’
‘’Ssshssshsss hishia hapo hapo binti kwanza napenda kukwambia kwamba mimi sihitaji kuwa na wewe kwa sababu wewe ndio chanzo cha Samson kujinyonga naomba tu ukome na ushindwe na uache tena kuniambia upuuzi wako kwa sababu mimi nampenda sana zureiya Yule ndio mwanamke ninaye muhitaji kwa sasa kwa hiyo wewe kama huna sera nyingine mimi sasa hivi sijali kama unaumwa au laaa nakuomba usinifuatilie mimi sikutakiii.’’nikajikuta nikipayuka kwa nguvu na kusababisha mpaka mama asikie maneno yale yalionekana ni kama mwiba kwa Halima ambaye yeye mwenyewe akakata simu bila ya kuendelea chochote.kuongea na Halima hakika kulinikumbushia rafiki yangu Samson nakujikuta nikilia sana.

‘’Jamani mwanangu Pablo vipi mbona unalia na mbona unaongea kwa sauti kubwa.’’
‘’hamna mama hasira tu kuna mtu ananikumbushia mambo ya Samson ndio nikajikuta nikiwakatika hali hii lakini usijali mama ni mawazo tu nakumkumbuka sana.’’

Nilimwambia vile mama ambaye alionekana kunionea huruma akanisogelea karibu na kunikombatia na kuanza kunifariji kwa kunipa maneno mazuri ambayo yalikuwa yakinijenga hakika hapo ndio nilikuwa nakumbuka kuwa hakuna kama mama.

Siku zikaanza kukatika kama mvua mama naye hakutaka mimi nikae nyumbani tu akanianzisha college chuo cha kujifunza computer lakini kilichozidisha kunishangaza nikuwa tangia siku niliyofanya mapenzi na zureiya sikuona messeji yake wala simu na hata nilipojaribu kumpigia hakupatikana na hata nilipojaribu ya dada yake rukaiya hakuna kilichopatikana.

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU

Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho


Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)