Notifications
  • MWALIMU MKUU (9)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA TISAILIPOISHIA...Upande wa rameki alifika bwenini, alimlaum Irene kwa kumuamsha moli wake bila kumpa msada aliingi bafuni alijimwagia maji kisha akatoka, alivaa nguo zake kisha akachukua kitabu na kuwelekea darasani kujisomea.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Mwalimu mkuu aliruhusiwa kisha akafika nyumbani kwake alijiraum kumfukuza rameki“”Mmh hii mimba naisi itakuwa ya rameki maana yule mtoto…
  • MWALIMU MKUU (8)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA NANEILIPOISHIA...Kwa upande wa rameki alikwenda shuleni kuangalia matokeo yake alifaulu yule ya ruhowiko jwtz sekondari iko songea mjini INA mchanganyiko wa wafulana na sichana.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Hatimae rameki alimuaga bi sani kwamba anaelekea shuleni bi sani aliuzunika sana kukaa mbari na rameki aliahidi atakuja kumtembelea ili amtibu kiu yake.Hatimae rameki aliondoka kuaza…
  • MWALIMU MKUU (7)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA SABAILIPOISHIA...“” sawa mpenzai,”alijibu rameki kwa kishingo upande“”Oooh jina nzuri asante sana”alijibu mwalimu uku akimkumbatia rameki kisha akamwagia mvua ya mabusu uku tens akipapasa kifua cha rameki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Rameki alihisi raha ya ajabu alimvakamiamwalimu wake kisha akamvakamia maziwa yake kwa pupa kama ana wait basi LA mkoani UBONGO.“” rameki ashhhiiiii chomeka…
  • MWALIMU MKUU (6)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA SITAILIPOISHIA...Hatimae rameki alipata nafuu alizinduka Mama ake alifurahi kumuona mwanae akiwa amepata fahamu“””Eeeee mungu kweli umesikia kilio changu asante sana(uku alifurahi)pole mwanangu””IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“”Asante mama”alijibu ramekiMama rameki na mama loly walirudi nyumbani kumchukulia rameki chakula kwani tangu asubui akupata mlo.*********Upande wa bi sani alifurahi…
  • MWALIMU MKUU (5)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA TANOILIPOISHIA...Mama roly alivyosikia rameki anataka kumwaga alimtema yule nyoka na kumficha pangoni mwake, rameki alimpambu mama roli kwa kasi ya ajabu kama ndege ya vita ikimbiavyo angani“Ramekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! tombaaaa”rameki na mama roli walipiga madafu kama manne “heeee rameki siamini???!!”IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“kwannn??”rameki aliuliza“DUDU LOTE HILI…
  • MWALIMU MKUU (4)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA NNEILIPOISHIA...Mwalimu mkuu alistuka kuguswa na kitu kwenye makalio yake alijua rameki atakuwa kaweka mzigo nyuma yake rameki alivyoona ajakaa vizuri alisogea ili akae vizuri mwalimu mkuu alistuka kitu kama tango kikimgusa tena alipitisha mkono ili aone nn alistuka “MUNGU WANGUU”IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Rameki alistuka mwalimu mkuu alivyoshika tango lake akapaza sauti“AAAAAA MWALIMU…
  • MWALIMU MKUU (3)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA TATUILIPOISHIA...chausiku alishangaa kuziona zile sale “JAMANI NANI KAKUPA MWANANGUU??!!”aliuliza chausiku kwa mshangao“Kaka juma”alijibu ramekiIKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“Oooh juma jamani mungu akubariki ooooh asante mungu”alitamka mama rameck uku akinua mikono juuRameck alizijalibu zile nguo hakika alipendeza sana adi mama ake alimfagilia kwa vigeregere “jamani juma mungu akuwekee…
  • MWALIMU MKUU (2)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA MBILIILIPOISHIA...“MUNGU WANGU YULE SI MZEE ALINANI???!!!”aliuliza chausiku kwa mshangao chausiku alimuangaria mzee alinani ambae amepoteza furaha yake ya kusomaMzee alinani alikuwa anakuja kuangaria bishala zake pale sokoni kwa kina chausiku.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Mzee alinani alistuka kumuona chausiku alikwepesha macho yake kwa aibu alitoka kwenye soko lile, chausiku alimpitia…
  • MWALIMU MKUU (1)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA KWANZA“MAMA USIFE MAMA NITAISHI VP NA HII MIMBA MAMA”ilikuwa ni sauti ya mdada aitwae chausiku akimwambia mama ake asifee bado anamtegemea mama ake na mimba yakee“CHAUSIKU MWANANGU NAJUA MIMI NDIYO TEGEMEZI LAKOO NILIPAMBANA NA KILIMO ILI USOMEE LAKINI UMECHEZEA SHIRINGI CHOONI MWANANGU UMESHIKA MIMBA BADO MWAKA MMOJA TUU UMALIZE LAKINI NDO IVYO MWANANGU MIMBA NDO ISHAINGIA SINA BUDI KUKUFUKUZA INGALI UKO MOYONI MWANGU NAKUPENDA MWANANGU CHAUSIKUU ILA…
  • THE NIGHTMARE (9)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TISAILIPOISHIA...“mmenifananisha, mimi ndio kwanza naigia ofisini mida hii.” Aliongea yule afande na kuigia kituoni.“sasa aliyekuwa anatuhoji ni nani kama sio huyo?”Alijikuta anajiuliza mwenyewe swali lililompa utata mkubwa kichwani mwake.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Wakati wakiwa hawajui hili wala lile, walishangaa kuona maaskari wakijazana pale na ambulance ikafika…

MAPENZI NA NGONO (7)

Mwandishi: Pablo

SEHEMU YA SABA
ILIPOISHIA...
Hakika katika maisha yangu yote niliyokuwa nikiishi kabla ya kukutana na zureiya sikuwahi hata siku moja kufikilia kama itakuja kutokea mitihani kama hiyo kutokana na rukaiya kuning'ang"ania sana nikajikuta nikikubali na kumpa namba yangu ya simu huku yeye akinisisitiza kuwa nisiongee kabisa na Mdogo wake la sivyo atakuja kumwambia baba yake inshu hiyo jambo ambalo likanishangaza hasa nilipoanza kujiuliza ni kwanini rukaiya anafanya vitu kama vile.

TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE

SASA ENDELEA...
Bajaj ilipowasili kituoni komakoma nikashuka huku nikishindikizwa na busu zito kutoka kwa rukaiya ambaye alibaki mulemule katika bajaj ambayo baada ya mimi kugeuza kisogo iliondoka.katika Pande mbili tofauti nikaanza kufikiria vitu viwili ambavyo vikaanza kunichanganya cha kwanza kumuacha zureiya ilikuwa jambo ambalo lilikuwa gumu licha ya kuwa niligombana naye na nilikuwa na lengo la kusuluhisha tofauti zetu pindi tu nitakapomaliza mtihani lakini pili jambo lingine lililozidi kuniweka katika hali ngumu ni kutembea na dada yake zureiya rukaiya ambaye naye pia alinipa mkwara mzito kwamba nisiongee tena na zureiya na kuzidi kunitisha kwamba nitakapofanya hivyo basi atalifikisha jambo la mimi kutembea na zureiya kwa baba yao.

Kwa mwendo wa kujisogeza sogeza nikafanikiwa kufika nyumbani na kutomkuta mama ambaye kwa wakati huo alikuwa kazini na mimi nikajitupa kitandani nilipofika chumbani kwangu na kujikuta nikipatwa na usingizi mzito ulionichukua gafla huku nikiwa hata sijabadilisha nguo zangu za shule.Nilikuja kushtusha na sauti ya mama ambaye alikuwa akinitingisha tingisha nikiwa pale kitandani huku akiniita.

"Pablo vp unaumwa mbona umelala ukiwa na nguo za shule.??"
"Hapana mama uchovu tu wa masomo siunajua tena"
"Mmmh haya basi amka ukachukue maji ukoge uwe vizuri mimi napika sasa hivi ili ule ujisomee"
"Sawa mama" nikajikokota na kuamka na kuvua nguo zangu za shule na kuvaa taulo kisha nikaenda kuoga na nilipomaliza nikachukua simu yangu ambayo kwa kipindi cha kama miezi mitatu nilikuwa siitumii na kuiweka katika chaji kisha nikaenda kwanza kula baada ya mama kunambia kuwa msosi ulikuwa tayari na baada ya kumaliza nikarudi katika chumba changu kisha nikaitoa simu yangu kwenye chaji ambayo haikuwa bado haijajaa na kuiwasha.Lakini cha kushangaza baada ya kuiwasha tu simu ikaita na nilipoingalia ilikuwa ni namba mpya iliyokuwa haijaseviwa jambo lililosababisha nianze kuhisi kuwa namba ile ilikuwa ni ya rukaiya.

"Haloow"
"Haloow nambie mpenzi wangu pablo rukaiya hapa" hakika kama nilivyodhania ilikuwa kweli ni sauti ya rukaiya ndio ilisikika katika speaker na kusababisha nianze kuvuta pumzi ndefu na kujifanya nikijikohoresha pasipo na sababu na kukaa kimya kama alivyokaa kimya rukaiya aliyekuwa akinisikiliza.
"Vp pablo mbona kimya mbona hauongei."
"Hamna rukaiya me sina cha kuongea nakusikiliza wewe tu"
"ooo sawa kama nilivyokuambia tulipokuwa kwenye bajaj achana na zureiya kwanza wala hakupendi ndio maana kwa makusudi akakudanganya na kukufanyia michezo ya kijinga ukiwa na mimi utafaidi vingi kwanza kwa muda mrefu nilikuwa natafuta penzi tamu nahisi kwako nitalipata kuanzia jumamosi nataka tukutane twende tukafanye yetu umenielewa lakini usiogope kuhusu zureiya kwanza hatojua pili nataka kuanzia leo umsahau nitakua bize simu kwa siku mbili hizi kutokana na kubanwa na kazi so tutaongea vizuri ijumaa kupanga tutakutana wapi jumamosi love you bye"

Nikajikuta nikishusha Pumzi ndefu baada ya kumuelewa na kumsikia vizuri rukaiya ambaye sikujua sababu ilikuwa ni nini mpaka kufikia kunipenda kiasi kile na kuamua kudiriki kabisa kutaka kunitenganisha mimi na zureiya ambaye kwa wakati huo tulikuwa tumegombana na kati yetu hakuna aliyemuanza mwenzio kwa lengo la kusuluhishana. kiusema kweli hata mimi sikuwa tayari kabisa kumuomba msahama kutokana zureiya alinifanyia masihara ambayo yalitaka kuhatarisha Maisha yangu na yeye pia nilihisi kuwa hakuwa tayari kuniomba msamaha kwa sababu nilimtukana ndio kilikuwa ni kisa kilichosababisha yeye anikatie simu pindi nilipokuwa namtukana na tangia siku hiyo yeye hakunitafuta na mimi sikumtafuta.siku zilikatika kwa haraka sana hali iliyonishangaza sana kutoka jumatatu siku niliyokutana na rukaiya mpaka kufikia ijumaa siku zilienda haraka mno na kunifanya nianze kuhisi labda mawazo niliyokuwa nawaza kwamba siku nitakayokutana na rukaiya na kwenda kufanya nae Mapenzi.

Hakika siku hiyo ijumaa ilienda vizuri tu na nilienda shule salama nakurudi salama na nilipofika nyumbani kama kawaida nikawasha Simu yangu nikiwa na lengo la kupokea simu ya rukaiya kama miadi ilivyokuwa.Nikiwa katika hali ya kusubiri kama kawaida simu ikaita kwa upole nikaichukua na kuanza kuangalia jina la mpigaji huku nikiwa nishajiwekea kuwa ilikuwa si ya mwingine bali ilikuwa ni ya rukaiya.Ghafla moyo wangu ukaanza kunidunda baada ya macho yangu kuona jina la Laaziz wangu likijiandika katika simu yangu likiashiria kuwa alikuwa si mwingine bali ni Zureiya ambaye kwa kipindi cha miezi miwili mitatu kilipita bila ya yeye kunipigia simu wala kunitumia messeji Nikiwa katika hali ya uoga uoga nikaipokea simu hiyo kisha nikaiweka sikioni na kutulia.

"Hallow pablo za siku mpenzi" kwa mara ya kwanza baada ya miezi miwili kupita nikajikuta mwili ukinisisimka baada ya zureiya kuongea kwa sauti yake iliyokuwa nyembamba na kujikuta nikitulia kidogo kumjibu kisha nikamjibu.
"Nzuri tu mzima wewe??"
"uzima ni utolee wapi pablo kwanza kabla ya yote nakuomba unisamehe baby Am sorry kwa yale yote yaliotokea laaziz wangu kumbuka nilikuhaidi kuwa nitakupa moyo wangu kwa kukuthibitishia vitu vingi ambavyo cha kwanza ni kukupa penzi langu ambalo watu wengi waliitaji nilikataa nakupa wengine please baby nakuomba unisamehe.sahau yote yaliotokea nisaheme kwa yale yote niliyokufanyia baby nakuomba kesho jumamosi tukutane palm beach hotel upanga pale nina mazungumzo na wewe nimekumiss pia nataka kukuona usiku mwema leo baba yupo naogopa atakuja kunisikia bure i love please dont ignore(nakuomba usipuuzie)."

Akili yangu ikaanza kuvurugika kabisa baada ya zureiya kukata simu na kunifanya nibaki na Mshangao huku mawazo katika kichwa changu ndio yalizidi kuniandamana.Nikiwa bado nafikiria nini cha kufanya Messeji katika simu yangu ikaingia na nilipoangalia Moyo wangu tena ukaenda kwa kasi baada ya kuona jina la dada yake zureiya rukaiya ndiye aliyetuma messeji.Nikavuta pumzi kisha nikabonyeza kitufe cha kufungulia messeji ambapo baada tu ya kufungua nikaanza kusoma messeji kwa umakini.

"Hello dear natumaini uko pouwa sasa basi kesho nataka tukale raha Palm beach hotel nataka uje tupeane utamu siku nzima mpaka jioni Onyo kama hautokuja pablo kama hautokuja pablo narudia?? utajua jeuri ya pesa ya baba yangu itavyokuja kiutafuna familia yenu"Nikasoma messeji hiyo nakujikuta nikiishiwa nguvu kabisa hasa aliponambia kuwa nitajua jeuri ya pesa ya baba yangu.Nakilichozidi kuniacha katika ndimbwi zito la mshangaoo ni kuwa sehemu aliyoitaja zureiya anayotaka tuonane ndio hiyohiyo anataka rukaiya tuonane hapohapo na kuzidi kubaki njia panda.....

Hakika siku hiyo ilikuwa mbaya sana hasa kwangu kwa sababu masaa yalikuwa yanakwenda kwa kasi kuliko siku zote huku kila nikijaribu kupanga mikakati kwanza itakuaje ilikuwa haiji huku kichwa changu kikataa kabisa kunipa maamuzi ya ushauri wa kufikiri na kujikuta nikibaki nikijikuna tu kichwa changu na kutojua kabisa cha kufanya.mida ikazidi kuyoyoma na kufikia mpaka saa tisa usiku usingizi uligoma kabisa kuja akili yangu ndio ilikuwa imechoka kabisa kudadavua na kujikuta nikikubali matokeo na kuamua kwa kukubali chochote kitakachotokea.

"Daa hakika ujanja sina na inabidi tu niiende lakini sina budi kumtimizia kwanza rukaiya kwa sababu naogopa Asije kusema bure kwa baba yao yakaniweka katika matatatizo" kichwa changu kikakata shauri ya kuamua kwenda kuonana kwanza na dada yake zureiya rukaiya nikiwa na lengo moja la kuzuia yeye kutosema kwa baba yao kama mimi natembea na mdogo wake zureiya.Baada ya kukata shauri ya kufikiri ndipo nikapatwa na usingizi mfupi sana kwa sababu mida ya saa mbili asubuhi juu ya Alama tena ikiwa ndio jumamosi siku ya miadi kufikia Simu yangu ikaita na kunishtua na kujikuta mara moja nikiamka jambo ambalo lilikuwa si kawaida yangu kutokana na mimi kuwa mvivu sana kuamka kwa mara moja.Baada ya kuamka nikajizoazoa mdogomdogo na kuikaribia simu lakini kabla hata sijaichukua roho yangu ikaanza kwenda kasi na kuzidi kuchanganyika katika akili yangu.

"Duu mapenzi hayo yataniuwaa daa nilikuwa nilalamikaga ooo sipendwi mimi sina mvuto sasa nakuwa mtumwa wa mapenzi daa hakika mapenzi upofu."Nikajisemea kimoyomoyo na kuichukua simu hiyo na kuangalia katika kioo na kuona ni namba ya zureiya ndio iliyojiandika katika kioo changu na kuashiria kuwa ilikuwa ndio zureiya anapiga bila ya kusita nikabonyeza kitufe cha kuipokea na kuipeleka sikioni.
"Nambie mpenzi wangu pablo mzima??"
"Yaaah nipo pouwa"
"Nakuomba baby uje basi pale palm beach hotel tuonane tuongee laazizi wangu tusuluishe yaishe honey wangu najua nimekukosea lakini kukutana kwetu itasababisha tumalize kabisa tofauti zetu pleaseee baby utakuja??"

"Aa...m...h...mmm..e..eee..nani..zu..reiya leo nimepatwa na safari kidogo yani tumepatwa na msiba wa rafiki yake mama amefiwa na mama yake mzazi kwa hiyo sitaweza kufika leo labda kesho"Nikajikuta nikiumauma meno na kujitutumua kumwambia na kusababisha ukimya kidogo utawale hakika kusema ukweli hata katika moyo wangu nilikuwa na kidonda cha maumivu sana kwa sababu ili nibidi nifanye vitu anavyosema dada yake na mdogo wangu uliendelea kuwa mzito kumwambia zureiya kuhusu dada yake kwa kuogopa matatizo yatakayokuja kunikumba mimi mwenyewe.

"Daa baby sawa bana najua ni uongo kwa sababu unaonekana kabisa una uma uma maneno ila pouwa tu ila kumbuka nimekupa uchi wangu kwa lengo la kukubakisha katika imaya yangu na mimi sitaki kukupoteza poa nitakucheki baadae Mpe pole mama kwa kufiwa kwa heri".Ukweli wa maneno mazito ya zureiya yaliuchoma moyo wangu sana na hata alipokata simu machozi yakaanza kunilenga lenga lakini ndio sikuwa na jinsi tena ya kufanya.nikanyanyuka na kwenda kuoga na kusalimiana na mama ambaye nilimuaga kabisa kuwa nakwenda shule kujisomea na yeye akanipa nauli kabisa kutokana na yeye ndio alikuwa anatoka kwenda kazini kisha nikarudi na kwenda ndani na kujiandaa kwa kuvaa lakini kabla hata sijamaliza kuvaa simu yangu tena ikaitaa na nilipoichukua kwa lengo la kuipokea nikakaribishwa na jina la rukaiya dada yake halali kabisa wa zureiya.

"Hellouw darling yani hapo niliponawashwa hatari aaa yani Mimi hapa nishajiandaa unajua inakaribia saa tatu na nusu ujue hebu fanya basi uje nakutumia pesa uchukue bajaj ili uwai haraka sana nataka tutumie siku nzima leo"

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU

Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho


27 Mapenzi na Ngono Simulizi Z27
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni