SEHEMU YA THELATHINI NA SABA
ILIPOISHIA...
“Nafurahi kusikia hivyo, nyoo basi jamani hata unishike shike nimemis mikono yako”alisema name nikamfata kule alipo nilimvua nguo nikimtekenya tekenya mpaka wote tukavua na kubaki watupu kama tulivyokuja duniani.
“Panda mgongoni mpenzi wangu panda”aliinama na kuniita nipande kwenye mgongo wake nami nikampandia mgongoni , nilivyopanda alisimama kisha kunigeuza kwa mbele…………………
TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE
SASA ENDELEA...
Alipoona mwenzie hanipigi akavuta gongo lilionishukia la mkono “phuuuuuuh”hapo hapo ulikuwa tayari ushavunjika…………
NILIHISI maumivu ambayo hayaelezeki hata nikisema nielezee yalivyo sitaweza kuvumilia zaidi ya machozi kunidondoka tu,baada ya kunipiga gongo lile la mkono alivuta la pili ambalo sikuweza kuliona vizuri na jicho lile liliobakia ambalo lilisongwa na machozi hivyo kukosa kuona vizuri, japo kuwa alinivunja mkono ila haikuwa sababu ya yeye kuacha kunipiga alinishushia magongo mfululuzo bila huruma ambayo yalinipa uchungu zaidi ya mwanamke akijifungua, kipigo kile kiliperekea mpaka nikapoteza fahamu na nisijue kinachoendelea..
Nilistuka baada ya kimya ambacho sikuweza kujitambua tena nilistuka, huku pua zangu zikisongwa na harufu ya dawa iliyokuwa eneo hilo, baada ya kustuka niligundua hapo ni hospitali hiyo ni baada ya kuona vitanda na mashuka meupe ambayo niliona na jicho langu moja mana nilikuwa na chongo, nikiwa nashangaa shangaa pale nisijue nimefikaje eneo hilo nilimuona muuguzi wa kike, aliponiona nimeamka aliponiona nimeamka alifurahi sana na kunisogelea pale nilipolala.
“umeamka mgonjwa wangu”alisema muuguzi Yule name nikaitika na kichwa tu hapo akaja kuniamsha na kuniegemeza kwenye mto, hapo ndio nikajiona vizuri sikuamini na jicho langu moja , nilikuwa na ma pio pio hasa mkononi na miguuni japo sijasikia maumivu kwa wakati huo kutokana na ganzi.
“pole sana vipi unajisikiaje”
“nimefikaje hapa nesi”
“oooh, pole sana kunampita njia amekureta hapa na amekuokota njiani hakutaka kubaki kujua hali yako kwa kuogopa atakatwa na kuhojiwa hivyo baada ya kukureta hapa tulipokuingiza chumba cha wagojwa mahututi nay eye akaondoka bila taarifa yoyote,na mpaka sasa umemaliza wiki mbili ndio umeamka sasa.”muuguzi Yule alisema hapo sikuwa na chakusema zaidi ya kukaa kimya baada ya maelezo yale.
“unaitwa nani”
“gao”
“gao unakaa wapi”
“maeneo ya maduka matatu”nilimtajia eneo analokaa mkali,.
“ahaaa, unakaa na nani huko”
‘nipo nakaa na jamaa yangu”alikuwa akiniuliza huku akiandika vile ninavyojibu.
“wazazi wapo wapi”alinipachika swali ambalo sikuweza kulijibu kwa wakati huo, tena sikuthubutu kujibu.
“gao nijibu nakuuliza mama na baba wapo wapi”kimya sikujibu kitu nikatulia tu, nae hakutaka kuniuzi hivyo swali lile akalipotezea tu.
“sawa mimi naenda je una namba za huyo jamaa yako labda tumtafute aje kukuona”alisema hapo nilikuwa nazikumbuka namba za mkali ambazo zilikuwa kichwani.
“0654387935”nilimtajia bila kukosea hapo akaziandika kwenye daftali lake lile kisha akaongea machache na kuondoka akiniacha pake yangu pale kitandani, nikiwa kitandani nilianza kusikia maumivu sana kuanzia jicho mpaka mkono na mguu ambayo nilifungwa pio pio na jichoni nikibandikwa plasta ambayo ndani ilikuwa na dawa, nilianza kusikia maumivu ambayo yalinifanya nitoe kelele za maumivu sijui ndio ganzi iliisha nilihisi maumivu mpaka kulala hapo hapo.
Baaada ya muda kadhaa nilikuja kustuka baada ya kusikia mtu akiniamsha hapo nikaamka kichovu nilijikuta nikikutana macho kwa macho na mkali ambae hakuamini kuniona vile tena iliyomtisha zaidi ni chongo nililokuwa nalo ndio lilimfanya asiamini kuniona vile.
“umepatwa na nini jamaa yangu mbona hivyo”aliuliza mkali huku akionekana mwenye huzuni sana.
“daah, jamaa acha ni story ndefu sana “nilimwambia hapo tulikuwa wenyewe.
“niambie jamaa yangu kilichokusibu mpaka upo hivyo?”alitaka kujua yalionikuta hapo nikaanza kumhadithia vyote vilivyo nikuta hasa vile ninavyovijua nilimwelezea vyote ambavyo nilikuwa navijua, baada ya kumuelezea alisikitika sana kwa kihiri nilichopitishwa hapo nilibaki na funzo ‘MKE WA MTU SUMU’ hilo lilikuwa funzo kwangu mana wanasema SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA sasa na mimi sikutaka kuwa sikio la kufa hivyo lilikuwa funzo kwangu na kujiapiza kuwa sitosogea kwa mke wa mtu hapo nilikuwa siijui kesho yangu nilijua nitakuwa na maisha mazuri kama ya mwanzo kumbe laaaa sikuijua kesho yangu.
Baada ya maongezi ya muda na mkali pale kisha sikuhiyo ikaisha akibaki na mimi pale hosipitalini huku akiniletea chakula na matibabu yaliendelea ndani ya mwezi na wiki moja nilipata nafuu mkono ukiamka kidogo na mguu ukiamka kidogo ambao dokta alitupa dawa nikaugulie nyumbani na kufanya mazoezi ili utengemae mguu, tuliruhusiwa kurudi nyumbani hapo mkali akilipa malipo pale ambazo zilikuwa hela za mtaji, alipofanya malipo tukaondoka nikipewa gongo la kuchechemea tulielekea mpaka kwenye bajaji ambayo tulipanda kisha baada ya nusu saa ilitufikisha mpaka nyumbani tulipofika pale tukashuka akamlipa dereva hela yake nae akaondoka kisha mimi kwa kuchechemea nikaingia ndani nikisaidiwa na mkali kwa kunishika mkono tukaingia ndani, nilikuwa na mabandaje mkononi na mguuni, nilipoingia na kukaa kitandani muda huo, ilikuwa saa kumi na mbili jioni baada ya kutoka hospitali.
“oya ngoja nikanunue chips hapo tuje kula sawa”
‘sawa mkali kanunue mana nina njaa”
‘usijali nipo kwa ajili hiyo”alisema na kutoka hapo ndani, nilibaki pale mwenyewe nikitafakari tu nisijue hatima ya maisha yangu mana nilijua nimesha poteza mwelekeo wa maisha, nilifikilia mpaka kudondokwa na machozi.
“daaah, nimekosea nini mimi maisha yangu ndio yamesha potea hivyo nitafanya nini mimi “nilijisemea mwenyewe tena kwa masikitiko muda huo huo mkali aliingia mkononi akiwa na chips wakati huo giza limeshaingia alikuja na kuwasha taa.
“sasa jitahidi ule jamaa yangu sawa”alisema mkali akionesha kunijali sana.
“nitakula” ‘nilisema kisha akasogeza mfuko ule wenye chips na kunipa stick ya kulia alafu tukaanza kula pamoja nilikuwa nikila pole pole tu mana nilikuwa nikisikia maumivi hasa kwenye taya.
“kula gao, wewe unazania bila kula utapona haraka embu kula bhana”
“nakula” nilisema huku nikila kwa kudema dema mpaka nikafika kikomo na kusema nimeshiba, siku zilikatika kama kamba mbovu huku mabadiliko yakionekana kila siku, nikianza kupona mguu ukipona kiasi cha kukubari kutembea bila gongo halikadharika mkono nao ulianza kupona., ukiwa umetimu mwezi mmoja tokea nitoke hospitalini.
Sasa siku moja tukiwa tumeenda mazoezini ya kukimbia ili viungo vi tengemae sasa baada ya kukimbia kwa madakika kadhaa nilianguka chini baada ya kusikia kizungu zungu na moyo kunienda mbio hapo nilianguka chini na kuanza kukohoa tena cha ajabu nilikuwa nikikohoa alafu nikitoa natoa damu, hali ile ilimchanganya hata mkali ambae hakujua afanye nini tena kikohozi kilizidi akaamua anibebe na kunirudisha nyumbani, alinifikisha mpaka nyumbani pale na kunilaza kitandani.
“gao una nini, gao gao”alisema ila wapi niliendelea kukohoa tu.
Mkali hakuwa na chochote mfukoni cha kunipereka hospitali nikachekiwe afya yangu, hakuwa na pesa yoyote ambayo ingenifanya nikapate matibabu, hivyo hali ile ilifanya atafute mitishamba tu na kunichemshia ambayo haikunisaidia kitu zaidi ya kutapika na kuharisha maji tu, hali ile iliendelea siku hadi siku nikiwa sina nafuu kabisa nadhani hata izirairi alikuwa akiniita, nilikuwa nikihisi kufa kufa tu wakati wote mana nilikuwa nikitapika kila kitu nikipewa uji natapika na kuharisha, hali ile ya kutapika na kuharisha ilinifanya nikonde kabisa na kuwa kimbau mbau kabisa mpaka mkali akaamua anipereke hospitali tu sijajua pesa atatoa wapi ila alinipereka hapo vidonda donda vimenianza mdomoni na maeneo mengine, nilifikishwa mpaka hospitali……………………
Moja kwa moja kwa hali yangu ile nililazwa kitandani bila maswali mana hali yangu ilikuwa mbaya zaidi maradufu na vile mkali hakuwa na pesa za kunipereka hospitali kwa wakati ule, niliwekewa drip la maji mana nguvu ziliniisha kabisa tena na vidonda juu, nilikuwa wakati wote nikihisi kizungu zungu kiasi kwamba hata dokta na mkali nilikuwa nikiwaona kwa mbali sana na chongo langu lile.
Maneno ya mwisho kusikia ni pale dokta akimwambia mkali atoke.
“sasa kijana unatakiwa utoke kwanza tupishe tumfanyie vipimo vyote ili tujue tatizo lake nini wewe unaweza kukaa hapo nje sawa”alimwambia hapo kwambali nikamuona mkali akitoka kisha nikachomwa sindano ambayo walichukua damu, kisha ya pili nilipochomwa nikasinzia.
*****************
Nilikuja kustuka kwa kukohoa japo kikohozi kilikuwa kizuri sikutoa damu ila kifua kiliuma.
“pole sana, ulisema unaitwa nani”aliniuliza nesi.
“khoo khoohoo khoohoo khohooo gaa ooookhoo”kusema ukweli nipata tabu hata kuongea, yani ilikuwa hata kutaja jina langi nilikohoa mnoo.
“pole gao utapona unajisikiaje”
“baadookhoo khoo khoo”niliendelea kuongea huku nikikohoa hali iliyoperekea hata nesi Yule anione huruma huku akionekana anajua kinacho nisumbua, alinihimiza niendelee kulala tu huku matibabu yakiendelea pale japo nilikuwa nikitibiwa ila hakuna mabadiliko makubwa zaidi ya yale yale tu nadhani hata madokta walipata mashaka na hali yangu tena madonda ndio yalizidi huku nikizidi kunyooka, ikafikia wakati akaja dokta mwenyewe.
“vipi kijana pole usijali utapona sawa eeh,ila kijana wewe kwenu kwa wazazi ni wapi “
‘kwetukhoo khoo khooo”
“ndio kwenu mana huyu kijana mwenzio tumempa bill ya matibabu kaondoka hakurudi tena hivyo ni vizuri tukapajua kwenu na wazazi wako wakaja ili tujue tunafanya nini”nilishindwa hata kuongea pale mana sikuwa na jibu.
“gao sema unapokaa sasa wewe hutaki kupona tuambie”alinikadhania hapo sikumficha nikamuelekeza mpaka kwetu kabisa alikuwa vyote akiandika tu japo niliongea kwa kukohoa ila alinielewa, kisha akaondoka pale na kuniacha mwenyewe na mimi niliona kuwa huo ni wakati wangu wa mwisho wa kuishi mana niliona kabisa mtoa roho akiniita nimfate,niliendelea kukaa pale hospital bila maendeleo yoyote, mpaka mama yake akaretwa kuniona yani nilibaki mifupa tu nyama zote sina mwilini.
“mwanangu jamanii gaoo gaoo baba umepatwa na nini , oooh mwanguuu gaoo mbona upo hivyo jamani unaumwa na nini”mama yangu aliponiona hakuacha kulia mana kwa jinsi nilivyokuwa nilikuwa natisha sana.
“dokta mwanangu ananini dokta “alipiga kelele mama mpaka dokta akaja.
“usipige kelele mama nyoo ofisini tukupe majibu ya vipimo vya mwanao”walitoka hapo nikiwaangali tu sina hata nguvu za kunyanyua kichwa.
Walipoenda huko kisha wakarudi mama alikuwa analia tu huku kashika karatasi mkononi la vipimo, alikuja mpka pale tena haamini kabisa alinitandika maswali ambayo sikujibu hata moja zaidi ya kufumba na kufumbua kajicho kangu kamoja, sikuzilikatika bado nipo vile vile mpaka mama akaniombea nohamishwe hospitali japo walikataa ila aliwalazimisha mpaka wakakubali, hapo nia na madhumuni yake anipereke nyumbani na kweli alifanikiwa nilifikishwa mpaka kwetu na kulazwa kitandani huku juma akitamba tu, tena alipopata matokeo ya vipimo vyangu hakuacha kubwatuka.
“YANI WEWE MWANAMKE SIJUI UNA AKILI GANI YANI JITU LIMEATHILIKA HUKO NA UKIMWI WAKE UNAMLETA HAPA SI UNGEACHA LIFE HUKO WANINI SASA HUYU KAKONDA KAMA BUA”
“WEWE MWANAUME NIACHE HUYU NI MWANANGU TENA KAMA VIPI ONDOKA HATA KAMA AMEATHILIKA MIMI NITAMHANGAIKIA APONE SAWA UCHUNGU WA MWANA AUJUAE MZAZI WEWE NYAMAZA TU SAWA UKICHOKA ONDOKA.”
Walikuwa wakibishana hapo sebuleni huku maneno yote nikiyasikia ambayo yaliniumiza mpaka kuniliza kabisa mana ndio siponi tena kwa jinsi ukimwi unavyosifika unaua leo hii ndio umeupata mimi huo ni mwisho wangu.
Nilikuwa nikilia ila sikutaka mama ajue, kila akija huo nanyamaza, alikuwa akinipa uji wote nautema sikuwa nikimeza yani hauingii niliutema tu, ila mama hakukoma alikuwa akinilazimisha tu.
Mama aliendeleza harakati za kunitafutia waganga mbali mbali ambao wote hawakufanya chochote si wa tanga si wasumbawanga wote ola ilifikia wakati mpaka kupaka vinyesi pona na mimi wapi kazi bure kabisa kama kutwanga maji kwenye kinu.
Mama alihangaika mnoo kila mahali sikupona tena nilizidi kuisha kabisa mwili huku nikijawa na vidonda mwilini, vikitoa usaha na kunuka japo nilifanyiwa usafi ila bado harufu ilinitoka tena ya kukaraisha pua, haja zote nilimaliza hapo hapo hata mama alikata tama na kusubiri tu kifo change ambacho hakikuwa mbali name uwezekano wa kupona hakuna tena, nilibaki nikitamani kufa mwenyewe kwa mateso ninayopata hata kichwa lilibaki fuvu tu.
Nilikuwa nikiona hata mungu anacherewa kunichukuwa tu sikutamani kuishi tena,niligoma hata ule uji kidogo ninao lazimishwa kunywa,maisha yangu ndio yalikuwa hivyo mpka leo hii nipo kitandani hapa nasubiria kufa eeeh mungu,
NAAAAAAAAM, NA HUO NDIO MWISHO WA SIMULIZI YETU HII, AMBAYO TUMEIPA JINA LA WEKA YOTE JAPO INAMAJINA MENGI TUMETUMIA JINA AMBALO LIMESIMULIKA KATIKA SEHEMU NYINGI, HIVYO LISIKUTISHE SANA.
UJUMBE WA MWANDISHI.
KWAKO WEWE BABA, MAMA, KAKA, DADA MTOTO NA VIJANA. AMINI UKIMWI UPO NA UNAUA SASA NAJUA MAPENZI NI KITU CHA KIJINGA SIJAONA SABABU YA WEWE KAKA KUWA NA TABIA KAMA YA GAO KUWA CHOVYA CHOVYA, NAAMINI MPENZI MMOJA ANATOSHA SANA NA ANAFAAA KULIKO KWENDA KUJITAFUTIA MAGOJWA, DUNIA IMEBADILIKA HII UMZANIAE SIE KUMBE NDIE NA UKIMWI HAUPIMWI KWA MACHO, NADHANI GAO NI FUNZO KWENU.
BAKI NA MMOJA USIJE HARIBU MAISHA YAKO HUKO BAADAE YA NINI UWE NA ASHA, MARIAM, FATUMA, AGNES, ESTER N.K. BAKI NA ASHA PEKE YAKE ANATOSHA WOTE WA NINI HAO KUWA MAKINI KIJANA USIJELIA NA FAMILIA YAKO UKIMWI UPO NA UNAUA HUONI GAO MPAKA LEO ANAKUFA TARATIBU..
MWISHO
ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho
Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho