WEKA YOTE (36)

Zephiline F Ezekiel
0
JINA: WEKA YOTE
Mwandishi: Gaooh Musah

SEHEMU YA THELATHINI NA SITA
ILIPOISHIA...
“Sasa jamaa yangu tule chips alafu twende club sawa”
“Poa twende usijali”nilisema kisha tulipomaliza tukaingia club na kuanza kuserebuka.
“Nisubiri hapa hapa nakuja”aliniambia nimsubiri, name nikakubali akaondoka nilikuwa nikimtizama tu, alienda mpaka kwa Yule dada alitoka nae kule kisha akaja nae mpaka nilipo.

TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE

SASA ENDELEA...
“Nimerudi umemuona huyu sister anataka kampani yako embu cheza nae sawa”aliniambia nami sikuwa nikimkatalia nikakubari tu hapo mziki ukaendelea tukashikana viuno………

MWANZONI NILIONESHA MWENYE WASI WASI sana pale mwanamama Yule aliponikabizi kiuno chake nikikumbate,ila mziki ulipoendelea ndio wasi wasi ukaniondoka na kukishikilia vizuri.
Dj aliutendea haki mziki kwa kupiga vibao vya usiku ambavyo vilinogesha mwanamama Yule aligeuka na kunigeuzia mgongo hapo na mimi nikamshikilia vyema tena kwenye dodo zake kifuani ambazo zimetutumuka mno kifuani kwake.

“unaitwa nani vile”aliniuliza mama Yule.
“naitwa gao au gaucho”nilimjibu hapo alionesha kupenda sana jina langu.
“kumbe unajina tamu hivyo kama mikono yako ikinishika maziwa yangu”alichombeza.
‘kawaida bhana “
“mmmh, si dhani kama ni kawaida ila upo vizuri sana unaonaje tukalale wote leo”
“mh,kulala tena?”
“ndio au unaogopa hatuendi kwangu tunaenda guest tu hapo”
‘mimi siwezi bhana naogopa”
“unaogopa nini nitakupa pesa na pia tutatumia condom”alisema mama Yule bila haya wala aibu alinitamkia maneno yale tena kwa hisia wakati huo kanigeukia na kunishika mabega yangu.

“sasa jamani wewe si mkubwa kwangu tukalale tena”
“acha woga wewe mwanaume bwana eeeh angalia mdomo wako ulivyokaa vizuri kwa denda”alisema mama Yule bila hata adabu tena akanishika mdomo wangu hapo mimi nimetulia tu.
Tukiwa pale jamaa yangu mkali alikuja pale pale.
“oya gao vipi hujachoka “
“afadhali umekuja mkali mbona mwenzio muoga hivi yani anaiogopa mimi hataki pesa”alidakia mama Yule kabla sijasema kitu.

“gao vipi ondoa wasi wasi wewe mkubalie tu sawa”alinichochea jamaa yangu eti nimkubalie,sijui ni nini kilinijia sijui ndio hilo pepo la ngono eti nikakubali kulala nae.
Nilipomkubalia mkali akaondoka hapo nikabaki nae tu,.
“twende guest mtoto mzuri mana nimechoka hata ukanifanyie masaji ya mwili”
“mh,”sikuwa na cha kujibu pale akanishika mkono moja kwa moja na kuelekea kwenye vyumba vya bar hiyo tulipofika mapokezi akalipia kisha akachukua funguo kisha akanipereka mkuku mkuku mpaka kwenye chumba.

Tulipoingia akafunga mlango, kisha na kuanza kuvua viatu vyake ambavyo alivaa wakati huo nilikuwa nimesimama tu sina cha kufanya akavua viatu na blazia yake pamoja na suruwali ya kuteleza aliyovaa kisha akabaki na bikini tu huku kiuno chake kikipambwa na wingi wa shanga za rangi tofauti tofauti.
“njoo basi gao mbona umesimama au hujawahi kufanya mapenzi”

Aliniambia hapo ikawa kama kanistua na mimi nikasogea kule alipo kwa uchu nikakidaka kinywa chake na kuanza kujiburudisha kwa kunyonyana ndimi tulikuwa tumesimama mpaka tukalala kitandani hapo nikaanza kumchezea baadhi ya maungo yake ya mwili yenye kumpa hisia nikianzia kifuani kwake, nilimtomasa kila mahali akanichojoa nguo zangu nilizovaa na kubaki mtupu, hapo alianza kucheza na dushelele liliosimama kidete wakati huo, mchezo huo ulinoga hadi pale alipovua bikini yake na kunipa nafanyi nianze zoezi lile, sikujali chochote japo alikuwa mkubwa sana kama mama yangu ila sikuona tofauti nilimshughulikia ipasavyo mpaka akaomba poo kwa miondoko niliyokuwa nikimpereka, nilimperekea moto huku akipiga kelele za mahaba na kutaka nimalize mchezo ila sikutaka niliendelea ili kumkomesha.

“Gaaaooooo inatoshaaa pleaseee niacheeeee aaaahhhhh ssssssssssss”alilalamika huku nikiwa kifuani kwake nimemshikilia vizuri,sikumsikiliza kelele zake nilikuwa nikifanya yangu pale nikitafuta gori la tatu baada ya mawili kupita.

“jamanii gaooo inatosha jamani tupumzike inatoshaaaaaaa aaaaaaaahhh”
“badooo bhanaaa aaaaahh subirrii ooohh oooghh oooghh”niligugumia kiume kisha nikamng’ang’ania kwa nguvu hapo hapo na kufika kileleni, tuliachiana kila mmoja kuangukia upande wake kwa kuchoka, tulikuwa hoi asa yeye ndio kabisa alikuwa hoi kushinda hata mimi.
TUlilala pale mpaka kunakucha asubuhi wa kwanza kuamka alikuwa ni mimi ndio akafata yeye sasa tena nilifanya kumuamsha ndio akaamka, aliamka kwa kupiga miayo akionesha kuchoka.

“aahhhhh kumbe kumesha kucha mpenzi wangu”aliniita mpenzi.
“ndio kumekucha “
“ngoja nikupe sifa zako kwanza hivi wewe mtu wawapi wa tanga au?”
“ndio tanga mbona umeuliza hivyo”nilimwambia.
“yani umenikuna nilipokuwa nikipenda kukunwa wewe upo vizuri sana tofauti na mwanzo nilivyokuchukulia nilijua bado mgeni tena hujui mapenzi kabisa ila kwa mchezo ulionionesha nitataka tena”
“mbona kawaida tu jamani”
“kawaida wapi fundi hivyo”tuliendelea kuongea pale akinisifia kila mara nami nikipata bichwa kisha akanipa pesa tena kwa kuniongeza alinipa shilingi laki mbili na nusu ambazo zilikuwa kwenye mkoba wake nilifurahi sana pesa zile nikaondoka kwenda nyumbani hapo nilimkuta mkali kashaamka tayari.

“oya vip umerudi”
“ndio si unaniona hapa nisharudi”
“vizuri vipi jimama lile, ila mwanangu unabahati yani siku moja tu ushapata li shugamami umenishinda hata mimi”alisema jama.
“mmmmmh, kwani kuna ubaya si bahati tu hiyo au ulitaka na wewe”nilisema nikionekana wazi kufurahia kuwa na jimama lile katika kufanya mapenzi, sikujali kabisa tena nilifurahia sana, pesa niliopata nikampa jamaa nusu kwa ajili ya kuongeza mtaji wa chips na nyingine kwenye kodi, hali ile ilikuwa yaa kuendelea mama Yule alinitaka kila siku huku akinipa pesa nami nilinogewa na pesa zile ambazo zilinipa tamaa sana.

Siku moja nikiwa nyumbani tu pale mkali akiwa kaenda matembezini sasa pale nyumbani alikuja msichana mmoja ambaye alimuulizia mkali.
“mambo vip”
“poa vip mrembo”
“poa mkali yupo”
“mkalii msubiri atakuja tena karibu ndani ukae kabisa…………………………

Nilimkaribisha mdada Yule ndani ambae sikujua wanauhusiano gani na mkali, nilimkalibisha ndani mdada Yule ambae alikuwa mpole usoni, hapo alikuwa kavalia suruali ya kuteleza iliombana vyema na kufanya maungo yake yaonekane vizuri kwa ukuubwa, alikuwa akiingia ndani huku nikimtamani kabisa hata fikra mbaya zikanijia eti nimshike, ila nikapotezea tu.

“asante sana unaonekana mkarimu sana”aliniambia.
“hahaha kawaida mpendwa”
“kweli kwanza unaitwa nani”
“mimi naitwa gaucho au gao”
“ahaa wow gaucho upo vizuri sana”
“kawaida je wewe unaitwa nani”
“oooh, mimi ukipenda unaweza kuniita ANGEL”
“WOW jina zuri sana sana kumbe malaika wewe”
“hihii hii hii”alicheka kwa kudeka hapo ikanipa nafasi kushuhudia vitobo vyake vya dimpo vilivyomkaa vizuri sana kwenye mashavu yake.

“usicheke nakwambia bhana”tukiwa tumekaa kwenye kochi moja tu ambalo ndio lilikuwa ndani hapo nilitamani sana nianze uchokozi kwake hata kumchezea chezea ila kabla sijafanya nilichodhamiria kufanya nilistushwa na kufunguliwa kwa mlango hapo akaingia mkali.
“haaah ANGEL umekuja”ndio neno la kwanza alilo ingia nalo pale mkali.

“ndio nimekuja mda sijui ulikuwa wapi wewe,”
“nilitoka kidogo nikaenda hapo mbele”
“sawa mimi nimekuja kukutembelea”walikuwa wakiongea huku mkali akinikonyeza mithili ya mtu anae niambia toka name nikawa kama sisikii.
“sasa baby si ukae kae tupige story,gao embu kamletee shemeji yako kinywaji shika hela hii kamlete soda take away fanta”alizuga kuniagiza hapo nikajua huyu anataka kunitoa kijanja ila kabla hakunipa pesa.

“acha tu usinunue naondoka tu”ANGEL ALISEMA hapo mkali hakufurahia kitendo kile cha angel kuondoka pale.
“mbona unaharaka leo jamani wakati siku zote ukija tuna kaa mpaka tuchoke.
“wewe umecherewa huko ulipotoka ngoja niondoke tu mimi”alizidi kung’ang’ania kuondoka,ila alikuwa kila akiongea na kunitazama analegeza macho kuniangalia, mwishowe akaondoka pale.
“daah, hichi kidemu nacho jau kikijaga kinafata kukazwa sijui leo kwanini amekataa daah”alilalamika hapo nikimwangalia tu.

“tatizo umecherewa sijui ulienda kwa mtoto gani mana wewe kwa watoto”
“hahaha gao bhana, videmu vya asaiv
i ukiwa nacho kimoja vinaringa sana, yani vitakuendesha wee huku ana mabwana kibao bora tu uwapange unajua akizingua asha unatoka na mwajuma”
“hahahahahahahaha,we jamaa mbaya duuuh ndio mana ukaitwa mkali”
“ndio jamaa yangu ila kiache kiende tu, hakijaharibika kitu ila huyo demu nampenda sana yani nitamzingua yoyote nitakae sikia anatoka nae,”
“mkali sasa we si unao wengi sasa unamng’ang’ania nini sasa”
“acha wewe huyo demu nampenda ile ile kwanza anamnato yani”aliposema hivyo alinistua sana,mana uchu ulijaa pale pale nikawa kama nimepigwa na bumbuwazi.

“alaaa, kumbeee”nilijikuta nikisema tu hivyo.
“ndio gao sasa leo nataka twenzetu mjini au vipi twende ili tuwahi kurudi then twende job”
“ahaa poa poa jamaa yangu twende”
“sawa alafu nimekumbuka Yule mama alikuulizia sana akitaka kuongea na wewe alinipigia simu “
“anasemaje huyo”
“alitaka kuongea na wewe tu, ila unabahati sana jamaa yani lile jimama linapesa chafu sana yani utanukia pesa wewe”aliniambia hapo kunitia tamaa zaidi.

Tuliongea pale kisha akatoa simu yake na kubofya namba kadhaa na kuweka sikioni ilipoita tu akakata, alipokata haikucherewa kuita iliita fasta hapo hapo.
“oya pokea na huyo mama wako”
“sawa poa”nilimwambia na kuichukua simu ile kisha kubofya kitufe cha kijani kupokea simu kisha nikaiweka sikioni kusikiliza upande wapili.
“hallow babe”ilisema sauti ya upande wa pili.

“poa vipi”
“safi mzima wewe Serengeti boy wangu”
“mimi nipo salama sijui wewe shuga mami wangu”niliposema hivyo akacheka kidogo kicheko cha uchokozi.
“ehee ehee eheee “
“sawa nambie”
“nimekumisi gao sana yani hata hapa nilipo nahisi uwepo wako jamani”
“pole sana”
“nishapoa njoo basi tukutane hapa barabarani tutoke twende dukani nikakuchukulie nguo”aliniambia hapo mkali amekaa pembeni akisikiliza tu maongezi yetu,”
“sawa ngoja nijiandae hapa nakuja sawa”

“sawa bae”alijibu kisha akakata simu.
“daah mwanangu aisee ningepata mimi limama kama hilo ningeringa sana, yani mpaka nakuonea wivu kabisa na hilo limama”
“hahahahahahaha, unachekesha jamaa yangu duuh”
“ndio yani bahati hizo za wachache tunaozitaka hatuzipati”
“usijali yako ipo tu, utapata na wewe”nilimwambia.
“sawa unaondoka sasa hivi au mana nakuona unaamsha amsha sana”
“ndio naenda bana tena asaivi”nilisema kisha moja kwa moja nikavua nguo na kuvaa tauro kisha nikaenda kuoga nilitumia dakika tatu tu hazikuzidi, nilipotoka nikaingia ndani na kuvaa mitoko yam kali nilichukua pamba zake kali nikazivaa na kutoka nje nilitembea mpaka barabarani ndio nikamkuta akiwa ndani ya takxi ya kukodisha, akaniambia nipande nikapanda nyuma tulikuwa wawili tu.

Safari ilitia kasi moja kwa moja mpaka kwenye moja ya duka maarufu mjini pale kwa uuzaji wa bidhaa mbali mbali zikiwemo nguo na nyengine nyingi, dereva alisimamisha gari kisha tukaingia ndani huko aliniambia nichague viwale name sikuremba nikachagua mitoko ya maana kisha tukaenda mpaka wanapouza simu akanichukulia simu ya kisasa.
“nakupenda sana nakununulia hivi kwa upendo wangu gao sawa”
“sawa nashukuru sana”nilitoa shukrani kwake kisha baada ya manunuzi tukatoka hapo ndani ya duka tukapanda bajaji iliyokuwa pale nje.

“tufikishe hotelini ila iwe ya hadhi ya juu sawa”
“sawa usijali kwa hilo”alijibu Yule dereva kisha akatia kasi bajaji yake break ya kwanza nje ya hoteli ya hadhi ya juu tukaingia baada ya kumlipa dereva Yule, tuliingia ndani akafanya malipo na kuchukua chumba tulienda mpaka kwenye hicho chumbaambacho kilikuwa na kila kitu ndani.
‘tumefika sasa mpenzi wangu twende tukaoge weka mizigo yako hapo chini”aliniambia name nikaweka mizigo chini.

“njoo univue nguo na mimi nikuvue”
‘nakuja usiwaze kwa hilo ni wajibu wangu”
“Nafurahi kusikia hivyo, nyoo basi jamani hata unishike shike nimemis mikono yako”alisema name nikamfata kule alipo nilimvua nguo nikimtekenya tekenya mpaka wote tukavua na kubaki watupu kama tulivyokuja duniani.
“Panda mgongoni mpenzi wangu panda”aliinama na kuniita nipande kwenye mgongo wake nami nikampandia mgongoni , nilivyopanda alisimama kisha kunigeuza kwa mbele…………………

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU

Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho


Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)