JINI HUSNAT (3) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumamosi, 18 Februari 2023

JINI HUSNAT (3)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Zuberi Maruma

SEHEMU YA TATU
ILIPOISHIA...
Baada ya VERGAN kumkumbatia akamwachia ghafla akashangaa kumuona kabadilika kawa na sura mbaya ya kutisha meno yalochongoka pembe pembeni ya vichwa kucha ndefu VERGA akashindwa kuvumilia na kupiga kelele ghafla akazinduka.

"he! kumbe ilikuwa ni ndoto?"

VERGAN alitahayari alishindwa kuzuia mshangao dhahiri katika macho yake.

WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
wakati akiwa anashangaa ,wakati akiwa bado kakaa kitako kitandani.

alipocheki pembeni ya kitanda AKAUONA ULE MKUFU!

aliruka kitandani na kutaka kukimbia

MLANGO UKAJIFUNGA

kizaa zaa kikaanza

kelele za msichana akicheka zikasikika.

"VERGAN kwa nini unielewi?!

kwa nini utaki kunipenda? kwa nini utaki kunizoea? ama uitaji kuwa nami? niambie VERGAN nijue,hata mimi na moyo VERGAN!"

ilisikika sauti ikisema na kimya kikafuata mlango ghafla ukafunguka.

VERGAN kama mweu akatoka mbio alikimbia hadi getini mlinzi wake ndiye aliyefanikiwa kumzuia

"bosi wangu utaumia! una matatizo gani bosi tell me why?"

"niache! niache! niache KITALU niache!"

"come down bosi come down punguza presha,relax,smile ,then tell me why ili niweze kukupa msaada"

" twende ukaone mkufu twende ni jini si ndoto ni kweli!"

VERGAN aliropoka,ni wazi alianza kuchanganyikiwa....

***************

VERGAN na mlinzi wake KITALU waliongozana hadi ndani VERGA akiwa na lengo la kumuonesha ule mkufu wa ajabu! mkufu wa ndotoni walipofika AWAKUKUTA KITU!,MKUFU AUKUWEPO,VERGAN akakunguta mashuka lakini bado mkufu aukuonekana.ikabidi kwa maneno kuntu,maneno ya hisia VERGA amsimulie mgambo wake yule!

"bosi wangu! jambo doncho sana ili!,ili ni jini mahaba na kuna ustadh! swadakta maalim! sheghe ni shidaaaa! hana uwezo wa kumwita! kumpumbaza! kumkamata na kumfinyanga hadi aitwe marehemu anaitwa maalim sheghe RAJAB!"

"unaweza kunipeleka saivi kwa maalim?"

"bila shaka kabosi kangu! lakini pale kagetini katakaa kanani?"

"uc of pale ntamtafuta mtu mwingine"

"akah! na mimi si ntakosa ka kazi bos?!"

"hapana we ntakupandisha cheo utaenda katika compuny yang na ela itapanda."

"sawa bosi ngoja nkajiandae ili tukaka angamize ako kajini mahaba!"

ile saa KITALU anageuka tu nyuma akakumbana na mkono dhabiti! mkono imara wa HUSNA! lakin VERGAN akumwona KITALU alihisi kukabwa ghafla akaanza kukooa damu alikuwa akionesha kidole shingoni alipokabwa mara akadondoka chini na kufa hapo hapo.HUSNA akiwa na uso wa hasira akaiangalia kwa chuki maiti ile akairuka na kuweka mikono juu akatoweka.VERGA alichanganyikiwa! kitalu hakuwa mzima na sasa ni marehemu! kivipi? bado lilikuwa swali lisilo na jibu

polisi walikuja na kumchukua VERGA na house garl wake JASMIN na mwili wa marehemu ukapelekwa hospitalini kwa uchunguzi zaidi.alama za mikono shingoni zilionekana dhahiri! hivyo madaktari wakaanza kudili nazo.

cha ajabu alama za mikononi za JOHN VERGAN ndo zilizo onekana shingoni mwa MLINZI MACHACHARI KITALU.mshatakiwa namba moja akawa JOHN akawekwa chini ya ulinzi! moyo ulimuuma maswali ya siyo na majibu yakatiririka kichwani kwake.familia yake baba mama zote walikuja kumtembelea wakamtoa khofu kwa kuweka mawakili hatari pesa si ilikwepo.tarehe ya kuanza kusikilizwa kwa kesi ikafika.baada ya kuamishwa katika mahaka

****************

SERIKALI ikapandisha shaidi namba moja! ambaye alitambulika kama afande MARWA.

MWENDESHA MASHTAKA@"taja majina yako matatu"

SHAIDI NO 1@ "MARWA JAFETY JOHN"

MW/MASHTAK@ "Unaweza kutuambia kilichotokea siku ya tukio?"

SHAID NO 1 "Yap nilikuwa kituoni siku hiyo mara simu ikaita kupokea ni msichana aliyekuwa akilia alidai bosi wake alikuwa akimnyonga mlinzi wake ndipo nilipochukua afande wengine mpaka eneo la tukio tulipofika tulimkuta mtuhumiwa kashafanya mauaji ndo tukawaweka yeye na house garl chin ya ulinzi"

maelezo haya ya AFANDE marwa yalimshtua kila mtu akiwepo JOHN VERGAN ambaye yeye ndiyo aliyepiga simu polisi iweje aambiwe ni mfanyakazi wake? pia mawakili wake walitazamana kwa kutoamini wakisikiacho kesi kwa upande wao ilizidi kuwa ngumu na kwa upande wa house gar yule alishangaa kuambiwa eti alipiga simu wakati bosi wake ndo alipiga ilikuwaje? kuna nin? ilikuwa ni mkanganyiko katika mioyo yao katu awakujua kuwa:

wakati JOHN VERGAN anapiga simu kituoni sauti yake iliishia mule ndani lakin katika masikio ya afande MARWA ilisikika sauti ya binti akiongea kwa jazba,woga,huyu si mwingine ni JINI HUSNAT aliyeyameza maneno ya VERGAN na kuongea kama JASMIN.ndivyo ilivyokuwa.

MW/MASHTAKA "mshtakiwa una swali lolote kwa shaidi no 1"

VERGAN "ndyo mh! afande marwa mimi ndo nlikupigia simu iweje useme ni JASMINI kwa nini lakin inakuwa hivi?"

baada ya kuuliza swali VERGAN akaanza kulaumu ikabidi akatishwe na nafas kurudi upande wa mawakili

JOHN VERGAN anapiga simu kituoni sauti yake iliishia mule ndani lakin katika masikio ya afande MARWA ilisikika sauti ya binti akiongea kwa jazba,woga,huyu si mwingine ni JINI HUSNAT aliyeyameza maneno ya VERGAN na kuongea kama JASMIN.ndivyo ilivyokuwa.

MW/MASHTAKA "mshtakiwa una swali lolote kwa shaidi no 1"

VERGAN "ndyo mh! afande marwa mimi ndo nlikupigia simu iweje useme ni JASMINI kwa nini lakin inakuwa hivi?"

baada ya kuuliza swali VERGAN akaanza kulaumu ikabidi akatishwe na nafas kurudi upande wa mawakili

WAKILI "una muda gan katika jeshi?"

SHAIDI NO 1 "MIAKA MI 4"

WAKILI "una ushaidi gani kama aliyekupigia simu ni huyo mfanyakaz wa bosi wetu?"

shaidi no 1 (kwa hiyo unaisi mimi ntatoa ushaidi wa uongo siyo?"

MW/MASHTAKA "afande jibu maswali kama utakiwavyo"

afande@"ndyo mh"

Wakili "ushakula rushwa mara ngapi?"

shaidi no 1 "mimi ni mwadilifu kazini,na nafata wajibu wa kazi yangu"

wakili "ujajibu swali langu afande! sijakuuliza kama wewe ni mwadilif au vipi!"...,.

************

WAKILI@:Ujajibu swali langu afande! sijakuuliza kama wewe ni mwadilifu au vipi nimekuuliza umeshakula rushwa mara ngapi?

SHAIDI NO 1@:sijawahi kula rushwa.

WAKILI@:nikiielezea mahakama siku ya tukio MARWA na wenzako mlikula rushwa kumweka pabaya bosi wangu ntakuwa nakosea?

SHAIDI NO 1@:si! kweli

WAKILI@:Umesema umepigiwa simu na nani?

SHAIDI NO 1@:house garl wake.

WAKILI@:ukimwona waweza kumtambua?

SHAIDI NO 1@:Ndiyo

WAKILI@:yupo wapi?

SHAIDI NO 1@:yupo mahabusu kwa mahojiano zaid kwa sababu naye alikutwa eneo la tukio

WAKILI@:mlipofika eneo la tukio mlimkamata kama shaidi? au mtuhumiwa?

SHAIDI NO 1@:(kwa swali la mtego afande akaanza kubabaika) "mtuhu..mi shaidi!..."

WAKILI@:(mh hakimu! huyu afande hapa ni mnafki anadanganya mahakama inaonesha kuna mchezo hapa aiwezekani shaidi awekwe chini ya ulinzi! afande marwa embu nambie sheria ya haki za binadamu inayohusu mshtakiwa namba 15 hadi 17)

SHAIDI NO 1@"akabaki kimya yamkini akuitambua sheria hiyo! uso wake ulipanuka kwa hasira."

SHAIDI NO 1@ akafunga mjadala mh hakimu huyu afande hapa naomba afutwe kama shaidi katika kesi hii hata sheria za haki za binadamu ajui?,kwenye maelezo yake kababaika kujibu na siku zote shaidi awezi kuwa mtuhumiwa nimemaliza.

AFANDE MARWA akaenda kuketi akipambana na macho makali ya watazamaji na wasikilizaji moyon mwake akujua sababu ilomfanya ashindwe kujibu maswali yale.akujua kilichopo nyuma ya pazia.

msichana mrembo MOURINE aliketi nyuma katika bench la tatu kwa kazi maalumu! msichana huyu aloingiliwa na jini ZAIDATU alijua juu ya uwepo wa JINI HUSNAT kule.kwa vyovyote vile ilikuwa lazima afanye kazi kwa uangalifu HUSNA asijue uwepo wake kule.ILIKUWA NI LAZIMA AMKOMOE HUSNAT kwa VERGAN kuwa huru yeye ndo alompumbaza afande akababaika kujibu na kuwapa mwanzo mzuri mawakili wale profision kwa upande Wa JINI HUSNAT aliyeketi ktk pembe akuna mtu aliyemwona alikasirika sana kila alipojaribu kumpa ujasiri afande ili shindwa.....

***************

Baada ya shaidi namba moja afande kuondolewa katika kesi ile kwa hoja zake akapanda Shaidi namba mbili.huyu alikuwa ni daktar mtafiti aliegundua alama za mikonon mwa mwil wa mlinzi kuwa ni za JOHN VERGAN.Kwa kushabiana kwa vinasaba.wakati daktar yule akielezea yale HUSNA ambaye akuwa akionekana na mtu alikuwa makini kufatilia kwa ukaribu kesi ile hali ya uhatari ilisha jijenga katika kichwa chake.

WAKILI:@"una muda gani kazini?"

SHAIDI NO 2: "Miaka 35"

WAKILI:@ "Una miaka mingapi saivi?"

SHAIDI NO 2"Miaka 65"

WAKILI:@ "nAis wakati unafanya uchunguzi wa mwili wa MAREHEMU hukuwa na alama za vidole za mtuhumiwa je ni kitu gani kilichopelekea ukagundua alama zile ni za VERGAN."

DAKTARI akababaika kujibu swali lile si kwamba akuwa na jibu la hasha! bali mdomo ukawa mzito.woga,jasho likaanza kumtoka usoni,tayari JINI ZAIDATU alisha muotea bila kugunduliwa na jini HUSNAT tayar kesi kwa upande wa VERGAN ilianza kuwa na matumaini.baada ya daktari naye kupigwa chini ika amrishwa shaidi wa mwisho JASMINI akaletwe.mapumziko yakafatia.na baada ya dakika chache JASMINI naye akiwa na lengo la kumuokoa BOSI wake akapanda kizimbani akala kiapo.alipomaliza ghafla jini HUSNAT akamvaa mwanzo Alikuwa akiogopa kumwangalia bosi wake yule ila JASMINI huyu alimwangalia VERGAN kwa macho makali! hasira na chuki za waziwazr nywele za VERGAN zikasisimka moyo ukaanza kumwenda mbio kati ya watu wote walioudhuria kesi ile yeye pekee ndiyo aliyeweza kuyaona mabadiliko Ya JASMINI pengne na MOURINE wa bandia.alipozidi kuyaangalia macho ya jasmin akayakumbuka HUSNAT! ni macho ya jini HUSNAT ikawa si vigumu kwake kugundua mchezo unavyoenda ghafla akaisikia sauti ya jini yule katika ngoma ya masikio yake "NIMEPEENDA UGUNDUE ULILOGUNDUA! KESI NI NGUMU KWAKO ILI IWE LAINI NA USHINDE KUBALI UWE WANGU" kabla ajajibu sauti nyingine ktk sikio lingine ikamwambia

"usikubali nipo na wew UERGAN"

Wakati akiendelea kutafakri zile sauti ghafla..

*************

Maswali mengi sana yakarindima kwenye kichwa chake akuweza kuitambua ile sauti ya upande wa pili ya MOURINE ilimfikiaje! macho yake yakamlazimu ayagandishe kwa binti yule.aliyemwachia tabasamu afifu lililomuweka sawa kidogo!

"nini kinachoendelea hapa?" aliwaza bado sauti zilizidi msumbua katika kichwa chake ghafla akashtuliwa na saut ya mwendesha mashtaka!

MW/MASHTAKA:@ JOHN VERGAN una swali lolote kwa shaidi no 3

VERGAN:@(akababaika kidogo kujibu) "ndiyo!.....hapan"

jibu lile likaibua tabasamu kwa waudhuriaji wa kesi ile.

MW/MASHTAKA:@(akarudia swali lake)

VERGAN:@ Kwa woga akajibu HAPANA sina swali.

MW/MASHTAKA:@(shaidi namba tatu elezea kitu kilichotokea siku ya tukio.

JASMIN p.a.k JINI HUSNAT:@(kwa nin VERGAN umemuua MPZ wang kwanin?)

mahakama yote ikabaki kinywa wazi! JASMIN alikuwa akilia kitendo kilichoibua simanzi mahakaman pale.

MW/MASHTAK:@Unaweza kuelezea mahusiano kati yako na mtuhumiwa pamoja na marehemu?

JASMIN:@ marehemu alikuwa mpz wangu na mlinz katika nyumba ya bosi wangu ni mara nying sana VERGAN alinitaka kimapenz kw kuwa nampenda KITALU sikumkubalia mpaka siku alipotufuma mim na mlinzi tukiwa tumekumbatiana kwa kuwa alinipenda hasira zilimpanda akamvamia mpz wangu na kumkaba mpaka akamuua..,

USIIKOSE SIMULIZI INAYOFUATA

Umeyaona Matangazo?
Yabonyeze Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni