Notifications
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…
  • MY DIARY (14)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NNETULIPOISHIA...Nikamuuuuliza hivi wewe haugopi maradhi? Akanijibu kuwa angekuwa haogopi basi angeshakufa. Sikiliza Leah hapa nipo na vile vipimo vya ukimwi hivyo usiwe na wasiwasi tutapima wote wanne kama wapo fresh tutaingia kazini wewe si unatafuta hela ya kujiunga na chuo au?IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kabla sijajibu akanambia nitakupa na dawa ya kumeza ya kuzuia mimba na pia…
  • MY DIARY (13)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TATUTULIPOISHIA...Joyce akaanza kujimiminia mwenyewe, kweli dunia ina mambo wakati wenzake wakichanganya nay ale maji makubwa yeye alikuwa akinywa kavu kavu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi mimi sikuwa na jinsi zaidi ya kuaagiza ile bia yangu ambayo alinifundisha yaani savanna. Safari hii hakusubiri ili ifike mwisho ili anitambulishe bali tulivyoanza tu kunywa akawaambia wale…
  • MY DIARY (12)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA MBILITULIPOISHIA...Niliamua kufanya ziara ili nijue pakoje na mwisho wa siku niliamini kuwa kutokana na umaarufu wa marehemu baba yangu isingekuwa kazi sana kulipata shamba lake..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilitembea kijiji hadi kijiji huku nikijaribu kuuliza kwa wenye viti wa mtaa kama walikuwa wakimjua marehemu Bura. Kwa kweli kazi ilikuwa ngumu sikuweza kuvimaliza vijiji…

WEKA YOTE (35)


JINA: WEKA YOTE
Mwandishi: Gaooh Musah

SEHEMU YA THELATHINI NA TANO
ILIPOISHIA...
“Sasa gao hata usiwaze wewe mkane tu usikubali hata kidogo na vile ni ndugu yako wataamini sio mimba yako.”
“daah, sasa aking’ang’aniza kuwa yangu si msala huo mwanangu “
“au skia wewe usiwazie kama vipi mkubalie baada ya muda mkaitoe tu hiyo mimba kama vipi”

TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE

SASA ENDELEA...
Alinishauri jamaa nikamwona wamana sana kanipa ushauri mzuri nilikaa kidogo pale akawasha sigala yake ambayo aliisokota ilikuwa ni bange,.baada ya kuiwasha nilipoona muda umesogea sana nilimuaga kuondoka japo nilitamani sana kuivuta sigala ile ila niliogopa lakini niliiba kipande alichosokota tayari na kukitia mfukoni pasina yeye mwenyewe kujua kisha nikaondoka tu kurudi nyumbani masaa yalisogea mpaka mchana kufika jua lilikuwa kali hata njaa nayo ilinisumbua, njaa iliniiuma ila niliogopa kwenda kwetu japo rafiki yangu alinipa ushauri nilioamini ni ushauri mzuri ila haikuwa sababu ya kunifanya niende nyumbani.

Nilikuwa mzurulaji tu asie na sehemu maalumu sikuwa na tofauti na chokoraa mana nilitembea mpaka kufika kwenye mti mingi hapo nikakaa kama mwenyeji na kuanza kupapasa mfukoni mwangu nilichotoa ni kile kipisi cha bange, akili za kijinga zikanituma nikivute shida ikawa pa kupatia moto, sikufikilia sana nilizunguka zunguka maeneo yale mpaka nikakutana na uchafu unaochomwa ndio nika washa sigala ile kisha nikaingia mafichoni nilipiga funda la kwanza ambalo sikuwa mzoefu na sigala nilijikuta nikimeza moshi wote hali iliyoperekea nianze kukohoa, nilikohoa kama mgojwa hadi machozi kutoka ila nikaendelea kuvuta mpaka nikamaliza hapo kichwa kizito naona tisa tisa tu hata mwangaza uliipotea machoni mwangu nikalala pale chini, baada ya masaa kadhaa sijui bange imepungua kichwani ndio nikashituka sasa.

“niko wapi huku, huku ni wapi tena “niliamka na maswali kisha nikakimbia muda huo ni jioni ya saa kumi na mbili nilikuwa na njaa kali sana, nilikimbia kama mtu asiejielewa ila kizuri njia ya nyumbani sikuisahau nilikimbilia nyumbani mapaka kufika getini sikugonga niliingia tu, nikilindwa na ushauri wa jamaa yangu niliuona unafaa na ndio nilio panga kuutumia.

Nikaingia ndani cha kushangaza pale pembeni karibia na maua nilimuona DOREEN amekaa tena analia macho yamejaa machozi, sikutaka kuingia ndani nikamuacha niliona nimfate pale tena kabla sijamfata aliiniita mwenyewe”
“gaooo, gaaoooo”
“naaam”nilimwitika na kumfata kule aliponiita, hadi nikamfikia.
“una nini DOREEN MBONA UNALIA MAMA KAKUPIGA AU?”Nilimuuliza bila kujua kumbe sababu ni mimi.

“gao kilio changu chazo chake wewe, wewe ndio umefanya nilie hapa.”
“mimi nimefanyaje tena jamani”niliuliza nikiwa gizani sijui.
“gao, unakumbuka siku ambayo tunafanya mapenzi ukanimwagia humo humo, sasa wewe ndio umesababisha nipate mimba”
“ whaaat unasemaje DOREEN”NILIULIZA KWA KUTAHAMAKI.

“nilikuwa sijielewi jioni ya leo sasa nikaamua niende hospitali nilipomuelezea dokta ninavyojisikia aliniambia tupime mimba nikapima akasema ninao ihii iihh ihhiiiii”alishindwa kuendelea akaanza kulia, taarifa ile toka kwa DOREEN ilinichanganya sana,yani nilikosa cha kufanya CAREEN NA DOREEN wakiwa na mimba alafu ukizingati ni BINAMU zangu hata kama ni kinyama cha hamu ila hiyo aibu yake sijapata kuona.

“Doreen sijakupa mimba mimi sawa usinisingizie,tena nikome”niliongea kwa kujiamini.
“gao wewe ndio umenipa hii mimba usibishe kumbuka nilikwambia kabisa “
“bhana niachie kelele sio yangu’ nilisema kisha nikaamka na kukimbia ndani kulikuwa pachungu mnoo japo nilikuwa njaa ila kuingia ndani no,nilirudi kwa jamaa wakati huo usiku umeshafika.
“oya vipi mbona upo huku tena, vipi ulifika”
“daaah mwananguu mwaka wangu mimi naomba nikae tu hapa kwako home sirudi tena”
“kwanini tena jamaa yangu”aliniuliza name nikamulezea vyote kuhusu DOREEN

“hahaha acha ujinga huo ndio uanaume sasa unachoogopa ni nini wewe usiogope tukae hapa’
“sawa jamaa yangu, ila daah sijui itakuwaje huko nyumbani”
“usiwaze tukae tu hapa tutauza wote chips sawa tena ndio nilikuwa natoka wewe leo baki kesho au kesho kutwa tutaanza mapema sawa”
“sawa tu mimi nipo nakusubiri”nilimjibu hakukaa sana akabeba vyombo vyake vilivyopo kwenye ndoo kisha akatoka nje na kuniacha mwenyewe, alipotoka ndio alinipa upenyo wa mimi kufanya ujinga eti nilichukuwa kipisi cha bange kisha nikawasha, eti napunguza mawazo nilikitia mdomoni na kuanza kuvuta huku nikikohoa juu juu……

Niliendelea na uvutaji wa bange ile tena kihodari zaidi nikipiga pafu kadhaa, ila kwa kuwa sijazoea iliperekea moshi mwingi niishie kuumeza tu na kukohoa juu juu, bange ile ilinirevya na kusababisha niwe na kizungu zungu hadi nikalala kabisa kitandani pale hata sijielewi kichwa kizito mnoo, nikiwa nimelala baada ya kupita kimya nilishituliwa na kofi ambalo lili niamsha nusura nikimbie.
“vipi wewe unataka kukimbia nini”alikuwa ni jamaa yangu mkali.
“wewe jamaa vipi umenishitua sana duuh “

“usijali samahani nilikuwa nakuamsha tule”
“daaah, afadhali mana ninanjaa sana sikula kutwa nzima ya leo hata tumbo linanisokota tu”niliongea kumwambia mkali.
“usijali mwamba chakula hichi njoo tule”aliniambia hapo mimi bila kunawa nilisogelea mfuko wenye chips na kuanza kula mkononi sikuwa na idadi nilikuwa nikiokota mafumba fumba tu kama nakimbizwa.

“mmmmh, gao utakwamwa shauri zako unakula kwa fujo hivyo”
“amna jamaa nina njaa eti yani nikila moja moja nakuwa sishibi kabisa”
“mh, si kwa ulaji huo bhana”
“haya bhana”niliisema kisha sikuendelea sana nikanawa tu.
“vipi umeshiba mbona umenawa haraka hivyo au kisa nimekwambia”
“hamna nimeshiba mimi”
“sawa kama umeshiba ila kama hujapenda maneno yangu nisamehe bure”aliniomba radhi kisha na mimi nilipomaliza kunawa nikakaa pembeni.

“vipi biashara huko”nilimuuliza.
“biashara ipo safi kabisa yani tena kesho tutaenda wote uangalie inavyoenda ili ujifunze mana chips zinatoka sana WATU WANANUNUA KWELI”
“Ahaa basi itakuwa kazi nzuri kama inatoka”
“ndio yani juhudi zako tu”tuliendelea kuongea pale mpaka usingizi ukatujia ndio tukalala, japo mwenzangu alilala ila kwangu mimi sikulala kabisa nilikuwa nikiumia mbavu kwa godoro lile lilinitesa sana na vile sijazoea maisha yale ilinipa tabu sana, niliendelea kujigeuza geuza mpaka kunakucha nilikuwa macho tu.
“oya vipi umeamkaje “
“salama tu sijui kwa upande wako umeamkaje.”nilimjibu baada ya kuniuliza.

“mimi salama tu”
“sawa nambie”
“freshi tu ngoja nikakuchukulie mswaki hapo dukani”
“daah ulijuaje kama sina mswaki”
“hahahaha,nilijua tu mana umekuja kama mkimbizi “
“daah we jamaa wewe”
“ndio mana ulivyokuja kama mkimbizi wa vita nikajua tu huna chochote hapo”
“kweli hujakosea yani nimekuja mimi kama mimi tu”
“usijali jamaa yangu huo ndio uwanaume sasa sawa wewe komaa tu”alinitia moyo jamaa yangu kisha akatoka kwenda kunitafutia mswaki.
Aliniacha pale nimekaa mwenyewe nikijiwazia tu peke yangu, nikitafakari itavyokuwa mana maisha yale sijayazoea ukizingatia kitanda ndio hivyo kishaanza kunichosha kwa siku moja tu.

“daaaah, maisha ya hapa nitayaweza kweli daaah sina jinsi bora ni vumilie tu nitazoea tu naamini hata nilipokuwa mtoto japo nililipenda ziwa la mama ila muda ulipofika aliniachisha na nikazoea basin a hapa itanibidi nizoee tu”nilisema kijasiri sana maneno yale, kisha nikaamka kitandani na kulishika fagio la mti kwa ajili ya kufagia sikutaka kumwachia kazi zote jamaa mpaka akanichoka mapema, nilifagia pale baada ya kumaliza ndio naye akatokea sasa mkononi akiwa na kifurushi.
“ahaa kumbe umefagia vizuri sana”alifurahia mimi kufagia pale wakati ndio nataka kutandika.
“usijali kawaida mbona shule tunafagia sana tu”
“ahaaa kumbe nikajua eti wewe sharo hushiki fagio kabisa”
“hapana bhana mimi nafagia vizuri tu”nilimjibu.

“sawa ni vizuri, mswaki wako huu hapa dawa angalia chini ya meza pale au uvunguni,nimenunua na vitafunio kabisa sawa pamoja na viungo vya chai na mafuta ya taa ngoja niwashe moto nibandike chai”
“sawa jamaa “nilisema hapo nikamwacha aendelee na kazi yake na miminilipo maliza kutandika nikachukua mswaki wangu alioniretea na dawa ambayo ilikuwa uvunguni sikutaka kuuliza kuhusu maji nilichukua tu chupa isio kuwa na maji kisha nikaijaza maji yaliokuwa kwenye ndoo sambamba na kutoka nje kupiga mswaki nilipiga baada ya dakika kadhaa nilipojilidhisha meno yametakata nikanawa vizuri na kurudi ndani kufika ndani chai ilikuwa tayari hapo nikatenga vikombe na kuanza kunywa.
“chai ipo vizuri sana imepikika, “
“acha utani si inanuka moshi hii huisikii”
“yanuka moshi wapi chai tamu kama ile ya house girl wetu anayoipika”nilimwambia hapo akacheka sana.

“daaaah, inamana chai yangu kama ya house girl wenu”
“ndio utamu wake”tuliendelea kuongea huku tukitaniana mpaka chai ikaisha tushamaliza kunywa…..
Siku hiyo nilivaa tu uzoefu wa maisha yale sikuonesha tofauti yoyote mbele ya rafiki yangu, mchana ulipofika tulikula ugali dagaa mpishi akiwa yeye mwenyewe alipika vizuri kiasi cha kufanya nifurahie mapishi yake, muda ulisogea mpaka jioni hapo ulikuwa muda wa kazi akapark vitu vyake vikiwemo. Sahani,kijiko, uma na vyengine.
“sasa tunaenda sawa”

“sawa twende kawaida tu mbona”nilijibu kisha akafunga mlango na funguo kuichomeka mahali hapo safari yetu ikaanza hadi kupanda gari kisha tukashuka tulifika mahali ndio akanionesha ofisi yake, tulienda hadi pale akatoa vifaa vyake kwenye duka moja la karibu na pale kisha akaweka vizuri.
“sasa gao ngoja nije tusaidiane kumenya hivyo viazi huku moto ukiendelea kukolea”
“sawa njoo tumenye”nilisema kisha nikavuta gunia la viazi naye akaja na visu pamoja na beseni kisha tukaanza kumenya shapu shapu, moto ulipo kolea akainjika karai la chips alipooliinjika na kutia chips akaendelea na kukata kachumbali na mimi nikimsaidia hadi alipomaliza na kuanza kutoa chips wateja nao hawakuwa mbali na vile pale ni karibu na bar pamoja na guest basi wateja walimiminika.

“mkali vipi umekuja na mgeni”
“ndio sister yangu “
“mmh nani wako huyu mbona hata hamjafanana nikasema ndugu yako”
“huyo jamaa yangu tu”walikuwa wakiongea nikiwasikia mimi nikiwa pembeni tu.
“ahaa anaonekana mpole sana njoo nae badae disco sawa”
“sawa usijali sister yangu”waliongea kisha akampa chips zake, maneno yote niliyasikia ila sikuonesha kama nimesikia, biashara iliendelea mpaka akamaliza hapo akafungasha na vitu vyote kuweka ndani ya lile duka inaonesha wanafahamiana.

“Sasa jamaa yangu tule chips alafu twende club sawa”
“Poa twende usijali”nilisema kisha tulipomaliza tukaingia club na kuanza kuserebuka.
“Nisubiri hapa hapa nakuja”aliniambia nimsubiri, name nikakubali akaondoka nilikuwa nikimtizama tu, alienda mpaka kwa Yule dada alitoka nae kule kisha akaja nae mpaka nilipo.

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU

Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho


29 Simulizi Weka Yote
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni